"Hi Dinah na wachangiaji wengine,
Kwa kweli napata tabu hebu nisaidie kwa hili; Mpenzi niliekuwa nae zamani nilimpenda sana lakini kwa bahati mbaya tukakosana. Sasa nimeolewa as you know ndoa hupangwa na Mungu lakini bado nampenda na huku nina mume what should I do kuepukana nae huyo wa zamani"?

Comments
1.acha mawasiliano au urafiki na huyo ex..simaniishi umchukie hapana ila futa simu zake,usimtafute na usiende maeneo anayopatikana.
2.kuwa close na mmeo
3.muombe mungu uzidi kumpenda mumeo
4.acha kuwaza mapenzi ya zamani na concentrate na life la sasa na kuboresha familia yako
5.kama hujazaa na mumeo zaeni leo watoto
Gluv love
Debbie
Morogoro
jigwa -dar
lucy