Niliolewa nikiwa nampenda wa zamani, nimuepuke vipi?

"Hi Dinah na wachangiaji wengine,
Kwa kweli napata tabu hebu nisaidie kwa hili; Mpenzi niliekuwa nae zamani nilimpenda sana lakini kwa bahati mbaya tukakosana. Sasa nimeolewa as you know ndoa hupangwa na Mungu lakini bado nampenda na huku nina mume what should I do kuepukana nae huyo wa zamani"?

Comments

FAUDHIA said…
EPUKA KUWASILIANA NAE MARA KWA MARA COS MTAKAVOKUWA MNAWASILIANA MTAKUWA MNAJENGA UUSIANO MUHIM GANGA YAJAYO 2LIA NA MMEO
Anonymous said…
..pole hiyo huwa inatokea...

1.acha mawasiliano au urafiki na huyo ex..simaniishi umchukie hapana ila futa simu zake,usimtafute na usiende maeneo anayopatikana.
2.kuwa close na mmeo
3.muombe mungu uzidi kumpenda mumeo
4.acha kuwaza mapenzi ya zamani na concentrate na life la sasa na kuboresha familia yako
5.kama hujazaa na mumeo zaeni leo watoto


Gluv love
Anonymous said…
Haya ndo matatizo ya kuanza mahusiano kabla ya ndoa.
Anonymous said…
Una umri gani kwanza? Kama upo chini ya 30, ni kuwa bado hujui mapenzi ni nini. Kama una miaka 30 and above, basi wewe ni mwanamke mpumbavu. Delete contacts zake na ikiwezekana badili na laini yako. Dnt play wth life and love, u wl suffer! Usiendekeze mawazo ya huyo mjamaa, kama ungekuwa ulimpenda kweli, usingeingia ktk uhusiano mpya badala yake ungefanya jitihada za kusuluhisha uhusiano na huyo mjamaa wa zamani. Kifupi ni kuwa TAMAA YA MOYO NDIYO INAYOKUSUMBUA WALA SIO MAPENZI. Take care dear
Anonymous said…
Tamaa ndio iliyokuponza dada, achana na kaka wa watu na umuachie nafasi ya yeye kutafuta mke wa kumfaa wewe ndio basi tena

Debbie
Morogoro
Anonymous said…
kwa hilo tupo wengi.
Anonymous said…
siwez jua mnaunganishwa na nini cha ziada na huyo jamaa ambacho mumeo haez kupa ila tumia ubongo wako maana moyo wako ushafeli


jigwa -dar
Anonymous said…
kazi unayo dada....ila mchelea mwana kulia hulia yeye...pole dadangu kuwa makini usije poteza wote





lucy
Unknown said…
acha tamaa ni picha gani unaonesha?penda na thamini sana uliyeko nae.hukumpenda wala hakukupenda mana mngestrugle kufind soln na si kukimbiana.tulia mama acha kuiga mapenzi