Nimeshika Mimba, Je nitamwambiaje mama?

"My dear,
mimi ni msichana wa miaka 25, bado nipo chini ya himaya ya bi mkubwa, nimepata mimba na siku zote nasema sitatoa mimba. Sema bi mkubwa wangu nitamueleza vipi? Naombeni msaada jamani tafadhali dada dinah na wachangiaji wengine kwani nipo njia panda.

Boyfriend yeye yu tayari kuwa baba japo wote bado twamalizia masomo si fikirii sana juu ya yeye kwa sasa, yeye si ngumu kujadiliana naye isipokuwa mama yangu, sijui nianzie wapi kumwambia??? msaada tafadhali tafadhali...".

Comments

Anonymous said…
Mimba siku zote ni baraka , kuna wanandoa wahaha kupata watoto lakini mambo yamegoma kabisa. Kwa kuwa mambo yameshamwagika me nakushauri kaa na Mama (Bi Mkubwa wako) chini mueleze kwa kituo na kumpa ukweli na pia responsible person awe tayari kuja kutetea hiyo hali.

Sikushauri hata siku moja kupata ibilisi wa kutoa mimba hiyo kwa sababu nilizokwisha zielezea mwanzo, na siku zote tufanyapo mapenzi yasiyosalama tunajua mwisho wake ni huo, Hivyo sioni sababu ya wewe kuona ajabu. Muhimu kwako ni kuhitaji radhi ya mama ili katika kpindi chako cha kumalizia shule yako Mama ako ndio akawe msaada kwako ktk hali uliyonayo na baadae mtoto wako.

Pole kwa mzigo wa mawazo ulionao lakini naamini hata awe mkali kiasi gani mwisho wa siku ataikubali tu hiyo hali kwani imeshatokea. Nakutakia kila la kheri dada.
Anonymous said…
Okay ndo ushapata mimba sasa na fikiri utabidi umkabili tu huyo mama yako na kumtajia pia huyo aliyekutia hiyo mimba na pia ueleze vizuri kwa nini usitumie soksi wakati wewe ni mtu mzima naakili zako tatu ufanye mpngo wa kuwajulisha upande wa huyo boy freind wako ukweli maana maji ndo yashamwagika, wala usifikiria kuitoa kwani hilo ni balaa la kuuwa pia linweza hata kukuuwa wewe pia au yote,fanyeni mpamgo muozeshwe na kuanza maisha ya ndoa natumai wazazi watawasamehe na kuwasaidia labda,kumbuka huwezi juwa kama pengine huyo ndo mtoto wako wa pekee,move forward baby maisha ndo yalivyo ujichunge sana ,
ushauri kama huwezi kutoa ni bora tafuta mtu wa karibu na mama yako mweleze atamfikishia ujumbe ila angalizo wewe ni mwanafunzi utamuongezea mzigo mama yako katika maisha manake kulea mimba si kazi ,kazi pale kimbe kinapokuwa duniani na huyo baba ni mwanafunzi na ana muda mwingi kuendelea na maisha na matamanio vile vile angalia ukawa unatunza mtoto upande mmoja sheri zimeundwa na zinavunjwa ukiona hali hairuhusu vunja katoe nenda uksali na kuomba kwa imani yako usamehewe na mola pia usirudie tumia nyezo kama hauko tayari kuitwa mama ila kuwa mwangalifu zaidi
Anonymous said…
mwambie nina mimba!
Anonymous said…
MIMI KWA USHAURI WANGU MKABOLI TU BIMKUBWA UMUELEZE KWA UTULIVU MIAKA ULIYONAYO NI MTU MZIMA SASA UNAJUA BAYA NA ZURI ISITOSHE JAMAA AMEKUBALI MZIGO MBAYA KAMA JAMAA ANGEKATAA MZEE NAKUSHAURI KAA NA ONGEA NA BI MKUBWA ATAKUELEWA HIYO NI HOFU TU.
Anonymous said…
Bibie!!! huyo uliyecheza naye hiyo rafu hadi ikajaza upepo tumbo hajulikani na mama yako?

Je huyo mjamaa mlikubaliana nini katika kusakata hiyo gemu iliyokutia sokomoko?

Mliibiana tu au vipi?

Nimeuliza maswali hayo ili nijue cha kukushauri maana sioni kama ni bifu zito sana kumweleza mamayo bayana kilichokusibu hapo ulipo.Mama ndiye wa karibu na mtoto wa kike na ndiye mshauri wako mkuu.Usije ukaitoa bibie huyo kiumbe ndiyo rais mtarajiwa wa Tanzania katika mwongo wa tano ujao kuanzia sasa.
Anonymous said…
Itabidi nianza kukulaumu kwanza kwann hukutumia kondom na njia za kujikinga tele!!!Mm kama msichana mwenye umri kama wako na ni mama viilevile(single mom) nakushauri ukae chini ufikiri vizuri utakalo....maana naona hujui ulitendalo...unasema hufikirii kuhusu huyo bf wako unategemea huyo mtoto atahudumiwa na nani wakati nyote ni wanafunzi au ndo unategemea mama atatoa huduma kwa mtoto???isitoshe nilikuwa ktk situation kama yako nikaona niiweke mimba ndugu zangu wakapiga kelele niitoe sikuwasikiliza ila majuto mjukuu najionea kizaazaa coz kulea kazi mama nashukuru tu nipo ulaya napewa misaada yote ningekuww bongo naona ningekuwa natangatanga maana wanaume hawatabiriki huyo baba wa mtoto si chochote si lolote...na huyohuyo alokwambia yupo tayari kuwa baba anaweza abadilike kumbuka si mumeo huyo...at the end of the day ww ndio mwenye maamuzi unatka elimu au kuwa mama?? itabidi utiafute tu njia ya kumwambia mama mimba haina siri na usitegemee pongezi!!
Anonymous said…
kwanza nakupngeza kwa wazo lako la kutoitoa iyo mimba,pia nakuomb atafuta mda mzuri muite mama yako zen mwelelze kia kitu bila kumficha na ikiwzekana muite na huyo aliyekupa mimba muongee wote
cheupe said…
pole na hongera shoga ila jua kila jambo Mungu hulileta kwa mazumuni yake nakupongeza kwanza kwa kutofikiria kutoa mana hcho nacho ni kiumbe jina haki ya kuishi kama wewe, hebu fikiria ni wanawake wangapi wanatafuta watoto hawapati, uzuri unaumri unaostaili kuzaa,boyfriend hajakataa mimba hapo kilichobaki andika message afu weka mahali afu mwambie mama kuna ujumbe wako nimeweka sehem flani aendee ausome afu umsikilizie mi kuna rafiki yangu alifanya hvyo sawa mama atamind ila ndo ujumbe ushampa na siku zinavyoenda atazoea mpenzi. pole sana ajua una msongo wa mawazo sanaaaaaaaa ila trust me with time yote yatakua shwari, they say "time heals all wound"
Anonymous said…
isije ikiwa umezaa na mume wa mtu hiyo tu.
Mbili hakuna kosa kaa kuzaa na mwanafunzi mwenzako utamtunza vipi huyo mtoto au ndio unataka akakuzwe na bibi.
Na what the hurry?kama baba anataka kuwa baba siungesubiri umalize shule
Anonymous said…
Pole sana dada yangu kwa wimbi la mawazo linalokuandama. Pia nakupongeza kwa iman uliyojijengea ya kuto-toa mimba na kamwe usithubutu.
Kama ilinavyoaminika siku moja utapata taarifa ya m2 uumpendaye kupoteza maisha basi ujue kila jambo linaweza kutokea hata kuwe na vipingamizi na litakubalika tu. Nasema hivyo kwa sababu bi mkubwa anategemea siku moja utamletea mjukuu lakini hajafikiria kivipi au lini kwa sababu anakuona bado ni mdogo. Ningependa kukushauri kama unashindwa kumweleza wewe kama wewe, basi umtafute ndugu ambaye atasikilizwa atakapomwelezea jambo kuhusu tatzo ulilo nalo. Naamini kwa umri uliofikia atajifikia na kugundua kuwa sasa ni wakati wako muafaka wa kupata mtoto tena mwanaume kakubali alichokifanya hakuna tatzo. Kiukweli haitamwingia akilini kwa siku ya kwanza au ya pili tu lkn siku zingne atakubali na yy ndiye atakae kua msaada mkubwa kwako. USIJIUMIZE KWA KUFIKIRIA SUALA DOGO DADA YANGU.
jcaustical@yahoo.com
john said…
ulimi ni kitu muhimu sana kabla ya kuanza kungonoana me navyofanya kabla ya kuanza namnyonya mpenzi wangu ku... na tigo na inamfanya hweze kufika maema na ni sexy sna try mchumba alale na tumbo ukiwa unamnyonya tigo uku unampapasa mgongo na mbele msogeze pembezoni mwa kitanda den piga magoti anza kumbusu na kunyonya uke taratibu ni me j
Anonymous said…
Dada jibu lake ni rahisi, mwambie nimepata mimba
Anonymous said…
mtoto ni zawadi mtoto ni baraka no matter amepatikana au amekuja kutoka kwenye mazingira gani...so usitoe kwani muhimu baba yake amekubali mimba..malizieni masomo....

cha msingi..ongea na mama mueleze kuwa umepata mimba usioipangia na muahidi kuendelea na kumaliza masomo yako..pia muombe msamaha ila mwambie utaendelea kuwa mtoto mzuri...vyovyote atakavyosema maneno hayaui..chukulia poa cha msingi wewe msg send..mzigo wa kukaa kimya ni mkubwa kuliko wa kusema na kuwa muwazi hasa kwa mzazi..pia mwambie jamaa kama nae anakupenda na anajiamini awaambie wazazi wake au mzazi wake mmoja ili iwe rahisi kama backup kwakko incase of anything pia is good for the coming innocent mtoto

Gluv
gluv100@yahoo.com