Haya nimerudi full time, Shukrani za dhati kwa ushirikiano na uvumilivu!

Habari za siku nyingi mpenzi msomaji, mchangiaji, mtembeleaji na wewe ulieendelea kunitumia maswali japokuwa sikuwa na muda wa kuyajibu kutokana na sababu nilizozieleza kwa kifupi (kulia hapo kwa juu).

Kwa kawaida blog hii huwa haihusishi masuala yangu binafsi isipokuwa yanayohusu maisha halisi ya kimapenzi ya mtu yeyote, lakini kutokana na nitakachogusia hapo chini, nimeshindwa kujizuia bali kukushirikisha ili utambue kuwa Blog haikunishinda bali nilikuwa nakabiliana na mabadiliko ya Kimwili, Kisaikolojia na kihisia kutoka Dinah kuwa mama kwa mara ya kwanza.

Baada ya safari ndefu ya Ujauzito na mkanganyiko wa Homono zilizonifanya nichukie mambo yote yanayohusisha Teknolojia (ndio maana sikuweza kufanya kazi yangu hapa) yote kwa yote namshukuru Mungu nimejifungua salama mtoto wa Kiume siku chache zilizopita.

Mungu awabariki na awape moyo huo huo wa ushirikiano katika kujaribu kusaidiana ili kuendesha maisha ya amani, furaha na upendo kwenye mahusiano na ndoa.

Asanteni.

Comments

Anonymous said…
Welcome to the parenthood dada. Hongera kwa kuwa mama nina uhakika experience ya umama itaongeza uzoefu zaidi na chachu katika blog yetu na jamii ya wana mahusiano na mapenzi kwa ujumla

funzadume
mimi said…
hongera dina kwa kujifungua salama handsome boy mungu akukuzie na awe na afya njema baby boy wako. tunakupenda sana
Anonymous said…
Hongera Dinah kwa kuwa mama is very wonderful experience!kweli there is a cost to be mama aisee....welcome to parenthood,
Anonymous said…
Hongera sana Dinah.Be blessed.
Anonymous said…
hongera sana da dina.mama nani vile
Anonymous said…
Una mume?
masoud's world said…
Hongera Dina,
Mola ambariki mtoto wenu na watoto wote wa Tanzania. We love you!
Anonymous said…
Hongera Dina,
Mola ambariki mtoto wenu na watoto wote wa Tanzania. We love you!
KKMie said…
Asanteni sana!

Hey FunzaDume kitamboo, Mimi shukrani.

Anony @2:11:00 PM ni kweli kabisa, kuwa mama sio kazi rahisi ila baada ya kumuona mtoto unasahau yote. Mungu awabariki kina mama wote Duniani.

Anony @3:25:00 PM ni Mama Doug (Douglas~Barrack)hehehehe

Anony @2:23:00 PM asante na tubarikiwe sote.

Anony @4:01:00 PM kama umepitia Profile yangu nimehabarisha kuwa mimi ni mke wa mtu, ninakwenda kuongezea kuwa nina mtoto sasa....
Anonymous said…
hongera sana dina.Mungu akuwezeshe kulea huyo kiumbe mzuri.
Anonymous said…
Hongera sana Dinah kwa kujifungua salama.
Anonymous said…
Hongera Dinah mama Douglas waohhhh
Anonymous said…
Wahooo! Congratulation Dinah, stay blessed you three(father,mother& child) na Mungu awabariki muwe na maisha marefu
Anonymous said…
Hongera! Tupe jina lake(mtoto anaitwa nani) ili tuanze kukuita Mama nanihii! maana najua sasa unaingia uzeeni.....Kizito!!
shushu hot! said…
hongera dada dinah kwa kujifungua salama 'baby boy'mwenyezi mungu ampe maisha marefu yenye furaha..AMEN
'Just kiss him for me...'
Gnasha said…
Hongera
Anonymous said…
hongera dada sayz Mwakisole
KKMie said…
Asanteni sana, Mungu awabariki.
Anonymous said…
karibu tena, anza kututafutia data tujue, tutaanza lini kutombwa baada ya kujifungua, maana tunazimiss mboo ile mbaya
Anonymous said…
hongera sana dina :)
Anonymous said…
hongera sana Dinah kwa kupata baby boy mwenyezi mungu akukuzie mtoto wako jamani na wewe akupe hekima umelee katika malezi mema. hongera sana