"Hi Dada D,
Naomba ushauri kutoka kwa mtu yeyote mwenye utaalam wa kujua jinsi ya kuamua kupata mtoto wa kiume au wa kike. Cha muhimu ni kujua wakati gani nikikutana na mke wangu atakuwa na mimba ya mtoto wa kiume au wa kike?
Asanteni.
Naomba ushauri kutoka kwa mtu yeyote mwenye utaalam wa kujua jinsi ya kuamua kupata mtoto wa kiume au wa kike. Cha muhimu ni kujua wakati gani nikikutana na mke wangu atakuwa na mimba ya mtoto wa kiume au wa kike?
Asanteni.
Comments
Kwa hiyo tunatumia advantage hiyo kumpata mtoto wa jinsia tunayoitaka endapo utataka mtoto wa jinsia ya kiume unachotakiwa ni sex siku ya hatari(siku ambayo ovulation inafanyika kwa wanawake wenye mzunguko wa hedhi wa kawaida ni siku ya 14) mki sex siku hiyo kuna huwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa jinsia ya kiume kwasababu mbegu za kiume husafiri kwa haraka nakukutana na yai(ovu) na kutunga mimba.
Ikiwa kama mtataka mtoto kike mnatakiwa kusex siku 1(au masaa zaidi 12) kabla ya siku ya hatari kwani mbegu za kike huishi kwa muda mrefu(na mbegu za kiume zitakuwa zimekufa) kutakuwa na uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa kike.
Kwanza ni vizuri kumtanguliza mungu. Nadhani utakuwa umepata idea zakukusaidia nakutakia ndoa yenye furaha na upendo.
Gm
Kuna vitu vingi vinatumika kujua siku ya kupevuka yai - kama temperature ya mwili, ute unaotoka kumani, mild but sharp pains kwenye ovary pale yai linapotoka kushuka kwenye uterus, n.k. Ni bora mkawaona wataalamu wakawapa maelezo zaidi.
BUT U KNOW WHAT? Mtoto ni mtoto tu. endelea na mipango ya Mungu - sioni haja ya kutafuta ati lazima nipate wa kiume etc
http://www.chinesefortunecalendar.com/Phone/BabyGenderPredictor.htm