Je kuna namna ya kuamua jinsia ya mtoto?-Msaada

"Hi Dada D,
Naomba ushauri kutoka kwa mtu yeyote mwenye utaalam wa kujua jinsi ya kuamua kupata mtoto wa kiume au wa kike. Cha muhimu ni kujua wakati gani nikikutana na mke wangu atakuwa na mimba ya mtoto wa kiume au wa kike?

Asanteni.

Comments

Anonymous said…
ilo ni la kitaalam zaidi, maranyingi watu wanfuta ushauri but haitokei wanavyotaka
Anonymous said…
Wataalamu hasa ktk nchi zilizoendelea wanajua jinsi ya kupata aina ya mtoto lakini ni asilimia ndogo sana, nafikiri bado hawajafanikiwa hiyo njia, inakuwa rahisi sana kujua ni mtoto gani akishakuwa tumboni. Ningeshauri ukubaliane na uumbaji tu na kukubali aina yoyote ya mtoto utakayepata.
Anonymous said…
Mimi si mtaalam, ila kwa jinsi ninavyoelewa ni kuwa mbegu za kiume huishi si zaidi ya masaa matatu na huwa na mkia mrefu unaoziwesha kusafiri kwa haraka, na mbegu za kike huishi zaidi ya masaa 18 na huwa na mikia mifupi ambayo huzi fanya zisafiri polepole.
Kwa hiyo tunatumia advantage hiyo kumpata mtoto wa jinsia tunayoitaka endapo utataka mtoto wa jinsia ya kiume unachotakiwa ni sex siku ya hatari(siku ambayo ovulation inafanyika kwa wanawake wenye mzunguko wa hedhi wa kawaida ni siku ya 14) mki sex siku hiyo kuna huwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa jinsia ya kiume kwasababu mbegu za kiume husafiri kwa haraka nakukutana na yai(ovu) na kutunga mimba.
Ikiwa kama mtataka mtoto kike mnatakiwa kusex siku 1(au masaa zaidi 12) kabla ya siku ya hatari kwani mbegu za kike huishi kwa muda mrefu(na mbegu za kiume zitakuwa zimekufa) kutakuwa na uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa kike.
Kwanza ni vizuri kumtanguliza mungu. Nadhani utakuwa umepata idea zakukusaidia nakutakia ndoa yenye furaha na upendo.
Gm
Anonymous said…
Ama kweli binadamu hatutosheki NA TULICHOJALIWA NA MUNGU. Wengine wanatafuta mtoto wa jinsia yoyote ili mradi na yeye aitwa baba au mama na wengine wanataka mtoto specific wa jinsia fulani. Shukuru Mungu amekupa hata hao wa jinsia moja. Ungenyima kabisa kama wengine walionyimwa ingekuwaje?
Anonymous said…
Scientifically, it is possible. Issue hapo ni je, huyo mwanamke yuko makini kiasi gani ili ajue the exact time/day ambayo yai limekomaa? Mbegu za kiume huwa za kwanza kufika kunako yai - na hivyo kama yai limekomaa, huwa za kwanza kulirutubisha na kupata mtoto wa kiume. Lakini pia mbegu za kike, japo zinachelewa kufika, zina advantage ya kuishi mda mrefu zaidi - hivyo kwa yai litakalokomaa baada ya siku 1 au 2 tangu kutiana, most likely zitarutubishwa na mbegu za kike na hivyo kutoa mtoto wa kike.

Kuna vitu vingi vinatumika kujua siku ya kupevuka yai - kama temperature ya mwili, ute unaotoka kumani, mild but sharp pains kwenye ovary pale yai linapotoka kushuka kwenye uterus, n.k. Ni bora mkawaona wataalamu wakawapa maelezo zaidi.
BUT U KNOW WHAT? Mtoto ni mtoto tu. endelea na mipango ya Mungu - sioni haja ya kutafuta ati lazima nipate wa kiume etc
Anonymous said…
sikiliza kutokana navyojua ukitaka mtoto wa kiume anza kutiana na jamaa yako siku tatu kabla ya siku ya hatari na hii iwe ni asubuhi ukiamka na jioni kabla hujalala ili ulale nazo ndani iliyai likija lizikute.mebgu za kiume hukaa mda mrefu zaidi ya masaa 72 na sivyo kama mchangiaji aliye pita kuwa ni za kike. nipo na hivo experience na na iutcoe zilikuwa kweli kama nilivyowish
Anonymous said…
sikiliza kutokana navyojua ukitaka mtoto wa kiume anza kutiana na jamaa yako siku tatu kabla ya siku ya hatari na hii iwe ni asubuhi ukiamka na jioni kabla hujalala ili ulale nazo ndani iliyai likija lizikute.mebgu za kiume hukaa mda mrefu zaidi ya masaa 72 na sivyo kama mchangiaji aliye pita kuwa ni za kike. nipo na hivo experience na na iutcoe zilikuwa kweli kama nilivyowish
Anonymous said…
Nadhani pia ufanyaji wa mapenzi unachangia. Anayetengeneza mtoto/ amua mtoto awe wa jinsi gani ni mwanaume. Lakini wapo wanaosema kwamba, kama mwanaume anawekeleza sperms zake, nakuja kukutia kwa kile cha kwanza tu unaweza ukapata mtoto wa kiume.Na inabidi aacha kunywa pombe na sigala. Na wewe mwanamke yai lako la kushika lina kuwepo only 24 hrs. Siku ambayo unakuwa na maumivu makali sana wengine husema yai linageuka, basi jitahidi ufanye mapenzi hiyo siku, na utakuja kupata mtoto wa kike.Lakini yote nadhani mola anapanga.Ukiweza njoo uchague kwenye katalogy.
Anonymous said…
GM kaeleza vizuri sana labda niongezee kidogo na kwa lugha nadhani itakuwa nyepesi zaidi. Mimba inaingia siku ya 12 hadi 15 toka siku ya kwanza ya hedhi. mfano mwanamke anaingia kwenye hedhi tarehe 3may basi huyu atashika mimba tarehe 15may hadi tarehe 18may maana tarehe 15may ni siku yake ya 12. sasa basi ukitaka mtoto wa kike basi tembea na mkeo tarehe 14may siku ya 11 ambayo kwa kawaida sio siku ya mzunguko ya kupata mimba. Na kwa kuwa mbegu za watoto wa kike zinachelewa kufa ndani ya uke(ngoja nifafanue Mbegu zinazoleta mtoto wa kike hufa ndani ya uke baada ya masaa 24 lakini mbegu zinaleta mtoto wa kiume hufa baada ya dakika 4 na zina nguvu kwelikweli maana ukipiga bao moja linatosha kuzalisha hilo halizalishi maana nguvu yake inakuwa imeisha) hivyo ukitaka moto wa kiume usitombetombe sana nje kila baada ya masaa 72 tomba.utafanikiwa mtoto unaemtaka. Kwa kifupi kuna vitu vingi vinavyoungana kwa pamoja kuna kunawa baada ya kutombana mwanamke asinawe kabisa maji ya baridi ataziua hizo mbegu. Akilazimika kunawa basi yawe maji ya moto.Jaribu njia hii utafanikiwa kumpata mtoto unaemtaka.............Kizito!!
Anonymous said…
Hesabu siku ya 15 toka uanze period ndio siku ya mtoto wa kiume. Talking through 2 times experience.
Anonymous said…
kuna njia nyingine ya kuchagua jinsi aya mtoto. hiyo inapatikana kwenye website ifuatayo:-
http://www.chinesefortunecalendar.com/Phone/BabyGenderPredictor.htm
Anonymous said…
kaa kwenye imani hasa ya kidini mpendwa
Anonymous said…
Kuna chart ya kiutaalam kama vipi dispaly email yako then i will forward to you
Anonymous said…
IKIWA SIKU YA 14 TANGU KUTOKA MWEZINI NDO MTOTO WA KIUME ANAZALIWA, IKITOKEA MNAFANYA NA ANAPATIKANA WA KIKE INAKUAJE?