"Heri ya mwaka mpya dinah,
Mimi ni mwanamke wa miaka 30 nimeolewa na mume anaeni-treat vizuri sana. Hivi majuzi mume wangu alikua amesafiri nikapata namba ya mchumba wangu wa zamani ambaye ndio alikuwa bf wangu wa kwanza aliyenibikiri tukaanza kuongea kwenye simu tupo miji tofauti.
Nikawa so happy tukawa tunatombana kwenye simu nalegea kabisa lakini nikishamaliza kuongea nae najisikia vibaya sana kwanini namfanyia hivi mume wangu nikasema lazima ni-stop kuongea na huyu bf wa zamani.
Siku moja nikaamua kumwambia kuwa mimi nampenda mume wangu kwahiyo naomba tu-stop kuwasiliana. Alikasirika ile mbaya akasema atamwambia mume wangu kuwa nilikua nawasiliana nae sasa naogopa mume wangu ataniacha hata sijui nifanyaje dada dinah nampenda sana mume wangu naomba ushauri asante. "
Jawabu:Mwaka umechanganya kabla ya muda wake, heri ya mwaka mpya nawe pia. Asante sana kwa kuniandikia.
Sasa rafiki hata kama uliipata namba ya Ex kitu gani kilikufanya umsake na kuanzisha mawasiliano ukijuwa wazi kuwa penzi la kwanza huwa haliishi.....watapita wengi lakini wa kwanza daima atakuwa wa kwanza tu, ndio ulipojifunzia mambo, ndio ulipozijulia hisia za kupenda kiumbe wa jinsia tofauti na yako. Fanya yoote lakini stay away na 1st bf.
Kitendo ulichokifanya ni kibaya na kinahesabika kama "cheating" kwa vile ulipata hisia za kutamani, ulivuta hisia za alivyo huyo ex na ukajishikana na yeye akajipa mkono na hatimae wote mkafika mwisho wa safari......mkiwa simuni, mihemo, sauti za mahaba na kila kitu kilifanyika na kupenya kwenye akili zenu na mioyo yenu......shetani alikupitia eti??
Ofcoz mwanaume yeyote mjinga-mjinga lazima angekasirika, unalianzisha zali alafu sasa unamkatisha, kwani ulipoanza ulikuwa hujui kuwa unampenda mume wako?
Kama unaweza kufanya ngono via simu na Ex kwanini usingefanya hivyo na mume wako? Ni wazi kuwa unahisia fulani na Ex pia nahisi hiyo nambari yake ya simu ulikuwa nayo tangu zamani, ila ulikuwa unajaribu zali kuona itakuaje kukumbushiana enzi (hehehe just joking).....naelewa hilo na ndio maana huwa nashauri watu kukaa mbali na Ex hata kama waliachana kwa vita vya ghuba au kwa kuelewana.
Nini cha kufanya-Hakikisha huyo Ex hajui unapoishi na vilevile hajui mawasiliano mengine zaidi ya nambari yako ya simu. Kama nambari ya simu ya ndani (land line) basi waombe jamaa wa simu kublock nambari yake na ikiwa mlikuwa mnawasiliana via simu ya mkononi(mobile) unaweza kufanya hivyo mwenyewe (m-block) na kuanzia hapo cheza mbali (jitenge) naye au watu wengine walio karibu na ex wako huyo, ukifanikiwa hili utakuwa umeshinda na hakuta kuwa na sababu ya mume wako kujua nini kilitokea....hilo mosi.
Pili, ikiwa anajua mizunguuko ya mumeo na mawasiliano mengine kama emails basi hakikisha mume wako anajua nini kilitokea kutoka kwako moja kwa moja na sio kutoka sehemu ya tatu, kuwa wazi lakini usivuke mipaka ili kulinda hisia zake.
Tatu, Mueleze mumeo kuwa alipokuwa safarini, ex alianza kuwasiliana na wewe lakini hukuwa "comfortable" ukaamua kukatisha mawasiliano hayo kwa kumpiga marufuku huyo bwana (ex), na ulipofanya hivyo huyo bwana (ex) akakasirika na kusema kuwa atahakikisha ndoa yetu inavunjika.....alafu omba ushauri kwa mumeo kwa kusema mfanye nini?
Mumeo anaweza kukuhoji maswali ambayo baadhi ya wachangiaji au hata mimi mwenyewe nimekuhoji, hivyo hakikisha umejiandaa kutoa majibu ya kuridhisha vinginevyo anaweza kukushitukia kuwa wewe ndio ulianzisha zali.
Ndoa haiwezi kuvunjia kwa ku-cheat kwa simu japokuwa inaweza kusababisha mabishano makubwa, hasira baina yenu na hali ya kutokuaminiana ktk uhusiano wenu kwa kipindi fulani, lakini yote yatapita na hali itakuwa ya amani na furaha.......yote hayo yanategemeana wewe mwanamke utakavyojitahidi kurudisha Uaminifu ndani ya ndoa yenu.
Tafadhali jaribu kuheshimu ndoa yako ili kusaidia kurudisha thamani ya ndoa katka jamii.
Kila la kheri.

Comments
jaba
Cha kufanya ni kimmoja tuu, kwanza sitisha mawasiliano na huyo ex wako, pili jiandae kabisa kama atamwambia mume wako utajiteteaje..
Usijaribu kumridhisha huyo ex wako kwa kuendelea kuongea nae, sababu hata acha mpaka ahakikishe ndoa yako imeingia chumvi....
mimi emu-three
kama hutaki matatizo kwny ndoa yako dada lose hiyo no ya huyo x upesi sana..jiepushe na vishawishi na usijemtaja hata cku moja kwa mume wako huyo x,wengi hawapendi kujua mambo za past relationship wanakuwaga na wivu sana..unaweza letewa noma mbaya.. lily.ARS
Kosa kubwa umefanya kuwasiliana naye. Mchunie na usiwasiliane naye tena pia naimani kabisa hatamwambia mumeo hana pa kuanzia na hata kama atasema jibu la mwisho ni lako wewe kwa mumeo.
Next time usirudie hilo kosa.
fred.
pili ,angalia nyendo zako,kwani naweza kukuita kuwa nyie ndo wale wanawake wasioridhika,ulimtafuta wa nini,na kuongea ujinga.kwa nini yeye hakukutafuta,waweza kuwa malaya wewe.
kata mawasiliano.
lajk@ymail.com
Utaari na kwanza ushajivunjia wangu
Mwambie mumeo wewe mwenyewe asisikie toka kwa mtu sawa mumy kwani kutoka kwako ataelewa na sio unaanza kueleza tuu kama mtu ambaye ajafunzwa na shangazi yake..Tumia mbinu za kike mumy sawa kwa mahaba makubwa mazito na make sure that day you cook your self mambo ya break fast in bed alafu utaafutie faragha umueleze na kuomba msamaha. Uone mambo yatakuwa sawa
All the best
Dinnah keep it rollin darling
Mdau
wala usiulize cha kufanya maana unakijua...sitisha mawasiliano ya aina yeyote ile naye!
Licha ya kwamba umekiri kwamba unamfanyia vibaya mumeo unayempenda, lakini cha kushangaza ni kwamba mumeo amesafiri tu kidogo mara umeanza kuchombeza kwa aliyekubikiri. kwa maana nyingine ni kwamba huyo jamaa angekuwa karibu nawe hapo ungeingia naye mkenge?? Loo du tafadhali acha kabisa hata kama huyo jamaa atamwambia acha amwambie na sidhani kama atamwambia labda kama na yeye hazimtoshi kichwani mwake.Dada jibu unalo mwenyewe maana ndiye uliyelianza kwa kutafuta namba ya simu ya jamaa na kuanza kumpigia na kuanza mihemuko ya kwenye simu basi wewe mwenyewe ndiye utakayelimaliza hilo.
halafu watu wanaposema mimi nampenda mume wangu/mke wangu, na huku wanafanya vioja huo mupendo unatowekea wapi hapo?Yaani kuna upendo unaowaka kama moto na kuzimika kama moto pia??????????
Naomba tuwe realistic wakati mwingine.
Kila mtu anamlaumu huyu dada na kumwambia angefanya telesex na mmewe. Wajua kuna wanaume wengine hawataki joke na mkewe. Yeye anadhani kuheshimiwa kunakuja kwa kuwa serious, nyoko! Nani kakwambia.
Wangu alikuwa wa design hiyo, nikamkalia siku moja. Ni kamwambia, with time mambo yatajieleza yenyewe. With time utaheshimika tu kama baba wa nyumba hii. CHa muhimu tupendane, tuwe social n.k. Kwa kiasi kikubwa alijirekebisha sana.
Huyu dada ina wezekana ana dume la namna hiyo. Anatamani sana chating. Nadhani mnanielewa. Alidhani hilo lingemfaa. Kumbe anachokoza moto bila kujua. Huyu dada kwa mtazamo huo simwoni kama ni malaya. Malaya hana woga, angesonga mbele tu. Kwani wanaume na wanawake wangapi wanacheat bila hofu.
Sasa dada ni hivi,
Take easy. Hawezi kumwambia. Linda ndoa yako. Kuolewa ni heshima ati. Ukiachika unauza na heshima yako.
Pili, usimwambia kabisa mmeo. Utaweka doa kubwa sana. Hutaweza kumshawishi kama hukufanya. Angalia hata comment za humu wanavyokuhisi, sembuse mmeo. Baadae, mkikosana kidogo tu anakutukania hili hili. Ex wako hawezi hata kulianzisha. Hata akianzisha mruke mita mia. Mmeo atakuelewa na atahakikisha anafuatilia kwa karibu kuona kama kuna ukweli. Akili kichwani mama!!!!
1. je uhusiano na mume wake ukoje?
2. je ni kwa nini aliachana na huyo mwanaume? kulikuwa na ushawishi woowte na huyo mume wa sasa hadi kufikia kuachana
3. je huko kwa mumeo uko kwa mapenzi ya dhati au kuna kitu kilikusumuma?
ukijibu hapo tunaweza kukupa ushauri zaidi.