Ex anataka kuniharibia ndoa yangu-Ushauri

"Heri ya mwaka mpya dinah,
Mimi ni mwanamke wa miaka 30 nimeolewa na mume anaeni-treat vizuri sana. Hivi majuzi mume wangu alikua amesafiri nikapata namba ya mchumba wangu wa zamani ambaye ndio alikuwa bf wangu wa kwanza aliyenibikiri tukaanza kuongea kwenye simu tupo miji tofauti.


Nikawa so happy tukawa tunatombana kwenye simu nalegea kabisa lakini nikishamaliza kuongea nae najisikia vibaya sana kwanini namfanyia hivi mume wangu nikasema lazima ni-stop kuongea na huyu bf wa zamani.


Siku moja nikaamua kumwambia kuwa mimi nampenda mume wangu kwahiyo naomba tu-stop kuwasiliana. Alikasirika ile mbaya akasema atamwambia mume wangu kuwa nilikua nawasiliana nae sasa naogopa mume wangu ataniacha hata sijui nifanyaje dada dinah nampenda sana mume wangu naomba ushauri asante. "

Jawabu:Mwaka umechanganya kabla ya muda wake, heri ya mwaka mpya nawe pia. Asante sana kwa kuniandikia.


Sasa rafiki hata kama uliipata namba ya Ex kitu gani kilikufanya umsake na kuanzisha mawasiliano ukijuwa wazi kuwa penzi la kwanza huwa haliishi.....watapita wengi lakini wa kwanza daima atakuwa wa kwanza tu, ndio ulipojifunzia mambo, ndio ulipozijulia hisia za kupenda kiumbe wa jinsia tofauti na yako. Fanya yoote lakini stay away na 1st bf.


Kitendo ulichokifanya ni kibaya na kinahesabika kama "cheating" kwa vile ulipata hisia za kutamani, ulivuta hisia za alivyo huyo ex na ukajishikana na yeye akajipa mkono na hatimae wote mkafika mwisho wa safari......mkiwa simuni, mihemo, sauti za mahaba na kila kitu kilifanyika na kupenya kwenye akili zenu na mioyo yenu......shetani alikupitia eti??


Ofcoz mwanaume yeyote mjinga-mjinga lazima angekasirika, unalianzisha zali alafu sasa unamkatisha, kwani ulipoanza ulikuwa hujui kuwa unampenda mume wako?


Kama unaweza kufanya ngono via simu na Ex kwanini usingefanya hivyo na mume wako? Ni wazi kuwa unahisia fulani na Ex pia nahisi hiyo nambari yake ya simu ulikuwa nayo tangu zamani, ila ulikuwa unajaribu zali kuona itakuaje kukumbushiana enzi (hehehe just joking).....naelewa hilo na ndio maana huwa nashauri watu kukaa mbali na Ex hata kama waliachana kwa vita vya ghuba au kwa kuelewana.


Nini cha kufanya-Hakikisha huyo Ex hajui unapoishi na vilevile hajui mawasiliano mengine zaidi ya nambari yako ya simu. Kama nambari ya simu ya ndani (land line) basi waombe jamaa wa simu kublock nambari yake na ikiwa mlikuwa mnawasiliana via simu ya mkononi(mobile) unaweza kufanya hivyo mwenyewe (m-block) na kuanzia hapo cheza mbali (jitenge) naye au watu wengine walio karibu na ex wako huyo, ukifanikiwa hili utakuwa umeshinda na hakuta kuwa na sababu ya mume wako kujua nini kilitokea....hilo mosi.


Pili, ikiwa anajua mizunguuko ya mumeo na mawasiliano mengine kama emails basi hakikisha mume wako anajua nini kilitokea kutoka kwako moja kwa moja na sio kutoka sehemu ya tatu, kuwa wazi lakini usivuke mipaka ili kulinda hisia zake.


Tatu, Mueleze mumeo kuwa alipokuwa safarini, ex alianza kuwasiliana na wewe lakini hukuwa "comfortable" ukaamua kukatisha mawasiliano hayo kwa kumpiga marufuku huyo bwana (ex), na ulipofanya hivyo huyo bwana (ex) akakasirika na kusema kuwa atahakikisha ndoa yetu inavunjika.....alafu omba ushauri kwa mumeo kwa kusema mfanye nini?


Mumeo anaweza kukuhoji maswali ambayo baadhi ya wachangiaji au hata mimi mwenyewe nimekuhoji, hivyo hakikisha umejiandaa kutoa majibu ya kuridhisha vinginevyo anaweza kukushitukia kuwa wewe ndio ulianzisha zali.

Ndoa haiwezi kuvunjia kwa ku-cheat kwa simu japokuwa inaweza kusababisha mabishano makubwa, hasira baina yenu na hali ya kutokuaminiana ktk uhusiano wenu kwa kipindi fulani, lakini yote yatapita na hali itakuwa ya amani na furaha.......yote hayo yanategemeana wewe mwanamke utakavyojitahidi kurudisha Uaminifu ndani ya ndoa yenu.

Tafadhali jaribu kuheshimu ndoa yako ili kusaidia kurudisha thamani ya ndoa katka jamii.

Kila la kheri.

Comments

Anonymous said…
we dada acha utoto. mie nina gf wangu wa zamani nilimpenda ile mbaya lkn sijawahi kumtomba mpaka leo imepita miaka 10 sasa. yeye pia alishaolewa. cha msingi hua naongea nae kwenye simu tu. ukizidiwa ni bora utafute basha mwingine kuliko jamaa yako wa zamani utaharibu ndoa!


jaba
Anonymous said…
Dada umetaka kuharibu ndoa yako mwenyewe..Cha kufa... Dada umetaka kuharibu ndoa yako mwenyewe..
Cha kufanya ni kimmoja tuu, kwanza sitisha mawasiliano na huyo ex wako, pili jiandae kabisa kama atamwambia mume wako utajiteteaje..

Usijaribu kumridhisha huyo ex wako kwa kuendelea kuongea nae, sababu hata acha mpaka ahakikishe ndoa yako imeingia chumvi....
Anonymous said…
Dawa ya kukwepa hayo ni kuacha kuwasiliana na ex wako, hasa katika maswala ya kimapenzi. Mnaweza mkasalimiana, lakini akitaka kuweka hoja ya mvuto unakata simu. Kwasababu mara nyingi vitu vidogo vidogo kama hivyo, vinachangia kuleta migogoro katika ndoa zetu. Kwasababu mume wako atakapogundua lazima italeta walakini, sasa ili kukwepa huo walakini kwanini usijihami mapema. Huyo ex wako hatapungukiwa kitu wewe ukiharibikiwa, na huenda akakuacha kwenye mataa ukitupwa nje ya ndoa. Tuwe makini katika ndoa zetu ili tuwe katika amani, upendo na baraka. Na kama kweli unampenda mwenzako, tutajaribu sana kukwepa vile vitu ambavyo vinaweza kumuumiza mwenzako, kama hivyo. Kuna wakina mama wengi wamelalamika hapa kuhusu kugundua meseji za mapenzi kwenye simu za waume zao, na wengi wa akina mama mlilaani hilo, sasa isiwe mkuki kwa nguruwe.
mimi emu-three
Anonymous said…
kiherehere hicho!ulitafuta no yake ya nini?alafu kwa nini mfanye phone sex na huyo x wako kama kweli wewe unampenda mume wako na ni mwaminifu kwake?inamaana angekuwa karibu huyo x mngetombana kabisaaa walllah!
kama hutaki matatizo kwny ndoa yako dada lose hiyo no ya huyo x upesi sana..jiepushe na vishawishi na usijemtaja hata cku moja kwa mume wako huyo x,wengi hawapendi kujua mambo za past relationship wanakuwaga na wivu sana..unaweza letewa noma mbaya.. lily.ARS
Anonymous said…
Sikiza Dada

Kosa kubwa umefanya kuwasiliana naye. Mchunie na usiwasiliane naye tena pia naimani kabisa hatamwambia mumeo hana pa kuanzia na hata kama atasema jibu la mwisho ni lako wewe kwa mumeo.

Next time usirudie hilo kosa.
Anonymous said…
ukisikia mtoto mtukutu ndio wewe,sasa ulimtafuta wa nini,kisa kwa kuwa alikubikiri au,mimi ni mwanaume na siku zote wanaume huwa tunaamini kuwa mtu wako na jamaa yake aliyembikiri hawawezi achana na nisikufiche huwa inauma sana kwa mwanaume kugundua mkewe ana mawasiliano na aliyembikiri achilia mbali ex bf,kwanini nasema hivyo try to think umefungua simu ya mumeo kama ambavyo wanawake wengi mnapenda to take full control ya waume zenu na ukute msg za ex wa mumeo ambaye unamjua au una habari zake,utakwazika,sasa kwanini kama hilo kwako lipo hivyo kwanini umfanyie mumeo,fine umesema unampenda mumeo na ndio maana ukamwambia ex bf wako muache,nakushauri chukua hatua ya msingi badili number yako na yauwe hayo mawasiliano kama kweli unaitaka ndoa yako idumu,unajua natatizika ilikuwaje mpaka ufikie kufanya telesex na ex bf wako kama ulikuwa na nyege si ungempigia Mr wako.
fred said…
Mimi Naona ni vizuri kwamba umetambua kwamba ulikuwa unaisaliti ndoa yako. ni vizuri ukatishe huo uhusiano kabisa na usiongee naye tena. ila kuwa tayari kuface matokeo ya majaribio yaliyo kupata. nashindwa huyo ex akimwambia mume wako atakuwa atamueleza vipi. inafaa mumeo pia ajue incase aambiwe hilo ni tendo la wivu tu kwani alikataliwa ndio maama ameambiwa.

fred.
Anonymous said…
huyo kibaraka asikubabaishe,mwambie amueleze huyo mume wako,halafu mwambie kabisa kuwa nawe utamweleza mumeo kwamba aliposafiri huyo kibaraka alikuwa anakusumbua kwa vile umemtolea nje basi akakutishia kuwa atamwambia kwa kifupi ni hivyo tu TIT FOR TAT.
Anonymous said…
ushauri mie ni mdume,lakini ka kakutisha mtukane hasa,kwani ukilegea atakutia kweli ,lakini uhakika ni kwamba hawezi mwambia mumeo.
pili ,angalia nyendo zako,kwani naweza kukuita kuwa nyie ndo wale wanawake wasioridhika,ulimtafuta wa nini,na kuongea ujinga.kwa nini yeye hakukutafuta,waweza kuwa malaya wewe.
kata mawasiliano.
Anonymous said…
dada acha kutuficha hapa, possibly umefanya nae kiukweli, nina hakika unaakili timamu, so usijifanye mtoto who is your x by the way,mambo ya aibu kabisa haya, ww umeolewa huyo x wa nn?? yaani unakera ungekuwa my yf nikazipata ni bye bye nenda kwa huyohuyo x wako maana anaonekana ana maana kwako kuliko husband kwanini hukumpigia mmeo mkatombana kwenye simu? ndio kusema huyo x anajua kuliko husband? nina wasi umefanya nae live unatudanganya tu hapa hiyo ni dalili ya umalaya dada stop it immediately sio mambo hayo ni aibu kabisa,logically huyo x kwa maneno mengine angekuwa same city ungetombana nae tu live ikiwa ni kweli yupo mbali na mmetombana kwa simu. acha kabisa huo mchezo pls kama unampenda mmeo kama waona huyo x ni muhimu kuliko husband achana nae kaolewe na huyo x wako yaani umeniudhi sana nimeshindwa tu kukutukana.

lajk@ymail.com
Anonymous said…
Sweet heart hauna msimamo

Utaari na kwanza ushajivunjia wangu

Mwambie mumeo wewe mwenyewe asisikie toka kwa mtu sawa mumy kwani kutoka kwako ataelewa na sio unaanza kueleza tuu kama mtu ambaye ajafunzwa na shangazi yake..Tumia mbinu za kike mumy sawa kwa mahaba makubwa mazito na make sure that day you cook your self mambo ya break fast in bed alafu utaafutie faragha umueleze na kuomba msamaha. Uone mambo yatakuwa sawa

All the best

Dinnah keep it rollin darling

Mdau
Anonymous said…
Haya, aliyemtafuta mwenzie nani? kisa cha kumchokonoa hadi kupata namba yake ya simu ni nini kama sio una feelings naye, sema ukweli tu...huyo mumeo unamsingizia kuwa unampenda lakini mi naona bado upo kwa ex wako......


wala usiulize cha kufanya maana unakijua...sitisha mawasiliano ya aina yeyote ile naye!
Anonymous said…
shosti umelikoroga mwenyewe,kisa cha kumtafuta? mngesalimiana tu ningeelewa lakini haya ya kutombana kwenye simu mpaka unalegea? sikuelewi,fanya moja kati ya haya- 1.mwambie mumeo na omba msamaha kabla ya bomu kulipuka, 2.badili namba ya simu na usirudie tena, au endelea na upuuzi wako uachike.
Anonymous said…
Hahahaha sina mbavu dada unatombana kwenye simu??soooo fun.........hhhaha sio mchezo dada ila hongera sana and be carefully unaweza kuvunja ndoa yako bila kujijua dada maana sasa hivi mwanaume ukimfanyia ujinga tu anakupiga chini anaangalia kindergarten hahaha.....
Anonymous said…
Mhhhhhhhhhhh wewe dada umeleta changa moto mpya kabisa.Kumbe wake zetu na waume zetu wanafanya hayo wakati mwingine na hao ma-x b/g friends zao wa zamani?phone sex is the same as physical sex because what matters here is the passion of those who are attempting to sex in those two ways.So dada unahitaji kabisa utubu kuwa ulienda nje ya ndoa yako.Sina maana umwambie mumeo bali jutia hilo moyoni mwako na usirudie tena.

Licha ya kwamba umekiri kwamba unamfanyia vibaya mumeo unayempenda, lakini cha kushangaza ni kwamba mumeo amesafiri tu kidogo mara umeanza kuchombeza kwa aliyekubikiri. kwa maana nyingine ni kwamba huyo jamaa angekuwa karibu nawe hapo ungeingia naye mkenge?? Loo du tafadhali acha kabisa hata kama huyo jamaa atamwambia acha amwambie na sidhani kama atamwambia labda kama na yeye hazimtoshi kichwani mwake.Dada jibu unalo mwenyewe maana ndiye uliyelianza kwa kutafuta namba ya simu ya jamaa na kuanza kumpigia na kuanza mihemuko ya kwenye simu basi wewe mwenyewe ndiye utakayelimaliza hilo.

halafu watu wanaposema mimi nampenda mume wangu/mke wangu, na huku wanafanya vioja huo mupendo unatowekea wapi hapo?Yaani kuna upendo unaowaka kama moto na kuzimika kama moto pia??????????
Anonymous said…
HUFAI KWA CHUMVI WALA KWA SUKARI, KAMA KWELI UNAMPENDA MUME WAKO KAMA ULIVYODAI HUKUTAKIWA HATA KUFUATILIA MAWASILIANO NA x WAKO WA ZAMANI, BADALA YAKE UNAISALITI NDOA YAKO. ULIKUWA UNATAFUTA NINI HUKO WAKATI unaye mume umpendaye. Kinachokufaunya utulie ni kuogopa mumeo asikuone/asisikie vituko vyako au ni KUJIHESHIMU NA KUMUHESHIMU MUMEO UMPENDAE. HATA HOFU KWA MUUMBA WAKO HUNA? GEUKA MARA MOJA KAMA USEMACHO UNAMAANISHA VINGINEVYO UTAVUNA HAPAHAPA NA SI SIKU NYINGI!
Anonymous said…
mimi nilikua situation kama huyo dada wa juu nina x bf tulikua tunawasliana nilivokata mawasiliano akasema atamwambia my current bf nilikua naogopa kichizi ni kitishio tu huyo jamaa anataka muendelee kuwasiliana hawezi kumwambia mumeo cha muhimu ni kukata mwasiliano tu na huyo jamaa usikonde dada me nakufagilia wanaume mbona wenyewe kila siku wanacheat ila mwanamke akifanya kama yeye malaya,wala usimwambie mumeo kama umekata hayo mwasilianona x wako its not worth it.
Anonymous said…
Duu huy dada wa mwisho hana kabisa idea ndio hawa wasaliti na ni dalili ya umalaya. Tunaposema mwanamme na mwanamke kuwa na wanaume wa zaid ya mmoja ni umalaya hili halitaki tochi.Man anaweza kuwa na wanawake zaid ya mmoja. Hata hivo ktk ndoa ni aibut kusema eti umesex ktk line na x wako, stupid, ww ni talaka tu na kwenda mbele, laiti huyo x angekuwa karibu basi kitu na box si hasha ungempatia mtoto na yy, oyaa sema ukweli usharambwa, na huyo x wako hakutaki wala hakupendi kama anakupenda kweli basi angerespect ndoa yako hawa wanawake akili zao ziko chini sijui kwanini jamani maisha wao hawazinduki wao yule ambaye hakupendi wala kukujali basi ndio unamvulia chupi shitt inaudhi weee
Anonymous said…
Jamani,
Naomba tuwe realistic wakati mwingine.
Kila mtu anamlaumu huyu dada na kumwambia angefanya telesex na mmewe. Wajua kuna wanaume wengine hawataki joke na mkewe. Yeye anadhani kuheshimiwa kunakuja kwa kuwa serious, nyoko! Nani kakwambia.
Wangu alikuwa wa design hiyo, nikamkalia siku moja. Ni kamwambia, with time mambo yatajieleza yenyewe. With time utaheshimika tu kama baba wa nyumba hii. CHa muhimu tupendane, tuwe social n.k. Kwa kiasi kikubwa alijirekebisha sana.
Huyu dada ina wezekana ana dume la namna hiyo. Anatamani sana chating. Nadhani mnanielewa. Alidhani hilo lingemfaa. Kumbe anachokoza moto bila kujua. Huyu dada kwa mtazamo huo simwoni kama ni malaya. Malaya hana woga, angesonga mbele tu. Kwani wanaume na wanawake wangapi wanacheat bila hofu.
Sasa dada ni hivi,
Take easy. Hawezi kumwambia. Linda ndoa yako. Kuolewa ni heshima ati. Ukiachika unauza na heshima yako.
Pili, usimwambia kabisa mmeo. Utaweka doa kubwa sana. Hutaweza kumshawishi kama hukufanya. Angalia hata comment za humu wanavyokuhisi, sembuse mmeo. Baadae, mkikosana kidogo tu anakutukania hili hili. Ex wako hawezi hata kulianzisha. Hata akianzisha mruke mita mia. Mmeo atakuelewa na atahakikisha anafuatilia kwa karibu kuona kama kuna ukweli. Akili kichwani mama!!!!
Anonymous said…
si vyema kumlaumu huyu dada labda tumuulize mambo yafuatayo:-
1. je uhusiano na mume wake ukoje?
2. je ni kwa nini aliachana na huyo mwanaume? kulikuwa na ushawishi woowte na huyo mume wa sasa hadi kufikia kuachana
3. je huko kwa mumeo uko kwa mapenzi ya dhati au kuna kitu kilikusumuma?

ukijibu hapo tunaweza kukupa ushauri zaidi.