Nilipokuwa binti mkubwa nikawa naambiwa kuwa usipofanya mzoenzi ya kukata kiuno utakuja kupata taabu pale nitakapo olewa ikiwana maana kwamba unazungusha kiuno kwa ajili ya bwana.
Lakani mimi leo nawapa "basic" ya mauno sio kwa ajili ya kuwanufaisha wanaume zenu bali kuwasaidia ninyi kufurahia wakati wa kufanya mapenzi/ngono.
Kwanza anza na kulizoesha tumbolako kabla hujahamia kiunoni au kwenye hips. Sote tunatambua kuwa tumbo ni moja ya sehemu inavutia kama ilivyo makalio, miguu n.k. hasa kama tumbo hilo ni kama langu (dogo )hahahaha.
Haya tuanze zoezi basi ili usije shitua utumbona makorokoro mengine pale utakapo kurupuka na kuanza kuzunguusha kiuno chako.
1-Simama wima(ukiwa uchi mbele ya kioo ndio it'll work better), weka mikono yako hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele (litunishe) baki hivyo kwa muda kisha lirudishe kwa ndani na ubaki tena hivyo kwa muda. Rudia kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo na kumbuka kubana pumzi huku mdomo ukiwa wazi (itasaidia kukaza misuli ya tumbo pia), kubadilisha mirindimo (polepole, haraka, chap-chap, kugandisha n.k) mpaka utakapo hizi tumbo lako linatetema/tikisika (yaani vibrating).
Msingi wa kukata kiuno
Kama nilivyosema awali, simama wima najishike kiunoni(kuhu na huku) kisha peleka sehemu ya kiuno ya kulia upande wa kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbele uwezavyo(nina maana ile pelvis tu sio tumbo na kila kitu) alafu baada ya hapo peleke sehemu yako ya kiuno ya kushoto-kushoto, kisha peleka seheumu yako ya mbele nyuma hali itakayofanya matako yako yabinuke/jitokeze kwa nyuma.....nyoosha magoti kisha rudi kulia(ulipoanzia).
Fuata hatua hizo kwa mara nyingine tena ambazo ni simama wima-kulia-mbele-kushoto-nyuma kulia x 20 na kuendelea inategemea zaidi na bidii yako.
Baada ya kuzoea hatua hizo hapo ndio unapotakiwa ku-create movements na mirindimo yako kivyako. Mfano lala chali, kifudifudi(lalia tumbo), ubavu, chutama, piga magoti n.k kisha nenda kulia-mbele-kushoto-nyuma-kulia mpaka kiuno kizoee......hey alafu usisahau ukiwa ndani ya "game" kukilazimisha mpaka kitakapo kubali/zoea.
Kidokezo: Zoezi zuri la kukata kino ni kulala kifudifudi(kulalia tumbo) kisha kukizunguusha (hapa usipokuwa mwangalifu unaweza ku-cum via kisimi kwa vile unatua unakisugua kiaina sio mbaya ni njia moja wapo ya kujipunguzia stress sio hahahahaha).
Haya Zeze endeleza somo bidada.
Nikirudi nitakueleza tofauti za ukati kiuno na faida zake.
Comments
This is real "basic" towards the whole process of "viuno",nachopenda kujua hapa ni kwamba,hivi haiwezekani kupractise hii kitu wakati wa sex pekee?maana kwa mtazamo wangu naona inakuwa ngumu,kufanya hilo zoezi,kwa nyakati tofauti!
kama kuna uwezekano ungetupatia tips wakati wa tendo lenyewe la ngono!by the way,thax for ur efforts!
Its blue monday nini kama wasemavyo watumia lugha ya malkia?
Inamaani Dinah hilo zoezi la kukata kiuno ni kwa ajili ya mabinti tu.Mbona wakina kaka hujatuambie tufanyeje...aaahaa
Nitarudi tena.natumaini nitakutana na majibu na zeze vip ndio kalala mbele?
Kulifanya zoezi hilo kwa nyakati tofauti litakusaidia kuzoesha maungo yako, huitaji saa nzima unaweza ukatumia dk chache tu kila siku.....mfano ukiwa unakoga(oga) au wakati wa kufanya mazoezi yako ya kawaida ya viungo n.k.
Ktk siku zijazo nitaelezea au kutoa "tips" wakatiwa tendo lenyewe...karibu sana na asante kwa ushirikiano wako.
Well wanaume mnaweza kujifunza pia lakini ukatikaji wa wanaume wakati wa kufanya mapenzi ni tofauti kidogo na sisi wanawake.
Mwanaume ukijizunguusha mwanamke anahisi uume unakwenda O (mzunguuko 4 u) lakini mwanamke anapokata kiuno mwanaume unahisi kama vile uume unabanwa na kuachiwa.
By the path: Ukataji wa kiuno wa kwenyekufanya mapenzi ni tofauti na ule wa kucheza......kuna mengi ya kujifunza ei? hahahahhaa
Karibuni.
Nimepita ile kizushi kukusabahi.Sijui jana umefanya mazoezi sana...ya kukatika ndio maana umechelewa kuamka...tee tee
Usijali pamoja
mfano wewe unaejifunza kukata kiuno sasa, unapofanya mapenzi jaribu mikao kama kifo cha mende wewe chini,ubavu yeye nyuma/mbele, vile vile mkao wa L ndio bomba zaidi....
nenda taratibu na zingatia mazoezi ya kukata kiuno kila siku na u'll be ok.
asante kwa ushirikiano.
Kumbuka kuwa kuna mikao mingine ni vigumu sana ku-move, hivyo ktk ikiwa uko-able kufanya hivyo.
pia Anony wa 7 dk 9 nashukuru kwa ushirikiano wako zeze karudi hapa na somo lake ngoja niliweke.