Kukata kiuno...."basic"


Nakumbuka nilipokuwa mdogo kabla hata sijaanza shule kila jioni tulikuwa tukikusanywa nakuimbiwa nyimbo fulani za Mwinamila na kulazimika kukata viuno, usipokata kiuno hakuna kuadithiwa hadithi usiku chini ya mbala mwezi (aah utoto raha sana).

Nilipokuwa binti mkubwa nikawa naambiwa kuwa usipofanya mzoenzi ya kukata kiuno utakuja kupata taabu pale nitakapo olewa ikiwana maana kwamba unazungusha kiuno kwa ajili ya bwana.

Lakani mimi leo nawapa "basic" ya mauno sio kwa ajili ya kuwanufaisha wanaume zenu bali kuwasaidia ninyi kufurahia wakati wa kufanya mapenzi/ngono.


Kwanza anza na kulizoesha tumbolako kabla hujahamia kiunoni au kwenye hips. Sote tunatambua kuwa tumbo ni moja ya sehemu inavutia kama ilivyo makalio, miguu n.k. hasa kama tumbo hilo ni kama langu (dogo )hahahaha.



Haya tuanze zoezi basi ili usije shitua utumbona makorokoro mengine pale utakapo kurupuka na kuanza kuzunguusha kiuno chako.



1-Simama wima(ukiwa uchi mbele ya kioo ndio it'll work better), weka mikono yako hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele (litunishe) baki hivyo kwa muda kisha lirudishe kwa ndani na ubaki tena hivyo kwa muda. Rudia kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo na kumbuka kubana pumzi huku mdomo ukiwa wazi (itasaidia kukaza misuli ya tumbo pia), kubadilisha mirindimo (polepole, haraka, chap-chap, kugandisha n.k) mpaka utakapo hizi tumbo lako linatetema/tikisika (yaani vibrating).

Msingi wa kukata kiuno

Kama nilivyosema awali, simama wima najishike kiunoni(kuhu na huku) kisha peleka sehemu ya kiuno ya kulia upande wa kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbele uwezavyo(nina maana ile pelvis tu sio tumbo na kila kitu) alafu baada ya hapo peleke sehemu yako ya kiuno ya kushoto-kushoto, kisha peleka seheumu yako ya mbele nyuma hali itakayofanya matako yako yabinuke/jitokeze kwa nyuma.....nyoosha magoti kisha rudi kulia(ulipoanzia).



Fuata hatua hizo kwa mara nyingine tena ambazo ni simama wima-kulia-mbele-kushoto-nyuma kulia x 20 na kuendelea inategemea zaidi na bidii yako.



Baada ya kuzoea hatua hizo hapo ndio unapotakiwa ku-create movements na mirindimo yako kivyako. Mfano lala chali, kifudifudi(lalia tumbo), ubavu, chutama, piga magoti n.k kisha nenda kulia-mbele-kushoto-nyuma-kulia mpaka kiuno kizoee......hey alafu usisahau ukiwa ndani ya "game" kukilazimisha mpaka kitakapo kubali/zoea.


Kidokezo: Zoezi zuri la kukata kino ni kulala kifudifudi(kulalia tumbo) kisha kukizunguusha (hapa usipokuwa mwangalifu unaweza ku-cum via kisimi kwa vile unatua unakisugua kiaina sio mbaya ni njia moja wapo ya kujipunguzia stress sio hahahahaha).


Haya Zeze endeleza somo bidada.


Nikirudi nitakueleza tofauti za ukati kiuno na faida zake.

Comments

Anonymous said…
hi!
This is real "basic" towards the whole process of "viuno",nachopenda kujua hapa ni kwamba,hivi haiwezekani kupractise hii kitu wakati wa sex pekee?maana kwa mtazamo wangu naona inakuwa ngumu,kufanya hilo zoezi,kwa nyakati tofauti!
kama kuna uwezekano ungetupatia tips wakati wa tendo lenyewe la ngono!by the way,thax for ur efforts!
Nimepita kukusabahi.

Its blue monday nini kama wasemavyo watumia lugha ya malkia?

Inamaani Dinah hilo zoezi la kukata kiuno ni kwa ajili ya mabinti tu.Mbona wakina kaka hujatuambie tufanyeje...aaahaa

Nitarudi tena.natumaini nitakutana na majibu na zeze vip ndio kalala mbele?
KKMie said…
Anony wa 10:06 hello, unaweza kulifanya wakati wa ngono lakini kutokana na uzoefu wangu ni wazi kuwa utasumbuka na hautokuwa "comfy" kufurahia tendo lenyewe.

Kulifanya zoezi hilo kwa nyakati tofauti litakusaidia kuzoesha maungo yako, huitaji saa nzima unaweza ukatumia dk chache tu kila siku.....mfano ukiwa unakoga(oga) au wakati wa kufanya mazoezi yako ya kawaida ya viungo n.k.

Ktk siku zijazo nitaelezea au kutoa "tips" wakatiwa tendo lenyewe...karibu sana na asante kwa ushirikiano wako.
KKMie said…
Ed nashukuru kwa kupita hapa leo hii, kweli leo ni buluu Mandei.

Well wanaume mnaweza kujifunza pia lakini ukatikaji wa wanaume wakati wa kufanya mapenzi ni tofauti kidogo na sisi wanawake.

Mwanaume ukijizunguusha mwanamke anahisi uume unakwenda O (mzunguuko 4 u) lakini mwanamke anapokata kiuno mwanaume unahisi kama vile uume unabanwa na kuachiwa.

By the path: Ukataji wa kiuno wa kwenyekufanya mapenzi ni tofauti na ule wa kucheza......kuna mengi ya kujifunza ei? hahahahhaa

Karibuni.
Anonymous said…
best tupe hilo somo la viuno vyema mana wengine ubunifu zero wa kukata viuno hasa me, mr akizidisha mapigo nashindwa kabisa kukata kiuno nalegea hoi,nipe mbinu!
Anonymous said…
mi ndo nilikuwa nataka kujua hivyo kuwa wanaume na wao wajue kukatika manake saa ingine haviendani mara imechomoka
Anonymous said…
apo juu kuchomoka si inategemea labda kama ana kabamia je...ni mawazo tu, lakini kama anavosema dinah wanaume hatuna formula maalum ya kukatika kiuno, kazi yetu ni moja tu,,,,,
haya dinna nishapost somo langu hapo chini wakopie wanawane uwawekee kwenye ukurasa waanze darsa
Dinah upoooooooooo?

Nimepita ile kizushi kukusabahi.Sijui jana umefanya mazoezi sana...ya kukatika ndio maana umechelewa kuamka...tee tee

Usijali pamoja
Anonymous said…
Loh dina kweli ww ni mwalimu wa walimu aminia mama yake maana sisi wengine hatujaenda unyagoni inabidi nikutafute mama ili unipe somo nisije nikaachwa kwenye mataa
Anonymous said…
endelea tu na somo dada kwani hujui kilichomkimbiza zeze!!!wachaga na viuno wapi na wapi kwa ufupi hawajui ndiyo maana kaingia mitini,hajui pa kuanzia.
KKMie said…
ANony wa 2 dk 50; ukatikaji wa kiuno unategemea pia na mkao mnaoutumia kwa wakati huo na mwendo/ufanyaji wa mpenzi wako.

mfano wewe unaejifunza kukata kiuno sasa, unapofanya mapenzi jaribu mikao kama kifo cha mende wewe chini,ubavu yeye nyuma/mbele, vile vile mkao wa L ndio bomba zaidi....

nenda taratibu na zingatia mazoezi ya kukata kiuno kila siku na u'll be ok.

asante kwa ushirikiano.
KKMie said…
Anony wa 7 dk 27; kuchomoka kunategemea zaidi na mkao mnaoutumia kwani kitendo cha kukata kiuno mara zote hubana uume.

Kumbuka kuwa kuna mikao mingine ni vigumu sana ku-move, hivyo ktk ikiwa uko-able kufanya hivyo.
KKMie said…
anony 4 dk 51 karibu sana na asante kwa ushirikiano wako.....hahahahha aachwi mtu mwaka huu kwa vile hajui ngono bali kwa sababu nyingine.

pia Anony wa 7 dk 9 nashukuru kwa ushirikiano wako zeze karudi hapa na somo lake ngoja niliweke.
Anonymous said…
Kweli mkatiko unategemea na style mnayofanya, kwani hata mie jamaa akinilalia sana huwa nashindwa kukatika.
Anonymous said…
Dina, nimeipenda blog yako sana........... tuwasiliane na mimi kwa 0718 563311