Nilipokuwa na kuwa, yaani matiti yalipoanza kujitokeza (acha kile kipindi cha moja la kushoto kwanza kisha linapotea) nazungumzia ule muda yote yamejitokeza.
Bibi yangu alikuwa akinifundisha jinsi ya kulala ili matiti yasisambae (yasibadilishe muelekeo) pia alikuwa na tabia ya kuniamsha alfajiri ili nianze kufanya mazoezi ya matiti kitu ambacho kilikuwa kikiniudhi sana, kwamba wenzangu wamelala mimi ndio naamshwa kisha eti ni binti mwenye matiti.
Utagundua kuwa swala la mazoezi halijaanza karne hii bali lilianza miaka mingi sana ktk makabila fulani kwambailikuwa sehemu yakumuandaa mwanamke kukaa vema kwa ajili ya mwanaume atakae muoa..........ila mimi nitachangia nani ili kujiweka sawa ili kujiamni kama mwanamke (ikiwa matiti yamelala tayari basi msaidie mtoto wako kwa kike au mdogo wako sio).
Matiti si kiungo muhimu sana ktk mwili wa mwanamke, matiti ni chakula bora cha mtoto na hukufanya uwe karibu na mwanao, matiti hukupa wewe mwanamke raha fulani hivi yanapochezewa na mpenzi wako, matiti ni kivutio kikubwa kwa wanaume wengi na mtiti hayo kwa wanawake wengi ni kipele muhimu cha kunyegesha ikiwa tu yatanyonywa na kulambwa vyema......sio dume wajilambia tu ka vile walamba chikilimu (I ce cream 4 u) utamuudhi mkeo/mpenzio au atakudharau!
Kuna jinsi ya kusafisha matiti, kunajinsi ya kuyatunza matiti ili yasilale kabla ya muda wake na bila kusahau matiti yanahitaji tizi (mazoezi).
Usicheze mbali naja na maelezo mengine kukamilisha somo hili.
Asante kwa ushirikiano wako.
Comments
Hongera sana!
Karibu tena.
kazii njema
Karibu sana.
Hey asante kwa ushirikiano wako!
Siku njema na wewe pia.
Naomba ushauri wako
Keesha!!
Kuwa sexy hakuna uhusiano na umbile/ukubwa/udogo wa mwili wako bali ni kujiamini na vilevile kujulia aina ya mavazi yanaoyokwenda na jinsi ulivyoumbwa.
Nasikitika kusema kuwa "bones structure" yako ndio iko hivyo na hakuna jinsi ya kuirekebisa nikiwa na maana kunenepesha juu.
Ila nafurahi kusema kuwa unaweza kupunguza ukubwa wa makalio na mapaja (sio kupunguza in such) bali kukaza misuli ya sehemu hiyo zaidi kwa kufanya hivyo kutafanya maeneo hayo kuonekana ya kawaida....kwamba hayazidi sana na wakati huohuo kubaki na umbo ulilo nalo "8".
Kabla sijakupa maelezo ya mazoezi husika napenda kujua size ya mwili wako kwa ujumla..........mfano juu size8 na chini 12 au juu 14 na chini 16 n.k.
Asante kwa kupenda bulogu hii. karibu sana.
Mi ninavaa small juu na chini ni size 12. Lakini nitajitaidi kupunguza chini.
Nashukuru na kazi njema
keesha
Pamoja! Endelea kunitembelea.
sasa huyu dada nahisi anaile figure ya pear jinsi alivyooelezea.Mimi binafsi nina hilo figure wanasema namba nane lakini siko kama huyo dada.Mi ni size 12.Ukipata wasaaa tupe somo la haya mafigure .Asante .
Pear ni umbile la kizungu wanakuwa kama namba 8 lakini hawana makalio sio?
Najua umbo namba tisa, namba moja, namba sita, namba tano, tatu pia mmmh wanawake tuna tabu ei? hahahahha
Karibu tena na asante kwa ushirikiano wako.