Utunzaji wa Matiti


Nilipokuwa na kuwa, yaani matiti yalipoanza kujitokeza (acha kile kipindi cha moja la kushoto kwanza kisha linapotea) nazungumzia ule muda yote yamejitokeza.


Bibi yangu alikuwa akinifundisha jinsi ya kulala ili matiti yasisambae (yasibadilishe muelekeo) pia alikuwa na tabia ya kuniamsha alfajiri ili nianze kufanya mazoezi ya matiti kitu ambacho kilikuwa kikiniudhi sana, kwamba wenzangu wamelala mimi ndio naamshwa kisha eti ni binti mwenye matiti.


Utagundua kuwa swala la mazoezi halijaanza karne hii bali lilianza miaka mingi sana ktk makabila fulani kwambailikuwa sehemu yakumuandaa mwanamke kukaa vema kwa ajili ya mwanaume atakae muoa..........ila mimi nitachangia nani ili kujiweka sawa ili kujiamni kama mwanamke (ikiwa matiti yamelala tayari basi msaidie mtoto wako kwa kike au mdogo wako sio).


Matiti si kiungo muhimu sana ktk mwili wa mwanamke, matiti ni chakula bora cha mtoto na hukufanya uwe karibu na mwanao, matiti hukupa wewe mwanamke raha fulani hivi yanapochezewa na mpenzi wako, matiti ni kivutio kikubwa kwa wanaume wengi na mtiti hayo kwa wanawake wengi ni kipele muhimu cha kunyegesha ikiwa tu yatanyonywa na kulambwa vyema......sio dume wajilambia tu ka vile walamba chikilimu (I ce cream 4 u) utamuudhi mkeo/mpenzio au atakudharau!


Kuna jinsi ya kusafisha matiti, kunajinsi ya kuyatunza matiti ili yasilale kabla ya muda wake na bila kusahau matiti yanahitaji tizi (mazoezi).


Usicheze mbali naja na maelezo mengine kukamilisha somo hili.


Asante kwa ushirikiano wako.

Comments

Anonymous said…
Hivi wewe Dinah...ous unaishi hapa Tz au nje? Kazi zako bomba!
Evarist Chahali said…
Nilikuwa sijawahi kutembelea "kijiwe" chako.Mhh,kinatoa elimu tosha.Siku zote mie nimekuwa na mtazamo kuwa kuzungumzia "mambo flani" sio matusi,kwenda kinyume na "mila zetu" (as if ktk hizo mila hakuna yanayokatazwa kuongewa hadharani) au kukosa maadili.Ni kama "unafiki" wa hawa wa watu wa Magharibi ambao neno kama "fuck" siku zote linaambatana na kificho (f**k) kwenye maandishi,na kama kwenye audio au visual basi inakuwa bleep ilhali neno hilo ni popular kuliko "God" na liko midomoni mwa watu hawa kila dakika.It's high time now pazia linafunguka....you've shown the way

Hongera sana!
KKMie said…
Kibiriti asante sana kwa ushirikiano wako na kwa kuyambua kuwa kazi zangi ni bomba, mimi niko ndani ya Bongo.

Karibu tena.
Anonymous said…
tupo pamoja dinah tunasubiri mambo ya matiti yani mpndwa unatupa mambo tusiyo yajua mi nakufurahia sana maana maziwa yakikaa vizuri hata nguo zinakupendeza au sio?
kazii njema
KKMie said…
Evarist asante!Nashukuru sana kwa ushirikiano wako........karibu tena.
Simon Kitururu said…
@Dinah!Kumbe Matiti yana mazoezi!Duh!Kuna mambo najifanya nayajua lkini unanipa shule kila siku!Kazi na siku njema Dinah!Mdau wako Simon hapa
KKMie said…
Anony wa saa 3:37 nashukuru sana kwa ushirikiano wako, pia nafurahi kufahamu kuwa unapata moja-mbili kutoka Dinahicious....endelea kuwa nami ili tumalizie somo.

Karibu sana.
KKMie said…
Simon sehemu zote zinazohusisha ngono zinahitaji mazoezi. Unakumbuka ile methali ya "usione vinaelea(vizuri/vya vutia) ujue vimeudwa"?

Hey asante kwa ushirikiano wako!

Siku njema na wewe pia.
keesha said…
habari dada dinah. kwanza nimeipenda blog yako yani we acha tu.Lakini mi na swali nataka nikuulize. Kwanza kabisa mi kabila langu ni mhaya tatizo langu umba langu silioni kama ni sexy siunajua tena maana mimi nina mapaja manene pamoja na matako lakini uku juu ni mdogo nina mikono midogo na maziwa madogo pamoja na kiuno kidogo. Sasa nigependa kuwa na mikoni minene kidogo je unajua ni mazoezi gani nifanyeje ili niwe mkubwa uku juu?
Naomba ushauri wako
Keesha!!
KKMie said…
Keisha!

Kuwa sexy hakuna uhusiano na umbile/ukubwa/udogo wa mwili wako bali ni kujiamini na vilevile kujulia aina ya mavazi yanaoyokwenda na jinsi ulivyoumbwa.

Nasikitika kusema kuwa "bones structure" yako ndio iko hivyo na hakuna jinsi ya kuirekebisa nikiwa na maana kunenepesha juu.

Ila nafurahi kusema kuwa unaweza kupunguza ukubwa wa makalio na mapaja (sio kupunguza in such) bali kukaza misuli ya sehemu hiyo zaidi kwa kufanya hivyo kutafanya maeneo hayo kuonekana ya kawaida....kwamba hayazidi sana na wakati huohuo kubaki na umbo ulilo nalo "8".

Kabla sijakupa maelezo ya mazoezi husika napenda kujua size ya mwili wako kwa ujumla..........mfano juu size8 na chini 12 au juu 14 na chini 16 n.k.

Asante kwa kupenda bulogu hii. karibu sana.
keesha said…
Asante dada dinah kwa ushauri wako.
Mi ninavaa small juu na chini ni size 12. Lakini nitajitaidi kupunguza chini.
Nashukuru na kazi njema
keesha
KKMie said…
Usijali Keesha ikiwa hilo ndilo unanolitaka nitaweka topic maalumu kwa ajili ya kukusaidia kupunguza ukubwa sehemu ya chini ya mwili wako, lakini kumbuka kuwa "shape" yako haitobadilika bali utapungua kiasi na kuwa juu size 8 chini 10 (kama mimi hahahaha).

Pamoja! Endelea kunitembelea.
Anonymous said…
hie ,asante kwa mafunzo kweli tunaelimika sio siri.Lakini mie nina swali ,hivi umbo namba nane sio mtu anakuwa amejaza juu ,kiuno chembamba na chini amejaza pia au sio ndo maana ikasemwa nane!
sasa huyu dada nahisi anaile figure ya pear jinsi alivyooelezea.Mimi binafsi nina hilo figure wanasema namba nane lakini siko kama huyo dada.Mi ni size 12.Ukipata wasaaa tupe somo la haya mafigure .Asante .
KKMie said…
Eti eeh anony wa 02:31.....basi mimi ukiwa juu mdogo, kiuno chembemba ksiha umejazia chini ndio huwa nadhani ni namba nane........ukiiangalia 8 vema juu ni ndogo na chini kubwa au kama ulisoma darasa la kwanza miaka ya mwishoni mwa 80s tulikuwa tukifundishwa kuandika nane kwa kuweka sufuri ndogo juu na kubwa kiasi chini sio hahahahhaa asante kwa ufafanuzi wako na karibu sana.

Pear ni umbile la kizungu wanakuwa kama namba 8 lakini hawana makalio sio?

Najua umbo namba tisa, namba moja, namba sita, namba tano, tatu pia mmmh wanawake tuna tabu ei? hahahahha

Karibu tena na asante kwa ushirikiano wako.
Anonymous said…
Dina blog yako nzuri sana kwa sisi wanawake nakupa hongera sana,kwa sisi wenye maziwa makubwa na matako makubwa hiyo ni number ngapi?maana nikiangalia 5 siyo, 9 siyo sasa sijui ni number ngapi.
KKMie said…
hahahaha Betty hapo wala sijui ni namba gani, inawezekana ipo ila inaandikwa ki-hindi au kichina kama sio kiarabu.....(wanaume ndio watunzi wa namba hizi) ngoja nitauliza washikaji wangu wa kiume wanipe jawabu kisha nitakuletea.