Habari za leo?
Ni kwamba kikompyuta changu kimegoma ku-start kwa muda sasa. Nimejaribu kutumia ufundi wangu imeshindikana so nimeipeleka kwa fundi.
Sasa inanibidi nitumie simu ambayo inanisumbua sana kwenye ku type na inabidi nifanye editing kutokana na kuchapia in which sina muda na hii inafanya nishindwe ku publish kama nipendavyo.
Kama ulivyoshuhudia mechapia vya kutosha kwenye post mbili zilizopita is just too much....naomba radhi na tafadhali endelea kuwa mvumilivu.
Nitajitahidi kujibu swali moja wiki hii halafu nitatoa somo ambalo mtalifurahia kama wapenzi.
Usikose....na ahsante kwa kuachana blog hii.
Comments
kitapona na utaendelea kutupatia kila kilicho chema,
inshalaah