Nifanye nini Mke wangu awe Msafi!

Dada Dinah vipi mambo. Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 25, nimeoa na nina mtoto Mmoja.

Mke wangu ananiboa yaani ni mchafu aoshi uke akikojoa, akioga asubuhi mpaka asubuhi. Nikimwambia hanielewi yaani mpaka nafikiria kumuacha hebu naomba ushauri wako dada.

*******

Dinah anasema: Poa!


Swali lako ka' la kutunga vile. Si umshukuru Mungu angalau anaoga mara moja kwa siku? Watu wanaoga mara Moja kwa wiki siku nyingine wafanya ku-wash/refresh/jifuta kutokana na shida ya Maji.


Hiyo tabia mkeo ameianza hivi karibuni au alikuwa hivyo kabla hamjafunga ndoa? Maana kwenye kila ndoa inayofungwa Binti hupewa "darasa" na usafi ni moja ya somo linalosisitizwa au ilikuwa ndoa ya Mkeka?!!


Wataka kumuacha mkeo na kuumiza hisia za mtoto wako kwa sababu/tabia ambayo inarekebishika.


Kuna tofauti ya kuongea na mtu(upendo na heshima) na kumwambia (dharau na command).....watu wengi huchanganya au hawajui tofauti yake.


Kutokana na maelezo yako na jinsi ulivyoandika inaonyesha wazi huna mapenzi ya dhati kwake, huna heshima kwake na unamchukulia kama "chombo" au kitu.


Nikionacho hapa ni kuwa Ndoa yenu inakosa Nguzo muhimu 4 za uhusiano wa Kimapenzi/Ndoa.

1-Mawasiliano: Zungumza nae kwa mapenzi, muelekeze na kumfundisha (labda hajui) faida ya usafi, muonyeshe "topic ya jinsi ya kujiswafi" ipo kwenye topics za 2007.


2-Ushirikiano: Kila unapoenda kuonga nenda nae na muogeshane so kama unaoga x3 kwa siku nae atakuwa anaoga mara tatu kwasababu unaoga nae.


3-Usaidizi:Msaidie shughuli za kulea na nyingine za ndani au mtafutie msaidizi, sometimes mtoto anaweza mfanya mama ajisahau(akose muda/kuchoka).


Kwasababu yupo nyumbani na wewe unakwenda kazini, haina maana yeye wa nyumbani hafanyi kazi au hachoki. Wote mnafanya kazi katika Mazingira tofauti na kazi zote zinachosha....pengine ya kulea mtoto inachosha zaidi.

4-Heshima: Mheshimu kama yeye na ukubali kuwa yupo tofauti, kalelewa tofauti na mazingira aliokulia na tamaduni pia ni tofauti hivyo m-treat ipasavyo bila dharau au kum-bully kwa vile tu ni mwanamke(Mfumo Dume).


Kila la kheri.
Mapendo tele kwako...

Comments

Kirungu said…
Duh hio kali sasa si umwambie tu? Na inamaana hukumchunguza kama yupo hivo kabla ya kumuoa?...Sikia ili asijisikie vibaya uwe unamsifia kua akiosha hua anaharufu unaipenda basi ataosha huo uke kama anaosha vyombo heheheh,,,wake zetu wanapenda kusifiwa sana.Nakupa hio from experience mie nilikua namsifia tu daaah bby napenda usafi wako tu yaaani hunipi kuma ninyonye bila kuosha, yaani nikimwaga tu unaenda kuosha me likeyy basi utaona anavyojituma kuosha mpk utamwambia mammy hivyo sio vyombo sasa to much kuosha hahhahha.Kila lakeri mdau
Kirungu
Anonymous said…
dada dinah, nimekua nikosma comment zako nyingi na nyingi nimekua nikizikubali kwa 100% lakini hili la kujiswafi mmhhh, mimi mwenyewe limenikuta, yaani ilikua mkukutana unaweza kudhani umeingia kwenye dumu la maziwa mtindi, nilionge\ nae kiurafuiki sana nikamuonesha ni vipi sifurahishwi na hio hali, na kwa sababu nilikua nimeshapitia hii blog yako, nilimweleza anachotakiwa kufanya, lakini badalaya yake hakufanya na kuniambia "kama umepata mwingine wewe sema sio kuanza kuseme hufurahii hii hali", japo nilichukia lakini nilikaa kimya, siku moja nikaweka modem kwenye laptop yake nikafungua hii blog yako na kufungua ile topic ya kujiswafi tukasoma nae, lakini jibu likawa "hivi ndivyo nilivyo", lakini ukweli ni kwamba siku niliogoma kabisa nikamwambia kama huwezi kujisafisha wacha nikusafishe mimi akagoma, lakini akaenda kuoga aliporudi hali ilikua tofauti sana, ilikua safi mpaka nikashangaa, lakini bado haikua amejifunza kwani bado analeta ubishi kiasi cha kunifanya nichukie
Kirungu said…
Usafi muhimu sana bana sio unalabua kuma unakutana kama na ugali akuuu, mdau hapo chini umenikuna eti kama umeingia dumu la mtindi hahahhhah..Mdau usichoke kumwelekeza taratibu ataelewa tu.Mbembeleze mtoe out mkaongee huko kimahaba mazito na kusifia ile siku aliposafisha ulivyo injoi kuitomba.Hiyo itamfanya ajue una enjoy hali ya usafi.Au una mdudu mkubwa na hujui kumuandaa mwenzio ashagundua tekniki ili uteleze asiumie anaaacha mtindi ule..lkn kama unajua kumuandaa haumiiii hana sababu ya kubisha