Pole na majukumu uliyonayo ya kutoa elimu, nimepata kusoma blog yako
kwa muda mrefu na kugundua tatizo langu nililonalo linaweza kupatiwa
ufumbuzi.
Mimi ni kijana wa miaka 21 hapo nyuma nilikuwa na mahusuano msichana mmoja kwa sasa siko nae, ameniacha kufatana na tatizo langu kuwa hapati raha ya kufanya mapenzi na mimi.
Tulipendana kwa dhati mpaka tukafikia
hatua ya kutambulishana kwa ndugu na jamaa. Uhusiano wetu huo ulikuwa
wa mwaka mmoja na nusu hatujawahi kukutana kimwili.
Juzi kati nilikuwa nimezidiwa nilimuomba mwenzangu kwa kumbembeleza na akukubali kufanya
mapenzi.
Tuliandaana vya kutosha na kila mmoja akiwa tayari kwa shughuli lakini cha ajabu ile naingiza Uume kuanza kusukuma(tako moja a.k.a one bata) tayari nimeshamwaga na kuchukua muda mrefu Uume kusimama.
Siku ya kwanza nilijihisi vibaya sana nikajua labda kanifanyia kitu lakini tatizo limekuwa likiendelea kwani tumefanya
mpenzi zaidi ya mara nne, tatizo ni hilohilo la tako moja napizi na
kitu kulegea kwa muda mrefu.
Naomba ushauri wa tatizo langu au nikukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi?
********
Dinah anasema: Marhaba, hujambo? Ahsante na shukurani kwa ushirikiano.
Swali lako ka' la kutunga vile eti....Msichana alikuacha kwa vile alikuwa hafurahii kufanya mapenzi na Uhusiano wenu ulikuwa wa mwaka na nusu bila kukutana kimwili....Really?
Nimekuwa nikidharau maswali mengi kutoka kwa wavulana wa umri kati ya miaka 20-22 kutokana maswali ya kitoto....(Natumia hili lako kufikisha ujumbe).
Ni vema kuwa karibu na Baba/Babu/Mjomba wako, mimi ni mwanamke na sijui mabadiliko anayopitia mwanaume kutoka balehe, anapoanza kufanya ngono mpaka miaka 25.
Kumbuka natoa maelezo yanayoegemea kwenye uzoefu wangu binafsi kama mwanamke.
Okay nichukulie ni human error ila sipendi kabisa kabisa kupotezewa muda au kupoteza muda wa mtu.
Logically hiyo hali sio tatizo nadhani ni kutokuwa na uzoefu au kutokujua namna ya kujizuia na kufurahia "safari" kwanza badala ya kukimbilia "mwisho wa safari".
Kiujumla kutokufanya Ngono kwa Muda mrefu inaweza pia kuchangia ila sio mara zote.
Katika umri wako nadhani vijana wengi wapo kwenye kutambua Ujisia wao kama wanaume....kitu kidogo kama kuona kitovu kinaweza kukufanya usimamishe....!
Ukiona Paja ndio ayee...ukiona Chupi ndio mama yangu! Sasa imagine kuona Uke na actually kuugusa....boom UMECHEKA(umepizi)!
Katika umri wa miaka 21 ni wazi kuwa Binti atakuwa teen au umri kama wako, hana uzoefu kivile.....maana kama angekuwa 24+(mostly aliefundwa) angejua namna ya kukusaidia ili uweze kusimamisha tena kwa ajili ya Mzunguuko wa pili n.k (hasa kama hajaridhika).
Soma topic hii hasa kwenye comments, nakumbuka kuna mbinu za kujizuia "kukojoa" haraka na kwa kuanzia hazihusishi mwili wa mwanamke bali mikono na akili yako....
http://dinahicious.blogspot.co.uk/2007/07/kupizi-haraka-aka-one-minutes-man.html?m=1
Pia jifunze mbinu nyingine za kumfikisha mpenzi wako kabla ya wewe kumuingilia.
Kila la kheri.
Mapendo tele kwako...
Comments