" Hello Dinah,
Tatizo ni kwamba nina girlfriend ambae alikuwa ni wa mchizi wangu wakaachana, baada ya muda mdada akawa ananizimia mimi sana sana alivyoshoboka mie nikatoka nae kingono.
Sasa naona dizaini mdada ananipenda na anataka uhusiano ila mchizi wangu hajui kama mimi nipo nae huyo dem, hapa nifanye nini?
Dinah anasema: Heyaa! Well sio kwamba umemuimba huyo Dem hivyo mimi sioni kama wewe una makosa, makosa ni ya huyo Dem ambae inaonyesha hakuheshimu urafiki kati yako wewe na ex wake ambae ni mchizi wako.
Pamoja na kusema hivyo haina maana kuwa Mchizi wako atakuwa cool akijua kuwa unatoka na Ex wake.
Kitu muhimu cha kuzingatia kabla rafiki yako hajajua ni hisia na mpango wako juu ya binti huyo. Je nawe unampenda? Je ukotayari kuanzisha uhusiano na kutetea penzi lenu?
Ikiwa jibu ni ndio kwa maswali hayo basi taratibu anza kutoka na binti huyo bila kutangaza kuwa ni mpenzi wako kwa kusema wala kuonyesha....Mchizi anaweza kukuuliza au akamuuliza ex wake kama ninyi ni pea.
Hilo likitokea tafuteni njia nzuri ya maelewano na kesi itakuwa imekwisha na hivyo mtakuwa huru na uhusiano wenu.
Ikiwa majibu ni hapana basi achana na huyo Binti na uendeleze urafiki na Mchizi wako.
Wachangiaji wengine wataongezea.
Kila la kheri!
------------------

Comments
nadahani haya ya msingi:
1.je wewe unampenda..i mean mnapendana wote wawili kwa dhani na sio kingono
2.jamaa yako hakumuoa huyo na walisha achana so sio issue sana kwani mwanamke yupo huru kupenda mtu yoyote...
3.kama mnapendana na hampo na marshi mengine then mtakuwa free
4.muulize mdada if jamaa akimuomba warudiane je atachagua nani?isije kuwa mdada bado anafeelings na jamaa...alafu mbele ya safari wakaja kumbushia...hii sio muhimu unaweza achana nayo
hahaha mdada huenda anachopata kwako mchizi hakumtimizia..ohooo
Gluv
Ila wewe jamaa unaonekana hujampenda huyo mdada kwa jinsi unavyoonyesha hapa.tafadhali kama hujampenda usimpotezee muda wake na kuendelea kumla tu wakati unajua hujampenda.
Sioni kama ni vibaya kujenga uhusiano naye maadamu mchizi wako kishamtema.Wewe mwambie huyo mchizi wako kuwa demu aliyekuwa wake anamnyemelea kuanzisha penzi nawe ufanyeje?Uone atakavyo-react.kama atakkuruhusu sawa na hata akikukatalia atakuwa anazuga tu maana alishamwacha.
Thanks
PENGINE HUYO JAMAANDIO AWE AMEMUACHA VINGINEVYO KAMA HUYO DADA NDIO KAMUACHA JAMAA ITAMUUA SANA NA ANAWEZA KUWEKA KISASI KIKUBWA DHIDI YENU HIVYO BASI TAFAKARI KWA KINA HASA CHANZO CHA KUACHANA NAYE KILIKUWA NININI NA NANI NDIO ALIMUACHA MWENZAKE