"Habari da Dinah? I hope wee mzima na unaendelea na shughuli nzito ya uelimishaji wa jamii. Am greatful topics zako nyingi zimenisaidia. Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 24, nina ujauzito wa miezi sita na nusu sasa.
Niliposhika mimba nilipata taabu ya kutapika na kushindwa kula kwa miezi kama 4 hivi. Mpenzi wangu alivumilia sana kwani nilimfanyia visa sana ingawa haikuwa makusudi.
Sasa shida ya kwanza ni kwamba anataka tufanye mapenzi lakini mimi nashindwa kwani uchafu umezidi kutoka na ni mwingi mno mpaka inakera, imefikia hatua navaa pantyliners kila siku.
Hii hali inanifanya nihisi kama vile mpenzi wangu hatosikia raha na mimi sipendi kuwa weti hivyo kwani nasikia kichefuchefu lakini wakati huohuo sitaki mpenzi wangu anaitelekeze.
Pili Sehemu zangu za siri zimebadilika rangi na kuwa nyeusi wakati rangi yangu ya ngozi ni lighter kiasi, pia nikinyoa natokwa na vipele vidogo vidogo, sasa sitaki mpenzi wangu anione nikiwa hivyo, je nitaondoaje vipele na kurudisha rangi yangu ya awali?
Nilikwenda kwa Gyno wangu kuangaliwa na sikuwa na maambukizo yeyote
Je kuna dawa asilia ambayo naweza kuitumia? maana hizi dawa za kizungu nyingi hazifai kutumiwa wakati wa ujauzito.
Tatu Matiti yangu yanauma na kuwasha sana, basi huwa najikuna mpaka najikwaruza ili kupoza napaka mild steroid lakini wapi!! Sasa how will we have sex when matiti yako hivyo?
Nne Mpenzi wangu hupenda mwili wangu ukiwa bonge kiasi, sasa kpindi cha miezi 4 nilipokuwa naumwa na kushindwa kula nimepungua sana, yaani na tumbo langu kubwa bado sijafikia mwili wangu kabla ya ujauzito kwani nilikuwa a bit kibonge.
Mpenzi kaniletea Dada zake waje kunisaidia kupika ili nile na kuwa na afya lakini wapi! alafu mbaya zaidi ni kuwa nikikonda naonekana so terrible na I really feel unattractive na i think nikikubali kumvulia nguo hatoniona navutia tena. Sitaki kumpoteza mpenzi wangu.
Kila siku natoa sababu za kuumwa, tafadhali naomba ufumbuzi wa haraka kwani mpenzi ameanza kuwa bitter and unhappy ninapomkwepa kwani anasema anataka kuwa karibu na mimi."
Comments
unafikra mbovu.
Mie nawajua waschana kama nyie, kuna jamaa alimuacha mchumba wake kwa sababu zinazo fanana na zako.
Kwani wewe ulikuwa unamuzia huyo mpenzio sura yako au uzuri wako tu? mpaka akuache kwa mabaya yako na mapungufu yako na mabadiliko ya mwili wako?
Sasa hayo matatizo ndio unaweza kuyaficha, na je ukiumwa ugonjwa ambao utadhofika, na hauto jiweza? utafanyaje, mungu si athumani dada? sie binadam hatujakamilika kwa vyovyote vile, leo una mkono kesho umekatika. Na utaficha hivo hivo mume hasione? UTAWEZAJE?
Kuna mengi inabidi ujifunze wewe unamawazo ya kitoto hauja komaa akili.
Jua tu kama mtu anakupenda basi jua hata mavi yako atazoa, na atakusapoti kwa hali yeyote ile ulie nayo.
Na kama atakukimbia sababu unamatatizo kama hayo, basi muache tu akukimbie, sababu mtu kama huyo wala hafai ktk jamii yeyote ile.
Kama mimi ningekuwa wewe nisinge ogopa kitu. Sababu wanaume ni binadamu na binadam mwenye akili timamu lazma aelewe
Na vile vile mie naona unawafikiria wanaume tofauti na walivo.
Kama kuma ako nyeusi ama nyeupe, kama inatoka uji au chai, nazani yeye haimuhusu, yeye anachotaka atatue itaji lake la sex, na kwanza hatokulazimisha umuoneshe shehem zako za siri, au uwo uji ataona ni mnato tu wa K. Na wanaume wanapenda uwo mnato, ndio maana wanasemaga mwanamke mjamzito mtam we, sababu ya uwouwo mnato. Jaribu kumpa harafu uone kama atagundua ufikiriayo!!!
Ndio nyie mnao pewaga talaka mkiwa na mimba, kwa ujinga wenu. Yaonesha kijana wa watu ni muelewa sana, na anakuvumilia tu.
USHAURI WANGU!
Unaweza kula nae mzigo hata gizani basi kama hautaki akuone. Na vile vile unaweza kuvua chupi tu nguo ukabaki zako, sizani kama atakulazimisha uvue maana yeye anataka K tu. shauri yako
Na kutumia chemical kali za kubadilisha rangi ya ngozi sehem za siri zaweza kumuaffect mtoto, ama ukose mwana hama mpenzi ama vyote, nawaonea huruma, ingekuwa mdogo wangu ningekukata vibao niweke akili yako sawa. pole sana kwa maneno yangu makali ila usikonge ndio maisha
Me mwenzio nipo bed rest hata job siendi but tumeenda wote kwa gynae na tumeelekezwa jinsi ya kufanya taratiibu cz anajua mwanaume hawezi vumilia muda wote huo
Funguka bidada.
ni mumeo tuu! chochote ukifanyacho unakifanya kwaajili yako na mpenzi wako! usimfiche. huenda analakukusaidia, la sivyo utampoteza huyo mpenzi wako. mapenzi ni uwazi