Mpenzi hanijali, hanithamini tena,nifanyeje?

"Dada Dinah pole na kazi za kutueimisha sisi tulio katika ulimwengu huu wenye raha na karaha zake. Mimi ninaishi na mwanaume ambaye hatujafunga ndoa ila tumezaa mtoto mmoja na ilibidi tuanze kuishi pamoja kabla ya ndoa kwa sababu ya kusaidiana malezi ya mtoto.

Kikubwa kinachonikera kwake ni kwamba hanijali tena, hanithamini wala haoni na mimi ni sehemu ya maisha yake,nasema hivyo kwa sababu kila ninapohitaji msaada wowote toka kwake hanisaidii kabisa.

Ukija katika suala la kugonoka jamani mimi mwenzenu naweza kaa hata mwezi mzima hajanigusa wala nini na tunalala kitanda kimoja kila siku na hata tuki sex yeye anafanya mradi yafike basi na si kutombana ili kila mmoja wetu aridhike nakumfurahia mwenzie.

Kingine, anachelewa kurudi nyumbani yeye ni mfabiashara k/koo na duka anafunga saa kumi na moja kamili ila mpaka afike nyumbani ni saa 3-4 au hata saa 5 usiku nimeshaongea naye lakini wala hanielewi kabisa.

Jamani naomba ushauri wako dada na wachangiaji wengine kwani nahisi kutokumpenda tena, mwenzenu nifanyeje ili tuwe na mapenzi kama walivyo wengine? Poleni kwa msg ndefu".

Comments

Anonymous said…
Dada pole sana, inawezekana mwenzako ameshakuchoka, ila jambo kubwa sana, ni kujaribu kuongea naye serious mkiwa faragha.

Mbane aseme kisa ni nini na kama amepata mwanamke mwingine. Mweleze kuwa huwezi kuendelea kusihi hivyo ka kuwa anakutia kwenye majaribu ya kuwa na mwanaume mwingine, nje ya ndoa jambo ambalo wewe hulipendi.

mmwmabie kuwa ni mapema mno kuona dalili hizo, kwa maana amkiingia kwneye ndoa ndio itakuwa balaa.
Anonymous said…
Mhhhhhhh hiyo kali!! mimi nikiwa kama mwanaume,ninaposikia kuwa mwanaume analala na mkewe kitanda kimoja halafu anamchunia hampi penzi,huwa najiuliza kama kweli huyo mwanaume yuko fit maana mimi naona haiji yaani naiona kuma peupee halafu niichunie mwezi upite?Mbona hata wiki haipiti bila kuitembelea? Huyo mwanaume wako anakula kwingineko kabisaaaa na labda ameichoka kuma yako.Hivihivi haiwezekani bibie.

Muhimu tu ikiwa vipi tafuta nafasi ya kuketi pamoja muyaongee kweupeeeeeeeeee wala usimuogope vinginevyo utaota vidonda vya tumbo bure ni afadhali ujue moja muachane kama haiwezekani kurekebisha mambo.Unapojua una mtu wa kukutomba upate ku-release nguvu zako halafu akuchununie mbona ni ugonjwa mkubwa sana unakupata hizo hasira zikiwaka.
Anonymous said…
Bibie mwanaume wa namna hiyo wala usimwache kizembe, wewe mkilala mwanzishie gemu, shika bolo lake likumbatie kiganjani halafu huku ukimbusubusu na kumpa mautamu ya maneno.
Kama hiyo haitoshi jaribu kumbeba juu kidogo ila usimdondoshe bali mbebe kwa mahaba ya kumbembeleza kwa style tamutamu. Pia kama hiyo haitoshi, siku akija home jiandae ujiweke katika hali ya mlo wa usiku, mkiwa sebuleni jivalie kanga nyepesi au chupi na sidiria tu halafu mchezee kama vile unaswim, unainyonganyonga mithiri ya jongoo huku ukimrembulia macho na kushika shika sehemu zako zote zilizo nyeti.Jama hata kama ni mgumu kiasi gani ataamsha hisia na kukudamkia haraka.

Kumbuka huyo ni wako usijivunge jiachie kabisaaaaaa hadi kijulinake kabisa na mkiwa chumbani vua nguo zote jiachie kitandani mpanulie miguu uone kama ataona kinyaa,mpe maneno matamu atazinguliwa kama yeye ndiye anazingua.
Anonymous said…
Pole saana kwa yaliokukuta, mimi mchango wangu ni kwamba, kwa kweli huna haki yeyote juu ya huyo jamaa na huna pa kwenda popote, si kanisani, si kwa shekhe wala mahakamni sababu kubwa ni kwamba unaishi na huyo jamaa kinyume na sheria, jambo la msingi la kufanya kwako kama unaweza mshawishi huyo jamaa akuowe kwa sheria yyte ile ikiwa kimila au kidini ama kiserikali ili uwe na haki, kinyume na hapo utapoteza muda na kubwa zaidi utapoteza haki zako zote juu ya huyo jamaa maana hata ikitokea aifariki hutarithi na jamaa wa mume watasema hawakutambuwe hivyo itapelekea kupoteza kila kitu.
Mohammed
Anonymous said…
Asanteni kwa ushauri wenu ila nitaufanyia kazi na nikipata majibu nitarudi kwenu kuwashukuru ila mwenzenu ndoa imekuwa ndoana

mama b