"Hi da Dinah!
Mimi ni msomaji na mfuatiliaji wa blong yako, shortly I like it and I you as well. Nina 30years nafanya kzi kama Mhasibu Ofisini kwa mkuu wa nchi hii! Dinah tatizo langu ni kutaka ushauri kuhusiana na mwanaume nilie nae, lakini kabla naomba nikupe hadithi ilivyokuwa.
Nilipokuwa na 25yrs niliolewa na mwanaume wa Kiislam kama mimi na nikaenda Chuo soon after ndoa! Baada ya kuanza chuo ikawa ni tatizo kwa wifi zangu na Baba mkwe that kwanini nisome kabla ya kuzaa alafu pia mume wangu ni Form 4? Kwa nini nimpite kielimu?
Tatizo likandelea na likawa kubwa, Baba mkwe alimwambia mwanae achague moja a Divorce au la yeye sio baba yake. Nilipokuwa mwaka wa pili mume wangu akanishauri niache chuo nami nikakubali lakini after 2 months mama yangu akaja juu kwanini niache chuo kisa shinikizo la baba mkwe?
Nikaenda kwa mshauri wa wanachuo Chuoni for ushauri, yeye ndio akanishangaa na kuiomba nirudi Chuoni ! In a dilema nikarudi chuo na within a week wifi yangu akaniletea Talaka Chuoni ! Nusu nijiue kwa kuchanganyikiwa ila kwa sababu ni Muislam tena safi sikufanya hivyo!
Niliumia kwasaabu yeye ndio alikuwa mwanaume wangu wa kwanza na sikuhitaji mtu mwingine tena maishani mwangu! Maisha yakapita na nikamaliza Chuo salama na kuanza kazi. Siku moja nikakutana na Ex baba mkwe akiwa na shida fulani, kwenye maongezi akaniambia "mwenzio anakuhitaji tena na bado hajaoa".
Mimi nikamsaidia shida yake bila kumjibu lolote, nilimsaidia kama binadamu lakini roho iliniuma sana kwa kusikia habari kuhusu Ex hubby wangu. Kwa bahati mbaya Baba mkwe alifariki Dunia mwaka 2009 na my Ex hubby akaja kutaka turudiane lakini mimi nikakataa.
Akaanzakunifanyia fujo wherever he sees me! One night nilikutana nae wakati narudi kutoka Kitchen party alinitolea Bastola , thanks God alikamatwa na kuswekwa rumande for a long time !Niliapa siitaji tena mwanaume, ila watu na wazazi hawakukubaliana na mimi , then nikaamua kuwa na mtu ingawa nilikuwa naogopa sana!
Sasa tatizo ni kitandani, yaani kuwa zaidi ya mara kumi nilizojaribu kuwa nae kitandani akitaka kugusa tu basii "kashacheka", akijitahidi na kusimamisha tena bado anaceka kabla hajagusa. Kaenda kwa daktari, kajaribu mazoezi , kasoma article zako nk ! imeshindikana !
NIFANYEJE? Je niachane nae na kusubiri mwingine au nivumilie?
jemmy, DSM "

Comments
Cheers,frm rock city
Pole sana dada yangu kwa matatizo ya mumeo.Kwanza usimuache mume.Jaribu kumshauri umfanye foreplay kwa muda mrefu hata kama ikiwezekana akuchezee uke wako ili uweze kufika kileleni(Reach your orgasm).Pia mshauri mumeo aondoe mawazo yoyote aliyonayo wakati wa tendo la ndoa na ajaribu kujizuia kufika kileleni mapema.
Kuhusu suala lako na huyo Mumeo wa kwanza, ninakupa pole na hivi ndivyo ndoa nyingi zinavyovunjika kwa sababu ya wakwe. Ushauri wangu kwako ni kwamba:
1.Fanya istikhara katika mambo yako yote hata hilo suala la mumeo wa kwanza, ukimtanguliza mungu mbele atakuonyesha njia. Kama huyo ex-husband bado ana kheri kwako, basi si vibaya mukarudiana. Binadamu tumeumbwa kukosea na mbora wa mkoseaji ni yule mwenye kutubia. Inawezekana ex-husband wako ameshalijua kosa lake ndiyo maana akataka kukurejea.
2. Achana na huyo anayecheka kila wakati labda awe mumeo wa ndoa hapo ndipo unaweza ukafikiria njia ya kumsaidia, kwani kufanya zinaa ni dhambi.
3. Jitulize kwa kumwomba mungu atakupatia mume mwenye kheri nawe na hata ikiwezekana kurudiana na huyo wa zamani kama nafsi yako itakuwa imeridhia. Hakuna linaloshindikana kama ukimtegemea yeye tu.
Nikirudi kwenye mada husika ya dada Jemmy,kwanza nataka kumpa pole sana kijana mwenzangu kwa maswahibu yanayomkuta coz najua ni jinsi gani inavyofrustrate hiyo hali kwani ilinitokea.Kwanza nilitaka kuwashauri mfanye juu chini kuoana kwanza na huyo mpnz mpya maana ingawa inaonekana kama mada haijakamilika either imekatwa makusudi au bahati mbaya kwani hakuna maelezo ya kuwa mmeoana.
Kwa ufupi nami nilikuwa na tatizo kama hilo kwa mke wangu ilifikia wakati mpaka tukataka kuachana ndoa wakati iko changa kabisa,ila namshukuru Mungu wife alikuwa mvumilivu,nami nilihangaika kwa madaktari,mazoezi na kutumia dawa pia lakini haikusaidia.Kusema ukweli ili kuhakikisha kama kuna tatizo ilibidi nichepuke nje kdg basi huko nje mambo yalikuwa tofauti kwani nilionekana kama dume la mbegu vile,to cut the story short,najua wengi hatuamini mambo ya ushirikina lakini ukweli ni kwamba yapo na yakikukuta ndo m2 utaamini,wife alikuwa na jini alilotupiwa kwa ajili ya kunichezea,yaani ilikuwa nikkingiza kichwa tu,mara moja 2 mwaaah,kwa hivyo nakushauri Jemmy uhangaike na visomo M/Mungu akijali mnaweza kufanikiwa mkaenjoy tendo kupita maelezo.kwani baada ya kuhangaika sasa hivi kama Simba dume kwa makamuzi.All the Best............
Ebu mvumilie na usimwonyeshe sana kama huridhiki na tendo,ila mpe ushauri wa kutokuogopa kwenda kwa madaktari na kutaja hili tatizo,hata mimi nilikuwa hivyo tu,ila kwetu ni BKB,kuna miti shamba mingi,nilirudi mkoa nikatibiwa na niko fiti,gem ya kwanza mpaka ya mwisho,kama hautojali nitatufute nikuelekeze hsptl ya tiba za asili na hilo swala wanalishughulikia, hii sio kwa waganga wa kienyeji bali ni hosptl.
Dda ukumuacha kwa tatizo hilo bila kumpa msaada wa kuondokana na tatizo hilo utakuwa si mtu bali wa kufikiri.
Kuhusu huyo jamaa yako wa zamani achana nae (Mpotezee)....Kizito!!
Hussein - Mutchoh.
Kuhusu kuendelea naye au kutoendelea naye ni uamuzi ambao utaufanya baada ya kila mmoja wenu kukubali hali halisi na kufikia muafaka wa nini kifanyike kwa amani. Ningekuwa mimi ningemuacha kwa amani, kwa kuwa napenda kufurahia tendo la ndoa kama watu wengine wanavyofurahia. Pole sana....
Hata hivyo kama ulikuwa una maana ana kojaa mapema sana wakati wa tendo la ndoa yaani primature ejaculation,naomba nikuondoe wasiwasi kuwa jambo hilo linatibika na hivyo usimwache. Hukusema alikwenda tibiwa wapi au na daktari mwenye qulification gani, kwa sababu taaluma ya udaktari ni pana na si kila daktari anaweza kutibu shida hiyo. kama vile si kila daktari anaweza kufanya operesheni yoyote, vivo hivyo si kila daktari anaweza kutibu primature ejaculation.