Mpenzi anapenda ning'ae wakati wa tendo, je nitumie nini?

"Kabla ya yote naomba kukushukuru Dinah na wadau wote wa Blog hii, Kwa hakika michango yenu imenifunza mengi sana sana. Hapa Dinahicious nimejifunza mengi na ninazidi kujifunza masuala mbali mbali ya Ngono na mahusiano jinsi siku zinavyozidi kwenda. Mbarikiwe wote.

Nikija kwenye swali langu, hivi karibuni natarajia kufunga ndoa, mimi namchumba wangu tumekuwa tukishirikiana sana kwenye suala hili la ngono ili kila moja wetu afurahi nakuridhika na kwa kweli nafurahi kusema kuwa sote tunafurahia.





Nilikuwa natabia ya kutazama Picha za Ngono kabla sijakutana na mchumba wangu, nilikuwa nahusudukuona vile actress wa picha hizo wanavyo ng'aa wanapofanya ngono nadhani ni mafuta lakini sina uhakika. Sikuwahi kufanyia udadisi wala kujaraibu kutokana na sababu kadhaa.

Sasa nimegundua kuwa mchumba wangu nae anapenda nipake ili mwili wangu ung'ae lakini mimi sijui kama ni mafuta au ni aina ya maji yanayong'aa. Kama kuna yeyote anajua naomba mnisaidie kwa kunieleza ni bidhaa gani ile, je ni mafuta na kama ni mafuta yanaitwaje?

Asanteni sana."

Comments

Anonymous said…
Sasa dada yangu nakushauri kama ifuatavyo
Anonymous said…
jaribu kutumia mafuta yanaitwa bio oil ni mazuri kwa michirizi ya mapaja au ya uzazi na pia ni mazuri kwa kupaaka mwili mzima hasa usoni ukiwa umechoka na wakati wowote unawez pia pakaa mwili mzima ni mazuri sijui huko yanauzwa bei gani lakini uk yanapatikana kwa gram tofauti na bei tofauti
Anonymous said…
wawoo.... paka mafuta ya OLIVE OIL, Ni mafuta mazuri sana unang'aa na unateleza sana

Gg
george said…
Napenda ulivyokuwa na uwezo mkubwa wakuheshimu hisia zako.Naheshimu yeyote anaye appriciate this art of love making.
mafuta yanaitwa OLIVE OIL kwa kiswahizi mafuta ya mzaituni.
yanafaida lukuki kiafya ukiachilia mbali ung'aro kwenye tendo
Anonymous said…
mharusi mtarajiwa acha kiiga mambo ya porn wenzenu wapo kibaashara zaidi kuliko mapenzi
Majoy said…
NI MAFUTA ILA MOJAWAPO YA MAFUTA NIYAJUAYO MM YANAITWA BIO OIL WAWEZA YAPATA KWA JACKZ COSMETICS KINONDONI MANYANYA AU SINZA 8020 FASHIONS
Anonymous said…
MAFUTA YANAITWA OLIVA OIL
Mkaka said…
Kwa mtazamo wangu na uzoefu, tumia mafuta ya massage,na wakatiwa maandalizi mnaweza kufanyiana massage first mwilini,mafuta haya yanapatikana kwenye mapharmas kama JD mlimani city, na nakiete mwenge, yapo mafuta maalumu kwa massage tuu napia ambayo ni kwa vyote massage na kulainishia uume na uke yanafaa kwa mustarbation.
Unknown said…
yeah hayo ni mafuta
mostly yanatumika kwa massage
or u can use baby oils kama baby johnson

all the best on ur creativity and adventures
Anonymous said…
Tumia olive oil dada,ila kupata effect ya mng'aro zaidi yachanganye na maji.Tafuta kama chupa yenye spray hivi (ziko supermarket kwa bei nafuu),ni matayarisho mazuri sana kuwa yeye anaku-spray na kukumassage.Furahia mwaya eeh
Anonymous said…
Sasa! Kwani mnataka mfanye biashara ya hizo picha? Hebu achana na mafuta toa vitu jamaa afurahi si mafuta bwana hebu acha uchuro..........Kizito!!
Anonymous said…
Pakaa mafuta ya Nazi
Anonymous said…
mi ninaswli nyie mliocangiya,je hayo mafuta yote yanacubuwa ngozi ? au?
Anonymous said…
hayo mafuta mliyo yataja yanacubuwa ngozi ? au inakuwa aje?
Anonymous said…
Anonymous said......
nahayo mafuta yanacubuwa ngozi ?ao inakuwa aje?
Anonymous said…
Kujipenda muhimu sasa mtu amekakamaa kama mwili wa mamba utaachwa