"Dada Dinah mie naomba kuuliza,hivi kweli mumeo akitembea nje ya ndoa na mwanamke ambae hamfanani kabisa ikimaumbile anaweza akawa bado anakupenda?
Nimeuliza hivyo kwa kuwa mimi ni size 12 though kabla sijajifungua nilikuwa navaa chini saizi 14 juu saizi 12 kwa sasa nimepungua sana (na nimependa mwenyewe kupungua). Mwanamke ambae mume wangu alikuwa na affair nae for almost two months (kama ni mkweli) ni wale ambao ni ngumu hata kupata saizi dukani, yaani ni bonge la mtu lakini ni namba nane.
Inanifanya nisijue mume wangu anapenda miili gani? That is why I am not feeling like staying married to someone that am not sure anymore that he still loves me. Na wakati mwingine tukiwa kwenye gari wakipita wanawake wakubwa wenye namba nane huwa namcheki anavyowaangalia japo kwa wizi sana. Ingawa hata mimi huwa sometimes nawashangaa wanawake wenzangu. Sasa sijui nina wivu na sina Imani kwa sababu ameshani-cheat au ni normal"?
Naomba mnipe ukweli, je mume wako akitoka nje ya ndoa yenu na mwanamke ambae ni tofauti na wewe na baadae kukubali makosa na kurudi kwenye ndoa, je ataendelea kukupenda?
Asante".

Comments
Hujiamini mama??? halafu unamvizia mumeo kama anawahusudu wanawake wanene??Wewe kweli unajiwekea kasheshe bureeeeeeeeeeeeeeee!!
Acha mizengwe hiyo jiweke vema kwa mumeo ili uendelee kumpa vitamu hivyo ulivyomnyima hadi akaenda nje.
Ukiendelea na kutojiamini huko utampoteza kishenzi maana akigundua tu atakuacha kwenye mataa.Pia una nafasi ya kumuuliza kama anapenda figure ulionayo sasa au anataka uongezee.Kwa nini kuoneana aibu na wewe ni mke wake?? Watu mnaishi kwenye ndoa bila uelewa wowote.Mtu mmeoana halafu mnashindwa kuelezana matakwa yenu kwa nini?Jadilianeni nini na nini mnapenda usibaki kwenye dhana potofu tu kwa kudhani ni hivi kumbe unajiumiza moyo tu.
Ahsante...Kafanabo
sahau uliyo kwisha samehe
ili nawewe usamehewe na Mungu
ukikumbuka nakuumia hujasamehe
kuangalia wanawake wanaopita ni kawaida ya wanaume wote ,akipita mwanamke lazima wamuanalie hatakama hana umbo zuri
,tena mimi niliwabamba vijana watatu siku moja wakisema du ukikaa hapa utashangaa uumbaji
wanapita wakila aina ,na sio kwamba hawapendi wapenzi wao la hasha
ni macho tu hayana pazia
na mapenzi ni zaidi ya muonekano wa nje .
sio kwamba namsifi au namsupport hapana ila najaribu kukutoa hofu kuwa huenda sio umbo lililompeleka hapo..
Mimi ni mwanaume..for ur info wengi wanatamani mabonge ila akisha tembea nae one time anagundua sio pa kukaa ..sasa kama unaona wako ametulia hapo ujue kuna kingine...
jichunguze wewe kwanza kama unamtreat au umebadilisha nini hapo home..maana na nyie wanawake bwana msipewe uhuru wa kutawala house unasahau hadi majukumu ya kwenye bed ...
Ila poa kwa yote..inauma
Gluv
gluv100@yahoo.com
kucheat na mwanamke mnene si sababu ya kutokukuenda wewe ila tamaa tu! watalamu wasema men are like government bonds they take so.. long to mature! kwa hiyo mme taratibu atangundua siku moja kuwa anachokifanya ni upusi then he will be totally in love with you!
mwenye ushauri amshauri lakini si kwa maneno makali jamani!
PILI KAMA UNAONA ANAMWELEKEO MWINGINW VUNJA UKIMYA ZUNGUMZENI MWUIZE ANATAKA UWEJE???
PILI KAMA UNAONA ANAMWELEKEO MWINGINW VUNJA UKIMYA ZUNGUMZENI MWUIZE ANATAKA UWEJE???