Dinahicious ni Blog ya kwanza inayozungumzia Ngono kwa undani na uwazi zaidi, imefanikiwa kwa kiasi kubwa, inajulikana zaidi kuliko miaka 3 iliyopita, inazungumziwa kwenye mitaa, sherehe na kwenye mikusanyiko mbalimbali.
Bila wewe Dinahicious isingefikia hapa, napenda utambue kuwa nathamini sana Ushirikiano wako kwa kutembelea, changia, kuuliza, kuizungumzia na kuiweka Blog hii kwenye Tovuti yako.
Katika kuadhimisha miaka 3, ningependa kukupa nafasi wewe mpenzi mtembeleaji, Msomaji na Mchangiaji (kwa kuuliza au kushauri) kutuambia umefaidika na nini hasa tangu tumeanza kukumbushana, fundishana, ambizana, shauriana, elekezana kuhusiana na masuala ya Kimapenzi, Ngono na Mahusiano?
Nakupenda sana!
Comments
Cheers sana ukizingatia ni kusoma na kuchangia bureeeee,endelea kutupa mambo hivyo hivyo si unajua wabongo tunavyopenda dezo!!
Happy bthd.
Jer
NIMEJIFUNZA MENGI SANA MAZURI, NIMEJIFUNZA MAPENZI, MAHUSIANO YA MUME NA MKE KATIKA NDOA, JINSI YA KUDUMISHA NDOA, JINSI YA KURIDHISHA MWANAMKE, JINSI YA KUSEX KWA UFANISI WA HALI YA JUU ZAIDI, JINSI YA KUEPUKA MATATIZO KATIKA NDOA.
JINSI YA KUTONGOZA NA KUONGEA NA WANAWAKE, YAANI NIMEKUWA MWALIMU HASAA, UMENIPIKA DINA NA NKIMEIVAA HASWAA NA UMENIFANYA KUWA MUME BORA SANA KATIKA NYANJA ZOTE HASAAA KITANDANI.
NI MENGI SANA NDIYO MAANA UNAONA NACHANGANYIKIWA HATA SIJUI NIANZIE WAPI NA NIISHIE WAPI. WEWE NI MWANAMKE WA SHOKA NA UDUMU MILELE NA BLOG IDUMU MILELE. LONG LIVE DINAAA, LONG LIVE DINAHICIOUS-SEX, RELATIONSHIP AND LOVE. MMMMMMWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH DINA MWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH OUR BLOG.
NAKUPENDA SANA KWA KUWA UMEBADILI KWA KIWANGO CHA HALI YA JUU SANA MAISHA YANGU YA KIMAPENZI NA KUNIANDAA KUWA MUME BORA SANA. ABARIKIWE MILELE ALIYEKUZAA NA LIBARIKIWE TUMBO LILILOBEBA MIMBA YAKO KWA MIEZI SITA, ABARIKIWE SANA MUMEO ANAYEKUPA UHURU WA HALI YA JUU NA KUKUPA MAPENZI MOTOMOTO, YEYE NI MFANO WA KUIGWA SANA KWA WANAUME WOTE, HAKIKA ANAFAIDI SANAAAAAAAA NAWE PIA UNAFAIDI SANAAAAA, KWA SABABU KAMA UNGEKUWA HUFAIDI USINGETUMEGEA NA SISI HAYA MAUJUZI. MMMMMMMMMWWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH
ABARIKIWE PIA ALIYENIONYESHA HII BLOG ALIFANYA JAMBO LA MAANA SANA. NADHANI
NASHAURI UWANJA UWE MPANA ZAIDI ILI WATU WAPATE NAFASI YA KUPATA WACHUMBA WA KWELI PIA HUMU HUMU NDANI YA BLOG DINNA. MCHANGO WAKO NI WA HESHIMA SANA KATIKA JAMII YETU, TWAKUPENDA SANA KULIKO HATA UNAVYOWEZA KUFIKIRIA. DINAHICIOUS IDUMU MILELE AMINA.
Nikabanwa ikabidi nitoe website ninayojifunzia basi nimeloga kila siku mwanaume anaprint anakuja navyo tujifunze
ASANTE DINNA KWA KUDUMISHA NDOA YANGU NA KUTOA HAMU YA KUFANYA MAPENZI BILA KUCHOKA KILA SIKU MTU UNAKUWA NA HAKU NA MWENZIO MKIBADILI STYLE NA KUPEANA MAUTUNDU KILA SIKU
JAMANI HAPA PAMENIFANYA NIONE RAHA YA MAPENZI KWANI KABLA YA HAPA NILIKUWA SIPENDI NA NILIKUWA NAUMIA SANA ILA SASA SILALI BILA KUPEWA HATA KAMOJA.
ASANTE DINNA ASANTENI SANA WAPENZI WA DINAHICIOUS.
TUENDELEE KUSAIDIANA TUOKOE NDOA ZETU JAMANI
au hutakiiiiiiiiiiiii ? jamani makupenda mwaaaaaaaaaaa ~
happy birthday !
Tuko pamoja SI.
Hongera sana kwa kazi nzuri unayoifanya na imefikisha miaka mitatu na inadunda kama vile blog mpya.
Siku hizi kuna ushindani mkubwa sana katika mambo yote. Mtu unapofaulu katika mashindano yoyote unastahili kusifiwa.
Blog nyingi zilianza na moto mwingi, lakini hadi dakika hii hazipo, zimekufa kwa kutokutembelewa na Wadau. Hongera sana dadaangu.
Najisikia vizuri ninapoona akina mama wa Kitanzania kama wewe mkiwa juu kama ulivyo. Big Up Sister!
This Is Black=Blackmannen
Tuko pamoja dada.