Hongera kwa kumaliza Mwongo (Decade) na Kila la kheri unapokwenda kuanza mwingine. Nakutakia afya njema, maisha ya Ndoa/Kimapenzi mazuri, marefu na yenye mafanikio zaidi ya 2000-2009.
Akupendae na kukujali,
Dinah.Xxx
Comments
Anonymous said…
I wish all the best to you and your love happy new year,
Thanks much Dinah! The very same goes right back at you. You've been great to us all, so generous, educative, down to earth and gifted sexofrank. Hope you become more and more of that this year. Stay blessed and rich of health, knowledge, whatever man!
hello kwanza habari yako dinah!!!nna iman ni umzima wa afya teeele pamoja na wenzangu yani membrz wa hii DINAHICIOUS.....!!!pia nashkuru saaana kwa kkwa dua ama maneno yako mazuri ya kuombeana kheri juu ya kwaka huu mpya.nami pia nakutakia kila la kheri katika maisha yako kiujumla wangu!!!pia shukran saaana kwa kuweka hii kitu coz ni hutusaidia ktk kuelimishana pia kupeana ideas za hapa na pale!!!big up sana wangu...pamokoooooooooooo...
Comments