Mume ni mwema lakini hataki kazi wala hatoi Unyumba-Ushauri!

"Habari mpenzi,
nimevutiwa sana na blog yako, kwa kweli ina story za kusikitisha na ukweli kuhusu maisha. Mimi ni mwanamke niliyeolewa naona nina matatizo ambayo nimekaa nayo kimya kwa muda mrefu bila kujua nimwombe nani msaada.

Nimejaribu kuongea na Mama yangu mzazi lakini nimepewa ushauri wa kuvumilia, nimejaribu kuongea na Mama mkwe wangu ushauri ni huo huo sasa sijui labda nipate ushauri toka kwa watu wengine sasa.

Story inaanza hivi; tumependana na mume wangu bila kuwa na kasoro, baada ya mwaka wa uchumba tukafunga ndoa Kanisani. Baadaya ya kuoana tu mungu akanijalia ujauzito nikazaa mtoto wa kike mwaka uliofuata, basi ilikuwa ni furaha tu.

Baada ya miaka miwili nikajaliwa mtoto wa pili wa kiume sasa, basi nayo ilikuwa heri. Sikuwahi kugombana na mume wangu wala kukosana kwa aina yoyote, maisha yalikuwa ni matamu haswa kwani ni msikivu kweli kweli. Chochote ukimwambia anafanya hata kupika hata kufua nguo zangu za ndani.....duuuh hadi wengine walikuwa wananiambia nimempa limbwata.


Basi baada ya kuzaa mtoto wa pili nikashangaa mwenzangu hana time na mimi si kwamba halali nyumbani laah anakula na tunalala wote, watoto anaangalia na matumizi yote anatoa lakini penzi kitandani hakuna, basi ikapita miezi kadhaa bahati mbaya kazi yake aliyokuwa anafanya ikaharibika.

Akawa hana kazi lakini hatukukata tamaa ya maisha tulianza kutafuta tukisaidiana maisha na tulikuwa na miradi yetu midogomidogo ilikuwa inatusaidia. Lakini bado pamoja na yeye kushinda nyumbani tu labda akihangaika kuomba kazi huku na huku mimi nikirudi kutoka kazi hana time ya kufanya mapenzi ila kuongea tunaongea vizuri na hatugombani hata siku moja.

Nikapata woga wa kumuuliza mwenzangu kama ana tatizo maana naona jogoo huwa anasimama kama kawa hasa wakati wa asubuhi lakini hajawahi kunitamkia ananitamani au kunitaka kuwa anataka tufanye mapenzi, mhhhh nikaja nikaona hii kweli kali.


Miezi sita ikapita hatujagusana ila tunakaa vizuri sana kula wote, kulala wote na kushare vitu vingine tu kama kutoka out n.k. Sasa limekuja suala la kazi, kila ninapomuombea kazi kwa watu na kuitwa kwa ajili ya mahojiano hapati. Juzijuzi nilimuombea kazi mahali nifanyapo kazi na akaitwa lakini akakataa kwenda akadai yeye hawezi kwenda kufanya kazi mahali ambapo mimi nafanya kazi.

Hapo mhh sikumuelewa nikajaribu kumueleza vizuri kuwa hatutakuwa ofisi moja ila jengo moja hakukubaliana na mimi . Sasa dada dinah, mtu kama huyo unamfanyaje?

Mwaka mzima umekaa ukishikilia familia na ukisali Mungu ampe kazi, ukimvumilia na kumpenda ingawa hakupi unyumba bila sababu maalum, sasa na kazi hataki kufanya anachagua badala ya kufanya yoyote for the sake of the kids, je nifanyeje? tafadhali naomba msaada hapo kama ni wewe ungefanyaje?-Magy"

Dinah anasema: Mpendwa Magy asante sana kwa ushirikiano na uvumilivu as nimechelewa kujibu, lakini natumaini maoni na ushauri wa wasomaji umesaidia wakati unasubiri kutoka kwangu.

Nitakupa maelezo na ushauri katika sehemu mbili, moja kuhusu kutokufanya Mapenzi na pili suala la yeye kugoma kufanya kazi sehemu moja na wewe.

Kwanini hafanyi mapenzi na wewe lakini anasimamisha!!
Kuna sababu nyingi ambazo zinaweza kumfanya mwanume apoteze hamu ya kufanya mapenzi, kumbuka hamu na nguvu ni vitu viwili tofauti tena kwa wanaume kusimamisha pia kuko kwa aina mbili kusimamisha kwa vile wako tayari kungonoka na kusimamisha kwa vile ni sehemu ya ujinsia wao kwa maana kuwa kuna aina mbili za mwanaume kusimamisha:- (1)-kutokana na mawazo ya kingono (2)-kutokana na kuwa stimulated kwa kushikwa au kuguswa na kitu kama vile shuka, chupi, mkono n.k


Mfano ni mwanaume kusimamisha asubuhi, ile haina maana kuwa anataka ngono japokuwa inaweza kufanyika ngono kama akikuona ukopembeni na ukamvutia then akapata mawazo ya kingono on top of msimao ambao ulisababishwa na mzunguuko wa damu wakati kalala......


Hivyo basi yeye kutokufanya ngono na wewe haina maana anamatatizo ya nguvu za kiume. Nadhani tatizo kubwa linaweza kuwa moja kati ya haya :-

Mosi, Hofu ya kuachishwa kazi (katika hali halisi unapewa taarifa mapema kuwa utapunguzwa/fukuzwa kazi), sasa ile hofu ilisababisha msongamano wa mawazo (stress) na hivyo kupoteza hamu ya kungonoka.

Pili, mabadiliko ya mwili wako baada ya kujifungua mtoto wa pili (Chunguza hapa), na jitahidi kurekebisha.....jipende na hakikisha unavutia zaidi, fanya mazoezi ya misuli kuanzia ya ulimi mpaka ya Uke.

Tatu, hapati attention ya kutosha kutoka kwako kama mpenzi labda kwa vile wewe huna muda as una-deal na watoto bila ushirikiano wake kutokana na stress.......(peleka watoto kwa bibi yako au kwa ndugu yeyote mnae muamini) mara moja kila baada ya wiki 2.

Nne, Yeye kuwa muanzilishi wa kutaka/kufanya ngono kitu ambacho huwa kina udhi/kera na kuchosha na hivyo mtu anaamua kutokufanya kabisa......(Kuanzia sasa usisubiri yeye aanze, anzisha wewe). Hii itamfanya ajiamini na kuhisi kuwa anavutia pia anafurahi kuona kuwa mkewe sio Gogo, pia mara moja kwa wiki mfanyie mumeo jambo litakalo mfurahisha, pagawisha na kumridhisha kingono).

Nini chakufanya kwa ujumla: Mumeo anahitaji ushirikiano mkubwa kutoka kwako, ushirikiano huo sio wa kumtafutia kazi au kumsukuma atafute kazi (kitu ambacho anakijua wazi yeye kama mwanaume) kwani kwa kufanya hivyo unamfanya apoteze ile hali ya kujiamini kama mwanaume na pia unasumbua Ego yake kwani yeye kama mwanaume kamili najaua kuwa ni wajibu wake kuwa provider kwa familia yake, sasa unapo-take over nakujaribu kumtafutia kazi inaweza kuchangia kumfanya azidi kuhisi kuwa yeye ni useless.

Natambua unafanya hivyo katika harakati za kumpa ushirikiano, kuonyesha uko pale kwa ajili yake na tayari kumsaidia mumeo kwa faida ya watoto wenu, yote haya wewe kama mwanamke ungefurahi kuyapokea kutoka kwa mumeo kama ungepoteza kazi......lakini sio mwanaume. Mwanaume anapewa ushirikiano kivingine.

Huyu mumeo anamengi sana akilini mwake hivyo hakuna nafasi kabisa ya kuweka mawazo ya kingono (kama unawajua wanaume vema utanielewa ninachokisema hapa). Sasa ili kumsaidia arudie hali yake ya kawaida unatakiwa kufanya kazi ya ziada......


Mf: kuongea nae vizuri, kumshauri/kumpa matumaini, kumshirikisha kwenye maamuzi (japokuwa hawezi kuchangia kwa sasa), kuonyesha unampenda na kuvutiwa nae zaidi sasa hana kazi kuliko alivyokuwa na kazi(anzisha ngono, cheza na mwili wake na kuwa mtendaji mkuu), kuonyesha kuwa unaweza kusimama wewe kama mama bila kuonyesha stress au kuzidia (anajua kuwa unazidiwa lakini sio lazima umuonyeshe au kulalamika kwani itamuangamiza kiakili), usionyeshe kukerwa na yeye kutokuwa na kazi, kumpa matumaini kuwa kazi ni kazi tu as long as senti zinaingia n.k.


Kwa kufanya hayo niliyogusia na mengine ambayo baadhi ya wachangiaji wameshauri hakika mumeo atakuwa comfortable na mawazo yanaweza kupungua na hivyo kuanza kupata nafasi ya kufikiria ngono akilini mwake na hata kuanza kuona kuwa unamvutia tena.


Kufanya nae kazi Jongo moja: Ukiachilia mbali matatizo mengine yanayoweza kujitokeza kwa kufanya kazi sehemu moja (unless otherwise Taaluma zenu zinafanana na mnawekeana mipaka vinginevyo sio nzuri/afya kwa uhusiano wenu wa kimapenzi.


Kama nilivyogusia hapo juu, kwa baadhi ya wanaume kusaidiwa na wake zao ktk mtindo wa ku-take over kama ulivyofanya wewe huwapotezea hali ya kujiamini na kuhisi kuwa "wameolewa" achilia mbali mwnaume huyo aende kufanya kazi Jengo moja na mkewe ambae ndio actually kamtafutia hiyo kazi na usikute kazi yenyewe ni ya kiwango kidogo kuliko mkewe........hapo haji mtu!

Uless kuna matatizo mengine kwenye ndoa yenu ambayo hukutaka kuyaweka hapa, lakini tatizo lako sio kubwa kiasi cha kutishia uhai wa ndoa yenu. Hakikisha unafanyia kazi ushuri uliopewa na nina kuhakikishia kila kitu kitakuwa safii na Unyumba utaupata lakini kwa sasa jitahidi ku-initiate ngono kila unapojisikiwa kutaka kufanya hivyo, usisubiri yeye akufuate au akuombe!....ni mumeo huyo hivyo unamfanya atake kufanya kwa kutumia uanamke wako au yeye anakufanya wewe utake kufanya kwa kutumia uanaume wake.

Kama ingekuwa mimi ningefanyaje: Mimi kama Dinah, kwanza kabisa ningekubali mabadiliko na kujaribu kubadili mtindo wa maisha yetu kama familia ili ku-save. Ningeonyesha mapenzi kwa mume wangu kuliko mwanzo, ningehakikisha namuondolea stress kwa kutumia mbinu mbali mabali za kumkanda na kuongea nae bila kulalamika wala kuonyesha kuwa nimezidiwa na majukumu.


Kila wakati ningemfanya aone kuwa niko nae sambamba ktk hardship na sio yake peke yake bali yetu sote. Ningempa support na kumshauri kuhusiana na kazi/biashara (sio lazima kuajiriwa) kwa kumpa mawasiliano au kumuonyesha sites/magazeti lakini sio kwa ku-take over na kuingilia Ego yake.


Ningemshawishi kwa maneno na vitendo kuwa kufanya mapenzi kunasaidia kuondoa au kupunguza stress, nikifanikiwa basi nitahakikisha namfanyia mambo hadimu ambayo najua yanaondoa stress hata kwa masaa mawili (which itamfanya anitake kingono mara kwa mara).

Kwa vile naelewa kuwa kipindi hiki cha hardship kinamfanya mume wangu kushindwa kutumia akili yake kufikiria/taka ngono na kusimamisha, basi ningetumia njia ya kumsisimua kwa kufanyia kazi mwili wake na kuhakikisha akili yake ime-relax kabla sijaanza zoezi zila la kumsisimua kingono.

Nakutakia kila lililojema!

Comments

Anonymous said…
Dada yangu pole sana kwa hiyo hali.

Pili nakupongeza sana kwa kuwa mama mvumilivu sana na mwenye kutulia na kutafuta suluhisho la tatizo lako kwa ustaarabu kabisa.

Kusema ukweli suala la kazi linategemea sana na jinsi yeye anavyopenda afanye kazi ya namna gani.Na hii hutegemea sana na kazi aliyokuwa nayo mwanzo ambayo umesema iliharibika. Labda pia ni muhimu kuzungumza naye kazi ambayo inampendeza sana kufanya.Kwa upande wa kazi uliomtafutia kazini kwako kwa kweli kuna mantiki kama hapendi kufanya kazi karibu na mahali unapifanya wewe.Hii yaweza kutokana na kujilinda tena hata kukulinda wewe.Sisi wanaume tuna namna tofautitofauti.Unajua tumejaliwa kila mtu na anavyojisikia.hata mimi sipendi nifanye kazi kampuni moja na mke wangu. Ina risk kwa namna nyingi sana ambazo zaweza kuwafarakanisha.Lakini pia ninategemea sana na msimamo wake katika hilo hasa ukizingatia kwamba hana kazi.Lakini lazima moyo uridhike ndipo kazi inafanyika vizuri.

Kuhusu kukunyima raha ya kutomana/unyumba, hilo nasikitika hata mimi.Sijui kama umewahi fanya utafiti wa kina kama huyo mumeo ana matatizo fulani kama ulivyosema kuwa jogo lake linasimama, hiyo siyo hoja sana kusimama kunaweza kuwepo lakini mtu mwenye akawa mvivu kuitikia.Si unajua hata watoto wadogo huwa jogoo zao zinasimama asubuhi?lakini haziwatumi kwenda kukamua mademu ni relaxation ya mishipa tu ya mwili inapobaini kuwa sasa inakabili mihimili mingine baada ya usiku kucha kulala.

Je wewe unatumia mbinu gani kumshawishi na kumvutia mumewe kama mnalala kitanda kimoja tena umesema wala hamgombani je umewahi mchokoza wewe au kumwanza wewe kumtia kashkashi za mahamu na manyege ili awekwe sawa kiakili?Au vipi unamvaliaje mumeo mnapokuwa ndo mnajikita chumbani kwenu au na wewe unakuwa mvivu kumsogelea maana umesema hata siku moja hajakuambia kuwa anakutamani au vipi.Je wewe umewahi mwambia kuwa unamtamani na unataka kula dodo naye?tena huyo ni mumeo kwa nini mtumie lugha za maficho kama vile unakutana na mpenzi tu wa kawaida badala ya kummiliki maana huo ni mwili wako kama wewe ulivyo mwili wake pia.siku zingine shika hilo jogoo cheza nalo uone kama bado jamaa hashtuki.usikae mbali naye mnapokuwa kitandani hapo hata mlalie juu kabisa ukimkolombweza hasa hadi kijulikane!!

Pole dada yangu lakini bila shaka hapa utapata msaada wapo watu mahiri wa majambozz watakupa vipande vinono hadi jamaa umpagawishe .

Kila la heri ule utamu wako.
Kaka Trio said…
Je wewe umemuomba unyumba? au unataka yeye ndio akuombe kila siku? kama hujamuomba unyumba basi mie nashauri uenende ukafanye ivo
sabodo said…
pole sana dada.inaonekana either huna mvuto tena kwake au jamaa kuna sehemu anaridhishwa kikamilifu.kushinda ndani sio hoja kuna watu siku hizi wanatumia vibaya mida ya kazi.guest zinajaa mchana jioni kila mtu kwa mkewe/mumewe.utashangaa tu mtu hana ham na anashinda ndani
Anonymous said…
sometimes people go through phases..he might be feeling inferior and belittled, but again his actions started before he lost his job, he might have had a feeling that he is losing his job and it was irking him, before you ran to mama mkwe and your own mother why didnt you ask him ??? its very simple to get it out of him than anybody else.. please try, by the way my husband had to quit his job so we could stay and raise our family together..am sorry to say i cheated on him a couple of times..he is a very good man and quite, he never stopped loving me, and i managed to find him a better paying job, we have renewed our love and drive to and from work together, it helps us a lot as we talk a lot i love him and understand him more, i know his fears, i so blame myself for my behavior( though i never showed him kiburi he did find out !! ) just want to tell everyone out there that there are good men who forgives and loves us, hubby irons for me, bathes me, put me first even when children are annoying, i thank God each day in my life for loving and meeting this man i call my husband he is a rare gem, i love you darling and wont go wrong on you again.. we are preparing for our third born and i want this time to be so special for us.. sorry Dina am writing about other stuff but i just want to get it out of me...
Anonymous said…
Hello,

Pole,kukunyima unyumba sio sahii lakini namuunga mkono na kumpongeza kukataa kazi uliyomtafutia. Sababu kubwa ni kwamba wanawake mnatabia ya kuchonga sana tena sana hasa pale inapotokea umemsadia mumeo ktk jambo fulani, mna maneno ya kejeri hasa kukitokea tofauti ndogo tu. Wanawake mnaongea sana hadi inakuwa kero kwa waume zenu. Nampa hongera kwa kugoma, atafute mwenyewe.Nahisi anajua ulivyo, ikosiku utasema mimi ndio nakufanya uishi mjini.
Anonymous said…
pole dada yangu kwa unayokabiliana nayo,kweli nimtihani sana ila nakupongeza kwa uvumilivu wako endelea kua hivyo,mimi ninachokushauri sikumoja mwombe mume mtoke out mbali na nyumbani sehemu tulivu,jaribu kumweleza hali halisi ilivyo na mbele huku muendako manake maisha ya sasa bila kazi ni ngumu,mweleze suala la unyumba ni haki ya wote wa wawili kwasababu kama mi miezi sita yeye inamana hana hisia au anatoka nje? sitaki kuwaza hivyo ila mkalishe na umweleze yote then angalia atakupa jibu gani baada ya wewe kumwambia yoote manake kama kin amam wanakwambia vumilia ni sawa ila vumilia ukijua mwishowe kuna matunda,pole sana my sister ndoa haina degree wala diploma inahitaji uelewa na usikivu
Unknown said…
This comment has been removed by the author.
Anonymous said…
Kweli dada yote umeyaeleza yana msingi, lakini mm naomba kuuliza kuhusiana na swala la mapenzi< Je ww ilishawahi kumtamkia mumeo kama unamtaka kimapenzi akakataa? maana swala la unyumba c lazima mume aombe yeye tu hata wewe una haki ya kuomba haki yako> kuhusu kazi, huyo bwana anahitaji ushauri wa kisaikolojia ili kumtoa kwenye mawazo aliyonayo. pole sana dada vumilia huyo ni mume wako ipo cku mambo yatakuwa swafiiii!!!!!!!
Anonymous said…
Pole sana dada,ila mungu ataleta kheri zake.kuhusu swala la kupata usaidizi hapa umefika kwenye msaada.mie namuunga mkono mumeo kutofanya kazi sehemu unapo fanya wewe.kuhusu kutowajibika kwenye kutombana nakushauri usingoje embe lidondoke lifuate huko huko juu,sisi wanaume mara nyingi tunafurahi pale mwanamke anajipakulie mwenyewe chakula cha usiku.pia lazima uwe na utundu flani wa lugha na vitendo.lugha iwe ya uwazi unapapasa huku ukimwambia mume wangu leo nataka unisugue kuma hadi nikojoe,tena kabla ya kunitomba napenda uninyonye kuma hadi kisimi kidinde,maneno kama haya yanatutia nyege wanaume tena haswa yanapotoka kwa mtu umpendae,hali ya usafi pia ni muhimu sana,hakikisha unajifukiza udi au manukato sexy haki utampagawisha mumeo.plz wanawake musitusubiri kuanza sisi kila siku haki nayo inachosha.mwisho kwenye majamboz usilete story zisizo usiyana na mchezo wa kikubwa.mboo iko ndani na huku wamkumbusha mume kuhusu ada ya shule,haki haipendezi.kila la kheri.from ur bro mustayoo@yahoo.com
Anonymous said…
mie simwelewi huyu Dada, Iweje mumeo ukae nae miezi sita bila unyumba bila yeye kukuambia au wewe kumuuliza sababu za kufanya hivyo? nahisi kuna kitu either mapenzi yamechuja kabisa au kuna tatizo lingine. Mie binafsi nimewahi kukosa kazi mwaka mzima lakini sikuondoa hamu ya mke wangu. Ni kweli mwanamume anapokosa kazi anakuwa stressed but not to the extent ya kukunyima au kujinyima unyumba! hebu go to the bottom upate sababu nini? sikushauri uende kwa Mama mkwe au Mama yako kuhusu suala hili! Muulize yeye atakuambia sababu usimwgope ni mumeo!
Anonymous said…
Bibie, unatokea kona gani ya Tanzania? Mwanamke unangojea ushindiliwe uboo tu, eti hajanitaka! wewe ulimtaka akakata? nakumbuka siku moja mama nanihii hapa aliniuliza hivi mbona siku hizi hatutombani? nilishangaa maana badalaya ya mwanamke kuonyesha kwamba anakuta, kwa mfano kukuchezea ubooo, kiss, kukukalia mikao ya kutamanisha akiwa uchi n.k anauliza mbona hatutombani kama vile ni unatoa order! Wake zetu badilikeni, mtabaki kuibiwa tu!! Wewe umeweza kufika mpaka kenye blog hii ambayo imesheheni kila aina ya manjonjo ya kumfurahisha/tamanisha mumewe lakini bado umeshindwa kuyafanyia kazi, badala yake unauliza swali la kijinga!! Ningekuwa Dina wala nisingekujibu maana ni kama atakuwa anapoteza muda tu! ingia bafuni na baba, oga vizuri, cheza na mwili wa mumeo, nyonya huo uboo kama hausimami kwani vipi, au umetokea nyanda za juu kaskazini!

Hilo la kazi hata mimi singeweza kufanya kazi na mke wangu sehemu moja. Mara akatokea fala kamshika mke kiuno, ngumi ikuponyoke, wote mnapoteza!!


Muti mukavu
Magy said…
Asanteni woote jamani kwa ushauri mbalimbali mlizonipa..looh yote ya msingi mliyonieleza na nimejaribu kuyafanya kama mlivyonielekeza, kwa mfano huyo anony..aliyesema nimuombe mume wangu unyumba na nimwelekeze anishike wapi au afanyeje ili niweze kufurahi, looh nilipojaribu hivyo akaniambia yeye hawezi kunyonya kuma ya mwanamke wala kufanya hayo mapenzi ya kisasa ninayoyataka na akaniambia kama siwezi kujisikia hamu mwenyewe basi kuna siku watu watanishauri nifirwe nitamwambia anifire...loooh! nikatahamaki ingawa nikajaribu kumueleza kuwa wanawake ni tofauti ni muhimu kuwaandaa kabla ya kitendo lakini akasema kuwa ni mimi tu tabia yangu imebadilika na sina hamu naye vinginevyo hayo yote hayaitajiki.
Anonymous said…
wewe mama umemparamia mno mumeo kumwambia akunyonye.

Kwanza kuna tatizo la kutokutamani kukutomba halafu tena umwambie habari za kunyonyana nyeti si unamfukuza kabisa??? Unaona majibu aliokuambia?Kesho yake atajua kuwa huenda unanyonywa mahali na ndiyo staili unataka na yeye akufanyie.Wewe ulipaswa na unapaswa tu kumwendea kwa manjonjo ya kawaida unamletea mambo magumu tena mageni hayo atakuzira kabisa.

Hata mimi mke wangu hawezi kuniambia nimnyonye kuma au mimi nimwambie aninyonye bolo huo ni ufidhuri tu na ubatili mtupu.

Msawishi mumeo kwa vitendo mbalimbali vya mahaba kama wengine walivyokushauri.Huko kunyonya wala hakuwezi kukupa jibu.Kunyonyana kwa sisi wengine ni kinyaa kabisa.Tafuta mbinu mbadala ya kumpendezesha mumeo vipi unashindwa hata kumwambia leo mume wangu nasikia minyege naomba unitombe halafu mwangukie mwilini kabisa mkamate kisawasawa huku ukimsugua bolo lake hadi kijulikane maana huyo mumeo.
S.H said…
Pole dadangu kwa yaliyokusibu,labda kwa upande wangu mm nachofikiria ni kwamba inaonekana huyo mumeo wkt una mimba ya mtt wa pili alijaribu kuchepuka nje ya ndoa,na inawezekana amekutana na mtu anaempa mapenzi ya type yake(na maanisha kuna wa2 wengine hawataki hata kutamkiwa kunyonywa mboo/kuma lkn kuna wengine usipomfanyia hivyo ni kama hujamtomba/hajakutomba)haiwezekani miezi 6 yt wa2 mnalala kitanda kimoja hata kukushikashika asikushike.ushauri wangu ni kwamba jaribu kuwa mbunifu kdg na kujua mumeo anapendelea nn zaidi,unajua wkt mwengine mikao tu au kivazi tu cha kulalia kinampagawisha m2,mm nimeoa na tuna miaka zaidi ya 3 kwenye ndoa,lkn mke wangu ameshanijua udhaifu wangu ktk kuninyegesha ni nini.wkt mwengine hata km nimechoka kiasi gani na hata km na stress za kazi,kuna mikao akinikalia mama watoto mwenyewe napata nguvu za kutombana,km kwenda kuoga wote,tukiwa bafuni ainame iname mbele yako,achukue mboo yako aisafishe taratiibu kama anaekupiga bunyeto,akugusishe gusishe kwenye matako yako ili mradi kukunyegesha tu.ukijaribu hivyo dadangu ikishindikana ujue jamaa ana tatizo kubwa sana na ni la kisaikolojia,jaribu kuwa mbunifu kwa hayo ikishindikana rudi tena nijaribu kukushauri ufanye nini.
Anonymous said…
dada magy vipi siku hizi unyumba unapata au tatizo bado linaendelea?samahani nimeguswa na tatizo lako najaribu kufatilia nione kama umefanikiwa.MIMI MUME WANGUHUKAA MWEZI LAKINI SIPENDI ILA SINA JINSI
LOVE YOU DEAR
MAMA TATU