Nahisia zaidi ya za Kirafiki, nimwambie?-Ushauri

"Hi Dinah,
Nilikuwa natembela blogs nikaona ya kwako, imenivutia na nikaona hapa naweza pata ushauri.

Mimi ni mdada wa miaka 34, nina binti wa miaka 8. kwa hivi sasa mie nipo single sina mume. Ninachoomba ushauri ni hiki.

Nilikutana na mkaka mmoja baada ya yeye kupewa contacts zangu na rafiki yangu ambae alikuwa amenitumia zawadi kutoka nyumbani. Baada ya hapo tulipanga kukutana na tukakutana, ikatokea kwamba tumelewana na tukawa marafiki sana.

Kila siku lazima tuongee katika simu na pia sms, muda ulivyoenda ikawa kama vile lazima tuwasiliane kila siku isipokuwa hivyo huwa najihisi kuna jambo limepungua. Nae baadae akakiri kwamba inakuwa hivo kwake.

Ikafika likizo ya Christimas akanialika kwa wazazi wake mimi pamoja na mwanagu, tukaenda tukafurahi na kurudi. SASA tangu kipindi hicho nimekuwa napata hisia tofauti kimapenzi na za kirafiki kwake.

Yeye ananiambia ananimiss anatamani kuniona lakini hasemi kama hisia zake zimekuwa zaidi ya Urafiki. Nitakutanae week mbili zijazo anakuja kwangu je nimwambie how I feel? lakini pia sitaki kupoteza rafiki....

Nifanyeje? nisaidie jamani i dont want to loose a friend and I also want to know what we feel for each other.

Thanks
Jenifer"

Dinah anasema:Shukrani kwa kustop mahali hapa na kuniandika maelezo haya. Huyo mwanaume anajua kabisa kuwa unampenda au unamtaka zaidi ya urafiki lakini hana uhakika kama utamkubali awe kama "mpenzi" kutokana na urafiki wenu.


Wengi huamini kuwa hakuna urafiki wa watu wa jinsia mbili tofauti ukaishia urafiki tu unless wewe na yeye muwekeane mipaka na kuidumisha vinginevyo ile kitu inaitwa "chemistry" inaweza ikabadili urafiki na mkawa wapenzi.


Naelewa hofu yako ya kupoteza urafiki na huyo Kijana iwapo utaweka wazi hisia zako lakini ukweli ni kuwa wanaume huwa hawana hizo hisia za "akinikataa nitamuangalia vipi usoni kama rafiki", hivyo mwanaume ambae ni rafiki yako akikutaka huwa anafocus kwenye hisia na anajua kabisa ukimtosa ataendeleza urafiki japokuwa wewe kama mwanamke utashindwa kutokana na aibu au kujisikia vibaya kwavile umemtolea nje ,pengine unaweza kudhani kuwa amekushushia heshima hasa kama huna hisia nae.


Lakini kwa case yako, wewe mwanamke ndio mwenye hisia kali za kimapenzi juu yake hivyo basi hakuna ubaya kama utaziweka wazi hisia zako hizo na yeye akajua wazi kuwa umemzimia, sio lazima sana umwmabie kwa maneno unaweza kutumia uanamke wako na ukafanya kwa
vitendo zaidi, wanaume ni waelevu sana na hunyaka chapchap ile "lugha ya machoni".

Nafurahi kusema kuwa hakuna mapenzi matamu kama yale yalioanza na kuegemea kwenye urafiki, mara nyingi mapenzi ya namna hii huwa hayana kukinahi wala kupauka kwa vile wote wawili mnafahamiana vema kama marafiki hivyo mnakuwa tayari mmeweka msingi mzuri kabisa wa maisha yenu ya baadae kama wapenzi.

Ni matumaini yangu utayafanyia kazi yale yote yaliyoelezwa na wachangiaji, mimi kama Dinah nasema dada, go for it....muonyeshe tu kuwa safari zako zooote hapo umefika na mabegi umeshusha....

Kila lililo jema.

Comments

Anonymous said…
Unataka kupoteza rafiki au unataka kuheshim hisia zako? Diferentiate the two madam,, pole kwakuwa njia panda.
Mama juniour
Anonymous said…
Mimi kama ni mvulana nahisi umempa wrong signal, umemuonesha kwamba mnaweza kuwa zaidi ya marafiki, umemchanganya kuanzia tangu mwanzo. Mfano a) umezipokea zawadi. b) Unamuongelesha kila siku kama vile boyfriend na girlfriend. c Umeukubali muwaliko kwa wazee wake.
Hakuna tabu ya kujiwa hisia zake, ziko wazi kabisa tatizo liko kwako. Mimi nahisi pia wewe unampenda, manna hauoni raha kama haukuongea naye, lakini kama hupa tayari mweleze, usizidi kumchanganya, labda ikiwa hampo pamoja utarialize how much you miss him too. Lakini hakuna urafiki baina yenu, jamaa kakuzimia humuwezi kuwa marafiki .
Anonymous said…
Mimi umbeya umenizidi, nataka kujuwa uhusiano wako ba baba mtoto uko vipi? pengine wewe uko mguu ndani mguu nje, you hold your past. pengine unahisi uhusiano wako na baba mtoto mzuri kwahiyo ipo tamaa ya kuwa naye tena.kwahiyo hujuwi la kufanya, uende mbele au urudi nyuma unaongeya na jamma kila siku wat do U expect from him?
kkmenace said…
Inaonekana wote wawili mnatakana lakini mnashindwa kuambiana. Cha msingi ni kama wewe uko bold enough bora umwulize ili uondoe dukuduku na wrong assumption. Ni kitu kibaya sana kuassume jambo ambalo silo. Kama yeye feeling zake hazitakuwa huko basi usilazimishe na wala usiumie, of course itauma since wewe unampenda lakini in a few days time utapoa tu, na urafiki wenu utakuwa stronger zaidi, believe me. maana kama utaweza kuget over that fact lazima mtakuwa marafiki wa kudumu na yeye atakushauri kama utapata rafiki mwingine na wewe likeweise. so be bold and take the step. I believe a 34 year old woman hahitaji kuishi on suspense. please mwulize.
Anonymous said…
Vipi mambo mwanamke mwenzangu
Najua ulishaonja mboo kwa hiyo ukipata tu uhusiano na mtu unakumbuka utamu wake na unashindwa kuvumilia lakini
Mimi nahisi haina haja ya kumwambia
si unaenda hivi karibuni wewe msubiri kwani mwanamme hawezi kuendelela kujizuia atakwambia madam hata kwao kishakualika!

Sasa unaposema umwambie una maana unataka kutombwa kwa sasa au! Kama kumwambia tu kwa nini una haraka na mtu mnaongea na anakualika wewe ngoja tu atakwambia nia yake kama kukuoa au vipi hapo tena ndio utaamua!

Kila la kheir
Anonymous said…
Ni hulka tuliyojijengea kuwa mwanaume ndiye anayemtaka mwanamke. Na hulka ambayo sasa inapungua,kwani wapo wanawake wanaowatongoza wanaume, tena sio kwa siri hata ndani ya daladala tunawasikia.
Kupenda hakuna `mume' au `mke' na upendo unaweza ukaja kwa njia tofauti. Unaweza ukapenda kwa kuona matendo, au kwa kuona sura au kwa kuzoeana.
Mnapopendana, tatizo linakuja kwenye`kujenga uaminifu' kuwa kweli nampenda,na ndio kama nampenda lakini je na yeye ananipenda!
Majibu ya maswali haya huwezi kuyapata kama ndoto,yanahitaji ujasiri, yanahitaji kukutana na kuelezana ukweli. Wapo ambao walichelewa kusema ukweli wakajikuta mke sio wake au mume sio wake wamechelewa.
Huenda naye ametatizwa na wasiwasi kama wako, na yupo katika kutafuta muda muafaka. Na muda huo umekaribia, ni wewe siku ikifika mweleze, sio lazima akuanze yeye.
Tunawatakia mafanikio mema
emu-three
Anonymous said…
WAZO:Dada Dinah Kutokana na hili swali, nafikiri ingefaa utuwekee mjadala wa `Ni kwanini wanaume ndio wawatongoze wanawake, na je kama wanawake wakiwatongoza wanaume na kusema ukweli kwa wanaume kuwa `nakupenda, nakuhitaji nakutaka uwe mume wangu'kuna ubaya gani? ni vibaya, na kwanini. Kuna wanaume waoga wana aibu je hawa watasaidiwaje kama wanawake wasipojotosa kimasomaso.
emu-three
Anonymous said…
Mweleze tu Ukweli vile unafeel Juu yake.au unaweza Mweleza kupitia maswali i meant conversation then utapima from Respond.i hope umeelewa nini na maanisha.

calca
Anonymous said…
Dada, sie wanaume sio mara zote tunatongoza, kuna wakati unajenga tu mazingira ya kumtomba mwanamke bila kumtongoza,

Hii inategemea na mwonekano wako siku ya kwanza. kuna watu wako serious sana u napowaona siku ya kwanza,

Wanawake wa namna hiyo ukitongoza wanakutosa straight. so inabidi umjengee mazingira ya yeye kukupenda, believe me amesha kusoma feeling zako na hiyo siku akija atakutomba.

Wee jiandae tuu kwa kutiana na zidi kumlezea macho punde akiwa hapo kwako na vaa kimtego si upo kwako?.

Bahati yake kijana mwenzetu, maana hakuna ngono tamu kama hiyo ya mtindo huo.

Joe...
kindiki@gmail.com.
Elly said…
Duh!,hii blog kuna mambo!,sasa dadaa,wewe ndie unaonesha kuwa tayari umeanza kumfeel mchizi,kama vipi mchane live ili ujue nae anafeel nini juu yako,mambo ya kusema eti umsubirie ili aanze yeye,shauri yako ndugu yangu kwani cku hizi cc wanaume suala la kuahirisha feelings lipo karibu mno.We mueleze live na najua hawezi kukataa,so akikubali tu hata kama kiuongouongo,wewe ndio chance yako kubwa ya kumuonesha mahaba mpaka umkamate na atakamatika kweli.Asikwambie mtu wanaume tunapenda kupendwa kuliko kitu chochote.Ni hayo tu dadaa.
Anonymous said…
Amw kweli, waswahili wansema 'kwenye miti hakuna wajenzi" Yaani mdada ana-feel kudonolewa, jamaa liko zizi!!! jamani ningekupata mimi wewe dada ningelalia nusingizi hapohapo.

Mimi nakushauri tu jitepeke mama, acha kujivunga na huku mate yakudondoka.Bila shaka hata mwanaume ana-feel ila labda ni mwoga kidogo au anakutegea ili ujitopeke halafu apate ile tunaita loop hole ya kukukandamiza hasa akijua lililo moyoni mwamko ni kwamba wewe ndiye umemchokoza kwanza wakati na lenyewe lilikuwa linajivunga tu.

Jitose bibie acha kulala na njaa na chakula kipo bwelele.Hebu tupe mahali ulipo labda wengine tuko karibu nawe tunaweza kumtime jamaa ahangae tu tumeishachukua namba.tafadhali sema uko wapi na anwani yako.Kama utakuwa hapa Ughaibuni mambo yatakuwa mswamo kweli kwangu nitapanda pipa hata kama uko mbali nami.

Kila la heri mdada.
Anonymous said…
Wewe kama umesema umemwalika kwako baada ya two weeks mtakuwa wote. Hakuna kilichoharibika hapo we akija unamkaribisha vizuri unamwandalia anaoga fresh mnakula wakati mnakula sasa pale kuna zile za kichokozi kwani huzijui wewe zile zenu mademu? Unampa zile pale baada ya hapo unamkaribisha bedroom nakuhakikishia siku hiyo lazima utatombwa tu piga ua.Halafu nikuambiye kitu hakuna mwanaume anayepoteza muda wake kwa demu ambaye hamfeel hata cku moja.