"Hello dada dinah. Nakupa pongezi kwa kazi unayoifanya ya kushauri watu mbalimbali kuhusu mambo ya mapenzi. Mimi nimekumbana na mkasa na nashindwa kuelewa kama nilikuwa nachezewa akili au la.
Maana haijawahi kutokea maishani mwangu. Hivi majuzi nikiwa Nairobi nilikutana na mrembo mmoja ambaye nilikuwa nafahamiana nae kwa muda mrefu (lakini sio mahusiano ya karibu sana). Sasa huyu dada alinichangamkia na akawa ananipa company pale ninapokuwa free kwenye shughuli zangu nilizoenda kufanya hapo Nairobi.
Labda niwaeleze pia kuwa nilikaa Nairobi kwa muda wa wiki mbili tu. Sasa siku moja nilitoka nae(huyo dada) out na tulipokuwa katikati ya maongezi yetu aliniambia kuwa hana hamu ya kulala kwake. So nikamchomekea kuwa aje kulala kwangu.
Kwa maajabu akakubali. Basi ilipofika mida ya usiku kama unavyojua tena kidume majaribu yakanizidia. Hivyo nikaamua kumtokea. Kwa kweli huyo dada alikataa kata kata kunipa mchezo. Alikubali nimguse baadhi ya maeneo ya mwili lakini sio sehemu zote.
Na pia wakati tumelala alivaa suruali na blouse. So you can imagine jinsi alivyoziba direct access kwenye mwili wake. Nilipojaribu kumbembeleza alikataa na kusema kuwa hayuko tayari kufanya kitendo na pia yeye haitaji kuwa na mtu kwa sasa.
Hivyo nikaamua kuheshimu matakwa yake ingawa kwa shingo upande. Sasa je dada dinah na wanablog wengine. Hembu niambieni huyu dada alikuja kunichezea akili tu au alikuwa anataka nini?
Je ningetumia nguvu kidogo na kumvua nguo na kutombana nae ningekuwa nimefanya makosa?? Mpaka leo ananisalimia na anainsist close friendship. Nipeni ushauri wakuu. Maana hili ni kasheshe sijawahi kukutana nalo.
Wenu mdau.....David"
Jawabu:David nashukuru kwa kuniandikia. Natumaini wasomaji wangu wamekupa majibu yaliyosaidia kuelewa kwanini hasa huyu binti aligoma kungonoka na wewe siku hiyo. Ila nakupa hongera sana, na hapo naweza kukuamini kuwa kweli unampenda huyo binti, angekuwa mwanaume mwingine mjinga-mjinga angebaka.
Wanawake hatutongozi wanaume kama wanaume mnavyotongoza, wanawake huwa tunatumia uanamke wetu kutuma ujumbe kuwa "tumekuzimikia", lakini kama hujaona au unajifanya kudharau (play hard to get) mwanamke anaweza kukata tamaa au anaweza kutumia mbinu nyingine anayoona inaweza kufikisha ujumbe na wakati huohuo kujua kama mwanaume huyo anahisia kama zake.
Sasa kutokana na maelezo yako huyu binti ni wazi anakutaka wewe kama mpenzi lakini hukuliona hilo hapo awali mlipokijuana na kitendo cha yeye kusema kachoka kulala kwake na kukubali offer ya kwenda kulala kwako ni wazi alikuwa anataka kujua msimamo wako wa kihisia....kwa kifupi alikutongoza.
Huyu binti anataka uhusiano "serious" na wewe na kutokana na "mawazo" ya wanawake wengi ni kuwa kufanya ngono siku ya kwanza ni kujidharaulisha na pengine kuna weza kum-put off mwanaume na kukudhania wewe ni "maharage ya mbeya" yaani rahisi, kama tumengonoka mara tu baada ya kukutana utakuwa umengonoka na watu wangapi kabla yangu.....mwanaume atajiuliza.
Lakini ktk hali halisi kufanya ngono ni makubaliano yenu ninyi watu wawili ambayo yanategemea zaidi mmefahamiana kwa muda gani, unajisikia comfy kiasi gani mbele ya mtu huyo, nguvu za hisia zenu na Chemistry itakayojitokeza pale miili yenu itakapokuwa zero distance. Kufanya ngono siku ya kwanza haina uhusiano na tabia ya mtu au sio kigezo kuwa mtu huyo ni mlala ovyo(Malaya).
Huyu binti inawezekana kabisa kuwa anakupenda na ndio maana alikubali kabisa kubadilishana mate na wewe nakushikana hapa na pale ila anataka muwe na uhusiano mzuri na wakudumu sio ule wa kungonoana kila mnapokuwa na hamu (casul).
Nini cha kufanya- Kubali kuwa na urafiki nae wa karibu kama kweli unampenda na sio kwamba unataka ngono tu kutoka kwake. Utakapo kuwa kwenye uhusiano ambao ni urafiki itakuwa rahisi zaidi kuwa na uhusiano madhubuti ambao utakuwa umejengwa ktk misingi ya urafiki.
Nenda taratibu na kama kuna "kemikali" zinazoendana kati yenu basi mambo yatakuwa mambo before you know it.
Kila la kheri.

Comments
Au unakimwana mwingine
MM
The girl knew that this is a man and yet she wanted to spend a night in a male room.???? What a fuck was she expecting from the guy? Hii hainijii akilini. Kama hakutaka kungonolewa alikuwa anataka nn?, halafu anavunga kulala na blouse. David next time akikuambia hizo nonsense jichukulie sheria on the hand are u a man enough?? Haha
Bubbles
Mimi
Kuhusu maoni yenu kwa kweli nimeshamwambia kuwa nampenda ingawa bado msimamo wake uko pale pale.
Kwa kweli hii ni mara yangu ya kwanza kukutana na kasheshe hili. Thats why nimeomba ushauri wenu. Sina nia ya kumpotezea mtu muda kama anonymous wa 2:48 anavyosema.
Mie sina mwanamke yoyote kwa sasa. Kwa hiyo mawazo yangu yote yapo kwa huyu mrembo, na sina nia ya kumchezea.
Lkn pia kuna uwezekano kuwa angekupa siku hiyo ungeona easy going, so ungepiga chini au anakuwa reserve yaani vile simba akikosa nyama basi anakula hata nyasi!!.au kicheche tu!ss basi dada hakutaka kuingia kwenye huo mkenge, na pia anaweza kuwa alikuwa anapima imani yako ktk ngonolization,pia there is no logic/necesity kwamba mtu akikubali kuwa nawewe means unaanza kungonoka the same day, the reason being future aspect,kwa ambae hana future na wewe it was very easy kukupa lkn huyu amejaribu hilo, huwezi jua pia kuna wasichana wengine hawana bahati au wanakutana na wahuni tu walaji na kulala mbele [kuna kundi kubwa sana la watu hivi ktk maisha ya sasa believe me or not kwa pande zote 2], aidha jinsi ulivyo if ur serious kama mimi hapa itakuwa ngumu kwa maana ya heshima [namna mnavyo fahamiana toka cku za nyuma], so alitaka kujenga cofidence kwamba she is firm [men yeyote yule aliye serious atapenda mke ambaye anamsimamo/ katulia/
hababaishwi na vidume vingine hata kama huyohuyo mme ana small hausi!!!, pia huwezi jua anajua data zako so alikuwa undecided whether aingie kwenye game au alifikiri aweke kaugumu kidogo then ataachia lkn ww uka surrender
Binafc naona alikubania tu kidogo kwani haja kuzoea,kuna factor nyingi hapa, kama life style yako,caring, income,class yako ili mardi tu asikuboe kwa maana ya easy going na vitu kama hivyo but this is logical to focused ladies targeting to win future possibilities basing on the same.
However u need 2be careful kama kweli upo serious for real milango ipo wazi hapo weka sera madhubuti utampata atakuwa wako na kwakuwa ulionyesha uharaka wakutaka mechi kuna uwezekano ukachelewa kupata ikiwa atataka uwe na serious commitment ingawa atakubali haraka ili kuilinda hiyo nafasi
kuhusu kutumia nguvu kama hakuwa kwenye mood it was wrong, chochote kingeweza kutokea, wanawake siku hizi wanalindwa every where usiwachezee kizembe utaenda segerea bure maana hiyo ni sawa tu na kubaka. all the best
lajk.
Kwanza nikumabie kwamba huyo mdada na akili sana.Alishakukupima na kukuona wewe ni kaputi kabisa.Unajua kwa nini?Alikutegeshea tu kasentensi kamoja"Leo sitamani kulala kwangu" wewe haraka ulale kwangu.Mbele ya msichana unaonyesha udhaifu waziwazi hivyo?? Je, ulipoingia naye kule chumbani ulitegemea nini?Bila shaka hukuwa aware of what she meant. Nakupa pole.haraka haraka haina baraka David.Wasichana hawapo tu kwa ajili ya kutombwa.Wana malengo madhubuti kwa ajili ya maisha yao.
Mpaka hapo bado hujawa mjanja akilini maana unasema eti bado ananitaka r/ship hujui kuwa ulikosea mastep pale mwanzo?? uliancha lengo lake wewe ukakimbilia kutoa mboo haraka>labda nisikulaumu maana umesema ndo kwanza mkasa huo umekumbana nao.akini je, hata wasichana hujawahi kukutana nao?
Huyo msichana anastahili sifa, kwani alikufunza adhabu ambayo ni fundisho hata kwa wengine wenye vihelehele vya ngono kama vidume vinavyobarehe visivyo na break.
haya ndugu yangu sasa uanze na hatua moja namna ya kumkabili huyo dada kwa kuelewa vizuri lengo lake hasa.Usikurupuke tena na kudai eti mbona siku ile uliniwekea ngumu.hayo ulijitakia mwenyewe.
Kwa kumjibu anonymous 12:24, niliposema ana msimamo nilikuwa namaanisha kuwa hajakubali kuwa nami but anataka urafiki wa karibu wa kawaida.
Pia kama anonymous 10:10 anavyosema. Nimepata picha kuwa inawezekana alikuwa anafikiria ningemchukuliaje kama angenipa siku ile. Maana after two days aliniuliza swali kwamba mimi nilichukuliaje alipokubali kuja kulala kwangu?
Kwa kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza(Labda kwa sababu nimempenda ndio maana sikuona mitego yake). Bcoz nimeshakutana na mitego kadhaa lakini nilikuwa naishtukia.
Kweli nimejifunza mengi. Thanks everyone for your comments and ideas.
Ngoja nikajazie sera.....
David.