Sup yo!
Baadhi yetu tumekuwa na mahusiano ya kimapenzi na watu tofauti ktk safari yetu ya kimaisha, kwa kawiada kama ilitokea ulitoka na wanaume/wanawake 2 kwa nyakati tofauti na hatimae kuwa kwenyeuhusiano lakini wote wana Tamaduni moja kama yako, inakuwa rahisi kuendelea na uhusiano mpya bila kuona tofauti ya mapenzi unayopokea kwani utakuwa umeisha zoea kutoka kwa yule wa awali(ulieachana nae).
Ukianza uhusiano na mtu mwenye utamaduni wa Kiafrika alafu labda uhusiano hakuenda vema mkaamua kuachana na ukaja kuwa na mtu mwenye Utamaduni wa Kimagharibi ni wazi kuwa utahisi huyu wa Kimagharibi anakupenda kuliko yule wa kiafrika na hapo ndio ile sentensi maarufu ya “wanaume wa kiafrika hawajui mapenzi” inapojitokeza.
Hali kadhalika ukianza uhusiano na mtu mwenye utamaduni wa Kimagharibi kisha ukaachana nae na kwenda kuungana na mwenye utamaduni wa Kiafrika utahisi kutopata “vikorobwezo” vyote vya kimapenzi kama ulivyozoea na hivyo utahisi/tamani kutaka kumbadilisha kwa vile kile ulichokizoea kutoka kwa “mmagharibi” hukipati kwa “mwafrika”.
Vilevile uki-date mtu kutoka nchi za Kiarabu na kule Mashariki bila kusahau Asia khabari inakuwa tofauti kabisa ikiwa utakutana na mtu mwenye Utamaduni wa Kiafrika au Kimagharibi.......
Kwa kifupi Wanaume wa Kiafrika wanasifika kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuridhisha mwanamke kwa nje-ndani kwenye sekta ya chumbani na Mwanamke wa Kiafrika anasifa ya kuwa wa “moto “na kuongeza hamu kwa mwanaume ya kuendelea kufanya mambo fulani bila kusahau sifa kubwa kabisa kuwa hawachoki(pretending kuwa una-enjoy kumbe umejichokea ka’ punda mtoto).....
Wanaume wa Kimagharibi wanasifa ya kujua kucheza na mwili wa mwanamke na kumridhisha ki-romance kabla hajamalizia na mambo fulani, wakati wanawake zao wanasifa kuu ya kutokuendeleza ugomvi (pretending things are ok) wakati sisi wanawake wa kiafrika hatuna hiyo.....ukiniudhi u’ll c it on my face and everything else.....
Lakini hayo yote niliyoelezea hapo juu sio mapenzi niliokusudia kuyaelezea, hayo huja mwisho wa siku. Mapenzi ninayozngumzia hapa ambayo sote tungependa kuonyeshwa, yale mapenzi yanayotufanya tuhisi kwamba hakuna matatizo hapa duniani, ni mapenzi ya vitendo a.k.a kuwa affectionate(nilizungumzia jinsi ya kuwa affectionate kwenye makala za nyuma) ambayo mimi binafsi nadhani kuwa sote wake kwa waume tunahitaji kuwaonyesha wapenzi wetu bila kujali the rest of the world.
Sasa ikiwa wewe umekutana na mpenzi ambae hafanyi vile vitu ambavyo wewe unahisi kuwa ndio mapenzi yenyewe (kutokana na ulivyozoea......ki-Univesal) basi usisite kuliweka wazi hilo kwa mpenzi wako mpya amabe yeye anaamini kuwa “affecionate” ni mpaka mjifungie chumbani.
Kufanya hivyo hakutokufanya uonekane umeiga bali ndio hali halisi ya kwenye uhusiano wa kimapenzi uliowahi kuwa nao hivyo ukikutana na mtu ambae hakupi yale uyajuayo ni wazi kuwa utahisi kuwa "hakufai"....si ndio?
Imagine wewe mwanaume umezoea (kutoka kwa mpenzi wako wa kwanza) kupigwa busu-mate mara tu unapofika nyumbani, sasa umekutana na Dinah binti wa kiswahili wala sina habari......si utahisi sivyo-ndivyo?
Au wewe Mwanamke umezoea (kutoka kwa mpenzi wako wa mwanzo) kuvuliwa na kupigwa nje-ndani akaimaliza kalala, sasa uko na Noel mkaka mwenye Utamaduni wa kimagharibi anaanza kukushika, kukulamba na kukubusu kwa takribani dk 45 kabla hajakufanyia mapenzi.....jamani si utahisi Peponi kumekushukia siku hiyo?
Inapendeza sana na hakuna ubaya ikiwa wapenzi mtachanganya tamaduni (kutokana na uzoefu wenu) ili kuwa na mahusiano ya kimapenzi mazuri, yenye afya na thabiti......kufurahia maisha ndio sababu ya kuishi.
Mida-mida basi....

Comments
NIMEONA TOFAUTI KATI YA WANAUME WA KWETU NA HAWA WA PWANI,KWANI HATA WIFI ZANGU NILIPOOLEWA WALIKUA WAKINIONESHA NAMNA YA KUMKIDHI HAJA ZAKE MUME WANGU YANI KUJISHUGHULISHA KITANDANI NA KUTUMIA MARASHI YANI UDI NA PAFYUM ZA MAHABA ZAKUMTIA NYEGE MWENZANGU!!
NAJIFUKIZA UDI KWENYE SEHEMU ZANGU(MASHINENI) KABLA YA KULALA KILA SIKU NAHII INAMPA ASHKI MPENZI WANGU YANI KILA SIKU NAPIGWA ZIKIWA KIDOGO3 MPAKA5.HAPA NILIPO MWEPESI KABISA.PIA NAVAA CHACHANDU AU CHENI KIUNONI NA KIJIKANGA CHANGU KILA JIONI HUKU NIKIWA NIMEJIPODOA.
NAWASHUKURU MAWIFI ZANGU KWA KUNIPA TECHNIKI.MWANZO NILIKUA NAONA HAYA KUNYONYWA NA KUNYONYA KUNAKO BUT SASA HIVI FUNDI MIMI KABLA HATA HATUJAANZA NAAKIKISHA KAKOJOA MOJA MDOMONI KWANGU, NAE ANANIFANYA NASHUKA MOJA KABLA YA MCHEZO