Utajuaje ni "Good in bed"

Hili ni swali nimelipokea kutoka kwa msomaji wangu na linakwenda kama ifuatavyo;

"Dada Dinah nimekuwa nikisikia watu wakisifia wapenzi wao kuwa they are good in bed lakini nashindwa kuelewa ni kitu gani hasa kinapaswa kufanywa ili na mimi niwe good in bed? Amisha."

Amisha asante kwa mail, kuwa mzuri kitandani inategemeana na mpenzi wako ni kama vile uzuri wa sura, upo machoni mwa mtazamaji au mwenye macho sio wote watakao kuona mzuri.

Hali kadhalika ktk ufanyaji wa mapenzi ni hivyo, kuna baadhi ya wapenzi ukuwa unaweza kumfikisha kileleni kila mnapofanya basi wewe ni bingwa, wengine ukiwa unabadili mikao na mitindo kila dakika tano basi wewe ni championi (u dont actually enjoy) lakini ndio hivyo tena kwake ni hakuna kama wewe duniani vilevile kuna wale ambao wanahesabu mara ngapi mmefanyana kwa siku na kwao wewe ni bonge la mpenzi.

Pia wapo wale ukipiga kelele wakati unafika (hajawahi kupigiwa kelele) basi atakuona wewe ni bab-kubwa kunako kitanda, bila kusahau wale kuna baadhi pia ukiwapa ngono ya mdomo, kunywa na kumeza shahawa wanatangaza ndoa hapo hapo........nakadhalika.

Hivyo inategemea zaidi na mpenzi wako japo kuwa sio mbaya ukiwa mbunifu na kuboresha namna ya ufanyaji wako mara kwa mara.

Hebu tuambiane leo (wake kwa waume) unafikiri ni kitu gani mpenzi wako akikifanya wakati mnafanya mapenzi utampa sifa kuwa ni mzuri kitandani?

Mimi nitalianzisha hapa na wewe endelea sio? Poa,
Mimi binafsi nitakuona mzuri kitandani ikiwa utakubali Condom itumike kama kinga ya mimba (japo tumefunga ndoa), unajua tofauti kati ya kungonoka na kufanya mpenzi, vilevile kutumia muda wako na kufurahia kile tunachokifanya, bila kusahau kutowekeana "limit" yaani niachwe niwe huru kushika na kuramba popote.....

Na wewe je?.....karibu.


Comments

Anonymous said…
Dada Dina (baadae nitauliza swali lakini kutokana na maelezo yako), kwangu mimi mpenzi wangu ni bingwa kwanza kwa kuwa ananifikisha kileleni na ananijali kipindi cha ovulation. Kweli huwa ananikuna mno kipindi hicho na kwa kuwa ananifikisha kilele basi hapo ni babu kubwa!
Pili, anaponifanyia romance ya nguvu. Yaani kunibusu kuanzia kwenye utosi hadi kwenye wayo. Unajua Dina, mimi mwenyewe nilikuwa sijijui maeneo yangu yenye mwitiko. Basi jamaa anaponitalii akigusa mahali lazima nimstopishe, yaani agande hapo kwanza ili raha yoote niipate. Basi sasa ameshanijua poote. Akiwa ananitembelea kwa ulimi, hapo kwa kweli huwa nampa zooote.
Mwisho, ili niwaachie wenzangu nao, nampenda sana na ninamind kama nitaona nami nimemchanga kwenye mahaba. Wakati namfanyia mamjambo huwa nafurahi sana nikiona amechanganyikiwa na kutamka visivyotamkwa, hapo nami huwa nasisimka sana na tunamaliza pamoja kwa raha zetu.
Swali: Naomba tofauti kati ya kungonoka na kufanya mapenzi. Maana mimi nilikuwa kwenye blog yanatumika nadhani ni sawa.
Asante dada Dina na muuliza swali.
Anonymous said…
Hiyoee imetulia, ngoja nifikirie(yaani hapa naiita hisia, nikukumbukia tukio).
Ndio dada Dinah, mimi kitu ambacho mpenzi wangu akinifanyia nitampa sifa, kimojawapo ni `kuwa muwazi kwangu'
Pale anaponiambia nifanyie hivi au vile, mimi napenda na nitampa sifa kemukemu. Sipendi `ububu' katika shughuli, sina maana ya kuongea tu, aaah, `kunieleza' `na-ta-ka', 'ni-ti-e ha-pa...'namna kama hivyo, hiyo ndio nataka.
Kingine `kuneng'emka' yaani kukatika kimahaba. Sio kujikatikia tu, kuna namna fulani hasa `anapokuwa juu' au hata nikiwa juu, akawa amelala kifudifudi na kuniachia mali yote...wee acha tu.
Kingine `kulainika viungo' yaani mnapokuwa tayari, viungo vyake asivikaze, ajilegeze, awe laini, kwasababu gani, `dume' ndiye anatakiwa awe `ngangari', sasa na wewe `mke' ukijing'ang'ania viungo siitakuwa kama miereka...`its not a brutal sex (kubaka)...
Kingine...
Ngoja nisubiri wengine nao waseme
emu-three
KKMie said…
Anony @11:56:00 PM, Kufanya mapenzi na kungonoka vyote ni ngono kwa tendo ni lilelile ka kuingiza uume ukeni lakini ufanyaji wake au utendaji wake ndio unaoweka tofauti.

Kufanya mapenzi ni mchanganyiko wa lots of romance na kutoharakisha kuingiliana kimwili nahapa kila mtu ana-namna yake nitakupa mfano kidogo.

Wewe na mpenzi mnachukua muda wenu kuchezeana na kupena raha ya miili yenu kabla hamjaingiliana na mnapoingiliana kuna kuwa na zile movements za kimapenzi yaani hata kama ni kukata kiuno kinakatwa taratiiibu na kama ni kupiga tako(jamaa kutia) basi anafanya hivyo taratibu kwa manjo-njo yaani anatia kwa minimum speed alafu anaipunguza kisha nakuwa kama vile anagandisha (bila kuacha kabisa) na huku wewe unasikilizia kila hatua ya kiungo kinavyokuingia ukeni na kutoka.

Wakati huo huo mnanyonyana na kulambana sehemu za usoni (na vifaa vyake), shingoni vilevile yeye anaweza kunyonya matiti huku anasukuma kiungo ndani ni tamu hiyo wee acha tu.

Kuna kuwa hakuna swala la kubadili mikao itakayokusababisha kuhama eneo na mkao mzuri wa kufanya mapenzi ni kifo cha mende au ubavu hasa kama mwanaume ni mrefu mambo yanakuwa bomba sana.

Hii kufanyamepzni pia ni njema kama mnataka kumimbana (u make a baby) inakuwa so emotional umewahi kujaribu? hehehehehe yaani ile hali ya wewe kutambua sasa jamaa anamwaga na ndio mtoto anaenda kutengenezeka inakuwaga bomba mno yaani sisemi sana nawaachia mkajaribu ambao mnampango wa kuwa baba na mama ndani ya ndoa lakini ei!

Kungonoka ni ile hali ya wewe na yeye kufanya romance ili kuandaana yeye asimamishe (kama hajasimaisha) na wewe upate unyevu ili muingiliane kwa urahisi kisha shughuli inaanza na mikao inabadilishwa kila dk 5 kama sio kila dk 10......kama umewahi kuangalia porn utanielewa vema, wale jamaa hufanya ngono na sio mapenzi.

Ktk mahusiano yetu ya kimapenzi huwa tunafanya ngono zaidi kuliko kufanya mapenzi.

Natumaini nimeeleweka,asante kwa ushirikiano wako.
Anonymous said…
Mimi mwanaume akinishukia chini bila kuombwa yaania najua wajibu wake namuona mshindi yaani sio tu kuwa ni mzuri kitandani bali atakuwa ni mpenzi bora.
Anonymous said…
Nafurahishwa sana na maelezo yako unayotupatia, Ningependa unipatie email yako wanayotumia wanablog hii kuwasiliana na wewe ili nikueleze tatizo langu kwani naogopa kuandika hapa kwenye comment.

Samahani kutoka nje ya mada
KKMie said…
Ikiwa unaogopa kuandika hapa inamaana hata ukiwa na email yangu ambayo iko kwenye profile langu hapo juu upande wa kulia hutotaka niweke hapa swali lako si ndio?

Napenda tu kukuhabarisha kuwa sijibu mwaswali via mail, ukiniuliza kule naliweka hapa ili na wengine wenye tatizo kama lako wajifunze na wakati mwingine inamsaidia aliyeuliza kupata mawazo/majibu tofauti ya watu wengine.

Vilevile huitaji kuogopa kuweka swali lako kwa ku-comment kwani hapa tuko wazi na tunajifunza kwa uwazi, hakuna kuogopa wala kuona haya/aibu.

Karibu sana.
Anonymous said…
Mmm! Dada Dina ninakuaminia. Babu kubwa kweli. Asante sana kunitofautishia kungonoka na kufanya mapenzi. Nimekupata kisawasawa.
Pili naomba nimsaidie pia anayeogopa kuuliza swali, labda kama anakutaka kama Dina akuonje, hahaaha! si inajua tena, wengine huwa wanasoma hapa wanapagawa na Dina. Lakini sasa sijui kama huyu ni mwanamke au mwanamme. Nakushauri uulize tu swali lako lakini usiandike jina kama ulivyofanya hivi. Kama Dina atahitaji kuonana na wewe atakuambia na atakuona kwa kweli. Huyu dada acha tu, tulioonana naye tunamjua. Ila tu kwanza pata ujasiri uliweke hata kwa kulipindisha kidogo tu ili mpenzi wako au rafiki yako asijue kama ni wewe.
NI ushauri tu.
Anonymous said…
Akina dada apo juu mmenikuna...hapa naona sitakiwi niseme kitu Boss Dinah kasema ni kwa wanawake tu

Papaa
KKMie said…
Hapana Papaa nimesema wake kwa waume...embu soma vizuri tafadhali.
Anonymous said…
mwanaume atakuwa mshindi kwangu ni yule atakae chukua muda mwingi kuniweka tayari, pia kugundua sehemu za miito. sipendi wale wanaume wanao anza kuchomeka. mtu anaeparamia kam guta la wizi
Anonymous said…
habari dada dinah.. na wana malavidavi wooteee...

me mpenzi wangu kwa kweli kwanza napenda anithamini.. athamini kile tumachokifanya nikimaanisha ajue tunafanya mapenzi.. so inakuwa more romantic..

napenda ani-rom HASWAAAA... kila pahalii, chumvini nini.. hehe..

na zaidi tukiwa kunako majamboz awe mwanaume.. means nataka kumuona alivo mkakamavuuu spendi mdebwedooo... kuwa mkakamavu sio kuwa harsh au MGUMUUU... namaanisha awe kama mwanaume.. nijiskie na kujiamini kuwa niko na kidume.. HAPOOO NTAONA KWELIII MPENZI WANGU AYAJUA MAJAMBOZ..

THNX...
Anonymous said…
Jamaa yetu mmoja kaogopa `kueleza matatizo yake' hapa. Mimi kwa ushauri wangu, kama ukikosa ujasiri wa kelezea hapa inakuwa kama vile ulivyoshindwa kulitatua tatizo lako mwenyewe. Ni vyema ukatuelezea, huenda wengineo tuna tatizo kama hilo, na utakapoliweka wazi tutakuwa tumefaidika wote tukipatiwa jibu na dada yetu.
Jua kuwa na wengine watabainisha jinsi na wao walivyofaidika au walivyolitatua. Tunaomba usiwe `mchoyo' tafadhali.
Jana nimeulizwa swali, siunajua tena, wengine wakikuona `umetulia na mwenzako' bila `longolongo' wanahisi `kuna kitu tunatumia', wazo lake kama yule wa `limbwata.
Yeye alikuja na dukuduku kwamba `kwanini wanaume wanafikiria `ngono' sana kuliko wanawake. Anasema `wao' wanawake wa majumbani, wanakuwa `busy' na familia muda mwingi, na kwasababu hiyo wanachoka sana, kiasi kwamba `wanaume wao' wanaporejea nyumbani wanawakuta `hoi' na `wachafu'. Wachafu ana maana hawajajiweka `kimaridadi. Kwahiyo wanakuwa hawana mvuto kama wake wa maofisini au wale ambao hawana `majukumu ya kifamilia'
Kwa hali kama hii inawafanya wanaume wao wawachoke haraka, na kutafuta nyumba ndogo. Sasa swali likaibuka, `watafanyaje ili wawadhibiti wanaume wao wasihangaike nje, na hali kama hiyo ambayo haikwepeki?!'
Jibu linaweza likawa rahisi, lakini `sidhani' litasaidia, najua wengi watasema `wakae wajadili, waelezane ukweli ulivyo, na ndivyo nilivyomuelezea. Alisema `i wish ungemjua mume wangu...' na akamalizia kwa kusema, `kwanini wanaume mnaendekeza ngono saana kuliko wanawake...'
Dada Dinah unasemaje kuhusu hili,ni kweli wanaume tunaendekeza ngono, hivi ngono inaendekezwa? na wadau wengine tusaidiane kuhusu hili.
mimi
emu-three
Anonymous said…
habari yako dada dina na wadau wa hapa,
jamani mie nina tatizo naomba mnisaidie kadri muwezavyo, kwa kweli mimi ni brown in colour ila tatizo hizi sehemu zangu za kwa bibi (kuma) zina weusi kidogo ambao pia ni si tatizo sana ila nimetoka vijipele vidogo dogo na kama ngozi inababuka hivi pembeni huku kwenye mashavu ya uke karibu na matako hapa chini vinaniwasha nahisi ni kama kaugonjwa ka ngozi hivi inanikosesha raha kwani nategemea kukutana na mpenzi wangu ambaye amekaa nje ya nchi muda mrefu anaweza asivutiwe na hizi sehemu zangu kwani anakaribia kuja bado mwezi mmoja tu jamani nisaidieni nifanye nini ili nikae sawa na mie akija mpenzi wangu niweze kujinafasi kwani anapenda kunishukia kunako chumvi plzzzzzzzz
KKMie said…
Vijipele hivyo huenda vinatokana na aina ya kifaa unachotumia kunyoa, mara nyingi uwembe ndio husababisha uotaji wa vipele ambavyo husababisha muwasho na baadae wakati vinaelekea kupona hutoa ngozi.

Hali hiyo inatokana na wembe kukata nywele na kuacha mzizi wa nywele (mavuzi) na hivyo mzizi wa unywele hujiviringa (si wajua nywele za kiafrika eeh? basi ndio hivyo)na kusababisha uvimbe juu ya ngozi (kipele) unapojikuna ndio unasababisha unywele kutokeza na kipele kupona kinachosababisha alama nyeusi na kuanza kutoa/banduka vijingozi.

Kitu cha kufanya ni kuacha mavuzi yakue kiasi kisha tumia "shaving jel/cream" baada ya kulowanisha kwa maji moto sehemu ya mavuzi kisha acha kwa muda au fuata maelekezo alafu ndio pitisha uwembe wako.

Pia unaweza kutumia sabuni ya kawaida au zile maalumu za kuogea na kupaka mahali husika (kwenye mavuzi) na kuhakikisha kunakuwa na povu la kutosha kisha acha kwa muda wa kama dk mbili tatu hivi kisha pitisha mashine yako ya wembe na mapele yatakoma kabisa.

Sabuni au "shaving jel" ikipakwa kwenye nywele hulainisha nywele na mizizi yake na hivyo unapopitisha wembe unaondoa unywele na mzizi wake, sio tu hutopata mapele bali zitachelewa kuota kwa at least siku saba kabla ya kunyoa tena.

Nyoa siku moja kabla hujaenda mpoke mpenzi wako.

All the best!
Anonymous said…
anon 9:51 ,jamani wahi hospitali mapema inawezekana ni fungus,doctor atakupa dawa na itaisha mara moja,acha kutumia sabuni kali zeneye manukoto wakati unaosha huko chini,pia vaa chupi za cotton tu,hakikisha unanyoa kila mara,na ZAIDI KUNYWA MAJI MENGI ZAIDI YA LITA MOJA NA NUSU KWA SIKU.
Anonymous said…
MI ningependa mwanaume anidekeze,kusema ule ukweli tataizo langu niko honest sana,so inanisumbua nikianza kuona dalili za mwanaume wangu kucheat matokeo yake napunguza mapenzi sana,natamani mwanaume wangu anifanyie kila kitu maaana yake ,anianzishie kabla ,natukiwa tunasex,aniambie maneno matamu na asikae kimya ,na ahakikishe nimekojoa or nimefurahia ,basi sina makuu mie nitakuwa wako daima.
KKMie said…
M3 nadhani ngono haiendekezwi ila tatizo la jamii yetu ya Kibongo ni kutokujua undani wa swala zima la ngono.

Kwa mtu ambae yuko "addicted" na ngono hakika kwenye jamii ataambiwa anaendekeza ngono lakini ktk hali halisi jamaa anamatatizo na anahitaji msaada kama ilivyo kwa walevi na watumiaji wa madawa ya kulevya.

Vilevile inawezekana mkeo/mmeo akadai kuwa unaendekeza ngono kwa vile wewe kila siku unataka, yaani hujawahi kutoka na sababu ya kukwepa...mpenzi akilianzisha umo, asipolianzisha unadai mpaka upewe hapo inamaa mpenzi wako ana anavutiwa sana na wewe(kila ukiwa karibu anataka uwe karibu zaidi kimwili) na pia ana "high sex drive" na sio kuwa anajiendekeza.

Kama uko na mpenzi wako (commited) mnapendana na mnauwezo sawa wa kufanya na kufurahia ngono ni kitu kizuri sana kwa afya yako.
Anonymous said…
asante san dada dina na mdau hapo juu nashukuru kwa ushauri wenu, nifanya hizo njia zote mbili, nafikiri ni kwasababu ya kushevu keani natumiaga lazer blade tu bila shaving gel na vipele hivyo vimenitoka baada ya kushevu
Anonymous said…
jaman askuambie mtu mimi nikibebwa na babaa akinipa romance najisahau kabisa wacha azame chumvini cjawah ona mwanaume kama huy na hatatokea sina haja ya kumsaliti hata kama anatoka njee lakin jins anavyonilick huw nakosa coment nabaki kutamka maneno yasiyo na nncha maji utaskia mmaa asant da dinna kwa kutuunganisha na kuchukulian mawazo