Kuchepuka kwa mwanaume!

Ni Ijumaa nyingine nakutana na wewe hapa ktk kupena kaukweli fulani ktk maisha yetu yakimapenzi, ngono na mahusiano.

Kuna sababu kibao kwanini anachepuka(nilisha wahi kuzungumzia baadhi hapo nyuma) nazo ni kupata "attention", Mapenzi, kubadili "play list" hahahaha I mean kufanya mambo mapya ambayo anadhani hujui au ikiwa yeye anajua basi anahisi hutokubali kuijaribu na kuridhisha uanaume wake (biology )......Waingereza wanamsemo wao unaokwenda hivi "Men have strong biological urges to knock on the door of neighbouring huts"....hey I'm not asking you to go and knock on ppl's huts hehehehe utapigwa mshale!

Kuna baadhi ya wanawake huwa wanajisifia kabisa na kujiamini kuwa "mume wangu anaweza kupitisha siku 5 bila kunisumbua kutaka ngono", na wengine wanakwambia hawapendi ngono kwa vile hawasikii utamu au hawapati raha yake na baadhi wanaifanya kila siku lakini inafanywa kama wajibu....kumbuka tu mwanaume (ambae ni open minded ) hafanyi kwa vile anataka kumaliza hamu zake bali anafanya ili kukuridhisha nakukufurahisha, hivyo anategemea mfanye tendo hilo kwa ushirikiano.

Mwanaume mwenyewe mpenzi/mke wake bila kuchoropoka basi ujue ama anaridhishwa kuliko au anapigana sana na hamu yake ya kungonoka nje ya uhusiano wenu kwa vile anakupenda kwa dhati.

Sasa wewe kama mpenzi/mke lazima utakuwa ukimjua mwenza wako kingono-ngono na hivyo kama yeye kitu muhimu kwenye uhusiano wenu ni ngono(sex) basi ni wajibu wako kumrudisha mpenzi wako kwenye mstari kwa kuipa kipaumbele ngono kuliko mambo mengine.

Kama hujui ni vipi basi nione na mimi nitakupa mbinu mbili-tatu za kukusaidia kumrudisha where he belongs.

Mpenzi msomaji nakutakia Mwisho mzuri wa wiki, kuwa mwangalifu ktk kila jambo utakalo lifanya.

Kwaheri kwa sasa.

Comments

Unknown said…
Dinah

Tunashukuru kwa mada hii. Naoana umegonga kwenye G spot ya ukweli. Nafikiri nilishawahi sema kwenye comment zilizopita kuwa kuna mambo kadha wa kadha ambayo yanaweza kuleta hali ya mwanaume kuchepuka

Moja: Kuna wanawake ambao pamoja na kuwa wameolewa, bado hawajiamini kwa kumwambia mpenzi wake kuwa wanataka kungonoana. Unajua ukweli ni kwamba mwanaume labda awe anaumwa, amechoka sana au kaudhiwa sana ndo anakosa hamu ya ngono. Lakini kumstart sio kazi kama mwanamke. Sasa mfano huyo rafiki yangu aliyesema kuwa mkewe mpaka apewe taarifa kuwa leo ni siku ya ngono ndo stimu ziwake, hapo jamaa kuchepuka mahali ambako hahitaji kutoa taarifa, yaani akishow up tu na kumtomasa mtu nyege juu

Pili: Kuna wale wanawake ambao hawajiamini vya kutosha, hawa huwafuatilia waume zao na kila mwanamke mwingine anayejuana naye mme wake ni mpenzi wa mume wake. Hawa wako so restrictive. Kumbuka wanaume wanapenda uhuru wenye heshima, sio kubanwa sana. Hapa mwanaume anaweza akachepuka kwa vile anaona hata kama hajawa na uhusiano wowote mke wake bado anamshukia kuwa anacheat. Kwa hiyo anaamua kucheat kiukweli.

Tatu: Kuna wale ambao kwa sababu zao binafsi huamua kuwa down hasa muda wanaonana na mume wake. Say wote mnarudi na kukutana nyumbani, halafu mume amechangamka lakini mke au mpenzi yuko down. Kuna wanaume wengine hupendelea kupiga simu nyumbani kusalimia katikati ya siku, lakini mke anapokea kama vile amelazimishwa, hapa inakuwa ni rahisi kumpa mwanya mwanaume kuchepuka maana anajaribu kupunguza muda wa kukaa home.

Nne: Kuna wanawake wanaweza sema kuwa anajisikia vibaya, jamaa anakaa kimya, hata akipona hasemi kuwa amepona mpaka jamaa amuulize. Hapa mwanaume anakuwa anafikiri kama yeye ndo anaonekana mwenye kutaka sana mapenzi wakati mwenzake hataki. Maana angekuwa anataka angesema sio.

Kwa kifupi ikichukuliwa kuwa kungonoana ni kuridhishana wote, basi wanawake wasisubiri wanaume wawaanze kwenye mchakato, nao waseme kuwa wanataka maana ni haki yao kama ilivyo kwa wanaume kuwa ni haki yao kuomba kungonoana.

Naona ninayo mengi ila nafikiri siku nyingine nitakuwa na mimi naandika tungo zangu za fact na kumtumia Dinah akizipima atazitundika au vipi Dinah

Mukulukulu Nzagamba
Anonymous said…
hapa naona umewaguza wenzako na wamekuelewa haswa dinah, hakuna swali wala maoni.