Mnaacha matumizi ya kondom ili kuzuia mimba na magonjwa mengine ya zinaa ambayo sio lazima yatokane na kufanya ngono holela/ovyo na watutofauti bali yanajitokeza kutokana na mkanganyiko wa vimelea (cells) hasa kwa upande wa wanawake?
Tujadili hili.....
Kisha nitakuja na maelezo ya kina ambayo kwa namnamoja au nyingine yatakusaidia au kukupa mwanga ktk maamuzi yako na mwili wako(hasa mwanamke).
ty.
Tujadili hili.....
Kisha nitakuja na maelezo ya kina ambayo kwa namnamoja au nyingine yatakusaidia au kukupa mwanga ktk maamuzi yako na mwili wako(hasa mwanamke).
ty.
Comments
Siku hizi hata huonekani hapa mtaani sijui jogoo limekuwa na wivu sana au ndo elimu kwa fedha. we haya kama waliokufunza walikutoza pesa nasi tulipe lakini kama........Lakini umetuzowesha.
Nilipita kukuswabah ka kaida etu.
Neene nawhukha wagisye wanyoko wuu.
yaani mimi leo kilichonivutia ni rangi tuu.ya hizo ze kondomu...kwa jinsi simba tulivyoshinda lazima ningetafuta hiyo nyekunde nikasherekee na mai waifu wangu...
Dinah nimepita kukusabahi..siku njema..
Nawahi zangu pantoni kisha nichukue daladala yangu huyooo mapka maeneneo yangu ya kujidai GEZAULOLE center...kwabibiiiiii
Lakini naulizaje, dont u think baada ya kufunga ndoa maneno hasa ya kufanya mapenzi ni muhimu sana ? ? Itakuaje hata baada ya ya harusi bado one of the couple atavaa kondom ?
Pengine wangalichek kwa daktari kama wote wako sawa kabla ya kusubiri mpaka ndoa ikamilike.
Dada unafanya kazi nzuri sana ya kuelimisha
ninatatzi moja linaniumiza sana kichwa nafikilia jinsi ya kupata msaada toka kwako