Tuesday, 15 November 2011

Naomba Ufumbuzi wa Haraka nisimpoteze Mpenzi!

"Habari da Dinah? I hope wee mzima na unaendelea na shughuli nzito ya uelimishaji wa jamii. Am greatful topics zako nyingi zimenisaidia. Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 24, nina ujauzito wa miezi sita na nusu sasa.
Niliposhika mimba nilipata taabu ya kutapika na kushindwa kula kwa miezi kama 4 hivi. Mpenzi wangu alivumilia sana kwani nilimfanyia visa sana ingawa haikuwa makusudi.
Sasa shida ya kwanza ni kwamba anataka tufanye mapenzi lakini mimi nashindwa kwani uchafu umezidi kutoka na ni mwingi mno mpaka inakera, imefikia hatua navaa pantyliners kila siku.
Hii hali inanifanya nihisi kama vile mpenzi wangu hatosikia raha na mimi sipendi kuwa weti hivyo kwani nasikia kichefuchefu lakini wakati huohuo sitaki mpenzi wangu anaitelekeze.
Pili Sehemu zangu za siri zimebadilika rangi na kuwa nyeusi wakati rangi yangu ya ngozi ni lighter kiasi, pia nikinyoa natokwa na vipele vidogo vidogo, sasa sitaki mpenzi wangu anione nikiwa hivyo, je nitaondoaje vipele na kurudisha rangi yangu ya awali?
Nilikwenda kwa Gyno wangu kuangaliwa na sikuwa na maambukizo yeyote
Je kuna dawa asilia ambayo naweza kuitumia? maana hizi dawa za kizungu nyingi hazifai kutumiwa wakati wa ujauzito.
Tatu Matiti yangu yanauma na kuwasha sana, basi huwa najikuna mpaka najikwaruza ili kupoza napaka mild steroid lakini wapi!! Sasa how will we have sex when matiti yako hivyo?
Nne Mpenzi wangu hupenda mwili wangu ukiwa bonge kiasi, sasa kpindi cha miezi 4 nilipokuwa naumwa na kushindwa kula nimepungua sana, yaani na tumbo langu kubwa bado sijafikia mwili wangu kabla ya ujauzito kwani nilikuwa a bit kibonge.
Mpenzi kaniletea Dada zake waje kunisaidia kupika ili nile na kuwa na afya lakini wapi! alafu mbaya zaidi ni kuwa nikikonda naonekana so terrible na I really feel unattractive na i think nikikubali kumvulia nguo hatoniona navutia tena. Sitaki kumpoteza mpenzi wangu.
Kila siku natoa sababu za kuumwa, tafadhali naomba ufumbuzi wa haraka kwani mpenzi ameanza kuwa bitter and unhappy ninapomkwepa kwani anasema anataka kuwa karibu na mimi."

15 comments:

Anonymous said...

Mwambie ukweli kuhusu hali yako,kwani mumeo ndio muhudumu wa kwanza kwako,daktari wa kwanza kwako,msiri wa kweli kwako,mdumisha mapenzi yenu pekee,mwelevu wa kudumu,alafu ukweli uzuia mambo mengi na fikila potofu au mawazo mabaya kwenu,mcheki doctor ili akupangie vyakula vya kula na vitu vya kuepuka.

Anonymous said...

Pole sana dada nakushauri ukamwone Doctor then usiogope kumvulia mumeo coz ujauzito huleta mabadiliko mengi sana ila baada ya kujifungua utarudia ile khali yako kama kawaida.

Anonymous said...

Hapo mimba na ukinyonyesha je itakuwaje? nazani utaua mtoto kwa maji ya moto wewe kama waswaili wasemavyo. Sababu hata kumnyonyesha mtoto, utaogopa maziwa yako yatalala kama ndala, na yakilala mpenzi wako atakuacha.
unafikra mbovu.

Mie nawajua waschana kama nyie, kuna jamaa alimuacha mchumba wake kwa sababu zinazo fanana na zako.

Kwani wewe ulikuwa unamuzia huyo mpenzio sura yako au uzuri wako tu? mpaka akuache kwa mabaya yako na mapungufu yako na mabadiliko ya mwili wako?

Sasa hayo matatizo ndio unaweza kuyaficha, na je ukiumwa ugonjwa ambao utadhofika, na hauto jiweza? utafanyaje, mungu si athumani dada? sie binadam hatujakamilika kwa vyovyote vile, leo una mkono kesho umekatika. Na utaficha hivo hivo mume hasione? UTAWEZAJE?


Kuna mengi inabidi ujifunze wewe unamawazo ya kitoto hauja komaa akili.


Jua tu kama mtu anakupenda basi jua hata mavi yako atazoa, na atakusapoti kwa hali yeyote ile ulie nayo.

Na kama atakukimbia sababu unamatatizo kama hayo, basi muache tu akukimbie, sababu mtu kama huyo wala hafai ktk jamii yeyote ile.


Kama mimi ningekuwa wewe nisinge ogopa kitu. Sababu wanaume ni binadamu na binadam mwenye akili timamu lazma aelewe


Na vile vile mie naona unawafikiria wanaume tofauti na walivo.


Kama kuma ako nyeusi ama nyeupe, kama inatoka uji au chai, nazani yeye haimuhusu, yeye anachotaka atatue itaji lake la sex, na kwanza hatokulazimisha umuoneshe shehem zako za siri, au uwo uji ataona ni mnato tu wa K. Na wanaume wanapenda uwo mnato, ndio maana wanasemaga mwanamke mjamzito mtam we, sababu ya uwouwo mnato. Jaribu kumpa harafu uone kama atagundua ufikiriayo!!!


Ndio nyie mnao pewaga talaka mkiwa na mimba, kwa ujinga wenu. Yaonesha kijana wa watu ni muelewa sana, na anakuvumilia tu.

USHAURI WANGU!
Unaweza kula nae mzigo hata gizani basi kama hautaki akuone. Na vile vile unaweza kuvua chupi tu nguo ukabaki zako, sizani kama atakulazimisha uvue maana yeye anataka K tu. shauri yako

Na kutumia chemical kali za kubadilisha rangi ya ngozi sehem za siri zaweza kumuaffect mtoto, ama ukose mwana hama mpenzi ama vyote, nawaonea huruma, ingekuwa mdogo wangu ningekukata vibao niweke akili yako sawa. pole sana kwa maneno yangu makali ila usikonge ndio maisha

Anonymous said...

Dada, pole sana kwa matatizo. Mimi mwenyewe ninaujauzito tena wa wiki 30, na ki2 cha kwanza ambacho napenda kukushauri kwa kuwa yule ni mpenzio au mumeo, ni vizuri ukamshirikisha kila atua inayoendelea kwenye mwiliwako, yani toka mwanzo ungekuwa unamwambia kwa kuwa anakupenda angekuelewa na angetafuta jinsi ya kukusaidia. Mana hiyo yote ni atua ya ukuaji wa mtoto wenu mtarajiwa. Kuwa free kwa mumeo ikiwezekana mpe nafasi auchunguze uke wako ukoje ni kwa kila hatua. Kuwa free kwa mumeo

Anonymous said...

We sasa unataka kikimbiwa na mume,mumeo hapo nyege zimezidi na anataka kula kitu yake we unaleta masababu,we mpe hivyo hivyo .
Me mwenzio nipo bed rest hata job siendi but tumeenda wote kwa gynae na tumeelekezwa jinsi ya kufanya taratiibu cz anajua mwanaume hawezi vumilia muda wote huo

Anonymous said...

Me naungana na wasemaji waliotangulia,kiukweli sikuelewi mana kwa ninavyoelewa mm wanaume huwa wanafil raha kufanya sex na mjamzito kuliko hata ukiwa kawaida kwa kuwa mwili huwa na joto zuri na nakusihi usimkoseshe huyo bwana hiyo nafasi adimu hebu mpe au umembambikia sio yake?kuolewa km kupo kupo wala sio kwa hivyo vigezo vyako

Anonymous said...

mie hata ckupi pole bibie, majibu ya hiyo comment ya tatu yamenikuna sana. anyways we mtoto ukikua utaacha, ndo nyie mnaoletewaga wanawake wenzenu ndani ya nyumba mkiwa wajawazito, funguka kiakili wewe utaachika pabaya sana shauri yako.

Anonymous said...

Pole my dia kwa yote. kwanza utambue kuwa ukiwa pregnant lazima kuna mabadiliko flan kama ngozi ya juu ya uke inakuwa nyeusi sana pia sometimes hata tumbo, uzoefu huo ninao kwani hata mie nilipokuwa preg hubby wangu akinishave namuona sura yake haina furaha maana k inakua black sana. hata hivyo hicho ni kipindi cha mpito mambo yatabadilika ukishadeliver, kuhusu matiti pia ni kawaida kuuma na kuwasha na huo ndo muda wa hubby wako kukuchezea taratibu then utazoea badala ya kumkwepa kila siku bila sababu za msingi. no body to take care of your husband except you.

Funguka bidada.

Anonymous said...

Msaada Tutani wadau. Najua na ninaelewa kwamba wanawake wengi siku hizi wanadaiwa kufanya mapenzi na wanaume kinyume na maumbile, mimi kama mkristo natambua ni kosa na haifai kufanya hivo, japo wanaofanya huwa wanafanya kwa raha zao. kuwalaumu pekee haitoshi. Sasa nachoomba wadau wenzangu kwenye hii blog wajitokeze wanawake wanaofanya tendo hili watuambiwe wanajisikia raha gani wafanyapo hivo na je wamependa, wamelazimishwa au wanafanya hivo kwa kushawishiwa. Tafadhali naomba maoni ya wadau.

Mwaipopo said...

Natumaini unaendelea vema, naomba unisaidie kuweka mada hii kwenye blog yako. Najua na ninaelewa kwamba wanawake wengi siku hizi wanadaiwa kufanya mapenzi na wanaume kinyume na maumbile, mimi kama mkristo natambua ni kosa na haifai kufanya hivo, japo wanaofanya huwa wanafanya kwa raha zao. kuwalaumu pekee haitoshi. Sasa nachoomba wadau wenzangu kwenye hii blog wajitokeze wanawake wanaofanya tendo hili watuambiwe wanajisikia raha gani wafanyapo hivo na je wamependa, wamelazimishwa au wanafanya hivo kwa kushawishiwa. Tafadhali naomba maoni ya wadau.

Anonymous said...

ni hali ya kawaida hiyo dada.pia ukiwa unafanya ivo mwanaume atakukimbia mi naamini km mumeo kavumilia visa vyote vya kwanza hata sasa atajua ni mabadiliko tu ya mwili hayo mamito so wory out mpe jamaa mzigo then kila kitu kitaenda sawa.

Anonymous said...

pole sana dada,msimbazi center uwa wana semina za wapendanao ni nzuri sana,zinalekebisha na kushauri vizuri sana kuhusu wawili wapendanao.jaribu huko

Anonymous said...

discuss discuss!!
ni mumeo tuu! chochote ukifanyacho unakifanya kwaajili yako na mpenzi wako! usimfiche. huenda analakukusaidia, la sivyo utampoteza huyo mpenzi wako. mapenzi ni uwazi

Anonymous said...

pole dada atakuelewa fuata ushauri wa watu

Anonymous said...

pole sana dada ila badilika na umpe mumeo haki yake.