Wednesday, 29 September 2010

Mume aki-cheat na mwenye umbo tofauti na lako anaweza akawa bado anakupenda kama zamani?

"Dada Dinah mie naomba kuuliza,hivi kweli mumeo akitembea nje ya ndoa na mwanamke ambae hamfanani kabisa ikimaumbile anaweza akawa bado anakupenda?

Nimeuliza hivyo kwa kuwa mimi ni size 12 though kabla sijajifungua nilikuwa navaa chini saizi 14 juu saizi 12 kwa sasa nimepungua sana (na nimependa mwenyewe kupungua). Mwanamke ambae mume wangu alikuwa na affair nae for almost two months (kama ni mkweli) ni wale ambao ni ngumu hata kupata saizi dukani, yaani ni bonge la mtu lakini ni namba nane.

Inanifanya nisijue mume wangu anapenda miili gani? That is why I am not feeling like staying married to someone that am not sure anymore that he still loves me. Na wakati mwingine tukiwa kwenye gari wakipita wanawake wakubwa wenye namba nane huwa namcheki anavyowaangalia japo kwa wizi sana. Ingawa hata mimi huwa sometimes nawashangaa wanawake wenzangu. Sasa sijui nina wivu na sina Imani kwa sababu ameshani-cheat au ni normal"?

Naomba mnipe ukweli, je mume wako akitoka nje ya ndoa yenu na mwanamke ambae ni tofauti na wewe na baadae kukubali makosa na kurudi kwenye ndoa, je ataendelea kukupenda?

Asante".

23 comments:

amass said...

tunatakiwa au wanawake wanatakiwa kuelewa kwamba sisi wanaume tumeumbwa tafauti, na tafauti kubwa ni kwamba sisi tuko mbalimbali kati ya viwili hivi yaani ngono na mapenzi ndio maana huwenda nunuwa changu na kusahau mda huohuo.

Anonymous said...

Acha hizo mama kama hakupendi asinge kili na kurudi kwako wanaume wote wanatamaa hasa wanapoona wanawake nje unachotakiwa kuelewa kuwa mume wako anakupenda na si sababu ya umbo.

Anonymous said...

wasiwasi wako huo bibieeeee!!!

Hujiamini mama??? halafu unamvizia mumeo kama anawahusudu wanawake wanene??Wewe kweli unajiwekea kasheshe bureeeeeeeeeeeeeeee!!

Acha mizengwe hiyo jiweke vema kwa mumeo ili uendelee kumpa vitamu hivyo ulivyomnyima hadi akaenda nje.

Ukiendelea na kutojiamini huko utampoteza kishenzi maana akigundua tu atakuacha kwenye mataa.Pia una nafasi ya kumuuliza kama anapenda figure ulionayo sasa au anataka uongezee.Kwa nini kuoneana aibu na wewe ni mke wake?? Watu mnaishi kwenye ndoa bila uelewa wowote.Mtu mmeoana halafu mnashindwa kuelezana matakwa yenu kwa nini?Jadilianeni nini na nini mnapenda usibaki kwenye dhana potofu tu kwa kudhani ni hivi kumbe unajiumiza moyo tu.

Anonymous said...

Hatokupenda kwani anaonekana ni mtombanaji sana huyo jamaa.....anapenda manene kwani yana joto balaaaa. Wembamba sana wanakuwa hawajui kutombana.
Ahsante...Kafanabo

Anonymous said...

Dinna mi naomba ushauri, naskia kuna dawa ya kihaya ya asili (sio kusikia kwa mbali rafiki mhaya aliniambia, ila niko mbali naye sasa hivi) ya kuongeza nyege na utelezi ukeni wakati wa kufanya mapenzi, jamani naomba mtu anayeijua dawa hiyo (inanywewa kama chai) anisaidie maana mi ni mkaaaavu afu siku hizi sina nyege hata kidogo, mume wangu hata anichezee vipi sijiskii hamu...zamani nilikua na hamu za kutosha tu, na nampenza mume wangu hamna mfano, tatizo ni kukosa nyege na ute ukeni, nisaidieni tafadhali!

Angel said...

jiamini unapendwa sana
sahau uliyo kwisha samehe
ili nawewe usamehewe na Mungu
ukikumbuka nakuumia hujasamehe
kuangalia wanawake wanaopita ni kawaida ya wanaume wote ,akipita mwanamke lazima wamuanalie hatakama hana umbo zuri
,tena mimi niliwabamba vijana watatu siku moja wakisema du ukikaa hapa utashangaa uumbaji
wanapita wakila aina ,na sio kwamba hawapendi wapenzi wao la hasha
ni macho tu hayana pazia
na mapenzi ni zaidi ya muonekano wa nje .

Anonymous said...

...kuna sababu nyingi za mtu kucheat my dia sister..inawezekana maneno au matendo ya huyo mtu yalimvutia au kuna kitu kingine..au wee umekuwa na tabia au kauli za ajabu kwake au tangu ujifungue umekuwa humpi game ya kueleweka sasa ndio huko anapumzikia..

sio kwamba namsifi au namsupport hapana ila najaribu kukutoa hofu kuwa huenda sio umbo lililompeleka hapo..

Mimi ni mwanaume..for ur info wengi wanatamani mabonge ila akisha tembea nae one time anagundua sio pa kukaa ..sasa kama unaona wako ametulia hapo ujue kuna kingine...

jichunguze wewe kwanza kama unamtreat au umebadilisha nini hapo home..maana na nyie wanawake bwana msipewe uhuru wa kutawala house unasahau hadi majukumu ya kwenye bed ...

Ila poa kwa yote..inauma

Gluv

gluv100@yahoo.com

Anonymous said...

huyo lazima anamiss mambo fulani,,, kipendacho roho huwezi mzuhya huyo. pole bidada.

Anonymous said...

huyo lazima anamiss mambo fulani,,, kipendacho roho huwezi mzuiya huyo. pole bidada.

Anonymous said...

NAITWA EMMY.POLE ANTI KWA KUJISIKIA VIBAYA,NAPENDA KUKUJULISHA KUWA HAWA WENZETU(men)HAWATABIRIKI,HUYO NI WA KWANZA KUMONA NAYE LAKINI,HUYO HUYO WAWEZAMWONA AKIWA NA KIMOBITELI.HIVYO HUWA WANAONJAONJA KUONA UMBO LIPI LITAWAFAA.ANYWAY,WEWE UMPENDE MUMEO NA UAMINI ANAKUPENDA.KUTOKA NJE YA NDOA NI TAMAA TU NA SIO HAKUPENDI.UPO HAPO MPENZI.

Anonymous said...

mimi nafikiri mume wako anapenda wanawake wenye miili mikubwa....labda ujaribu kumdadisi tu kama anapenda uweje..usije ukampoteza mume kwa kitu kinachowezekana

Anonymous said...

Jiamini tu mpenzi hawa viumbe hawariziki hata uwe kama malaika. Cha msingi muombee mumeo ili asiwe na tamaa. Thats ma advice to you

Anonymous said...

wewe dada wanaume wote huwatunangalia wanawake wenye mauobo ya hivyo si kwamba tunawapenda but it is nature and nature has no medicine!
kucheat na mwanamke mnene si sababu ya kutokukuenda wewe ila tamaa tu! watalamu wasema men are like government bonds they take so.. long to mature! kwa hiyo mme taratibu atangundua siku moja kuwa anachokifanya ni upusi then he will be totally in love with you!

Anonymous said...

Are you paying attention?! Well, go back to the body size you were before you delivered, because that's the size your husband found you in, and that is the body size he's interested in! He's attracted to full-figured women. You will definitely lose him to a bigger woman, coz you now look like a tooth-pick! Wacha kuathirika na kasumba ya kizungu. Wewe ni mwafrika. Eti unajikondesha ukae kama mzungu...mpuzi wewe! Who said caucasians look better than africans? Utamkosa huyo mumue kwa ujinga wako! Wajikondesha ili upate nini?..kwani ulipokua mnene ulikuwa na kasoro gani? Eti mume akicheat na mwanamke wa size tofauti na yako atarudi kukupenda tena? HATAWAI KUKUPENDA MILELE? MJINGA WEWE, NDIO USHAMKOSA MUMEO BASI! Kenyan man.

Anonymous said...

ur husband should love you unconditionally! uwe mnene mwembamba kwani kama kakupendea viungo siku ukipata ajali itakuwaje?wewe kama uko comfortable ktk size uliopo sasa kaa nayo mama mwanaume haridhiki hata siku moja hushangai kuskia wanatembea na housegli tena yule mchafu ambae hata hajui kuoga?tamaa za mwili.Omba Mungu apate kubadilika, samehe sahau, jipende.kwisha kazi

Reka1 said...

Jamani huyo dada kaomba ushauri,
mwenye ushauri amshauri lakini si kwa maneno makali jamani!

Anonymous said...

Asannteni kwa ushauri hasa kuhusu kuwa makini na malezi ya waume zetu(second babies)I am so concious with marriage life na ni msomaji mzuri wa vitabu vya saikolojia kuhusu ndoa ila nahitaji maoni yenu zaidi kwani kama tujuavyo hivi vitabu ni vya wazungu na tunatofautiana ki culture. Ila kuhusu kupungua kwangu naomba nimjibu alonambia niwe mnene mume wangu alinioa nikiwa potable na very attractive. that is why I want to get back to how I looked when we started dating( 8 years back). vile vile si kuwa nataka niwe mwembamba kihivyo ila nazingatia BMI kwa ajili ya afya yangu kwani unene ni hatari kwa magonjwa. Sijuhi unaonaje hilo. Tatizo siwezi kumuuliza mume wangu kuhusu figure kwani atajua sijiamini kwa sababu ya cheating incidence na ntarudisha ugomvi nyuma.

Anonymous said...

Ila wanaume wana cheat jamani. mimi nimeolewa na nafanya kazi yaani hapa ofisisni mtulivu ni wa kutafuta. Na yeye anaweza akawa ni smart haweki mambo adharani. Yaani nawahurumia wanawake wenzangu walio majumbani au ambao wako ofisi tafauti na wame zao. Wanaume wanapenda kweli uzinzi. Yaani nyumba ndogo zinakuja ofisini mpaka tumezizoea. They are so open. Ghalika inakuja naona ukimwi hautoshi. Na karesearch nilofanya hawa married men wanatembea sanasana na single women regardless of age. kuna wadada hawataki kuolewa wanajivunia kutunzwa na wame za watu ambao maisha wameshayapatia. Hawataki kuanzisha yakwao. Nadhani wachungaji na mashehe waanzishe misa za kuwaombe wazinzi hawa kama tunavyoombea mvua. AAahh

Anonymous said...

mumeo alipenda ile full figure uliyokuwa nayo na ndio maana akakuoa, sasa umekuwa kimobitel anatafuta replacement hapo!

Anonymous said...

wanaume wanapenda kuchovyachovya in oda 2get ladha tofauti na kufound wat so special there, then wanagundua ni kawaida tu hamna jipya. wako km wamelelewa na mama mmoja, hawana lolote tamaa tu, na watakufa cku c zao, na cc watatuua pia, Shit..!

Anonymous said...

WEWE UNAYETAKA DAWA YA UTELEZI NIPIGIE 0713450966 AU 0769505216 HAPO UKIWEKA KATELELO MAMBO YANANOGA UKINIPIGIA ANZA KWA KUSEMA YULE WADAWA YA UTELEZI

Anonymous said...

WEWE M MAMA NIONAVYO MIMI HUYO MUMEO ANAKUPENDA UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUONGEZA MAPENZI KWAKE NA KUACHANA NA HIZO FIKRA AMBAZO ZITAKUATHIRI KISAIKOLOGIA HADI KUKOSA HAMU YA KUNGONOKA KABISA
PILI KAMA UNAONA ANAMWELEKEO MWINGINW VUNJA UKIMYA ZUNGUMZENI MWUIZE ANATAKA UWEJE???

Anonymous said...

WEWE M MAMA NIONAVYO MIMI HUYO MUMEO ANAKUPENDA UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUONGEZA MAPENZI KWAKE NA KUACHANA NA HIZO FIKRA AMBAZO ZITAKUATHIRI KISAIKOLOGIA HADI KUKOSA HAMU YA KUNGONOKA KABISA
PILI KAMA UNAONA ANAMWELEKEO MWINGINW VUNJA UKIMYA ZUNGUMZENI MWUIZE ANATAKA UWEJE???