Tuesday, 23 December 2008

Alinitega, sasa anataka urafiki wa karibu-Ushauri

"Hello dada dinah. Nakupa pongezi kwa kazi unayoifanya ya kushauri watu mbalimbali kuhusu mambo ya mapenzi. Mimi nimekumbana na mkasa na nashindwa kuelewa kama nilikuwa nachezewa akili au la.


Maana haijawahi kutokea maishani mwangu. Hivi majuzi nikiwa Nairobi nilikutana na mrembo mmoja ambaye nilikuwa nafahamiana nae kwa muda mrefu (lakini sio mahusiano ya karibu sana). Sasa huyu dada alinichangamkia na akawa ananipa company pale ninapokuwa free kwenye shughuli zangu nilizoenda kufanya hapo Nairobi.Labda niwaeleze pia kuwa nilikaa Nairobi kwa muda wa wiki mbili tu. Sasa siku moja nilitoka nae(huyo dada) out na tulipokuwa katikati ya maongezi yetu aliniambia kuwa hana hamu ya kulala kwake. So nikamchomekea kuwa aje kulala kwangu.Kwa maajabu akakubali. Basi ilipofika mida ya usiku kama unavyojua tena kidume majaribu yakanizidia. Hivyo nikaamua kumtokea. Kwa kweli huyo dada alikataa kata kata kunipa mchezo. Alikubali nimguse baadhi ya maeneo ya mwili lakini sio sehemu zote.Na pia wakati tumelala alivaa suruali na blouse. So you can imagine jinsi alivyoziba direct access kwenye mwili wake. Nilipojaribu kumbembeleza alikataa na kusema kuwa hayuko tayari kufanya kitendo na pia yeye haitaji kuwa na mtu kwa sasa.


Hivyo nikaamua kuheshimu matakwa yake ingawa kwa shingo upande. Sasa je dada dinah na wanablog wengine. Hembu niambieni huyu dada alikuja kunichezea akili tu au alikuwa anataka nini?


Je ningetumia nguvu kidogo na kumvua nguo na kutombana nae ningekuwa nimefanya makosa?? Mpaka leo ananisalimia na anainsist close friendship. Nipeni ushauri wakuu. Maana hili ni kasheshe sijawahi kukutana nalo.

Wenu mdau.....David"

Jawabu:David nashukuru kwa kuniandikia. Natumaini wasomaji wangu wamekupa majibu yaliyosaidia kuelewa kwanini hasa huyu binti aligoma kungonoka na wewe siku hiyo. Ila nakupa hongera sana, na hapo naweza kukuamini kuwa kweli unampenda huyo binti, angekuwa mwanaume mwingine mjinga-mjinga angebaka.

Wanawake hatutongozi wanaume kama wanaume mnavyotongoza, wanawake huwa tunatumia uanamke wetu kutuma ujumbe kuwa "tumekuzimikia", lakini kama hujaona au unajifanya kudharau (play hard to get) mwanamke anaweza kukata tamaa au anaweza kutumia mbinu nyingine anayoona inaweza kufikisha ujumbe na wakati huohuo kujua kama mwanaume huyo anahisia kama zake.

Sasa kutokana na maelezo yako huyu binti ni wazi anakutaka wewe kama mpenzi lakini hukuliona hilo hapo awali mlipokijuana na kitendo cha yeye kusema kachoka kulala kwake na kukubali offer ya kwenda kulala kwako ni wazi alikuwa anataka kujua msimamo wako wa kihisia....kwa kifupi alikutongoza.

Huyu binti anataka uhusiano "serious" na wewe na kutokana na "mawazo" ya wanawake wengi ni kuwa kufanya ngono siku ya kwanza ni kujidharaulisha na pengine kuna weza kum-put off mwanaume na kukudhania wewe ni "maharage ya mbeya" yaani rahisi, kama tumengonoka mara tu baada ya kukutana utakuwa umengonoka na watu wangapi kabla yangu.....mwanaume atajiuliza.

Lakini ktk hali halisi kufanya ngono ni makubaliano yenu ninyi watu wawili ambayo yanategemea zaidi mmefahamiana kwa muda gani, unajisikia comfy kiasi gani mbele ya mtu huyo, nguvu za hisia zenu na Chemistry itakayojitokeza pale miili yenu itakapokuwa zero distance. Kufanya ngono siku ya kwanza haina uhusiano na tabia ya mtu au sio kigezo kuwa mtu huyo ni mlala ovyo(Malaya).


Huyu binti inawezekana kabisa kuwa anakupenda na ndio maana alikubali kabisa kubadilishana mate na wewe nakushikana hapa na pale ila anataka muwe na uhusiano mzuri na wakudumu sio ule wa kungonoana kila mnapokuwa na hamu (casul).

Nini cha kufanya- Kubali kuwa na urafiki nae wa karibu kama kweli unampenda na sio kwamba unataka ngono tu kutoka kwake. Utakapo kuwa kwenye uhusiano ambao ni urafiki itakuwa rahisi zaidi kuwa na uhusiano madhubuti ambao utakuwa umejengwa ktk misingi ya urafiki.

Nenda taratibu na kama kuna "kemikali" zinazoendana kati yenu basi mambo yatakuwa mambo before you know it.

Kila la kheri.

12 comments:

Anonymous said...

what i know but i might be wrong wasichana wa kitanzania tunatabia ya kupenda kuombwa mara nyingi so may be ulipokua unaomba ungejaribu kuendelea kumuomba angejua u real need it na mwishowe angekupa mchezo ,cos its seems huyo mwanamke anakupenda, na may be siku ile ulokua nae alikua hayuko katika siku nzuri kusex or may be she was in period na akashindwa kuwa muwazi ,so kama sasa hivi anakupenda na wewe ulimtaka before kwa nini usiendelee nae??????
Au unakimwana mwingine

Anonymous said...

Hana Lolote huyo dada ni wale staki nataka. Wewe kaka David ukristu ulikuzidia ungemvua kwa nguvu huku unampelekea ulimi unamgusa gusa na ndevu zako kissing shingoni laaazma angeachanisha miguu. Kifupi ni kwamba huyo dada iz interestingi ini yuuu bati shi izi a biti shai.
MM

Anonymous said...

Hivi jamani wadau nina swali naomba nijibiwe ikiwa ni pamoja na kumpatia ushauri huyu mwenzetu.
The girl knew that this is a man and yet she wanted to spend a night in a male room.???? What a fuck was she expecting from the guy? Hii hainijii akilini. Kama hakutaka kungonolewa alikuwa anataka nn?, halafu anavunga kulala na blouse. David next time akikuambia hizo nonsense jichukulie sheria on the hand are u a man enough?? Haha
Bubbles

Anonymous said...

Hiyo ni kitu ya kawaida tu,inaweza kutokea mtu akapenda kuwa na ww just compan. tatizo ww una mitamaa ya kutaka kufanya ngono tu,ulikurupuka,busara na ustaarabu ulitakiwa kwanza,next mambo yangejipa menyewe.

mimi said...

hey Bro DVD..mimi binafsi napenda company ya wanaume..as friends..maana wanawake majungu naumbea tumezidi(si wadis wanawake..im vry feminism)..ila habari ndo hiyo...bak 2 za point..labda huyo dada anataka au anapenda tu kuwa karibu na wewe as a friend..ila panaponitia utata nihapo alipokubali umshikeshike(dats too much)..au labda anataka urafiki wa karibu kama wapenzi lakini kwa kuwa we hujatangaza sera hivyo ameamua kukunyima ili uingie kwenye committiment ya uhusiano wa maana....inshoti amekufagilia na anataka muwe wapenzi ila anashindwa kusema...kama na wewe unamfagilia basi ask her out then utapata uroda wako...bt plz don jst sleep wit her 4 fun as u ll hurt her feelings plz...im a woman n i kno dat 4 sure...siku njema bro Dvd
Mimi

Anonymous said...

aisee huyo dem ni anakupenda ila anavuta mda kwa sasa ukiendelea kumwambia atakubali.na nafkiri anaogopa kuambiwa maharage ya mbeya.wakati hiki ni kipindi cha ukweli na uwazi.

Anonymous said...

Mbona huelezi vizuri! unampenda au ulikua unamtamani? if you don love her then why do you care! if you do then tell her. Jamani wapeni nafasi watu wenye serious problems tuwasaidie, wengine mnatuumiza vichwa tu na kumpa lawama Dina wa watu hapublish mambo yenu.

Anonymous said...

Wakuu kwa kweli mimi nimetokea kumpenda huyu dada. Ingawa nilishawishika kumtaka kimapenzi nilipokuwa nae kwenye kitanda kimoja, but honestly nam-feel.

Kuhusu maoni yenu kwa kweli nimeshamwambia kuwa nampenda ingawa bado msimamo wake uko pale pale.

Kwa kweli hii ni mara yangu ya kwanza kukutana na kasheshe hili. Thats why nimeomba ushauri wenu. Sina nia ya kumpotezea mtu muda kama anonymous wa 2:48 anavyosema.

Mie sina mwanamke yoyote kwa sasa. Kwa hiyo mawazo yangu yote yapo kwa huyu mrembo, na sina nia ya kumchezea.

Anonymous said...

ok man who cares/knows kwamba ww unampenda na hutaki mchezea?. actually cjaelewa urafiki wa kulala na bnti 1bed, binafc ingekuwa ngumu, angetoa tu huo uroda kwa kubembeleza usiku mzima which means hakuna kulala au hata kama kwa kulia hadi angeona huruma, ningeshika strategic areas kwa madaha yote hadi angechafua nguo au aseme kuwa yupo kwenye siku or else ili mradi nilidhike kuwa alikuwa na sababu ya msingi lkn si hivyo jamani maana hali ingekuwa mbaya haisemeki kwa majaribu kama hayo!

Lkn pia kuna uwezekano kuwa angekupa siku hiyo ungeona easy going, so ungepiga chini au anakuwa reserve yaani vile simba akikosa nyama basi anakula hata nyasi!!.au kicheche tu!ss basi dada hakutaka kuingia kwenye huo mkenge, na pia anaweza kuwa alikuwa anapima imani yako ktk ngonolization,pia there is no logic/necesity kwamba mtu akikubali kuwa nawewe means unaanza kungonoka the same day, the reason being future aspect,kwa ambae hana future na wewe it was very easy kukupa lkn huyu amejaribu hilo, huwezi jua pia kuna wasichana wengine hawana bahati au wanakutana na wahuni tu walaji na kulala mbele [kuna kundi kubwa sana la watu hivi ktk maisha ya sasa believe me or not kwa pande zote 2], aidha jinsi ulivyo if ur serious kama mimi hapa itakuwa ngumu kwa maana ya heshima [namna mnavyo fahamiana toka cku za nyuma], so alitaka kujenga cofidence kwamba she is firm [men yeyote yule aliye serious atapenda mke ambaye anamsimamo/ katulia/
hababaishwi na vidume vingine hata kama huyohuyo mme ana small hausi!!!, pia huwezi jua anajua data zako so alikuwa undecided whether aingie kwenye game au alifikiri aweke kaugumu kidogo then ataachia lkn ww uka surrender
Binafc naona alikubania tu kidogo kwani haja kuzoea,kuna factor nyingi hapa, kama life style yako,caring, income,class yako ili mardi tu asikuboe kwa maana ya easy going na vitu kama hivyo but this is logical to focused ladies targeting to win future possibilities basing on the same.

However u need 2be careful kama kweli upo serious for real milango ipo wazi hapo weka sera madhubuti utampata atakuwa wako na kwakuwa ulionyesha uharaka wakutaka mechi kuna uwezekano ukachelewa kupata ikiwa atataka uwe na serious commitment ingawa atakubali haraka ili kuilinda hiyo nafasi

kuhusu kutumia nguvu kama hakuwa kwenye mood it was wrong, chochote kingeweza kutokea, wanawake siku hizi wanalindwa every where usiwachezee kizembe utaenda segerea bure maana hiyo ni sawa tu na kubaka. all the best

lajk.

Anonymous said...

We dont understand u dude,cos mara huyo dada msimamo wake uko pale pale ,mara ana insist close friendship.what are u real trying to say?????

Anonymous said...

Hey guy david.Yaani msichana kusema tu kwamba leo hataki kulala nyumbani kwake, basi wewe ukatekwa nyara na kuhemuka kumwambia ulale kwangu?? Ndugu yangu ulikuwa na haraka isiyo ya kawaida kabisa.Inaonyesha wazi jinsi ulivyokuwa na tamaan ya kutomba tu ndiyo maana fikra zako zote ziliekeza kwenye ushawishi wa kungonoka naye.

Kwanza nikumabie kwamba huyo mdada na akili sana.Alishakukupima na kukuona wewe ni kaputi kabisa.Unajua kwa nini?Alikutegeshea tu kasentensi kamoja"Leo sitamani kulala kwangu" wewe haraka ulale kwangu.Mbele ya msichana unaonyesha udhaifu waziwazi hivyo?? Je, ulipoingia naye kule chumbani ulitegemea nini?Bila shaka hukuwa aware of what she meant. Nakupa pole.haraka haraka haina baraka David.Wasichana hawapo tu kwa ajili ya kutombwa.Wana malengo madhubuti kwa ajili ya maisha yao.

Mpaka hapo bado hujawa mjanja akilini maana unasema eti bado ananitaka r/ship hujui kuwa ulikosea mastep pale mwanzo?? uliancha lengo lake wewe ukakimbilia kutoa mboo haraka>labda nisikulaumu maana umesema ndo kwanza mkasa huo umekumbana nao.akini je, hata wasichana hujawahi kukutana nao?

Huyo msichana anastahili sifa, kwani alikufunza adhabu ambayo ni fundisho hata kwa wengine wenye vihelehele vya ngono kama vidume vinavyobarehe visivyo na break.

haya ndugu yangu sasa uanze na hatua moja namna ya kumkabili huyo dada kwa kuelewa vizuri lengo lake hasa.Usikurupuke tena na kudai eti mbona siku ile uliniwekea ngumu.hayo ulijitakia mwenyewe.

Anonymous said...

Duh kwa kweli nashukuru sana kwa ushauri wenu. Maana nimeona mahali nilipokosea kama anonymous 8:22 alivyosema. Kwa kweli naona nilizidiwa na tamaa na kusahau core principles za kumtaka msichana.

Kwa kumjibu anonymous 12:24, niliposema ana msimamo nilikuwa namaanisha kuwa hajakubali kuwa nami but anataka urafiki wa karibu wa kawaida.

Pia kama anonymous 10:10 anavyosema. Nimepata picha kuwa inawezekana alikuwa anafikiria ningemchukuliaje kama angenipa siku ile. Maana after two days aliniuliza swali kwamba mimi nilichukuliaje alipokubali kuja kulala kwangu?

Kwa kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza(Labda kwa sababu nimempenda ndio maana sikuona mitego yake). Bcoz nimeshakutana na mitego kadhaa lakini nilikuwa naishtukia.

Kweli nimejifunza mengi. Thanks everyone for your comments and ideas.

Ngoja nikajazie sera.....

David.