Mwanaume wa kufunga nae Ndoa

Mimi  mwanamke mnye umri wa miaka 30, Elimu yangu ni Degree na nimeajiriwa. Sijawahi kuolewa na sina Mtoto.


Ningependa kukutana na mnaume Mkristo mwenye kuogopa Mungu, mwenye umri kati a 30-35, awe ameajiriwa au ajiajiri, awe  serious kwani nimechoka kupotezewa muda na kudanganywa.
Tuanze mawasiliano kwa nia ya kuanzisha uhusiano utakaozaa Ndoa.

Comments

Anonymous said…
Mim 0755033884
Anonymous said…
boyfa namba hizi 0655367271
Anonymous said…
0783563311 amon mwakamele
JORE said…
0768304018 Chek na hii
Unknown said…
Safi sana mdada. Mwenyezi Mungu akuongoze na kukufanyia wepesi.
Anonymous said…
upo serious?
Anonymous said…
Nicheki pia 0764007509
Unknown said…
0765 602316
Unknown said…
0765 602316
Anonymous said…
Mimi ni msichana, Umri wangu miaka 30,elimu degree ya kwanza, niko mwanza, Natafuta mwanaume wa kutoka mkoa wa Kagera mwenye umri kati ya miaka 32-35, asiwe na mtoto, elimu degree ya kwanza na kuendelea, awe mkristo(mlutheli)awe mrefu, mawasiliano: milembe2010@gmail.com
Anonymous said…
Wow duh so nice