tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Dinahicious-Relationships, Love & MarriageKKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger3944125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-13503117124854463462015-03-31T17:00:19.498+03:002015-03-31T17:00:19.498+03:00This comment has been hidden from the blog.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-18157863572001024092015-03-24T01:33:31.128+03:002015-03-24T01:33:31.128+03:00This comment has been hidden from the blog.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/18116000931117318193noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-17374319708237325312015-03-21T10:19:57.529+03:002015-03-21T10:19:57.529+03:00This comment has been hidden from the blog.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-64261114108221443932015-03-20T16:51:42.788+03:002015-03-20T16:51:42.788+03:00This comment has been hidden from the blog.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-50970168878782465722015-03-20T02:02:36.471+03:002015-03-20T02:02:36.471+03:00This comment has been hidden from the blog.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-57033265205791358602015-03-17T00:56:54.181+03:002015-03-17T00:56:54.181+03:00Dada mpendwa dinah, nakushukuru sana tena sana, si...Dada mpendwa dinah, nakushukuru sana tena sana, sijuwi nidhibitishe namna gani shukurani zangu kwako! Umekuwa mwokozi wangu kuhusiana na hili Changamoto! Mwenyezi Mungu azidi kuku ongezea Hekima na Busara zake ili uzidi kuudumia watu wake daima. Ubarikiwe DadaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/18116000931117318193noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-23857049296849931002015-03-10T16:54:06.043+03:002015-03-10T16:54:06.043+03:00Achananae
Achananae
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-17803095946130951072015-03-08T01:39:22.014+03:002015-03-08T01:39:22.014+03:00Ninacho ona apa nitatizo la humri wako na mkeo, ba...Ninacho ona apa nitatizo la humri wako na mkeo, bado nyote wadogo. Kwa hiyo basi, ulitakiwa kuomba huu ushauri kabla hujachukuwa huo uwamuzi wakummfukuza mkeo.

Badala yake umechukuwa uwamuzi kisha ndo umeitaji ushauri. Huone kwamba apo umekosea? Hili linaonesha huna uzowefu wa dowa! Lazima uwe makini Bwana Mdogo.

Dowa ni mitiani ya hapa na pale, unatakiwa kutumia ubongo alafu utafute shinikizo la tatizo ndiposa ulitafutie dawa.
Fanya angalisho husije ukaanza esabiliwa idadi ya wanawake nawakati humri wako nimdogo, utafikia wapi ukiwa mtu mzima?Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/18116000931117318193noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-392917212555173432015-03-07T01:23:37.335+03:002015-03-07T01:23:37.335+03:00Kaka, kwanza kabisa nikupe pole kwa yalio kupata. ...Kaka, kwanza kabisa nikupe pole kwa yalio kupata. Wewe siowakwanza kukutana na hayo, yameshawakuta wengi maishani! Apo unatakiwa kutumia akili sana nasio kufwata hisia za moyo. Utampendaje mtu ambaye amekusaliti? Mapenzi kweli yananguvu kama mauti vile, ila wewe apo nikuangalia matokeo ya baadaye. Je unafikiri bado unaweza kumwamini tena kama zamani endapo akikwambia neno, hasa pale anapokwenda mbali nawe? Kama hukuumia naalioyafanya nakuimiza kumchukuwa ila kama umeumia basi naongopa usije ukaumia zaidi kupita kiasi! Kunadalili zinazo onyesha kwamba hakuwa na Mapezi ya dhati nawe! N.B: Uwamuzi ni wako kaka sisi niwashauri tu.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/18116000931117318193noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-70453468654594974962015-03-05T16:13:28.370+03:002015-03-05T16:13:28.370+03:00Kaka yangu sikushauri umuoe tena huyo mwanamke. Kw...Kaka yangu sikushauri umuoe tena huyo mwanamke. Kwana poteza nae mawasiliano haraka iwezekanavo ili kukwepa vishawishi japo ni ngumu kwa mtu unayempenda. maana kama yuko tayari kuiacha ndoa yake ina maana huyo mwanamke hajatulia na huenda huko ndani ya ndoa kuna shida au mumewe hamtimizii mahitaji yake yote hivyo huyo mwanamke ni kiruka njia. muombe Mungu atakuopa mwanamke wako atakayekupeda kwa hali uliyo nayo na mtaoana tu mwache huyo na ndoa yake. maana kama hajatulia iko siku atakukimbia tena wewe aende kwa mwanaume mwingine. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-86793573119354675332015-03-04T08:59:45.166+03:002015-03-04T08:59:45.166+03:00Duu,yani mi nlivyo na hasira mwa mambo kama hayo n...Duu,yani mi nlivyo na hasira mwa mambo kama hayo nsingeweza kuvumilia..hakika hakuna mapenzi ya dhati hapo na huyo bar maid ameshaiteka akili ya huyo mwanaume,na kwa vile yuko kibiashara itakuwa alimpatia mapenzi motomoto ili asimsahau na ndo mana amerecord..unataka Mungu akufunulie nn tena!ushaoneshwa ukweli amua kuchagua njia nyingine ya maisha,achana nae huyo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-36749697772921711332015-03-04T07:32:34.352+03:002015-03-04T07:32:34.352+03:00Kaka ili uishi kwa amani yakupasa ukubali ukweli j...Kaka ili uishi kwa amani yakupasa ukubali ukweli japo unauma kwa vile unampenda.jipange achana na huyo mke wa mtu...mungu atakubariki na atakupa mke atakae kupenda na kukuvumilia hata pale ukiwa vibaya kiuchumiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-61309288572000546082015-03-02T20:35:59.182+03:002015-03-02T20:35:59.182+03:00Hawajui copyright hao,,na ukiona hivyo jua iko juu...Hawajui copyright hao,,na ukiona hivyo jua iko juu dada big upAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-73269865659444050492015-03-02T20:25:23.752+03:002015-03-02T20:25:23.752+03:00Wow duh so nice Wow duh so nice Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-83824217995222491862015-02-26T11:45:17.829+03:002015-02-26T11:45:17.829+03:00Jamani da dinnah nafurahi sana uwepo wakoJamani da dinnah nafurahi sana uwepo wakoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-30796998812898541242015-02-24T15:25:22.230+03:002015-02-24T15:25:22.230+03:00Kumbe! sikujua umri huo ukifika inakuwa hivi. Ahsa...Kumbe! sikujua umri huo ukifika inakuwa hivi. Ahsante kwa somo, bila shaka mwenye tatizo amekuelewaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-80817369917619671722015-02-24T15:23:24.552+03:002015-02-24T15:23:24.552+03:00kweli bi dada unampenda,ila be carefully isikucost...kweli bi dada unampenda,ila be carefully isikucost,sikiliza lipi lafaa uchuje jinsi moo wako unavokutuma,ila kwa ubande wangu sion umuhimu wa wewe kuendelea kujifariji eti atarud,kwan umeoza?
alilopanga mungu binadamu hawez tengua,focus on ur atitudeAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/14122993161125725661noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-4543735486540718752015-02-21T10:45:44.702+03:002015-02-21T10:45:44.702+03:00Mimi ni msichana, Umri wangu miaka 30,elimu degree...Mimi ni msichana, Umri wangu miaka 30,elimu degree ya kwanza, niko mwanza, Natafuta mwanaume wa kutoka mkoa wa Kagera mwenye umri kati ya miaka 32-35, asiwe na mtoto, elimu degree ya kwanza na kuendelea, awe mkristo(mlutheli)awe mrefu, mawasiliano: milembe2010@gmail.comAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-45550080448518982572015-02-18T21:25:30.403+03:002015-02-18T21:25:30.403+03:00Hao ni binadamu walozoea kula kupitia migongo ya w...Hao ni binadamu walozoea kula kupitia migongo ya wenziwao. Lakini kkipaji na ujuzi wamtu,hata uende kwwa loliondo,utabainika tu...Ya Rabi mpe nguvu dada yetu huyu,na elmu yakutujuza mengi in sshaa Allah. Na wape akili wale wanaoiga yawenziwwao bila ruhusa. ameeenAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-39149801534616825492015-02-18T03:27:04.883+03:002015-02-18T03:27:04.883+03:00Pole dadaangu kwa masahibu ya kifaa cha mfumo wa k...Pole dadaangu kwa masahibu ya kifaa cha mfumo wa kisasa wa mawasiliano.

kitapona na utaendelea kutupatia kila kilicho chema,
inshalaahAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-26953177805955039262015-02-13T11:54:33.461+03:002015-02-13T11:54:33.461+03:00kwa mtizamo wangu hizi nyumba ndogo/vidumu vinalet...kwa mtizamo wangu hizi nyumba ndogo/vidumu vinaletwa na kutoridhishwa na mapenzi ya mwenzi wako. hasa kwenye sekta ya sex, kama kila mnapokutana mmoja wenu anatoka hajaridhika, na amejaribu kuongea na wewe lakni bado mambo yanakua vile vile, tena kibaya zaidi anafikia kuona kama unamfanyia makusudi, bai anaona hakuna haja ya kulumbana wakati ipo namna ya kutatua tatizo kimya kimya, ndio hapo anapotafuta mtu wa nje ili kukidhi haja yakeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-29994958533091564572015-02-12T01:19:38.748+03:002015-02-12T01:19:38.748+03:00Dada shukuru Mungu hyo video umeiona kabla hamjaow...Dada shukuru Mungu hyo video umeiona kabla hamjaowana..Atleast umeeza mjua vzuri.
Songa mbele sababu utaendelea kujiumiza.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-62696198807523473572015-02-11T12:26:38.697+03:002015-02-11T12:26:38.697+03:00Pole sana dadaPole sana dadaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/09188853001139123008noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-28823920358263432472015-02-09T20:54:07.609+03:002015-02-09T20:54:07.609+03:00Mtu sio mume wako bado anakuumiza hivyo sasa akiku...Mtu sio mume wako bado anakuumiza hivyo sasa akikuoa si ndio basi tena. Wazazi wetu walisamehe na kuvumulia kwa ujinga wao wa kuogopa jamii itawafikiriaje na baba zetu walendelea kuwa malaya kwasababu mama zetu waliwasamehe. Kama wangegoma kusamehe wanaume wangejenga adabu. leo hii hakuna kuvumulia upuuzi kama huu na hakuna kusamehe.

maisha yeye we yamejaa stress kwanini jitu lingine likuongezee stress kwa vile alilelewa kwenye familia ya mama msamehevu na baba malaya na kuona ndio kawaida na hivyo kuendeleza culture ya familia yake. his dad was his role model ni mwanaume wa kwanza anaejivunia na kama baba yake alimuumiza mama yake na mama akasamehe basi ataendelea kutegemea kusamehewa na hatoweza kuona thamani ya mwanamke. Kimbia mama Kimbia. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-19738638420391799352015-02-07T04:38:35.930+03:002015-02-07T04:38:35.930+03:00haaa dada dinah hapo juu umetudanganya itakuwaje m...haaa dada dinah hapo juu umetudanganya itakuwaje mwanaume ndo mwenye makosa? ata simba akizidiwa ula nyasiAnonymousnoreply@blogger.com