tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post9085703654720008653..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Mpenzi atishia kujiua Kisa sms ya Ex akiomba msamaha!-UshauriKKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger26125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-72843007341804671582010-09-22T10:54:10.794+03:002010-09-22T10:54:10.794+03:00kwa kifupi mi nakushauri uachane nae sababu ya tof...kwa kifupi mi nakushauri uachane nae sababu ya tofauti zenu kielimu japo anaonyesha kuwa anakupenda kwa dhati...inaonyesha hajiamini na baadae atakusumbua sana....elimu yako ndo itakua sababu ya kila ugomvi!tafuta mtu anayeendana na wewe kielimu na hata kipato mtaelewana zaidi kuliko huyo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-20513395721758226032010-09-16T16:09:36.251+03:002010-09-16T16:09:36.251+03:00Hili ni onyo special kwako dada, wewe upo chuo kik...Hili ni onyo special kwako dada, wewe upo chuo kikuu unang'ang'ana na wa form four ili iweje? asikusumbue na simu yake apeleke hukooooo anakojua yeye, wewe hapo bado uko kwenye safari ya kuisaka elimu mama na bado hujajua utaishia kwenye masters au Phd sasa ikitokea ukifika huko bado utakuwa na huyo form four yako? nakuuliza! usilogwe, mimi yalinipata makubwa hata zaidi ya haya ya kwako, elimu yangu ya juu nikaolewa na form four yaliyonipata sitasahau, ni Mungu tu. Sitaki na wewe yakupate haya, kwanza anaonekana ni dhaifu na hajiamini, anakutishia atajiua ili usiangalie pembeni kuona mtu wa kukufaaa, akafilie mabali, mchaga mhcaga kitu gani tumeona wazungu na wahindi wakijiua sembuse yeye. tena kaz mwendo kwenye masomo yako achana na huyo chalii ati atajiua, kwa hiyo, akijiua wewe inahu! sana sana msiba utakuwa huko kwao na pengo litabaki huko huko kama ni rombo, kibosho, old moshi, uru, marangu au kirua. Tena nisikusikie tena ukisema ati atajiua, ama! pumbavu zake!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-81302589000589563632010-09-04T21:59:51.683+03:002010-09-04T21:59:51.683+03:00mhhh achana naye mapemaaaa mtu wa kutishia kujiua ...mhhh achana naye mapemaaaa mtu wa kutishia kujiua atakutesa mapa uzeeni tafuta mbinu hata mkoa hama looo hafai kabsia maana anawivu mbaya sana mtu hajui samahani ni nini? nna wewe chuo usiache soma mwanamke umalize kuna leo na kesho sawa ?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-85434806120527861472010-08-30T18:55:57.086+03:002010-08-30T18:55:57.086+03:00RUDIANA NAYE WA ZAMANI ACHANENI NA HUYO MLEGEVU AT...RUDIANA NAYE WA ZAMANI ACHANENI NA HUYO MLEGEVU ATAKUMALIZA HUYO!!!MAANA UNAONELKANA BADO UNA UTAMU WA XBF WAKO UMEMSIFIA ANA ELIMU NA KIPATO KULIKO WA SASA.KAMA NI HIVYO YA NINI KUGANDA NAYE NA HATIMAYE UKAMSABABISHIA KIFO BILA SABABU YA MSINGI??

TENA UNAZITUNZA SMS ZAKE HIYO INAONYESHA KUWA UNAMINGUANA NAYE HASWA SO ACHA KUMPOTEZEA MUDA HUYO MWENYE BIASHARA ZA REJAREJA NENDA NA HUYO WA BIASHARA YA JUMLA MKATESE HUKO.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-58636293005061654702010-08-30T10:37:22.799+03:002010-08-30T10:37:22.799+03:00Inaelekea huyo mwanaume amekupenda kwa dhati lakin...Inaelekea huyo mwanaume amekupenda kwa dhati lakini wewe unamzuga na inawezekana ulipretend kumpenda kwa sababu ya fedha zake ama kutuliza machungu uliyoyapata baada ya kuachana na huyo Ex wako.Kama kweli wewe huna mpango wa kurudiana na huyo Ex kuna sababu gani ya kuendelea kuwasiliana nae hadi kutunza sms zake za kukuomba mrudiane kwa nini usifute sms zake kama kweli huna mpango nae,halafu mpezi wako anakuomba cmu unamnyima alipochukua kwa nguvu ndo anakutana na sms za huyo unayemwita Ex hata ungekuwa wewe ungejua sababu ya kunyimwa cmu ni hiyo sms haikutakiwa uione.Kwa ujumla wewe dada si mwaminifu kwanza ungetueleza sababu ya kuachana na huyo Ex.Halafu unaonekana kumfagilia kuwa amemzidi wa sasa kwa elimu na pesa na wewe vilevile umemzidi.Kwa ujumla wewe unaonekana huna mapenzi ya dhati kwa huyo mwanaume maana usingemnyima simu halafu unatuzuga ulikuwa unamtania,tungekuelewa hivyo sms za huyo ex zisingekutwa kwenye simu yako ni dhahiri kuwa ulikuwa unaogopa kumpa kwa sababu ya hizo sms.Cha msingi muache kijana wa watu ampate mwenye mapenzi ya dhati maana wewe huna msimamo upo kifedha zaidi lakini angalia mwisho wake utakuwa mbaya na utabki kujuta.EDAMOnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-1808483939231949822010-08-29T20:41:01.832+03:002010-08-29T20:41:01.832+03:00Mdogo wangu miezi mitatu yote hajajiua tu? huyo an...Mdogo wangu miezi mitatu yote hajajiua tu? huyo anakutisha tu na mapenzi hayajengwi kwa vitisho achana nae huyo na hata akijiua wewe unahusika vipi? sheria haitakuhusisha mkimbie mapema sipendi watu wanaokagua simu za wapenzi wao.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-19490614937787441502010-08-28T17:38:44.857+03:002010-08-28T17:38:44.857+03:00Umefika wakati wa wewe kuwa na msimamo,kama uliamu...Umefika wakati wa wewe kuwa na msimamo,kama uliamua kuachana na huyo x wako,mawasiliano kwenye simu yanatoka wapi tena?na kwanini uendelee kutunza sms zake ilihali ukijua unamtu mwingine unaempenda?
Nachoweza kukushauri dear,tofauti za kielim ni tatzo kubwa ktk mapenz kwa sisi watanzania!hasa mwanaume anapokua chini kuliko mwanamke,anakua hajiamini muda wote!na itakusumbua maisha yako yote!cha kufanya take action,achana nae,tafta mtu atakayekuelewa.Kuhusu hivyo vitisho vya kujiua hana lolote huyo,anakutisha tu!hata akifanya hiyo we huna kosa!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-38776160932379972232010-08-27T17:38:15.926+03:002010-08-27T17:38:15.926+03:00ACHANA NAYE ENDELEA NA SHULE LA SIVYO HATA WEWE AT...ACHANA NAYE ENDELEA NA SHULE LA SIVYO HATA WEWE ATAKUUA USIPOKUWA MWANGALIFU!!!!!

YA NINI KUHANGAIKA NA MAPENZI KATIKA GIZA TOTORO NAMNA HIYO?

SMS TU INAMKASIRISHA HATA HAKUBALI KUKUSAMEHE, JE YAKITOKEA MAKUBWA ZAIDI YA HAYO MTAISHIA WAPI?

JIHADHARI KABLA YA HATARI LA SIVYO UTAUMIZWA KWA UPUMBAVU WA MAPENZI YASIYO NA KICHWA WALA MIGUU.

INAELEKEA WEWE BINTI UNAMTEGEMEA SANA HUYO JAMA KUKUPA PESA MAANA UMESEMA LIPOKUNYANG'ANYA SIMU ULIMTAKA AKUNUNULIE TENA NA WAKATI HIYO ALIKUNUNULIA.UNASOMA CHUO KIKUU LAKINI HUELIMIKI BIBIE??Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-18545289664990273832010-08-27T11:42:01.182+03:002010-08-27T11:42:01.182+03:00Mh pole sana dada ila ndio maisha yalivyo hawezi k...Mh pole sana dada ila ndio maisha yalivyo hawezi kujiua kama mlishakosana ss ni miezi mitatu imeshapita sidhani kama anaweza kufanya kitu kama hicho na je ni binadamu gani huyo asiejua neno msamaha hali hiyo urafiki je ukiingia kwenye ndoa si itakuwa tafrani?jaribu kuwatafuta rafiki zake or km unafahamiana na ndugu zake ili uwaambie na waongee nae.Kwenye mapenzi siku zote hakuna elimu na ingekuwa hivyo basi wale ambao hawajasoma hata nursery wasingeoa wala kuolewa ktk ulimwengu huu wa ss.

Frm Doble HHAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-19427154148487470052010-08-27T11:28:37.133+03:002010-08-27T11:28:37.133+03:00Jamani Dinah mbona nimetuma comments zangu lakini ...Jamani Dinah mbona nimetuma comments zangu lakini hazijawa published?
JulieUnknownhttps://www.blogger.com/profile/02681209237277150103noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-33754502441601990942010-08-27T11:03:01.189+03:002010-08-27T11:03:01.189+03:00HV JAMANI MIEZI 3 BADO TU UNAHANGAIKA NA MTU? MI K...HV JAMANI MIEZI 3 BADO TU UNAHANGAIKA NA MTU? MI KWA MTAZAMAO WANGU NAOAN HUYO MWANAUME HAKUPENDI WALA NINI COZ WHAT I KNOW MAPENZI NI PANDE ZOTE MBILI KILA MTU AMPENDE MWENZAKE, SASA WEWE INAONEKANA WEWE UNAMPENDA ILA YE HAKUPENDI KAMA WEWE,NA MTU AKIKUPENDA KWELI KWELI HUWA NI MUELEWA HARAKA IWAPO MWENZIO KAKUOMBA MSAMAHA UNAKUWA MWEPESI KUSAMEHE NA KUSAHAU THEN MNASONGA MBELE SASA YE KAMA KAKOSA KADOGO KAMA HAKO HAWEZI KUKUSAMEHE JE SIKU UKIKOSEA KABISA ATAKUELEWA? WE KAMA UNA MAISHA YAKO AUA HAYO MASOMO YAKO ENDELEA TU TEMANA NAE UTAPATA TU MWINGINE MA DIA MAPENZI UKIYAELEWA HAYAKUPI SHIDA KABISA, POLE SANA TRY TO TAKE HEART ILA KAMA HAWEZI KUKUELEWA MI NAOAN HAKUFAIAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-76154863205656723682010-08-27T09:52:22.562+03:002010-08-27T09:52:22.562+03:00oyaaaaaaaa...acheni kuzinguana, kama vipi kila mtu...oyaaaaaaaa...acheni kuzinguana, kama vipi kila mtu aseme msimamo wake, coz naona mnapotezeana muda, kujiua sio issue mwambie ajikaze atoe msimamo wake.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-14093257905991482622010-08-27T01:41:51.001+03:002010-08-27T01:41:51.001+03:00Uyo sio mpenzi nilimbukeni wa mapenzi...achana nae...Uyo sio mpenzi nilimbukeni wa mapenzi...achana nae ,kama kujiua kakaa miez yote mi3 anatishia ..angekua wakujiua angesha kufa..na ni mchoyo hana lolote kukunyang'anya hiyo cimu co kwamba nn wala nn kaona nakunulia cmu we unawacliana na wa2 wengine...sasa ckia hakufai na wala ucshughulike nae huyo..maana utamaliza chuo atakunyima kutafuta kazi na atakusimanga na hiyo elimu yako bure mtoto wa wa2 wakati wamekulipia ada wazazi wako...SHOSTIII ACHANA NA LIMBUKENI HUYOAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-37493573103391109632010-08-26T19:02:34.670+03:002010-08-26T19:02:34.670+03:00Mbwage takusumbua sana huko mbele na hakuna kitu k...Mbwage takusumbua sana huko mbele na hakuna kitu kibaya kuishi na mwanaume mwenye inferiority complex atakutesa kuprove uanaume wake na hivi umesoma utajijutia nafsi yako. Ni bora ukatoe maelezo ya kutishia kujiua kwake Polisi ili siku akiamua kujiua basi uwe una ushahidi na yeye atangulie salamaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-36342773018541468772010-08-26T18:51:31.700+03:002010-08-26T18:51:31.700+03:00Dent wa chuo kikuu,
kwanza pole na kashikashi ya ...Dent wa chuo kikuu,

kwanza pole na kashikashi ya huyo mpenzi wako.

Pili unaelekea ulianza mapenzi mapema mno kiasi kwamba yamekutia upofu kiasi.Kama ungekuwa umekomaa kabisa, hizo sms za huyo X-B/F wako usingezitunza kwenye simu yako kwa sababu ulishaachana naye zinakusaidia nini ukizihifadhi humo? matokeo yake ni hayo sasa hadi mlimbwende wako kazifuma humo.

Kiutaratibu, kama uliachana na mtu si vema kutunza vitu vyake kwa sababu hivyo vitu vitageuka kuwa kishawishi cha kuwa katika mawasiliano naye.Ni dhahiri kwamba wewe uliona fahari unapotumiwa sms na huyo xBF wako pasipo kuangalia shilingi upande wa pili.Ya nini kuayrudia matapishi?

Tatu, kama unasoma chuo kikuu na umeanza kujikita kihivyo katika mapenzi hayo kiasi cha kuanza kukuchanganya hivyo, ni hatari mno, na umri wako bado wamo sana yaani mdogo.

Nne, mimi nipende kukushauri kuwa ni afadhali uachane naye kama atajingonga ni juu yake wala si wewe unayemnyonga.Ila itakuwa mbaya zaidi ukiwa umeolewa naye akajinyonga mkiwa pamoja, na kama hawezi kusamehe kwa jambo dogo hilo, basi sahau kuwa ukiolewa naye atakusamehe.

Mapenzi hayawezi kuwa ya mtelemko siku zote, kuna kupanda milima na kushuka mabonde, yaani vikwazo haviwezi kukosekana, muhimu watu tunadumisha mapenzi kwa sababu tunasameheana. Na hasa jambo dogo kama hilo haliwezi kuwa sababu mtu anatamani hata kujinyonga??? huyo ni hatari hakufai.

Ningekuwa ni mimi hata hizo sms wala nisingejali kwani mtu kuomba msamaha kwa mtu alnayempenda huwezi kumzuia, kasoro yako ni pale umezitunza za nini humo?

Kama pia elimu anaiona kikwazo kwake basi hamuishi mkaishiana kwani hilo litamtesa kila wakati maana ameishajenga inferiority complex tayari.Mkimbie mapema kabla hajatawala milki yako yote potelea mbali amekumega siku zote lakini itoshe hapo.Elimu yako ikukomboe kutafakari aina ya mtu na mapenzi unayotaka kuyafakamamia.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-33429836917111401102010-08-26T17:12:06.719+03:002010-08-26T17:12:06.719+03:00Pole sana dada yangu kwa kuwa inaelekea ndio umein...Pole sana dada yangu kwa kuwa inaelekea ndio umeingia kwenye sanaa hii ya mapenzi.Hakuna mwanaume hata mmoja katika dunia hii mwenye mipango ya kuoana na mwanamke anayempenda halafu akakubali kushea mapenzi na mwanaume mwingine.Kwa kuwa unampenda mbembeleze asitishe uamuzi wake wa kujiua.Na wewe uwe makini kwa kuwa unaonekana kama huyo wa kwanza hujamuacha kabisa kwa kuwa kama uliingia kwenye mtego mdogo wa kuombwa wimbo ndivyo utakavyoingia kwenye mtego wa kutoa penzi kirahisi ukizingatia kuwa huyo wa kwanza huna cha zaidi cha kumnyima kwa kuwa ulishampa.Acha ajiue kwa kuwa huo ni uamuzi wake ila utafutie ushahidi usije ukahusika kwa njia yoyote ile.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-52140128429214295902010-08-26T16:52:11.254+03:002010-08-26T16:52:11.254+03:00hahahah..huyo jamaa kweli zobaa,wee muache tu ana ...hahahah..huyo jamaa kweli zobaa,wee muache tu ana kutisha hawezi kujiuwa.na wewe umetokana wapi na huyo mchanga mshambaa anae taka kujiuwaa.ukiowana nae mdogo wangu ndo itakuwa balaa cse atakuumiza kichwa sanaaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-85725640679801939772010-08-26T14:07:16.681+03:002010-08-26T14:07:16.681+03:00Pole Dada kwa misukosuko iliyokupata.
Umefanya ma...Pole Dada kwa misukosuko iliyokupata.

Umefanya makosa Dada yangu hakuna mtu yeyote ambaye angeridhika na situation aliyoiona HATA WEWE ingetokea kukuta sms za ex wa B4friend wako katika Simu yake ungefurahi? kikubwa cha kufanya kaa nae chini na jaribu kuondoa kasoro zilizopo ikiwemo MKUMWAMBIA UKWELI WOTE KUHUSU EX WAKO kuwa huna mpango nae zaidi ya YEYE KUOMBA MRUDIANE.

Mi naamini MAPENZI YA WAWILI WALIOPENDANA KAMWE HAYAFI hata KAMA YEYE AKIOA NA WEWE KUOLEWA HAPO BAADAYE mara moja, nini cha kufanya:

Ex wako anaonekana kuwa bado ana Mapenzi na wewe na BINAFSI MWANAMKE AMEUMBWA KUWA NA MOYO MWEPESI WA KUSAMEHE hivyo kitendo cha wewe kumkaribisha EX wako na Yeye kuanza kukulilia ni DHAHIRI MOYO WAKO TARATIBU utaanza kuitikia msamaha wae na hatimaye MKARUDIANA KAMA ZAMANI, HIVYO KATIKA HILI CHUNGA SANA KAMA KWELI UNAMPENDA BOYFRIEND WAKO WA SASA NI LAZIMA UKAE MBALI NA HUYO EX LA SIVYO BOYFRIEND WAKO ULIYE NAYE ATAJIUA KIUKWELI (INGAWA INAONEKANA NI KAMA MZAHA FULANI).

Kuhusu tishio la Boyfriend wako kutaka kujiua ni vyema ukeenda kwa ndugu, jamaa na marafiki zake na wazazi kama unatambulika kwao ili ueleze kisa kizima INGAWA UGOMVI WA MAPENZI WASULUHISHI NI NYINYI WENYEWE, lakini mi nathani sauti, maonyo na busara za wazee zinaweza zikamwogopesha.

Ikishindana kote nenda POLISI na utoe taarifa juu ya tishio hilo na hatimaye taratibu za kisheria ziweze kuchukua mkondo wake kwani iwapo BOIFRIEND wako atajiua na kuandika ujumbe kuwa wewe ndiye MHUSIKA KUU, fahamu Ndugu yangu kuwa SHUZI LITAKUNUKA WEWE.

Poa chao!!!!!!!!!!!!!!JIBABAhttps://www.blogger.com/profile/03896841869335182929noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-31331999243330067992010-08-26T14:07:11.102+03:002010-08-26T14:07:11.102+03:00Pole Dada kwa misukosuko iliyokupata.
Umefanya ma...Pole Dada kwa misukosuko iliyokupata.

Umefanya makosa Dada yangu hakuna mtu yeyote ambaye angeridhika na situation aliyoiona HATA WEWE ingetokea kukuta sms za ex wa B4friend wako katika Simu yake ungefurahi? kikubwa cha kufanya kaa nae chini na jaribu kuondoa kasoro zilizopo ikiwemo MKUMWAMBIA UKWELI WOTE KUHUSU EX WAKO kuwa huna mpango nae zaidi ya YEYE KUOMBA MRUDIANE.

Mi naamini MAPENZI YA WAWILI WALIOPENDANA KAMWE HAYAFI hata KAMA YEYE AKIOA NA WEWE KUOLEWA HAPO BAADAYE mara moja, nini cha kufanya:

Ex wako anaonekana kuwa bado ana Mapenzi na wewe na BINAFSI MWANAMKE AMEUMBWA KUWA NA MOYO MWEPESI WA KUSAMEHE hivyo kitendo cha wewe kumkaribisha EX wako na Yeye kuanza kukulilia ni DHAHIRI MOYO WAKO TARATIBU utaanza kuitikia msamaha wae na hatimaye MKARUDIANA KAMA ZAMANI, HIVYO KATIKA HILI CHUNGA SANA KAMA KWELI UNAMPENDA BOYFRIEND WAKO WA SASA NI LAZIMA UKAE MBALI NA HUYO EX LA SIVYO BOYFRIEND WAKO ULIYE NAYE ATAJIUA KIUKWELI (INGAWA INAONEKANA NI KAMA MZAHA FULANI).

Kuhusu tishio la Boyfriend wako kutaka kujiua ni vyema ukeenda kwa ndugu, jamaa na marafiki zake na wazazi kama unatambulika kwao ili ueleze kisa kizima INGAWA UGOMVI WA MAPENZI WASULUHISHI NI NYINYI WENYEWE, lakini mi nathani sauti, maonyo na busara za wazee zinaweza zikamwogopesha.

Ikishindana kote nenda POLISI na utoe taarifa juu ya tishio hilo na hatimaye taratibu za kisheria ziweze kuchukua mkondo wake kwani iwapo BOIFRIEND wako atajiua na kuandika ujumbe kuwa wewe ndiye MHUSIKA KUU, fahamu Ndugu yangu kuwa SHUZI LITAKUNUKA WEWE.

Poa chao!!!!!!!!!!!!!!JIBABAhttps://www.blogger.com/profile/03896841869335182929noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-88205532006673335092010-08-26T12:01:54.559+03:002010-08-26T12:01:54.559+03:00Waw! nimeguswa na hii story. pole mdogo wangu wee....Waw! nimeguswa na hii story. pole mdogo wangu wee.... u know wat? me too ni muhanga km ww.

mm nasema jamani hakuna m2 anaesumbua km mpumbavu, ujue hata vitabu vitakatifu vinasema "ghadhabu ya mpumbavu inalemea kuliko gunia la misumari"

1. huyu mkaka hajiamini kabisa, anajifeel infirior coz uko juu kielimu na hivi alivyogundua huyo ex BF nae yuko juu. yani ameathirika kisaikolojia thats y kila anachoongea oooh.. kwa vile umesoma nk.

2. mm siamini km anaweza kujiua, coz anaejiua hasemagi. anakutishia tu. sasa km akiamua kujiua ww utafanyeje? ukweli uko moyoni mwako kama unampenda ama unamcheat.
3. may b utafute mtu mzima amfanyie canseling kdg itamweka sawa.

USHAURI KWA WANAUME KM HUYU

naona km una tatizo na mpenzio ni bora ukafind out how to solve. na siyo kuanza kutishia kujitoa uhai jamani, hiyo cyo solution ila unacriate anaza problem tu.

Its me,

GgAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-70524867256735561782010-08-26T11:38:34.727+03:002010-08-26T11:38:34.727+03:00Wala hawezi kujiua! Angekuwa wakujiua si hata msib...Wala hawezi kujiua! Angekuwa wakujiua si hata msiba ungekuwa umeshapita? Miezi 3 yote anaimba kujiua tuu! Nakushauri uachane nae mapema iwezekanavyo. Hamtakuwa na amani katika maisha yenu kwa sababu an inferiority complex kubwa sana! Ataendelea kukutukania elimu yako kila siku. Wala hutaweza ku reason nae huyo. Kila utakachofanya atakihusisha na masuala ya elimu. Mwache mwache mwache haraka iwezekanavyo!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-54522208468681345762010-08-26T11:03:30.048+03:002010-08-26T11:03:30.048+03:00Pole sana dada kwa maswahibu yaliyokufika.
Kwa kw...Pole sana dada kwa maswahibu yaliyokufika.

Kwa kweli mdogo wangu mwogope sana mtu anayetishia kujiua mara kwa mara, iko siku ataja-jiua kweli. Hata hivyo mdogo wangu msg za Ex wako za nini kuzihifadhi katika simu? Mimi binafsi huwa msg za hivyo hata kusoma huwa sizisomi kabisa, ikiingia tu naidelete mara moja.

Pamoja na hayo huyo jamaa hakufai, kaa chini mweleweshe kwa upendo na mkanye kuhusu kauli yake ya kutaka kujiua kuwa siyo nzuri na huipendi. Kama akiendelea, nakushauri anza kumwacha pole pole kwani utajaitwa mjane kabla hata hujafikisha miaka 30.

JulieAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-82194909499541788812010-08-26T10:55:30.765+03:002010-08-26T10:55:30.765+03:00loooh,pole sana mdogo wangu,inaonesha hata wewe ba...loooh,pole sana mdogo wangu,inaonesha hata wewe bado hujakuwa kabisaa. Yaani uolewe na form 4? kisa nini? for what so special;wala usijaribu kuoana na mtu kama huyu,kwanza ni kuwa hawezi kujiua. Mimi ni kati ya walee wa Iringa,kama tukitakaga kujiua hatusemi utakuta mtu kafa tu huyu anapiga mkwara hakuna kitu kama hicho.
Achana nae taaaratiiiiibu,yaani punguza fon calls,sms,even regular meetings ili kuweza kupunguza ile frequent comm then utajichomoa na kutafuta mtu wa caliber yako. Au nikuulize swali,ok mmeoana then one day ikatokea mikwaruzo so atajiua maa ngapi? so make god decision early as possible. Mtu kashaanza kujistukia mapema kuwa unajidai na usomi wako,so how about 20 yrs in merriage?
Regards,
mdau from Pasiansi- MZAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-69266389025796773092010-08-26T09:40:47.360+03:002010-08-26T09:40:47.360+03:00Pole sana mdogo wangu,kweli huo ni mtihani ....huy...Pole sana mdogo wangu,kweli huo ni mtihani ....huyo kijana anakupenda kwa dhati sana na suluhisho si kuachana nae kwani tayari ana mapango wa kujidhuru c unajua tena penzi jipya,kiukweli hata mimi mkongwe ningejihisi vibaya kwamba mpenzi wangu amenizidi kielimu haafu nakuta sms za mapenzi na mshikaji wake wa zamani ambaye naye ni msomi kweli inauma....
Tafuta mbinu ya kumthibitishia kuwa unampenda sana yeye na huyo jamaa huna mpango naye,kunua simu tena inayofanana na ile aliyokununulia inaonesha kama umemjibu kwani akijua atajisikia vibaya zaidi...
Jaribu kumfanya ili yeye aonekane ni bora zaidi ya mwengine na pia yeye ni wa thamani zaidi............ila yeye ni mtu mzima haoni kwamba kujiua c suluhisho ni kinyume na sheria yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzaniagudchazhttps://www.blogger.com/profile/11137912395631220617noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-33201674400647975692010-08-26T09:17:47.909+03:002010-08-26T09:17:47.909+03:00pole sana wandugu, inabidi mjiweke wazi kama uhusi...pole sana wandugu, inabidi mjiweke wazi kama uhusiano unawashinda ili kila mtu achukue ustaarabu wake, kujiua mwambie sio issue, zaidi aeleze msimamo wake kwako msipotezeane muda.Anonymousnoreply@blogger.com