tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post8711120405929841778..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Utatambua vipi kama ni yeye au sio?KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-18985806709839596372008-04-08T13:05:00.000+03:002008-04-08T13:05:00.000+03:00Dada Dinah, kwanza hongera kwa kazi nzuri ya kueli...Dada Dinah, kwanza hongera kwa kazi nzuri ya kuelimisha akina mama, nimekuwa nikisumbuka kwa muda mrefu na nisipate jibu nimefurahi kuijua blog yako ninatumaini utanitatulia shida yangu, nina umri 28, nimeolewa mwaka jana na sijajaaliwa baby, nimekuwa nikilala na mume wangu kitanda kimoja wiki nzima bila kufanya chochote hali ya kuwa mimi ninakuwa na nyege na ninapojaribu kumpapasa amekuwa akigeukia upande wa pili na kuendelea kuvuta usingizi, atimae muda wa kuamka ukifika ninaamka na kujianda kwenda job,nimekuwa nikiumia sana kuhusu hilo swala na hawali hakuwa hivyo, sasa nashindwa kuelewa kamba anachoka sana ktk mihangaiko au amekuwa anamwanamke nje sipati jibu nisaidie dear, nipe mbinu nifanye nin, dinah na utundu wangu wote lakini pale nimekwama! nasubiri jibu kwako dada okoa jahazi nisije nikaingia tamaa nikatembea nje ya ndoa na atimae ndoa kuvunjika sitaki yatokee hayo plz tell me what to do.

kazi njema!H. Mhttps://www.blogger.com/profile/11015859646856795494noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-47175964499890645672007-06-06T00:11:00.000+03:002007-06-06T00:11:00.000+03:00Nafurahi sana kutambua kuwa umenufaika na kazi yan...Nafurahi sana kutambua kuwa umenufaika na kazi yangu, karibu sana. Hapa ni kwa ajili ya wanawake wote wa kibongo!KKMiehttps://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-77246192605657956062007-06-06T00:09:00.000+03:002007-06-06T00:09:00.000+03:00Hahahaha karibu Zeze,Mbona nilikutumia link au ili...Hahahaha karibu Zeze,Mbona nilikutumia link au iliingia kwenye bin? Yeah nimeamua kujinafasi ili wadada wanaonukiwa wapate mambo fulani kama wanapenda.KKMiehttps://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-71851349965761736552007-06-05T15:04:00.000+03:002007-06-05T15:04:00.000+03:00hallow bi shost kumbe umehamia huku mbona hunistui...hallow bi shost kumbe umehamia huku mbona hunistui nije kupata mistariii....bora endelea kukamua kwa kujinafasii....NIMEKUSOMA

zeze!!shamim a.k.a Zezehttps://www.blogger.com/profile/13656930199966929799noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-8171209588446551102007-06-04T21:18:00.000+03:002007-06-04T21:18:00.000+03:00Nashukuru kwa maelezo yako yaliokwenda shule, naam...Nashukuru kwa maelezo yako yaliokwenda shule, naamini sio mimi tu niliyefaidika ni wengi tunafaidika.

Kaza kamba dada.

Much love!Anonymousnoreply@blogger.com