tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post8352065866561298044..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Ubora na Viwango vya Mpenzi!KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-25555540122058548752014-05-27T14:35:21.766+03:002014-05-27T14:35:21.766+03:00Anony9:48:00 km uko serious endelea tufanye mawacl...Anony9:48:00 km uko serious endelea tufanye mawacliano ila cjui tutawacliana vpanony 4:36:00noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-26872894401656095632014-05-25T21:48:13.086+03:002014-05-25T21:48:13.086+03:00 Anoymous 4:36:00 mm nikoserious kupatyta mke alot... Anoymous 4:36:00 mm nikoserious kupatyta mke alotulia, ila tatizo mm niko Mombasa (kenya). sijui tutaanzia wapi kazi nashukuru nipo nayo kipato chake cha wastani,na mm hutamani nijenipate mke mchapa kazi sio kukunja maguu,tusaidiane kuendesha gurudumu la maisha na tukijaaliwa kuwa nawenetu tuwape maisha bora na elimu bora...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-35850220395427536772014-05-23T16:36:49.957+03:002014-05-23T16:36:49.957+03:00pole kaka naungana na dada dinah pia nashukuru kwa...pole kaka naungana na dada dinah pia nashukuru kwa ushauri wake maana na pia nina tatizo hlo japo mi bado cjafika umri huo ila nawish kupata mwanaume aliye serious all the best katika kutafuta Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-86172544528551869282014-05-20T23:32:30.118+03:002014-05-20T23:32:30.118+03:00pole kaka kwa kutafuta mwanamke wa ndotoni!
Hawapa...pole kaka kwa kutafuta mwanamke wa ndotoni!
Hawapatikanagi hao kwa kumwona tu halafu akawa perfect at first sight!

Lazima uingie nae ktk mausiano na jinsi utakavyoendelea naye kwa muda,utagundua kuwa ulipoteza muda mwingi ukihesabu nyota hadi mwezi ukakuponyoka!

Pata marafiki wa kike na kiume na jitose katika mahusiano ndipo utakapojuwa mbivu na mbichi!

Kama dada Dina alivyokushauri,vigezo vingi unavyoviweka kwa mpenzi unayemuhitaji;vilinganishe na viwango ulivyo navyo wewe ambavyo mwanamke pia anaweza kuvutiwa navyo.

all in all,UKICHAGUA SANA NAZI utaambulia kuchaguwa koroma na ukimchunguza sana nyuki,hutakaa uionje asali!Anonymousnoreply@blogger.com