tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post8074943070122793846..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Naomba Ufumbuzi wa Haraka nisimpoteze Mpenzi!KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger15125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-11462201519029116392012-05-11T12:40:06.675+03:002012-05-11T12:40:06.675+03:00pole sana dada ila badilika na umpe mumeo haki yak...pole sana dada ila badilika na umpe mumeo haki yake.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-24868339871205640622011-12-16T18:27:37.671+03:002011-12-16T18:27:37.671+03:00pole dada atakuelewa fuata ushauri wa watupole dada atakuelewa fuata ushauri wa watuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-41700054861702422222011-12-11T12:23:52.026+03:002011-12-11T12:23:52.026+03:00discuss discuss!!
ni mumeo tuu! chochote ukifanyac...discuss discuss!!
ni mumeo tuu! chochote ukifanyacho unakifanya kwaajili yako na mpenzi wako! usimfiche. huenda analakukusaidia, la sivyo utampoteza huyo mpenzi wako. mapenzi ni uwaziAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-91747457138298225852011-12-07T14:53:25.196+03:002011-12-07T14:53:25.196+03:00pole sana dada,msimbazi center uwa wana semina za ...pole sana dada,msimbazi center uwa wana semina za wapendanao ni nzuri sana,zinalekebisha na kushauri vizuri sana kuhusu wawili wapendanao.jaribu hukoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-54535136896173911982011-12-01T15:16:06.728+03:002011-12-01T15:16:06.728+03:00ni hali ya kawaida hiyo dada.pia ukiwa unafanya iv...ni hali ya kawaida hiyo dada.pia ukiwa unafanya ivo mwanaume atakukimbia mi naamini km mumeo kavumilia visa vyote vya kwanza hata sasa atajua ni mabadiliko tu ya mwili hayo mamito so wory out mpe jamaa mzigo then kila kitu kitaenda sawa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-84197811713686714052011-11-24T14:50:41.208+03:002011-11-24T14:50:41.208+03:00Natumaini unaendelea vema, naomba unisaidie kuweka...Natumaini unaendelea vema, naomba unisaidie kuweka mada hii kwenye blog yako. Najua na ninaelewa kwamba wanawake wengi siku hizi wanadaiwa kufanya mapenzi na wanaume kinyume na maumbile, mimi kama mkristo natambua ni kosa na haifai kufanya hivo, japo wanaofanya huwa wanafanya kwa raha zao. kuwalaumu pekee haitoshi. Sasa nachoomba wadau wenzangu kwenye hii blog wajitokeze wanawake wanaofanya tendo hili watuambiwe wanajisikia raha gani wafanyapo hivo na je wamependa, wamelazimishwa au wanafanya hivo kwa kushawishiwa. Tafadhali naomba maoni ya wadau.Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/13422063337859182403noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-14625391826072940152011-11-24T14:49:33.494+03:002011-11-24T14:49:33.494+03:00Msaada Tutani wadau. Najua na ninaelewa kwamba wan...Msaada Tutani wadau. Najua na ninaelewa kwamba wanawake wengi siku hizi wanadaiwa kufanya mapenzi na wanaume kinyume na maumbile, mimi kama mkristo natambua ni kosa na haifai kufanya hivo, japo wanaofanya huwa wanafanya kwa raha zao. kuwalaumu pekee haitoshi. Sasa nachoomba wadau wenzangu kwenye hii blog wajitokeze wanawake wanaofanya tendo hili watuambiwe wanajisikia raha gani wafanyapo hivo na je wamependa, wamelazimishwa au wanafanya hivo kwa kushawishiwa. Tafadhali naomba maoni ya wadau.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-10320590229007975982011-11-24T09:26:08.335+03:002011-11-24T09:26:08.335+03:00Pole my dia kwa yote. kwanza utambue kuwa ukiwa p...Pole my dia kwa yote. kwanza utambue kuwa ukiwa pregnant lazima kuna mabadiliko flan kama ngozi ya juu ya uke inakuwa nyeusi sana pia sometimes hata tumbo, uzoefu huo ninao kwani hata mie nilipokuwa preg hubby wangu akinishave namuona sura yake haina furaha maana k inakua black sana. hata hivyo hicho ni kipindi cha mpito mambo yatabadilika ukishadeliver, kuhusu matiti pia ni kawaida kuuma na kuwasha na huo ndo muda wa hubby wako kukuchezea taratibu then utazoea badala ya kumkwepa kila siku bila sababu za msingi. no body to take care of your husband except you.

Funguka bidada.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-36991472786444391682011-11-23T12:26:08.671+03:002011-11-23T12:26:08.671+03:00mie hata ckupi pole bibie, majibu ya hiyo comment ...mie hata ckupi pole bibie, majibu ya hiyo comment ya tatu yamenikuna sana. anyways we mtoto ukikua utaacha, ndo nyie mnaoletewaga wanawake wenzenu ndani ya nyumba mkiwa wajawazito, funguka kiakili wewe utaachika pabaya sana shauri yako.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-35340805489592342412011-11-23T11:49:01.110+03:002011-11-23T11:49:01.110+03:00Me naungana na wasemaji waliotangulia,kiukweli sik...Me naungana na wasemaji waliotangulia,kiukweli sikuelewi mana kwa ninavyoelewa mm wanaume huwa wanafil raha kufanya sex na mjamzito kuliko hata ukiwa kawaida kwa kuwa mwili huwa na joto zuri na nakusihi usimkoseshe huyo bwana hiyo nafasi adimu hebu mpe au umembambikia sio yake?kuolewa km kupo kupo wala sio kwa hivyo vigezo vyakoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-23533760452267490632011-11-18T08:48:25.488+03:002011-11-18T08:48:25.488+03:00We sasa unataka kikimbiwa na mume,mumeo hapo nyege...We sasa unataka kikimbiwa na mume,mumeo hapo nyege zimezidi na anataka kula kitu yake we unaleta masababu,we mpe hivyo hivyo .
Me mwenzio nipo bed rest hata job siendi but tumeenda wote kwa gynae na tumeelekezwa jinsi ya kufanya taratiibu cz anajua mwanaume hawezi vumilia muda wote huoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-85714752549422714212011-11-17T23:21:11.056+03:002011-11-17T23:21:11.056+03:00Dada, pole sana kwa matatizo. Mimi mwenyewe ninauj...Dada, pole sana kwa matatizo. Mimi mwenyewe ninaujauzito tena wa wiki 30, na ki2 cha kwanza ambacho napenda kukushauri kwa kuwa yule ni mpenzio au mumeo, ni vizuri ukamshirikisha kila atua inayoendelea kwenye mwiliwako, yani toka mwanzo ungekuwa unamwambia kwa kuwa anakupenda angekuelewa na angetafuta jinsi ya kukusaidia. Mana hiyo yote ni atua ya ukuaji wa mtoto wenu mtarajiwa. Kuwa free kwa mumeo ikiwezekana mpe nafasi auchunguze uke wako ukoje ni kwa kila hatua. Kuwa free kwa mumeoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-91631319455376078162011-11-17T22:56:22.922+03:002011-11-17T22:56:22.922+03:00Hapo mimba na ukinyonyesha je itakuwaje? nazani ut...Hapo mimba na ukinyonyesha je itakuwaje? nazani utaua mtoto kwa maji ya moto wewe kama waswaili wasemavyo. Sababu hata kumnyonyesha mtoto, utaogopa maziwa yako yatalala kama ndala, na yakilala mpenzi wako atakuacha.
unafikra mbovu.

Mie nawajua waschana kama nyie, kuna jamaa alimuacha mchumba wake kwa sababu zinazo fanana na zako.

Kwani wewe ulikuwa unamuzia huyo mpenzio sura yako au uzuri wako tu? mpaka akuache kwa mabaya yako na mapungufu yako na mabadiliko ya mwili wako?

Sasa hayo matatizo ndio unaweza kuyaficha, na je ukiumwa ugonjwa ambao utadhofika, na hauto jiweza? utafanyaje, mungu si athumani dada? sie binadam hatujakamilika kwa vyovyote vile, leo una mkono kesho umekatika. Na utaficha hivo hivo mume hasione? UTAWEZAJE?

Kuna mengi inabidi ujifunze wewe unamawazo ya kitoto hauja komaa akili.

Jua tu kama mtu anakupenda basi jua hata mavi yako atazoa, na atakusapoti kwa hali yeyote ile ulie nayo.

Na kama atakukimbia sababu unamatatizo kama hayo, basi muache tu akukimbie, sababu mtu kama huyo wala hafai ktk jamii yeyote ile.

Kama mimi ningekuwa wewe nisinge ogopa kitu. Sababu wanaume ni binadamu na binadam mwenye akili timamu lazma aelewe

Na vile vile mie naona unawafikiria wanaume tofauti na walivo.

Kama kuma ako nyeusi ama nyeupe, kama inatoka uji au chai, nazani yeye haimuhusu, yeye anachotaka atatue itaji lake la sex, na kwanza hatokulazimisha umuoneshe shehem zako za siri, au uwo uji ataona ni mnato tu wa K. Na wanaume wanapenda uwo mnato, ndio maana wanasemaga mwanamke mjamzito mtam we, sababu ya uwouwo mnato. Jaribu kumpa harafu uone kama atagundua ufikiriayo!!!

Ndio nyie mnao pewaga talaka mkiwa na mimba, kwa ujinga wenu. Yaonesha kijana wa watu ni muelewa sana, na anakuvumilia tu.

USHAURI WANGU!
Unaweza kula nae mzigo hata gizani basi kama hautaki akuone. Na vile vile unaweza kuvua chupi tu nguo ukabaki zako, sizani kama atakulazimisha uvue maana yeye anataka K tu. shauri yako

Na kutumia chemical kali za kubadilisha rangi ya ngozi sehem za siri zaweza kumuaffect mtoto, ama ukose mwana hama mpenzi ama vyote, nawaonea huruma, ingekuwa mdogo wangu ningekukata vibao niweke akili yako sawa. pole sana kwa maneno yangu makali ila usikonge ndio maishaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-76978752134798740102011-11-17T16:33:30.913+03:002011-11-17T16:33:30.913+03:00Pole sana dada nakushauri ukamwone Doctor then usi...Pole sana dada nakushauri ukamwone Doctor then usiogope kumvulia mumeo coz ujauzito huleta mabadiliko mengi sana ila baada ya kujifungua utarudia ile khali yako kama kawaida.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-21246655174846034602011-11-16T10:55:23.431+03:002011-11-16T10:55:23.431+03:00Mwambie ukweli kuhusu hali yako,kwani mumeo ndio m...Mwambie ukweli kuhusu hali yako,kwani mumeo ndio muhudumu wa kwanza kwako,daktari wa kwanza kwako,msiri wa kweli kwako,mdumisha mapenzi yenu pekee,mwelevu wa kudumu,alafu ukweli uzuia mambo mengi na fikila potofu au mawazo mabaya kwenu,mcheki doctor ili akupangie vyakula vya kula na vitu vya kuepuka.Anonymousnoreply@blogger.com