tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post8053754734279786762..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Sitaki kuudhi mke na Familia yangu, nitaachaje?-UshauriKKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-55990056648557153682010-02-12T15:13:41.437+03:002010-02-12T15:13:41.437+03:00Ngugu yangu nikupongeze kwa kuwa katika mwelekeo s...Ngugu yangu nikupongeze kwa kuwa katika mwelekeo sahihi,
mim i nilivuta kwa zaidi ya miaka 25, na mzee wangu alivuta tangu nilivyo sijui lini kwani napata akili yeye anavuta.

kwahiyo ninapoandika sasa yeye havuti na mimi sivuti - njia pekee pamoja na ushauri mzuri ulioupata toka kwa waungwana wengine naweza kusema kwa kifupi tu NI WEWE

Ili kuacha ni lazima uwe na sigara wakati wote lakini uwe na utash (comand) au sijui niseme (will power to resist temtation )ujizuie kutovuta kwa nguvu zote hatakama iweje - labda mfano rahisi kwa hili ni kwa wale wanaofunga kwa sababu za kidini ukishamudu zoezi hili kwa wiki moja basi ujue kama kweli ni nia yako kuacha hutarudi nyuma na inakuwa rahisi sana baada ya hapo

ila niseme na niweke anagalizo siku tatu za kwaza ni ngumu kupindukia na ndizo za kujitahidi na kuweka nadhiri hasa.

kama nilivyo kuambia mwanzo kutokuwa nazo jirani inamaana kuwa unazikosa ila kama ukiwa nazo na ukamudu kujizuia kuvuta basi utakuwa uko salama na hata kama utakumbwa na msongo wa mawazo kiasi gani utamudu kujizuia

inawezekana ni uamuzi tu - na uamuzi lazima uwe wa kwako kwani kitu kidogo kama sigara kwanini kiendeshae maisha yako

kunywa maji mengi wakati wa hamu kuu kuna saidia sana na hakuna madhara

naamini kama mimi na mzee wangu tume mudu sioni kwanini wewe usiwezeBKnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-31743076947912410562010-02-09T18:05:09.857+03:002010-02-09T18:05:09.857+03:00Pole sana ndugu yangu! Jaribu kutumia chewing gums...Pole sana ndugu yangu! Jaribu kutumia chewing gums zenye nikotini. Zinapatikana kwenye maduka ya dawa. Hizi zipo zenye kiwango tofauti cha nikotini, kulingana na kiwango cha uvutaji. Unachotakiwa ni kumueeleza mfamasia kuwa unavuta hadi sigara 10 kwa siku, then atajua ni ipi inakufaa. Kwa hiyo basi ukijisikia kuvuta sigara, unatoa moja na kutafuta....slowly utapunguza idadi ya sigara kutoka 10 hadi 0 kwa siku.

Hizi zinasaidia tu, kutpunguza hamu ya kuvuta, kwa kukupa stimu kidogo ambayo inafana na ambayo ungepata kama ungevuta sigara. Hata hivyo zitakusaidia tu iwapo unania ya kuacha kuvuta.

Mimi zilinisaidia kidogo, maana niliweza kupunguza idadi ya sigara....mpaka nilivyokuja kupata msichana ambaye alikuwa hapendi nivute sigara, ndio niliweza kuacha kabisa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-83496420490495805122010-02-05T16:47:59.572+03:002010-02-05T16:47:59.572+03:00Mkeo mwenyewe ndiyo kinga mahususi ya kuacha sigar...Mkeo mwenyewe ndiyo kinga mahususi ya kuacha sigara, kwa sababu umemuacha mbali ni vigumu kujikontro maana hakuna unayemuona kwa karibu kukukataza, you are free to smoke.Kwa hiyo kama ulivyosema mwenyewe ni bora utafute namna ya kuungana na familia yako itakuwa msaada mkubwa kukupunguzia adha hiyo ya uvutaji sigara.

Mtu asikudanganye ni rahisi sana kuacha kitu mradi tu umekichukia kama ni hatari kwako na kwa familia yako.Naamini maadamu umeanza kuliona jambo hilo hatari na athari zake utafanikiwa tu.

Kama wewe ni mkristo uone kuwa pia kikristo haifai kuhangaika na sigara kwani inaharibu hekalu la Mungu ndani yako.Ubarikiwe sana kutafuta uaminifu kwa mkeo na familia yako.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-84383951722142772002010-02-04T22:15:19.111+03:002010-02-04T22:15:19.111+03:00Afadhali kaka yangu umeliona hilo mapema na nakupa...Afadhali kaka yangu umeliona hilo mapema na nakupa hongera sana kwa kuijali familia yako na afya yako pia hujasema uko nchi gani exactly kama upo Uingereza nenda NHS yeyote ile unapata cancelling free in charge na wanasaidia mpaka mtu anaacha kabisa nasikia hadi siku hizi ukienda kuomba ushauri tu unapewa na hela juu kwa hiyo bro kama upo Uk nakusihi sana nenda bila kusita utajionea mwenyewe wish u best of luck!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-21121537379007244782010-02-04T21:05:49.424+03:002010-02-04T21:05:49.424+03:00Kaka tumeingia choo cha kike, maana mi mwenyewe ni...Kaka tumeingia choo cha kike, maana mi mwenyewe nina miaka 10 since started smoking na nimejaribu kuacha lakini nimeshindwa, hivyo sigara haina dawa, dawa yake ni kuvuta mpaka tufe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-4577523984540637312010-02-04T19:38:03.422+03:002010-02-04T19:38:03.422+03:00kwanza kabisa muombe mungu kweli kwa kumaanisha ao...kwanza kabisa muombe mungu kweli kwa kumaanisha aondoe kiu ya sigara hakuna kiu ambayo mungu hawezi kuondoa sigara ni mbaya mno mno leo nimezika mjomba yangu tatizo ni sigara za mda mrefu na aliacha mika 15 iliyopita, mdogo amepata ulemavu wa kidole kwa sababu ya sigara nikotin ni mbaya ukiona kiu ya sigara tafuta kitu mbadala ambacho kitazuia kiu ya kutaka kuvuta, hali ni mbaya kaka bora umeliona kutaka kuacha .
DianaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-66896691326204810152010-02-04T17:44:52.500+03:002010-02-04T17:44:52.500+03:00Mdogo wangu, unastahili sifa kabisa kwa jinsi unav...Mdogo wangu, unastahili sifa kabisa kwa jinsi unavyojali uhusiano wako na mkewe ikiwa ni pamoja na famili yako pia.

Ni wazi kabisa kwamba ukishazoea kitu kuacha kazi inakuwa kibarua kikubwa sana. Hata hivyo maandamu umeanza kulivalia njuga swala hilo naamni safari yako imekolea na punde utafanikiwa.

Jambo moja ni kuchukia kitendo hicho kabisa na kujiona kinakuangamiza kabisa kiafya, kifikra, kisyosyolojia na hata kisaikolojia.Kwa minadhiri hiyo basi ndugu yangu weka mkakati na jikane mwenyewe na chukia kuvuta.

Jambo la pili hebu anza kutafuta kitu kingine mbadala ambacho unaweza kufanya ili uchangamke.Ukikipata hicho ndicho mara utakapokuwa unawaza sasa ungevuta sigara unazamia kwa kitu hicho.Kwa mfano chai hivi, au pipi au kitu chochote cha kutafuna hivi. Pia unaweza hata labda kufanya mazoezi ya kukimbia au ukaenda gym kwa huko uliko ni rahisi kutafuta mahali au sehemu yenye gym kwa wepesi zaidi.lakini gym ya haraka ni kujikipu bize sijui unasoma huko au unabeba mabox?unaweza kuweka ratiba nguvu inayoweza kukufanya hata kukumbuka sigara ukashindwa. Lakini cha muhimu chukia kabisa uvutaji na muone mkeo kama yuko hapo anakuangalia na anakasirika.Anonymousnoreply@blogger.com