tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post7732071488466442608..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Nashindwa kumuacha mume wa mtu-Nifanyeje?KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger44125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-43929612992030447142014-02-04T21:04:37.017+03:002014-02-04T21:04:37.017+03:00Dah....bahisi hata kulia kwa comment zenu...maana ...Dah....bahisi hata kulia kwa comment zenu...maana mimi niko kweny mahusiano na mume wa mtu ila ckujua wala hakusema...nampenda kufuru sasa nashindwa hata kumpa ushaur huyo dada. NaregretAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-45410801614898768402011-05-28T15:06:33.570+03:002011-05-28T15:06:33.570+03:00we ni ngono tu ndo inakusumbua na tamaa zake.we un...we ni ngono tu ndo inakusumbua na tamaa zake.we unadhani mwamke angefanya hivyo kwa baba yako ungekuwa na familia leo.Acha Acha! haraka sana.hilo pepo la ngono lipeleke kwa boyfreind wako.naamini ulikuwa naye be4 hujakutana na husband wa m2.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-66353078070749278492010-10-25T18:16:41.634+03:002010-10-25T18:16:41.634+03:00Wewe nadhani bado hujapata mtu singo akakupiga mpa...Wewe nadhani bado hujapata mtu singo akakupiga mparago wa nguvu. Usijitie kuwa jamaa ni innocent na mashamsham mengine.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-8905564683389636852010-10-25T18:15:23.148+03:002010-10-25T18:15:23.148+03:00Unaufahamu usemi wa Kiingereza What goes around co...Unaufahamu usemi wa Kiingereza What goes around comes around? Tafakari.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-13049354057859877542010-10-25T18:13:27.416+03:002010-10-25T18:13:27.416+03:00Ati nini???? Unasema jamaa ni innocent and caring?...Ati nini???? Unasema jamaa ni innocent and caring???? Kama angelikuwa ni innocent asingekuwa anamsaliti mkewe na kama ni caring angeanza huo ucaring wake nyumbani kwake. Wewe kama unataka mchi vijana wenye uwezo wako wengi tu tena wengine wana vijisenti vyao. Sijui uko mji gani, ukitoa e-mail yako, kama wewe unafaa, nitakutafuta nikuchangakie barabara. Utamsahau huyo bwana wa watu. Busyshaft.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-26475013967679322282010-10-19T16:36:03.578+03:002010-10-19T16:36:03.578+03:00we mtoto jamani hivi hujui kuwamumewa mtu nisumute...we mtoto jamani hivi hujui kuwamumewa mtu nisumutena kali inauwa, kama umejua kuwa nimumewa mtukwa nini usikimbie ukamwacha sasa unasema umenasaunampenda,hakika binti kam kweli weweunasali una Mungu wakoachan na mume wa mtu kabisa,sikubalianina wewe unaposema umeshindwa kumwacha kumbuka wat goes roundcomesround lazima utavuna tu ipo siku na weweukijakuolewa utaibiwa mumeo na usilie kumbuka utakuwa unavuna ulichopanda,
huna hata hurumahujuianaweza kuwa na watotohalafuweweunataka uchukue muda ambaohuyobaba angekaana mukewe nawatotowake,
kuwana aibubintihamnacha ushauriachana namumewa watu kunamagonjwa unataka kuumwa jamaniwatoto wasiku hizi hamna adabu kweli,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-63417961216648813982010-10-19T16:31:59.871+03:002010-10-19T16:31:59.871+03:00we mtoto jamani hivi hujui kuwamumewa mtu nisumute...we mtoto jamani hivi hujui kuwamumewa mtu nisumutena kali inauwa, kama umejua kuwa nimumewa mtukwa nini usikimbie ukamwacha sasa unasema umenasaunampenda,hakika binti kam kweli weweunasali una Mungu wakoachan na mume wa mtu kabisa,sikubalianina wewe unaposema umeshindwa kumwacha kumbuka wat goes roundcomesround lazima utavuna tu ipo siku na weweukijakuolewa utaibiwa mumeo na usilie kumbuka utakuwa unavuna ulichopanda,
huna hata hurumahujuianaweza kuwa na watotohalafuweweunataka uchukue muda ambaohuyobaba angekaana mukewe nawatotowake,
kuwana aibubintihamnacha ushauriachana namumewa watu kunamagonjwa unataka kuumwa jamaniwatoto wasiku hizi hamna adabu kweli,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-17956272218276769792010-10-12T21:42:40.250+03:002010-10-12T21:42:40.250+03:00ww ni mtu wa ajabu,tena hujatulia kabisaaa!tatizo ...ww ni mtu wa ajabu,tena hujatulia kabisaaa!tatizo mabinti wengi mko after money,unafikiri dhiki ukiziendekeza ndo zitaisha?Napenda ujue kuwa huyo bwana ana mke anayempenda ww anakutumia tu na inawezekana mko wengi mnaodanganywa na bwana mmoja.Wewe ni mdogo bado ukitulia utapata mwanaume wa kuwa huru naye;kuwa makini mkewe akijua utaonja joto ya jiwe!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-5303986093072414602010-10-11T13:40:58.883+03:002010-10-11T13:40:58.883+03:00umefanya la maana sana kusema ukweli kuwa unatembe...umefanya la maana sana kusema ukweli kuwa unatembea na mume wa mtu. ACHA HIYO TABIA MUME WA MTU/MKE WA MTU NI SUMU. Kuna dada nilishuhudia alionywa aache hiyo tabia hakuacha matokeo yake alitiwa TENDE LA MIGUU yote miwili akawa inavuja maji na usaha, kahangaika kote imeshindikana iliyobaki kamrudia Mungu ila matende yapo pale pale na bado yanavuja maji na usaha. ASIYE SIKIA LA MKUU HUVUNJIKA KUU ACHA HIYO TABIAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-80798865779738342292010-10-11T10:01:53.011+03:002010-10-11T10:01:53.011+03:00yaani jamani mi riho inauma,kweli mme wa mtu halaf...yaani jamani mi riho inauma,kweli mme wa mtu halafu umeshafahamu kwa nini usimwache?unachofanya ni dhambi kubwa kwani una wadhulumu watoto wa hiyo familia.na siku mkewe akifahamu ndo utajua kama ni unasikia raha au utamu kuwa na mumewe achana naeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-30352371889782834692010-10-08T16:03:36.243+03:002010-10-08T16:03:36.243+03:00Hivi wewe!!! ndo kwanza una miaka 24 uko na mwanau...Hivi wewe!!! ndo kwanza una miaka 24 uko na mwanaume wa mtu! hao vijana wenzako ambao unaweza kutoka nao na kuwaintroduce kwa mtu bila wasiwasi utakuwa nao saa ngapi. Maana mume wa mtu bwana huwezi kumtambulisha hovyo kwa watu kama boyfriend wako mwenyewe, huwezi ukatoka naye outing peupe watu wanakuona. Wewe unakuwa wa kujificha siku zote. Hayo siyo maisha tafuta wako. Na ukirogwa ujifanye unazaa nae tu umekwishaaa! anatafuta dogodogo mwingine, maana nawe unakuwa huna tofauti na mkewe, majukumu yanaongezeka. Mume wa mtu waachie watu walioenda age na wameshajichokea na maisha, wanaishi kwa kubangaiza. Lakini wewe bado mdogo. Hakuna nyumba ndogo hata moja isiyoonyeshwa mapenzi, but yanakuwa ya uongo. Olewa naye uone kama hayo mapenzi yatakuwepo. ANAKUDANGANYA HUYOOOO!!! ANAKUPOTEZEA MUDA WAKO!!Ndoa tamu asikwambie mtu, kama mnaishi kwa amani. TAFUTA WAKO BIBI!!Mama 2noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-56711681778856859052010-10-08T15:36:35.214+03:002010-10-08T15:36:35.214+03:00km anakupa jando la uhakika na anajua kutombana tu...km anakupa jando la uhakika na anajua kutombana tulia nae.kwani mwanaume kutombana na mboo ilo kwenda shuleAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-81470335432353149152010-10-08T13:37:06.952+03:002010-10-08T13:37:06.952+03:00wacha ujinga ww, mume wa mtu anakupotezea muda tu ...wacha ujinga ww, mume wa mtu anakupotezea muda tu hana jipya wala nn, hv unajisikiaje kuwa na mume wa mtu? huna uhuru nae, hawezi kulala kwako, yani just bushit tu, muache tafuta wako. shauri yako ucpomuacha kwa hiari utakuja muacha kwa kasheshe, ohooo...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-5444720437977475532010-10-08T09:26:47.011+03:002010-10-08T09:26:47.011+03:00mdogo wangu hebu achana na huyo mume wa mtu, at 24...mdogo wangu hebu achana na huyo mume wa mtu, at 24 kwanini uamue kuwa na mume wa mtu? hakukuwa na mwingine zaidi yake? alafu unasema yuko inocent the way unavyomchukulia ndivyo wengine pia wanamchukulia. anamjali mke wake ndio maana hajakuonyesha usije mfanyia fujo. kuwa mwenzi wa maisha yako yote ni ndoto au wamaanisha amwache mkewe? anza kujichanganya na vijana wenzio utampata atakae kuwa wako na si wa mtu!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-35694933268757842222010-10-08T03:28:45.417+03:002010-10-08T03:28:45.417+03:00OF COURSE HAWEZI KUJA KUWA NA WEWE TENA IKIWA KAMA...OF COURSE HAWEZI KUJA KUWA NA WEWE TENA IKIWA KAMA NI NDOA YA KANISANI. JE, JARIBU KUFIKIRIA INGEKUWA NI WEWE KUWA MMEO ANA MWANAMKE MWINGINE NJE, UKIWA KAMA MKEWE NA UMELIJUA HILO UNGEFANYAJE/UNGEJISIKIAJE?
KUMUACHA UNAWEZA NI KUJIENDEKEZA TU.KWANI UMEZALIWA NAYE?? ACHA UJINGA, MUACHE MARA MOJA KAMA JIBU LA SWALI HAPO JUU NI: "UNGEUMIA ROHO NA USINGEPENDA ITOKEE MUMEO AWE NA MWINGINE". PERIOD!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-39618577036936284262010-10-07T14:15:24.172+03:002010-10-07T14:15:24.172+03:00wahenga walishasema MUME/MKE WA MTU SUMU shoga, bi...wahenga walishasema MUME/MKE WA MTU SUMU shoga, binadamu tumetofautiana mawazo na fikra, huwezi jua mke wa huyo baba ikitokea akajua about your relationship with her husband unaweza ukaja jutia kuanzisha mahusiano with that man in the first place.

ninavojua mtu hawezi kumuacha mke wake bila sababu inayoeleweka kwani wewe hujui wameanzia wapi mahusiano yao mpaka ukakutana na huyo jamaa, na kumbuka siku hizi kuna magonjwa na wewe bado mbichi kabisaaaa achana nae endelea na maisha yako ili ujiepushie matatizo makumbwa ambayo yanaweza kukukumba huko mbeleni.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-62490146259445622432010-10-07T11:34:52.000+03:002010-10-07T11:34:52.000+03:00Salamu zangu wana blong hii!!
Dada Dinah natumaini...Salamu zangu wana blong hii!!
Dada Dinah natumaini hu mzima wa afya.
ushauri wangu kwa huyu binti anayempenda mume wa mtu ni
"achana naye" kwani hapo hakuna upendo wowote na sana sana anapoteza muda wake kwani mwisho wa yote mume wa mtu hurudi kwa mkewe.
Nashukuru.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-71884721321750317762010-10-06T23:38:24.240+03:002010-10-06T23:38:24.240+03:00eh my dear..you are too young to sleep with marrie...eh my dear..you are too young to sleep with married men! yani at 23 already ushaanza kulala na waume za watu?sipo hapa kukuhukumu nachokuambia tu ni kuwa maadam wewe ni mwanamke unaetaka kuja kuolewa basi fikiria uko na mumeo alafu kuna binti huko nje ana uhusiano nae utajiskiaje?what comes around goes around. Hakuna ugumu wowote wa kumuacha mume wa mtu, muachie mwenzio mpenzi wake tafuta wa kwako bibi, hivi ukikaa unamuomba Mungu akusaidie alafu huku unajua unachukua mume wa mtu unajiskiaje?acha mdogo wangu kabisa huo mchezoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-39266253491459834942010-10-06T17:50:43.711+03:002010-10-06T17:50:43.711+03:00uNATAMANI KUJUA JINA LA NYUMBA KUBWA EEH. Taja ji...uNATAMANI KUJUA JINA LA NYUMBA KUBWA EEH. Taja jina la bwanako utamjua mkewe. Wewe dada mdogo usitafute kijana mwenzio muanze maisha unatafuta wenye mali tayari eeh. Mteremko eeh. Kwa taharifa yako utahachwa soon and by the time he is finished with you hutapata hata wa kukupa 'hi'. Nani anataka kuoa kimada mzoefu. Nyie ndo wale wadada walokuwa wanachukuliwa na makonda wakiwa wanafunzi miaka ile ya 80s kwa ela ya chips wasijue kuna mijanaume ya maana inawasubili wamalize shule. Unababaika na ako kagari alikonako mme wa mtu. Uliambiwa wenye ma vogue walikuwa nayo wakati wanaoa. Utajiri unatafutwa na mume na mke ndo maana mnadoda mnaweka high standards wakati wenyewe si lolote si chochote.tafuta wako mama wa kushare ni wakushare tu. Na unayeumia ni wewe kwani kama ulivyosema mkewe hajuhi. Akija kwako anapiga bao moja kwa mkewe mawili, then full kumkumbatia usiku kucha. Wewe na hii baridi unakumbatia mto. Hallooo. Am sure wivu unakuuma ndo maana unataka humjue the wife anaefanya mume asilale nje instead akupe mgao once a week tena mchana kweupeee akitoroka kazini. Aah. Anampenda mkewe shosti analala na wewe pindi mkewe akiwa kwenye edhi, unamsaidia kupunguza nyege aaahh. Angekuwa hampendi si angemwacha. Hiloo. Usifanye mchezo na ndoa wametoka mbali ati.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-56389676567517066822010-10-06T17:22:30.626+03:002010-10-06T17:22:30.626+03:00Dada nakupa pole sana. Ndoa na iheshimiwe na watu...Dada nakupa pole sana. Ndoa na iheshimiwe na watu wote. Lakini inawezekana unafanya ufanyayo kwa sababu labda umelelewa nje ya ndoa. Unamwita huyo mzinzi mwenzio Innocent and caring. Anaweza kuwa caring ila Innocent to me, BIG NO. Tena una hatari. Mimi ni msomi lakini nikikujua unatembe na mume wangu tu nakutia ukichaa nakuhakikishia hilo! Kama si ukichaa utavuja wewe maisha yako yote. Siwezi kutumia bastora kwani ntafungwa na kuwahacha wanangu ila kwa mganga naenda kwa kuwa hakuna ushahidi. Cha mtu mavi ukikiona tema mate. Sasa ukute huyo mkewe house wife na mume ndo kitega uchumi pekee alichopewa na mungu na wewe unawaingilia. Subili kurogwa tu malaya wewe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-35753721355990611602010-10-06T17:19:22.149+03:002010-10-06T17:19:22.149+03:00wewe mume wa mtu wa nini? huyo anabadilisha mboga ...wewe mume wa mtu wa nini? huyo anabadilisha mboga tu hapo kwako, tena we mtoto mdogo, ndio uko kwenye umri wa kupata mwanaumwe wa kuja kutulia naye akuite mke baadae unahangaika na aliyeoa, afu ukifika 30s unaanza kulalamika mi hadi leo siolewi...achana naye huyo, tafuta wako maana anakupotezea muda tu na mkewe hamwachi kamwe!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-88446934378343666742010-10-06T17:13:55.696+03:002010-10-06T17:13:55.696+03:00Dada nakupa pole sana. Ndoa na iheshimiwe na watu...Dada nakupa pole sana. Ndoa na iheshimiwe na watu wote. Lakini inawezekana unafanya ufanyayo kwa sababu labda umelelewa nje ya ndoa. Unamwita huyo mzinzi mwenzio Innocent and caring. Anaweza kuwa caring ila Innocent to me, BIG NO. Tena una hatari. Mimi ni msomi lakini nikikujua unatembe na mume wangu tu nakutia ukichaa nakuhakikishia hilo! Kama si ukichaa utavuja wewe maisha yako yote. Siwezi kutumia bastora kwani ntafungwa na kuwahacha wanangu ila kwa mganga naenda kwa kuwa hakuna ushahidi. Cha mtu mavi ukikiona tema mate. Sasa ukute huyo mkewe house wife na mume ndo kitega uchumi pekee alichopewa na mungu na wewe unawaingilia. Subili kurogwa tu malaya wewe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-67751914675940444872010-10-06T16:36:37.367+03:002010-10-06T16:36:37.367+03:00naquote "bwana mwenyewe ni innocent and very ...naquote "bwana mwenyewe ni innocent and very caring", binti fahamu huyo bwana kuwa na relation na wewe tayari amepoteza hizo sifa unazompa.mm nakushauri achana nae kwa sababu huwezi kuwa na uhusiano wa kudumu na mume wa mtu,fikiria kama ungekuwa ww mumeo anatoka nje ya ndoa ungejisikiaje? inauma sana,kuna msemo unasema what goes around comes around.ww ni msichana mdogo sana naamini una mambo mengi ya kufanya kwa wakati huu badala ya kuheng na mume wa mtu, ni nuksi unajiwekea kwani hata mungu hapendezwi na kitendo hicho.kuna wanaume wengi tu ambao hawajaoa unaweza kuwa nao hao na ukafunga ndoa lkn mume wa mtu? labda kama imani inaruhusu akuoe mke wa II,inawezekana anakwambia anakupenda lkn kumbuka hata huyo mkewe alimwambia hivyo hivyo wakati anamtongoza but now you can see yupo na wewe,wake up my sister.frank frm dar.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-52024644021345475872010-10-06T16:29:32.917+03:002010-10-06T16:29:32.917+03:00Wewe mtoto unataka ufanye nini na mume wa mtu tena...Wewe mtoto unataka ufanye nini na mume wa mtu tena ulifanya makosa sana kukubali kuwa nae jiondoe mapema kwani unajizuia mwenyewe kupata mume wako. KWANINI MABINTI HAMTULII TENA UNAJUA KABISA NI MUME WA MTU TENA UNATAKA ANG'ANG'ANIE KWAKO UFANYE NAE NINI HUYO SIE WAKO achana nae upesi umwombe Mungu akupe mume wako halali. Acheni tabia ya kutembea na waume za watu jamani inauma ngoja na wewe uje ufanyiwe hivyo uone utamu wake. NASIKIA HASIRA MAANA SIPENDI HIYO TABIAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-35910298605201499942010-10-06T15:27:29.810+03:002010-10-06T15:27:29.810+03:00achana na mume wa mtu kile usichopenda kufanyiwa u...achana na mume wa mtu kile usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzako naamini ingekua wewe usinge penda mwanamke mwenzako akakufanyia uchafu unao fanya wewe
pili huyo hawezi kua nawewe maisha inamaana wewe huhitaji kuolewa na sikuzote utaishi mafichoni tu
shida za nini achana na huyo bwana mapema
sana ,machozi atakayo lia mke wake atakapo jua ukweli itakua laana kwako na kwa uzao wako binti
kua muungwana achana na mume wa mtu ,wewe bado mdogo utapata wakwako na utampenda zaidi ya huyo
. wewe subiri upate mimba uone kama atakupenda tena
tena atakukimbia hataangalia nyuma au hata asipo kukimbia lakini atatafuta mwingine mpya kamaalivyo kutafuta wewe ilihali ana mke wake nyumbani .tena hua na wasangaa sana nyie wa dada mnaojidai wajanja kutoka na waume za watu kumbe mmefanywa viosk vya kutulizia kiu tu kwa wapita njia ,wakati nyumbani wanayo mastoo ya vinywaji wanajisavia watakavyo ,nyie mkitoka hapo kitandani mwawaza alivyo kushikashika unapandwa na morali wakuushusha hakuna mwenzio akifika nyumbani anaanza kukaa mkao wa kunywa anakunywaaaaaaa akichoka analala hapo hapo wewe mawazo usiku mzima ,acha ujinga tafuta wakwako acha kufwanywa kiosk.utajuta maisha yako yote ,wape hata wa zazi wako heshima hivi mama yako akijua mwanae anatembea na mume wa mtu ndio maana haolewi atajisikiaje aibu!!!!!!! masikitiko ya wazazi wako ni laana tosha acha kuji laaanii tulia omba mungu utapata wa kwako
kama muislam basi halalisheni ili mwenzako ajue hayuko peke yake na ukamsaidie kumpikia huyo bwana na kumfulia sio mwenzako ahangaike kpasi wewe wajua kumega tuu .Angelhttps://www.blogger.com/profile/05344413506307729311noreply@blogger.com