tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post7703863137617219748..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Wifi anachukua nafasi yangu, nifanyeje?-UshauriKKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger15125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-33595110349135931672009-04-30T20:13:00.000+03:002009-04-30T20:13:00.000+03:00Dada Dinah nimependa utundu wako wa kuwakilisha ta...Dada Dinah nimependa utundu wako wa kuwakilisha tatizo kwa mpenzi. Mwenye tatizo ukifanikia njoo utuambie.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-59475785762748878502009-04-22T11:34:00.000+03:002009-04-22T11:34:00.000+03:00Wajameni, sina mbavu na anonymous wa saa 10:42:00 ...Wajameni, sina mbavu na anonymous wa saa 10:42:00 AM.
Kha!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-6057373621716407212009-04-22T10:58:00.000+03:002009-04-22T10:58:00.000+03:00Kwa uoni wangu tusiguse kabila moja kwa moja kuwa,...Kwa uoni wangu tusiguse kabila moja kwa moja kuwa,`kabila hili,lina tabia hiyo', ndio kuna tabia zimejijenga ndani ya makabila, lakini sio `mila' ila ni watu wenyewe wamejisheheni hivyo. Tujenge hoja tu kuwa mtu huyo asaidiweje.
Nasemahivyo kwasababu kuna watu hawataki kabisa kuoa kabila fulani kwasababu kama hizo zilizopandikizwa. Mimi naomba tusizidi kumwagia mafuta kwenye moto unaowaka, au nimekosea dada Dinah?
emu-threeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-68195050371446519262009-04-21T15:22:00.000+03:002009-04-21T15:22:00.000+03:00Dinah nakupa hongera kwa kazi yako nzuri.keep it u...Dinah nakupa hongera kwa kazi yako nzuri.keep it up.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-71599367999768230892009-04-21T10:42:00.000+03:002009-04-21T10:42:00.000+03:00Pole dada kwa maswahiba yanayokukuta. Naungana na ...Pole dada kwa maswahiba yanayokukuta. Naungana na dada kemmy, watu wengi wa kagera tabia zao ndo zilivyo. (Sorry kwa wa kagera watakaopitia. tho si wote but majority. Nimeshakuwa na uhusiano na mtu wa kagera, alikua ni mkatili kama shetani, na madada na ndugu ni maneno, umbea kila siku. So usishangae ndo walivyo. Ila ongea nae kama wadau walivyokushauri, na wewe usimame kama mke, usiwe unakubali kila kitu anachotaka wifi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-64100603851089487632009-04-21T10:39:00.000+03:002009-04-21T10:39:00.000+03:00dada mwenye tatizo nakuombea Mungu akusaidie,mimi ...dada mwenye tatizo nakuombea Mungu akusaidie,mimi ni mkirsto na ninaamini kitabu changu kitakatifu biblia, mwanaume ataacha baba yake na mama yake ataambatana na mkewe na hao si wawili tena bali watakuwa mwili mmoja, mwanzo 2:24, kwaiyo mke mume na mke ndo wamehalalishwa na MUNGU KUAMBATANA NA SIO SHANGAZI, WIFI ,WALA MJOMBA, INA MAANA NDUGU WA PANDE ZOTE 2 ZA WANANDOA HAWANA MAAMUZI YEYOTE KUHUSU NDOA YA WATU 2. YANI MKE NA MUME, SIO KWAMBA WANDG WASISAIDIWE ILA HAWANA MAMLAKA KUINGILIA NDOA YA NDG YAO.

DADA HUYO MUMEO HAJUI MAANA HALISI YA NDOA, MI SIJUI WE DINI GANI ILA NAPENDA KUKUSHAURI OMBA SANA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA KWA KUOMBA MUNGU NA HUKU UKIWA WAZI WAZI KUZUNGUMZA NA MUMEO NA WIFI YAKO. NAAMINI MUNGU ATAKUTETEA TU.

MI ZAMANI NILIKUWA NAONA WAZUNGU NI WATU WA AJABU, LKN NIKAGUNDUA WAKO SAHIHI KABISA,NDOA YA WATU 2 WIFI,SHEMEJI MAMA MKWE HANA SAUTI. MIMI NINA MUME WANGU NA WANANGU 2 PACHA NA NILISHASEMA HAMNA WIFI WALA SHEMEJI KUHAMIA KWETU NA AKAWA NA MAAMUZI ANAKUJA KAMA MGENI ANASAIDIWA WAKAT WAKE UKIFIKA ANAONDOKA.

MS GBENNETTAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-57944335147669529822009-04-21T04:36:00.000+03:002009-04-21T04:36:00.000+03:00Wewe Lututu Dar, yaelekea ukweli umekugusa, unajua...Wewe Lututu Dar, yaelekea ukweli umekugusa, unajua ni bora kukubali ukweli na kuupokea ili kujifunza kuliko kukasirika na kuendelea kubomoa. Kama wewe ni fukara haiwahusu wengine, point hapa ni jinsi ya kuangalia upande wako kama mume na kuplay part yako kama mume, mke naye nk. sasa ufukara sio hoja, wapo mafukara wengi tu kwenye ndoa lakini si wanafanya kazi bwana, kwa hiyo elfu tano utashindwa kumpa mkeo akikuomba? labda uniambie wewe ni fukara na mbahili pia which makes it even worse! Point hapa ni kujisahau sana kwa wanaume wengi mara wafungapo ndoa, na kuona sasa jukumu la kumfurahisha mwenzi wake sasa limekwisha, simaanishi hii sasa impe mke tiketi ya kuanza mapenzi na majirani no, ila tukubali kuwa hali hii inaweza kutokea sana tu iwapo mume atachangia, msistaajabu ikitokea!
Msitumie gia ya umasikini kwani mapenzi mara nyingi kwenye ndoa kama hamjui yahana gharama yoyote kwa sababu wote wawili mnajua hali halisi yenu financially, wanawake wengi wenye busara huridhika na kidogo mumewe anachopata lakini kama hagawiwi hata kidogo shida huanzia hapo. Oh BTW mimi nieolewa na ninaenjoy ndoa yangu ya miaka 9 sasa, mume wangu hana kipato kikubwa lakini nikichacha hua hasiti kunisaidia, na mimi kipato nipatacho kwenye kazi yangu natumia kwa mahitaji ya watoto wangu hasa ya shule na chakula. FYI mume wangu pia anachacha hata yeye sometimes, nampatia senti kidogo na life goes on, so Lututu your assumptions are very wrong my friend.
Aisha.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-65899842133663901202009-04-21T01:06:00.000+03:002009-04-21T01:06:00.000+03:00Naomba niulize una uhakika kama huyo dada ni dada ...Naomba niulize una uhakika kama huyo dada ni dada yake maana watu wana mambo wanaweza wakawa ni mtu na gf wake ila wewe wanakuongopea ni ndugu, usimuamini mtu dunia hii yaani hebu fatilia uone kama ni tumbo moja, na kama wanatoka kagera huwa wanachukuana hata ndugu wa baba mmoja so kuwa makini. pili huyu wifi yako hana life yeye? i mean hana mume au bf wa kuconcentrate? coz ni mambo ya ajabu yeye kuwa incharge wa nyumba ya mwanamke mwenzie. i will b backAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-86150492141328401042009-04-21T01:01:00.000+03:002009-04-21T01:01:00.000+03:00Pole mwanamke mwenzangu. naomba ku uliza huyo wifi...Pole mwanamke mwenzangu. naomba ku uliza huyo wifi yako hana bf au mume???? kama hana hebu jaribu kumshauri atafute maisha yake, mtu mzima huyo aliyekosa haya kwann anaingialia ndoa ya watu kiasi hicho??? hebu weka no yake ya cm hapa tumtumie msg za kumpasha coz i real feel you. pole sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-65499828503710503512009-04-20T20:38:00.000+03:002009-04-20T20:38:00.000+03:00Anony@ 1:51pm, unaweza kutumia email bongo.radio@y...Anony@ 1:51pm, unaweza kutumia email bongo.radio@yahoo.com

au unaweza kunitumia via hapa kama ulivyofanya uliponitumia hiyo comment yako.

Asante kwa ushirikiano.KKMiehttps://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-31014940864735607042009-04-20T20:36:00.000+03:002009-04-20T20:36:00.000+03:00Dada Dinah nafikiri kuna wakati itabidi uwe unapit...Dada Dinah nafikiri kuna wakati itabidi uwe unapit... Dada Dinah nafikiri kuna wakati itabidi uwe unapitia kila ujumbe unaotumwa na wadau wa blog hii kabla ya kuirusha hewan,kwan si malengo ya blog hii kuvunja ndoa za watu au kuwashawishi wazisaliti kama Aisha alivyopendekeza kwa eti kuwa bwana alomlalamikia mkewe kumkuta na sms ya kuomba shs 5,000 alishindwa kumtimizia matakwa yake,kama ndo hivyo sisi fukara tusingeoa,naamini Aisha kama ameolewa siku mumewe akiishiwa atamletea ndan mabwana wenye pesa,namhurumia sana aisha kwa kujifanya hafahamu maana ya maisha wewe uishie kuvaa tu na kwenda viwanja bila kujali watoto wanakula,kuvaa nini,kumbuka wanao wakijashindwa pata matunzo sitahili watakuja kuwashitaki lakin wewe huwezi kumshitaki mumeo eti kashindwa kukutoa out.usishawishi kuendeleza mabaya.
LUTUTU DAR.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-33360848738522640362009-04-20T16:16:00.000+03:002009-04-20T16:16:00.000+03:00Hivi kuna nini kati ya mawifi:- mke hapatani na wi...Hivi kuna nini kati ya mawifi:- mke hapatani na wifi yake, kulikoni?
Kutokana na uzoefu wangu, zipo sababu zisizo na msingi kwa watu hawa wawili. Mke kwa upande wake na dada mtu kwa upande mwingine.
Dada mtu anachukulia kuwa mke amekuja kufilisi mali yao, akimaanisha kuwa kaka yao ni mtu wa familia yao, kwahiyo anachokichuma ni mali ya familia yao, kutoka juu. Hapa anashindwa kujua kuwa hii ni familia nyingine kutoka kwenye familia kuu, na kwahiyo inajenga utegemezi wa kwake, na familia hii imeundwa na mke na mume,kama ilivyokuwa imeundwa famila mama, ya baba na mama yao.
Mke kwa upande wake anaona wifi yake ni kikwazo, yeye anataka siasa yake anayoipenda yeye na mume wake.Anataka uamuzi na Uhuru kama familia tegemezi. Kwahapa wengine wanajisahau kabisa kuwa familia hii ni chimbuko la familia juu, yaani familia kuu, na ya kuwa matunda aliyoyakuta huenda yametokana na jasho la familia kuu na wanafamilia akiwemo huyo wifi yake.
Hatuwezi kukataa kuwa wapo wadada zetu wakorofi ambao wanapenda kaka yao awe kama awali,kabla hajaja wifi yao na pia inabidi tukubali kuwa wapo wake zetu wasiopenda familia kuu na wanatokana nayo zaidi ya mume wake.
Chamuhimu hapa, `wewe kama mume unatakiwa uwe kati na kati, kwani mke ni mwenzako mnatakiwa mshirikiane kwa kila kitu,lakini ndugu zako ni nduguzo, hawana mbadili,unatakiwa uwe nao pamoja kwa yale yanayostahili udugu. Na wewe kama mke ujue hapo ulipofika kumetokana na uliowakuta, waheshimu na washirikishe kama ndugu zako, usiweke vikwazo!
Mambo yakizidi, kaeni kikao,ongeeni na shaurianeni, ili kila mmoja ajue mipaka yake na wajibu wake. Mke awe mke na sio dada, na dada awe ndugu na sio mke,ila wote muwe kitu kimoja.
emu-threeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-56201834930832810092009-04-20T13:51:00.000+03:002009-04-20T13:51:00.000+03:00hi Dinah, pole na majukumu. mimi ni mpenzi mkubwa ...hi Dinah, pole na majukumu. mimi ni mpenzi mkubwa wa Blog yako, nina matatizo ila sijui ni wapi naweza kuandika hayo yanayonisumbua ili nipate msaada wako.
please tell me what to do.
waiting for ur reply
thank you!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-29377714561641292292009-04-20T12:03:00.000+03:002009-04-20T12:03:00.000+03:00Pole sana dada kwa kuishi bila amani ndani ya ndoa...Pole sana dada kwa kuishi bila amani ndani ya ndoa yako!
Kwanza nataka nikwambie kitu kama sikosei mumeo na huyo wifi yako ni watu wa kagera, kwanza kabisa tabia zao wengi ni F, msinishambulie jamani mie mwenyewe ndo kabila langu kwahiyo am talking through experience nawajua hawa watu vizuri sana!na story yako na mie ilitaka kuanza kujitokeza ndani mwangu kwakweli niliikemea vilivyo, haya sas huyo wifi yako hata kama ni mkubwa unatakiwa umweleze ukweli bwana kwako hapo sio kwake sawa?mambo ya uswahili wake akaufanye akiwa ndani ya nyumba yake sio hapo kwako yaani unatakiwa umweleze ukweli kama unashindwa basi umtafutie watu wazima wampashe haswaa, jamani mawifi KERO ASIKWAMBIE MTU, pole sana mpenzi lakini hujashindwa bado wewe ni mwanamke hebu amka jisimamie mwenyewe na mumeo nae anakosea kabisa uanze na mumeo kumweleza wewe ndo mama mwenye nyumba hapo anayofanya dadake sio sahihi kabisa na inabidi uwe na sauti sio wifi sasa wewe anza hv hapo si kwako? sasa ukiamka unapanga ratiba za home wewe kama atazipangua atajijua lakini wewe ujiwekee ratiba zako kama leo tutakula wali maharage au pilau basi hakuna wa kupinga hapo, akipinga sasa anataka maneno mbofumbofu...kingine basi huyo wifi nadhani anaona wivu tu unaomsumbua ndo maana anataka kushindana na wewe!mie kwangu basi kulikuwa na kiumbe wa dizaini hiyo dada basi bwana yeye tatizo lake alikuwa hafanyi kazi akiamka anakaa kwenye tv na kukunja 4 jingine ananivalia kanga ya kifua na kujitingisha ndani ya nyumba yangu, mama nilivumilia mpaka nikachoka siku nilipovimba nikampasulia jipu weee mbona alitimka bila kuaga kwakweli ni bora ukaishi kwa amani ndani ya nyumba yako kuliko kuishi na hilo kabila lol!!!!!!!dada kuna sehemu kuna wadau wengi sana wanapita nadhani nikuelekeze pia ukatoe tatizo lako utaweza kushauriwa pia,www.harusiyangu.com kuna forum za topic utaona, dada Dinah pia mshauri huyu mwanamke mwenzetu kwakweli!Dada Kemmynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-30767457455791470652009-04-20T11:44:00.000+03:002009-04-20T11:44:00.000+03:00Pole sana, jambo kama hilo ni adimu sana kutokea h...Pole sana, jambo kama hilo ni adimu sana kutokea huku nje tunakoishi. Lakini since wote ni Watanzania then kuna posibilities za kuleta ushenzi wetu hata nchi hizi za watu.

Dada yangu ukweli ni kwamba huyo mumeo ana lake jambo ambalo anakutaka na tatizo sio huyo wifi yako, bali anatumia mgongo wa huyu wifi kukukinaisha ili useme la moyoni na yeye aseme kama ndivyo ulivyo amua basi sawa.

Ushauri wangu ni huu mpenzi. Kwanza kabisa muombe mtu mzima mwenzio wasaa kidogo mzungumze. Siku hiyo jiambie kwamba "Ni lazima uzungumze bila pressure, yaani kuwa katika state of calm". Mwambia yote uliyo nayo moyoni ukimuomba ukisikilize kisha ukimaliza ataruhusiwa kutoa comment au kuchangia hoja. Usiruhusu mabishano yatokee katika maongezi hayo kwani yanaweza kupelekea cheche baina yenu. Vile vile angalia kauli yako usitumie maneno kama " wewe na dada yako wapenzi" au " dada yako anakutafutia mahawara", use respected words.

Mueleze kwamba unaona uhusiano wenu umebadilika sana tangu dada yake aje. Mweleze bayana kwamba humchukii dada yake, bali unataka kuzungumzia haki yako ya msingi ambayo ni "MKE". Mwambie kwamba umejitahidi kuvumilia lakini umeshindwa na sasa unaitaji kupatia jawabu tatizo hili sugu. Muwekee wazi kwamba tabia hii inaweza kutia doa kwenye uhusiano, na kwamba hauko radhi kuendelea na mahusiano yasio na HESHIMA. Again make it straight forward kwamba you will not continue to a victim on one way relationship. Then he have to make a choice au wewe or dada yake.Anonymousnoreply@blogger.com