tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post6889668260644357878..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Kijana utaoa lini?-UshauriKKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-38308586661878704382009-04-17T17:07:00.000+03:002009-04-17T17:07:00.000+03:00Asante M3,
Sidhani kamani rahisi kwa kijana au bin...Asante M3,
Sidhani kamani rahisi kwa kijana au binti kuja nyumbani kwa wazazi nakumtambulisha mtu kama bf wake kibongo inahesabika kuwa ni mpenzi.

Binti yangu akiwa na rafiki wa kiume nitajitahidi kumfahamu huyo kijana na sitomfikiria vibaya kuwa anakwenda kumtia mwanangu.

Nitajitahidi kuwa mzazi kwao wote wawili na kuwapa mafunzo ya kimaisha ambayo nitadhani ni muhimu kutegemeana na umri wao.

Nitatumia mbunu ili kuwa karibu nao kama marafiki (pea)kimasomo, kimaisha, kimichezo n.k ili kuwafanya wajisikie huru kuniomba ushauri.

Nitaweka ratiba ya wao kuwa pamoja na sio kila siku na kila wakati.

Ninachozungumzia hapa ni ile kurafikiana na jinsia tofauti ambayo inatokea kwa sababu ni nature sasa hilo likitokea sioni sababu ya wazazi kuwadhania kuwa wataenda kufanyamatusi na au kujaribu kuwatenganisha kama sio kumpiga mikwara nakumtisha kijana wa jinsia nyingine.

Malezi bora ya mtoto ni mipangilio na uelewa wa wazazi na sio kuwatishiwa kwani hiyo itafanya wafanye uchafu zaidi tena kwa siri.

Kila la kheri M3 na shukrani sana kwa Ushirikiano wako.KKMiehttps://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-29646142997965765212009-04-14T08:44:00.000+03:002009-04-14T08:44:00.000+03:00Dada Dinah, nashukuru kwa ushauri wako, na ushauri...Dada Dinah, nashukuru kwa ushauri wako, na ushauri kwa jamii, kwamba ni vyema mahusiano yakawekwa wazi, kama binti yako ana boy friend anatakiwa ajitambulishe.
Swali kwako dada Dinah na wadau wengine, je unaye mtoto wa kike, je upo radhi, bintiyo anarudi shuleni na mvulana na baada ya salamu,
`Mama huyu ndiye boy-friend wangu'?
Kwa mzazi nafikiri itakuwa vigumu sana kulikubali hili, sijui wenzangu, lakini upo umri ambao tunaweza tukakubaliana na hili.
Tatizo kubwa ni kuwa kijijini binti akimaliza la saba tu jamaa wengi wanamuwahi,kiasi kwamba yule binti hapati muda wa kutafakari, kumchunguza na kuwa na uamuzi wa haraka. Kwahiyo rafiki wa karibu na atakayemuona anampenda ni yule waliyezoeana naye wakiwa shule, na huenda sio `penzi halisi' kwasababu hakupata mwanya wa kukutana na wengine. Sasa je kwanini tuwape nafasi mapema hawa watoto wetu kushiriki katika mahusiano? Hili ni changamoto kwa wazazi, hasa karine hii mpya
Ni hayo tu katika kuchangia
emu-threeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-46814124146092677952009-03-25T13:17:00.000+03:002009-03-25T13:17:00.000+03:00Dina, kwanza nampa pole huyo kaka kwa yote yaliyom...Dina, kwanza nampa pole huyo kaka kwa yote yaliyompata, namshauri atulize akili na kumwomba Mungu azidishie hekima pia ajue " nyumba, mali ni urithi apatao mtu kwa babaye, bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana.

Pole sana kaka yangu.

Lady P - AtownTutyhttps://www.blogger.com/profile/07814075929033905275noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-37533124224426891752009-03-12T13:47:00.000+03:002009-03-12T13:47:00.000+03:00'So much' amesema yote, mimi ushauri wangu, binti ...'So much' amesema yote, mimi ushauri wangu, binti arudishwe kwao, kama anataka kurudi mjini basi akaanze safari yake upya, in short jamaa aachane naye kwa kuwa ameshaonyeshwa!

Pili, asiache kumsaidia dogo, kwa sababu experience inaonyesha siku zote mindugu yetu wenyewe ikibaunsi maisha inarudi upya na mzigo unakuwa wetu tena. Kwa hiyo yeye aendelee tu kumsaidia kwa huo mwaka wa mwisho, ila, arudi nyumbani na safari zake zikaanzie huko. Anatokea nyumbani (kijijini au kokote kule alikokuwa mwanzo), na kwenda chuo, likizo arudi huko huko nyumbani. In short asaidiwe kwa umbali, huku wazazi wake wakielezwa tabia fisadi za mwana wao...keleb...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-9964132433408889692009-03-06T04:24:00.000+03:002009-03-06T04:24:00.000+03:00I dont ever want see you again Mshawahi kuiskia hi...I dont ever want see you again Mshawahi kuiskia hii nyimbo wadau ya Uncle Sam.emu-three na wadau wenzako hii kali,sijawahi isikia ila sishangai sana vitu kama hivi hutokea.Kwanza naomba unisaidie kumpa pole huyo jamaa manake hili suala si dogo.Binafsi ningekuwa huyo jamaa nisingeoa tena coz picha unayoipata ni kuwa litanitokea tena.Mimi ningeendelea na maisha yangu kufanya kazi sana kutumia kwenda mbele coz haina maana ya kuwa na mwanamke ambaye anakusaliti.Kama alikuwa hamtaki si angekubali kuolewa tu na huyo mzee nani sijui.Na huyu mdogo wa mtu(ashakum si matusi) ni msenge aliyekubuhu how come unakuja msaliti aliyekutengenezea maisha mpaka hapo ulipofika kwa ajili ya uchi tu.Huyo ndio anayekufanya mjini ung'ae,uvutie na uwe na nyodo mbele za watu then leo unamsaliti!,ulikuja toka kijijini hata kuchomekea hujui na posta ulikuwa unakuskia leo yule mtu aliyejikalaisha maishani mwake kwa ajili yako,anasumbuka kwa ajili yako wewe mjaa laan leo unamgeuzia kibao.Jamani hii aibu gani hii?!uchi kitu gani wa kukufanya utoe utu wako kwa ndugu yako anayekusaidia kwa kila kitu na anayekuheshim na kukupenda.Huyo dogo undugu ungeisha kabisaa,kila kitu nasitisha kwangu simtaki yani hata maishani mwangu sitaki kumuona tena manake mtu kama huyu hatashindwa hata kuniwekea sumu.emu-three mwambie huyo kaka awatimue wote huyo anayejifanya kidume fukuza na huyo changu papa fukuza,tena kazi hiyo angeifanya siku hiyo aliyowafumania,kibaya zaidi nyumbani kwangu?!eeeh mola,malipo hapa hapa duniani ahera hesabu Mungu yupo na atamlipia tu.Hawa watu wawili wamekosa haya kabisa,yani hii kitu imenigusa sana utadhani nimefanyiwa mimi.Jamani samahani sana yani nina maswali mengi ya kujiuliza manake nimechanganyikiwa hivi wewe mdogo wa mtu uliyefanya hivi hukujua huyo ni shemeji yako?!mke mtarajiwa wa kaka yako?!kama mlikuwa wapenzi hiyo ishakuwa history ulitakiwa umpe heshima inayostahili.Halafu wewe hata sijui ni msomi gani usiyeweza kupembua manake unaweza ukasema kusoma hujui lakini hata picha uoni?!hujui kwamba this is unfair?.Na wewe demu kwani hukuona mtu mwingine wa kucheat nae hadi shemeji yako?mdogo wa bwanako?!jamani hizi tamaa hizi zitatuua.Anyways naona nikiendelea sitamaliza me namshauri huyo jamaa akae na atulie siku hizi haina haja ya kumfuata mchumba kijijini wengine ni magubegube yaliyoshindikana yeye atafute msichana tu mzuri ambaye ametulia hapo mjini wafahamiane vizuri then aoe ila biashara ya undugu nyumbani hakuna,udugu mnakutania kijijini mkija DAR kila mtu na 50 zake.Amuombe sana mungu kila siku kama mwislam aende msikitini na kama haleluya aende kanisani na akashtakie Mungu.
Samahani Dinah kwa maelezo marefu ila imeniuma na kunigusa
So muchAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-47592403698121869122009-03-06T02:14:00.000+03:002009-03-06T02:14:00.000+03:00Mimi naona bora awaachie hawa ndege wawili waendel...Mimi naona bora awaachie hawa ndege wawili waendelee na maisha yao. Mambo ya mapenzi hayo, pole kakaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-69688098662050446122009-03-05T21:55:00.000+03:002009-03-05T21:55:00.000+03:00kama naangalia movie vile tena ya kinigeria. duh n...kama naangalia movie vile tena ya kinigeria. duh ntarudi baadaye kwa ushauriAnonymousnoreply@blogger.com