tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post6524133577926600550..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Siri ya Mafanikio kwenye uhusiano wako.KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger19125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-3652477600892201172012-01-24T18:00:54.930+03:002012-01-24T18:00:54.930+03:00dada ulouliza suali 6:35.. kuna uwezekano mkubwa u...dada ulouliza suali 6:35.. kuna uwezekano mkubwa ukawa umepata maradhi ya zinaa, rudi tena hospital wakufanyie test zaidi utakapoweza kujua ni vidudu gani vimekuathiri utapata matibabu ya uhakika zaidi,, virus wanaofanya warts sana ni HPV(human papilloma virus)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-24308247928214882452012-01-21T11:33:49.842+03:002012-01-21T11:33:49.842+03:00Mambo mengi Dinah umeyaongea kwa uzuri na ufundi m...Mambo mengi Dinah umeyaongea kwa uzuri na ufundi mkubwa, Bt KIUKWELI HIYO NI THEORY ZAIDI, PRACTICALLY HAYO ULIYOYASEMA HAYATEKELEZEKI KIRAHISI RAHISI KAMA YANAVOTAMKWA AU KUANDIKWA, kwa kifupi, the are 'not sustainable', mwisho wa yote hayawezi kuendelea, mbinu zote utazofanya, ipo siku lazima yatakuwa Marudio! Mfano, nlizungumzia hapo, kufanya ngono kila siku sio vzuri coz it reduce intimacy huko mbeleni. Sikuwa na maana ya juujuu tu bali kuna alot of physiological changes that may ruin a man's healh, inaweza sababisha seminal leakege, weak erection, decrease in orgasm sensation in males, inability to achieve orgasm, PE and in extreme cases it may result into ED, thin semen, fatigue, testicular pain and memory loss, Hot flashes, mood swing, blurred vision, hair loss and numbness and alot of inflamations in the body eg kwenye vipele vya ndevu, groin areas, matakoni na makwapani. Jaman, fanyeni ngono kwa afya, ukifanya leo kesho pumzika. Kwa wiki fanya siku tatu na ktk cku yasizidi mabao matatu, haijalishi una mhemko kiasi gani just use ur mental wil to control ur sexual urge. Híi ina faida kwa wanaume, they wil live a happy and strong sexlife mpaka miaka 70 na kinyume chake ni hasara. Effects za kufanya ngono kila cku huwezi kuziona leo hiihii, inachukua mpaka miaka mitano hadi 8 kuanza kujitokeza, hapo ndipo wanaume wanaanza kupata tabu kutafuta viagra ili kutibu weak erections and PE, na kutwa kusearch madawa ya nguvu za kiume bila kujuwa chanzo, jaman! Source is Overejaculation!. Keep in mind sex is healthy bt evrythng too much is harmful,like wise eating food is a natural and healthy thng bt too much/overfeeding is harmful!. Kufanya ngono kila cku hyo ni sexual addiction na itakuletea madhara ya weak erection, ED, low libido, los of apetite, loss of erection in the midle of sexual activity, yani kwa kifupi wanaume kuweni makini, msipokuwa makini mtapoteza ngovu zenu za kungonoka mkiwa na miaka 45(ie mtaanza kuexperience menopause symptoms, inaitwa male menopause) tu halafu masharobaro watawatombea wake zenu. Somo la leo hilo, Dinah kama hujui mambo haya, naomba upunguze spidi ya ngono for better sexlife in the coming days hasa kwa mumeo na wewe pia. Its me NazmulsAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-33497834730585533052012-01-20T12:37:42.017+03:002012-01-20T12:37:42.017+03:00Anon wa 6:35 PM, Pole sana. Nakushauri uende kwa d...Anon wa 6:35 PM, Pole sana. Nakushauri uende kwa daktari bingwa wa ngozi. Pili, hebu fanya full blood picture ambayo itakupa picha kamili ya tatizo lako kwa kuwa wakati mwingine tatizo linaweza kuwa ndani ya system yako ya damu na si kwenye ngozi tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-38908021176379949732012-01-20T12:37:33.484+03:002012-01-20T12:37:33.484+03:00Anon wa 6:35 PM, Pole sana. Nakushauri uende kwa d...Anon wa 6:35 PM, Pole sana. Nakushauri uende kwa daktari bingwa wa ngozi. Pili, hebu fanya full blood picture ambayo itakupa picha kamili ya tatizo lako kwa kuwa wakati mwingine tatizo linaweza kuwa ndani ya system yako ya damu na si kwenye ngozi tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-4019485602785890522012-01-20T12:37:22.890+03:002012-01-20T12:37:22.890+03:00Anon wa 6:35 PM, Pole sana. Nakushauri uende kwa d...Anon wa 6:35 PM, Pole sana. Nakushauri uende kwa daktari bingwa wa ngozi. Pili, hebu fanya full blood picture ambayo itakupa picha kamili ya tatizo lako kwa kuwa wakati mwingine tatizo linaweza kuwa ndani ya system yako ya damu na si kwenye ngozi tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-19821055577677465262012-01-17T22:36:11.475+03:002012-01-17T22:36:11.475+03:00Asante sana dada kwa kutupa elimu, pia pole kwa hi...Asante sana dada kwa kutupa elimu, pia pole kwa hi kazi,mm ni mfuatiliaji wako ila kuna jambo naomba kuuliza, mimi ni mwanaume mwenye miaka 18, uume wangu una urefu wa inch 5 na mzunguko nch 4.1 ,je kwa hu umri wangu uume hu unaendelea kukua au ndo mwisho?, na je kuna umri mtu akifikia uume hauendelei kukua?
DAVID, arusha.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-77448291417912364182012-01-16T00:26:15.215+03:002012-01-16T00:26:15.215+03:00Anony wa 1:20:00 hilo la likizo mbona lipo tangu e...Anony wa 1:20:00 hilo la likizo mbona lipo tangu enzi ila tofauti ni kuwa enzi hizo haikuwa ili mpenzi aku-miss bali ulienda kukumbushwa wajibu wako kama mwanamke, unakwenda nyumbani kwa Bibi au Shangazi mara 2 kwa mwaka.

Suala la kukumbukana kwenye uhisano linategemeana na mtindo wa maisha mlionao, uzito wa mapenzi yenu na mahitaji yenu ya kimwili na kihisia.

Mf: kama mna watoto na wote mnafanya kazi sidhani kama mtahitaji muda wa ku-miss-iana kwani huo muda wa kuwa pamoja tu hamna kwani wote mko busy, ninaposema kuwa pamoja sio kuishi nyumba moja bali kutumia muda mmoja kama wapenzi.

Pia ikiwa mnafanya kazi za shifts mmoja anafanyakazi usiku na mwingine asubuhi lazima mta-miss-iana tu.

Kuna watu wanaishi pamoja lakini wakiachana ile asubuhi kwenda kazini huwa wanakumbuka sana kama vile hawajaonana wiki nzima.

Asante kwa ushirikiano.KKMiehttps://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-20018647652808326402012-01-16T00:09:43.395+03:002012-01-16T00:09:43.395+03:00Anony wa 4:41:00 PM hakika ngono mara 2 kwa wiki ...Anony wa 4:41:00 PM hakika ngono mara 2 kwa wiki hiyo ipo kwenye kundi la mara kwa mara.

Kufanya ngono mara kwa mara hakukufanyi umchoke mwenzio unless other wise hakuna mapenzi ya dhati kati yenu na pia sio wabunifu/watundu.

Kuna namna nyingi sana za kungonoka hata kama mnangonoka kila usiku kwa mwaka mmoja bado hamuwezi kurudia yale yale, hivyo suala la kuchokana nadhani ni la individual.

Kama umejaaliwa uwezo wa kawaida au ule wa hali ya juu wa kungonoka huwezi kufanya ngono mara 2 kwa wiki(HAITOSHI)....Lol!

Asante kwa ushirikiano.KKMiehttps://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-12168036649740697722012-01-16T00:02:39.635+03:002012-01-16T00:02:39.635+03:00Asanteni wote, Heri ya mwaka mpya kwenu pia. Nafur...Asanteni wote, Heri ya mwaka mpya kwenu pia. Nafurahi kuwa nanyi.KKMiehttps://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-71029180164221387092012-01-16T00:02:14.512+03:002012-01-16T00:02:14.512+03:00Anonny wa 6:35:00 PM Heri ya mwaka mpya kwako pia ...Anonny wa 6:35:00 PM Heri ya mwaka mpya kwako pia mdada.

Ikiwa hiyo dawa imetibu na hatimae kuondoa vipele vidogo ni wazi kuwa ndio dawa unayotakiwa kuendelea kuitumia mpaka hivyo vikubwa viondoke pia.

Inawezekana vimechelewa kutondoka kutokana na ukubwa wake nje na ndani, ni vema kurudi tena kwa Daktari ili umueleze matokea ya Tiba uliyotumia na yeye atakushauri kama unahitaji kuendelea kutumia (pewa nyingine) au la.

Uvumilivu ni muhimu ili upone kabisa. Kila la kheri.KKMiehttps://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-20140100922835602682012-01-15T23:58:02.695+03:002012-01-15T23:58:02.695+03:00Kaka Mwakapesa sio ngumu sema watu tunapenda kujie...Kaka Mwakapesa sio ngumu sema watu tunapenda kujiendekeza. Maisha yanabadilika bila sisi kutaka na ndio maana kwa sisi Wakristo tunapofunga ndoa huwa tunaapa kuendelea kuwa na wenza wetu kwa shida na raha....hii inamaanisha kukubali mabadiliko.

Umempenda mtu na mkakubaliana kuishi pamoja wote mkiwa wazima (bila kilema) na maisha mazuri.....Mara mwenza wako anapata ajali na kupata ulemavu....penzi ako itaisha na utamterekeza au utakubali mabadiliko na kuendelea kuishi nae?

Au ikitokea wote mmepoteza kazi au bishara hazijaenda vema na hakuna pesa, je mtaachana au mtakubali mabadiliko na kuendelea kuwa pamoja na kujitahidi kuinuka tena kama wapenzi?

Mimi kama Dinah na Mume wangu tumepitia mambo mengi magumu, tulikubali mabadiliko na kuendelea kuwa pamoja mpaka tulipoweka mambo safi na sasa tuko sawia kabisa.

Nilichokisema ni kutokana na uzoefu, hivyo sio ngumu kama unavyofikiria.KKMiehttps://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-44348334072589564382012-01-11T09:26:29.299+03:002012-01-11T09:26:29.299+03:00thanks kwa shule nzuri!!
watu wanajisahau sana......thanks kwa shule nzuri!!

watu wanajisahau sana...mwisho wa siku mtu anacheat

gluvAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-4749408948697062352012-01-10T18:35:25.848+03:002012-01-10T18:35:25.848+03:00ZA MWAKA MPYA?SAMAHANI KWA KUTOKA NJE YA MADA HAPO...ZA MWAKA MPYA?SAMAHANI KWA KUTOKA NJE YA MADA HAPO JUU, MI NINA TATIZO KWENYE UKE PEMBENI KUNA VIPELE VIDOGO VIDOGO, NILIENDA HOSPITALI WAKANIPA DAWA IMEANDIKWA (CAUSTIC PENCIL AU SILVER NITRATE) YA KUPAKA.WAKANIAMBIA UGONJWA UNAITWA (WARTS), NIMEPAKA DAWA,VILE VIDOGO VIMEISHA ILA BADO VIKUBWA VINAZIDI KUKUWA, NAOMBA MSAADA WENU MANA VINANIHARIBIA MAENEO ILA HAVIUMI KABISA.NIMEJITAHIDI KUWAULIZA WATU TOFAUTI WANANIAMBIA NIENDE KWA WAGANGA WATANIKWANGUA NA KUPAKA DAWAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-56324374501456912712012-01-07T16:41:25.671+03:002012-01-07T16:41:25.671+03:00Mi naona ngono ya mara kwa mara ie daily ndio chan...Mi naona ngono ya mara kwa mara ie daily ndio chanzo cha kuchokana na kuanza kuona mwenzako kama hana jipya au utamu wake umeisha hivi. Sex two days per week i hpe is enough to keep a relatnshp strong. Naona wapenzi wawe wanafurahia zaid ukaribu wao baadala ya kufurahia ngono tu!, mapenzi ya kufurahia ukaribu yanapendeza coz yanajenge mioyo iwe inawamis wenzetu hata mkitengana kwa saa moja tu. In short ngono ya mara kwa mara au kila cku ndio inayoua hisia za mapenzi na baadalayake inajenga mazoea kwa wanandoa. Ni maoni yangu. Its me NazmulsAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-53902358731551245712012-01-07T16:04:06.330+03:002012-01-07T16:04:06.330+03:00wooo Dina karibu tena tulikumiss sana wadau. mad...wooo Dina karibu tena tulikumiss sana wadau. mada nzuri sana.please please tupe vitu maana wewe unamchango mkubwa sana katika mahusiano yetu ya kingono.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-61914112398335901582012-01-06T10:20:56.514+03:002012-01-06T10:20:56.514+03:00Asante Dinah,
Ugumu WA YOTE UNATOKANA NA UKWELI WE...Asante Dinah,
Ugumu WA YOTE UNATOKANA NA UKWELI WE ARE LIVING ARTIFICIAL LIFE. ZAMANI HAKUKUWA NA TOFAUTI YA MAISHA BAINA YA FAMILIA AU KIJIJI NA UNAPOOA NYOTE MKO LEVEL MOJA NA MLINGANO WA MALEZI. LEO SI RAHISI BINTI ALIYEKULIA KWA WAZAZI WAKE NA MAISHA YAO AJE KWAKO ULIYELELEWA KIVYENU MKAMATCH.USHINDANI NI LAZIMA UJITOKEZE NA ASIPOKUWEPO WA KUSUCCUMB IMETOKA HIYO!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-47276118126401863632012-01-06T10:12:59.862+03:002012-01-06T10:12:59.862+03:00Thank u Dinnah,
Ukweli uliyosema theoretically ni ...Thank u Dinnah,
Ukweli uliyosema theoretically ni rahisi ngumu kuimplemnt kutokana ubinadamu unautufanya "hili nana aanze na kukubali kuwa chini au hali ya umeshindwa"Taasisi hii ni ngumu tumuachie mwenyewe MUUMBAALFRED MWAKAPESAhttps://www.blogger.com/profile/05559732050122180766noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-14845288384458691312012-01-05T16:49:34.975+03:002012-01-05T16:49:34.975+03:00Jamani Dinah,
Welcome back. Happy New Year. Tuliku...Jamani Dinah,
Welcome back. Happy New Year. Tulikumiss sana sana na naona umeanza mwaka na siri ya mafanikio kwenye uhusiano. Hii ni nzuri sana na inatupa raha wadau wako. Mungu akubariki sanadochanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-34855166312108165652012-01-05T01:20:36.435+03:002012-01-05T01:20:36.435+03:00OWKEY DADA DINA BUT ME NAONA KAMA INAWEZEKANA KUNG...OWKEY DADA DINA BUT ME NAONA KAMA INAWEZEKANA KUNGEKUA NA LIKIZO KTK MAPENZI YANI KIPINDI FULANI MMOJA ANATOKA NYUMBANI THEN ANAENDA KWAO AU KOKOTE ILI KUMFANYA MMOJA AMMISI MWENZIE ME NAONA ITAONGEZA HAMU YA KUMPENDA MWENZIOAnonymousnoreply@blogger.com