tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post5952377650198555644..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Nilipinduliwa nikaolewa tena ila mume2 simuelewi-UshauriKKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-6489332690133211482009-07-01T05:22:04.617+03:002009-07-01T05:22:04.617+03:00Dear Dina nimefurahi sana kwa kunijibu vizuri na u...Dear Dina nimefurahi sana kwa kunijibu vizuri na umegusia vitu vingi vya kweli.Lakini kuhusu mambo ya talaka kwa wanaume watu wa dini ya kiislam madamu mwaname ameshakuacha wao hawawezi kulazimisha kwani Mungu mwenyewe halazimishi kitu na kuhusu mwanamke haachishwi kwa sababu wanataka kuinusuru ndoa isitoshe mwanamke siyo anaeacha hivyo akiwaendea watu wa dini hutaka kujua sababu kabla hawajaamua kumuachisha kwani talaka ni halali iliyochukiliwa na Mungu hadi ikiwa na sababu yake.

Watu wa kupatanisha ni familiya zote mbili lakini ikiwa moja imekubaliana na mfano mtoto au ndugu yao kwa hiyo hasa ya kike haiwezi kulazimisha kwanza ni kama kitu cha aibu mtoto wenu hatakiwi nyinyi mnataka tu je akimtese mtafanyaje?!

Tuyaache kama ulivyosema yamepita si ndwele ila nilitaka tu kukufahamisha kuwa wao wanafata sheria za dini ilivyoamrisha.

Kuhusu huyu mume2 yeye wala hahisi kabisa kuwa wa kwanza ananihudumia kwani tumekaa muda na pia alinijua mwenyewe nilikua na uwezo mzuri tu wa kurekebisha mambo. Pia wanaume mara nyingi hata kama mlipendana lakini hasa akikuacha yeye isitoshe kwa ajili ya mwingine hawezi tena kukujali ila watoto wake na mimi sipo na hao watoto wetu so hanihudumii kabisa na mume wangu ana uhakika kuwa hanihudumii na nilipo anajua tu mambo yangu safi kabisa namshukuru Mungu.

Sasa nashukuru kwa kunipa moyo na pia kuniambia kuwa siyo jambo kubwa na kuwa atarudi lakini dear mbona hujanipa ushari kitu gani cha kufanya mimi nakutegemea wewe si unajua tena msusi hajisuki sikuombei hata wewe na usomo wako lakini yakikufika hasa ya mapenzi nadhani utapagawa tu na kutafuta ushauri so na mie naomba unifahamishe kipi cha kufanya!

Believe me japo strong na sala zote lakin bilisi pia yupo karibu naumia na kukata tamaa na pia nahofia afya yangu si unajua tena kitu kupenda! Halafu alivyo mjeuri sidhani kama ataanza kuwasiliana na mimi hata baada ya miaka kumi! Yeye ni mtu asiye na haraka ya maisha pia alipata kunambia Mungu apishe mbali kitu chochote kikitokea means talaka baina yetu yeye atajitahidi na maisha baadae aangalie mtoto wake tu. Kwa kifupi alishaacha mke na hakuwa na tamaa tena ya kuoa kwa yaliotokea!tulipokutana tulidhani tabia zimemech ndio tukaowana kweli zilimech lakini maisha siyo yeye hasa ya mtoto!

Namuamini hanicheat na wala hana mwanamke mwingine na anaishi kwao hilo sina shaka nalo.Pia nadeal vizuri tu na wazee na ndugu zake ila siwezi kuwazungumzia kuhusu yaliotokea sasa hawatoamini pia kwani tukiwa pamoja kabla ya kunikimbia mara ya mwisho tulikua kama ndio kwanza tunaowana na hata watu kusema sisi always tupo honeymoon!

Sipendi family wajue kwani tutawapa shock na mara nyingine ndio inakua mwanzo wa matatizo!

Nasema hivi kwani ilinitokea ndoa yangu ya mwanzo na alipotaka kuoa mwingine wazee wake walifurahia kwa kujua tulikua na matatizo hawakushtuka. Dina si unajua kila mtu anakua kwa mtoto wake na mnapokua mnafuraha ndio wanawafurahia wote au siyo? So dear naomba ushauri means cha kufanya I am already crazy!! Sijui kuhusu yeye kwani sina mawasiliano muda hivi lakini nahisi wote ni kisebu sebu na kiroho.....! Wee acha tu kitu mapenzi!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-18882079690665747302009-06-21T08:18:48.404+03:002009-06-21T08:18:48.404+03:00Mama pole sana, naomba Mungu wangu akusaidie,akupi...Mama pole sana, naomba Mungu wangu akusaidie,akupiganie akushike na mkono wa kuume wa haki yake akuongoze katka njia ikupasayo kuiendea kwani furaha yakwel ipo kwake tu. Napenda kukushaur,wewe ni mama mwenye watoto naona ni bora utulie utafute namna yakulea watoto wako,ondoa wazo la mapenz kwasasa,try to relax, mimi nimetendwa like that na mtu niliyempenda,sijaacha kumpenda lakini so long hanithamini nakunitenda jeur,nimeamua kurelax na nipo cool ajabu nimejiona name wathamani sistahi5 ukatil wako,kwahyo mama tulia walee watoto Mungu atakuonyesha njia aliahid atatufanyia mlango wakutokea katka hayo matatzo mwombe.
Asante, Mungu akusaidie.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-13705168307153399882009-06-20T14:01:32.904+03:002009-06-20T14:01:32.904+03:00Pole sana dada kwa yaliyokukuta na bado yanaendele...Pole sana dada kwa yaliyokukuta na bado yanaendelea kukuta. Sio siri hilo si lako peke yako mpenzi hata mimi yamenikuta, mimi bado ni binti yaani sijaolewa lakini yamenikuta si chini ya mara tatu. yaani naweza nikaa na kusema sipendi tena lakini kila nikitoa chance kwa mtu nakuta ni long person.

Nimeamua kumkabidhi kila kitu mwenyezi mungu maana yeye ndo ananijua vizuri na ninajua atanipa aliye wangu siku moja.
Dada yangu mtangulize mungu katika hilo jaribu lako maana hilo ndo jaribu alilokupa, dada kama huyo ni wako atajirekebisha tu na kurudi na kama si wako basi atakuonyesha aliye wako na kukuepusha na hao matapeli wa mapenzi. Natumai mungu anaona mateso yako ya kupenda asiyekupenda na very soon atakupa chaguo lakojjnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-16038076407362661212009-06-20T02:48:16.815+03:002009-06-20T02:48:16.815+03:00dear Salha, pole dear na mtihani uliokukuta.Kazana...dear Salha, pole dear na mtihani uliokukuta.Kazana kufata ushauri mzuri na mbaya waachie wenyewe kwani kwenye ndoa ni kupigania mapenzi na maisha hasa ya watoto kuwa pamoja na wazazi wao na wewe kama ulivyosema kuwa umeomba talaka sana lakini mume hakuachi hii inaonyesha kuwa na yeye anakupenda ila tu kiburi kimemshika. Na wengi hufikiria unyumba ni kutombana tu siyo hivyo halafu wewe ni bado mke wa mtu na isitoshe dini ya kiislam inakataza sana mambo ya zina hasa mke wa mtu adhabu yake ni kubwa siyo kama ya mjane so dear vumilia tu.

mie pia yalinikuta kama wewe na najua ukiwa umempenda mtu na anakufanyia visa au ujeuri unakua hata hiyo feelings ya kutombwa unakua huna.

Jamani tumpe moyo huyo dada kwani sidhani kama ana hata hizo nyege kwa sasa maana amesema hata mtoto wake mwenyewe hana raha nae na maisha pia sasa hizo nyege jamani zitoke wapi. Dada Salha wewe cool to down na mumeo atarudi kama mke wa mwenzetu asif Goodlucky Mungu yupo na wewe just sali saana na ondoa mawazo fata tu ibada yako na mashauri wazuri ndio uyaweke akilini hopeful utasahau na kufanikiwa tuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-71371981827465958512009-06-19T18:30:12.288+03:002009-06-19T18:30:12.288+03:00Dear ma sister
kwakweli kisa chako kimenigusa sana...Dear ma sister
kwakweli kisa chako kimenigusa sana tena mno. Ushauri wangu ni kwamba naomba ushikamane na ushauri wa emu3.
Kumbuka kwa uwezo wa Jalali mtihani huo utakuwa mwepes, kwani heri na shari vyote vyatoka kwake, na kupata na kukosa vyote ni mtihani. Muombe Mola kwani amesitiza sana kuwa yupo na wenye kusubiri basi nawe usihuzunike bali ushukuru na wala usikufuru kwa maana furaha ipo jirani nayo inakuja Inshaallah.
MwatimaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-31450245860004326052009-06-19T04:16:30.794+03:002009-06-19T04:16:30.794+03:00Hey mdada,
Kusema ukweli mimi umenichanganyas mno...Hey mdada,

Kusema ukweli mimi umenichanganyas mno, kwa kisa cvhako na huyo jamaa yako.

Kwanza umetueleza na kukusisitiza sana kwamba jamaa lina kiburi na dharau ambavyo hujapata kuona.hapohapo unasema jamaa unalipenda na kulihusudu sana.Huo upendo nashindwa kuubaini unajikita katika nini hasa?kwa umbile lake au kipato chake au kwa sababu anatoka nchi unayoijua mwenyeewe?Unawezaje uendelee kumvumilia na kumpenda mtu mwenye jeuri, dharau, na kiburi?Je, kwa sifa yake hiyo atafaa kweli kukujali na kukuthamini poor mama?

Kwa nini mnataabika na wanaume wajeuri na kuendelea kuteseka kwa sababu ya mwanadamu mwenzio aliyeamua kukufanyia ufidhuri wote huo?hao wanaume kweli wameisha , na hivi ni lazima kwa mama kama wewe umeonja ndoa mara mbili tena uendelee kuteswa katika ndoa badala ya kuachana endelea kusaka maisha yako yasiyokutesa akilini?

Uking'ang'ana na kitu mapenzi,kitakuua kabisa kifikra na kijinsia.Msiba wa mapenzi usiusogeze karibu nawe.Kwepa sana mtu anayekufanyia jeuri, na dharau.Huko ughaibuni uliko bado hujajifunza jambo unazidi kuteswa na jamaa lako hilo?Mimi niko ughaibuni nakushangaa unazidi kukonda na jamaa asiye na hata element moja ya kukujali na kumjali mtoto wake mwenyewe aliyemzaa.

Jamani dada zangu ndoa ni nzuri unapokuwa na mtu mnayeweza kuelewana, kuzungumza, kuwasiliana n.k sasa jamaa linakutosa hivyo bado upo beneti kulisaka,la nini mama?kama ni kutaka kutombwa basi tafuta njia mbadala isiyotesa na kukuangamizia maisha yako.Hujui hata liko pekee linakula wapi labda lina mke mwingine?nini unategemea dada yangu.Wewe kimbia mdada si salama hapo!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-27647868539812587022009-06-19T01:33:23.847+03:002009-06-19T01:33:23.847+03:00Dear Emu three mbona umemjibu mwenzio vizuri namna...Dear Emu three mbona umemjibu mwenzio vizuri namna hii yaani unajua kujibu sana! Je umesomea wapi au dada Dinah amekupa kozi! kwani kuna wengine huwa hawajui vipi mume anauma na hujijibia tu kumbe mwenzetu anapoamua kuingia katika uwanja huu huwa amefikwa kooni sasa sisi wajibu wetu ni kumliwaza kama ulivyojibu Um three hongera ngoja tuone na profesor Dinah atajibu nini na wengine.Kitu ninachowaomba ndugu zangu tumpe dua na moyo huyu dada ili aweze kuupita huu mtihani na Mnyezi Mungu atamvusha inshallah na kupata furaha kama mwanzo maana hana raha ya mtoto wake na hata maisha! Jamani wengine wanatamani wapate wanawake kama hawa na wengine hawajali.Pole dada Salha na mimi pia nakuombea dua ila si mjuzi saana wa kutoa ushauri ila subiri na fata ushauri wa Um three na pia nategemea Dinah atakupa tu ushauri mzuri utahisi tu furaha ya maisha japo umeumia sana. Pole dada Salha na Goodlucky.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-54334369431375785682009-06-18T17:07:19.183+03:002009-06-18T17:07:19.183+03:00Dada kwani uko wapi?una jinsi tukawasiliana nje ya...Dada kwani uko wapi?una jinsi tukawasiliana nje ya hapa?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-44905399949774372692009-06-18T16:20:18.691+03:002009-06-18T16:20:18.691+03:00Emu three umeniliza sio siri yani maneno yako yame...Emu three umeniliza sio siri yani maneno yako yamenitoa machozi kivipi basi, tatizo la salha ni sawa sawa na mm isipokua mwenzangu yy ana ndoa mm sina na pia nilishawahi kutoka hapa kwenye blog ya dada dina, jamani mapenzi yanauwa yanasononesha yanataabisha tena hasa kwa mtu uliyempenda eeh mungu mapenzi umeyaleta lakini yanatutaabisha wengine wallah. sio siri mm nimejaaliwa mapenzi mengi kwa ninae mpenda lakini ninae mpenda ndie sie laiti angejua jinsi gani ninavyotaabika juu yake wacha tu, well mm niliacha nikawa simpigii simu mana nalia peke yangu mpaka nimekua sugu. sasa basi yeye huyo bwana akanipigia simu siku hiyo anasema mbona uko kimyaa umpendae hajambo??unanipenda kweli si nikajiachia hapo nikamuuleza jinsi ninavyotabika kwake nikajua at least atabadilika. ndio kachochea sasa siku iliyofuata nikampigia simu hakupokea kabisaaaa usiku nikamtumia msg kimyaaa sasa hapa me mwenzenu sielewi kabisa amepanga kuni enjoy?amepanga kuniadhibu?amepanga kunidhalilisha na kwann ana umia nisimpompigia??na kwann nikimpigia ana crush simu eeeh mungu haya ni mapnz au ni adhabu??nimechoka mimi na sio kama sitongozwi ni nyuki wanaume wanao ni approach lakini moyo wangu nimemtundikia yeye huyu mwenye kunitesa nampenda sanaa jamaniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-13056035259887491262009-06-18T09:17:11.310+03:002009-06-18T09:17:11.310+03:00Pole sana Salha, na sote tunaosoma blogi hii tumuo...Pole sana Salha, na sote tunaosoma blogi hii tumuombee huyu mwanamama,kwani ni baadhi ya akina mama wachache wenye upendo wa dhati,lakini wanapenda kusipopendeka,mungu akujalie uyashinde hayo majaribu, na pendo lako lizae upendowa dhati.
Kuna usemi unaosema `kila jambo hutokea kwaminajili’ huu usemi tunausikia lakini una maana kubwa sana. Usemi huu hutufundisha subira, unatufundisha kuwa kila tukio hutokea, sio tu limetokea,lakini mwenyezi amelitoa, likatokea kwako kwasababu maalumu, unachotakiwa ni kumuomba na kuvuta subira.Hujui kwanini kafanya hivyo!
Katika historia ya mapenzi, kama utakaa usikilize watu zaidi ya kumi utapata picha ya ajabu, kuwa `yule ambaye ulidhani, kumbe siye’ na niwachache walioangukia kule walikokutaka. Hii ina maana kwamba ukifikiria hivi, kumbe mwenyezi sivyo alivyokupangia, yeye anakujua na anajua zaidi unachokitaka kuliko wewe.
Siri ya mapenzi ni kupenda na wewe upendwe, ikiwa kinyume chake ni machungu. Je kama umependa na hujapendwa ufanyeje?Na je hujui kuwa wapo wanaokupenda lakini huwapendi? Hili swali ni tete, na kila mmoja anajibu lake kutegemeana na mazoea au anavyotaka yeye. Je umuache, ukimuacha roho inaumia! Swali hapa je ni nani alisema huyo ndiye peke yake hapa duniani, je unauhakika gani kama akikupenda mtadumu naye milele? Jibu ni hisia zetu tu.
Mwanamama kwa ushauri wangu mdogo,ningekushauri , uvute subira, ukae bila mawasiliano naye kwa muda, huku ukufanya ibada, huku ukimjali mwanao , na huku ukikusanya nguvu na kujiweka katika hali nzuri. Nasema hali nzuri nikiwa na maana,jiweke `kiusichana’, usijiachie mwili ukazidi uzuri.
Baada ya muda kidogo, kama huyu jamaa anakupenda ataanza kuingiwa na wivu, atakutafuta, na akianza kukutafuta jifanye hamnazo, baadaye mualike muonane. Hamadi, akikuona ulivyopendeza, ulivyobadilika, atahisi `laaah nimeibiwa’, ataanza mapenzi ya kuhamaki, nawe iwe ndio umeanza, jikwatue jirembe na muweke sawa,lakini kwa safari hii,uwe kama unauma na kupuliza, yaani unajifanya kama vile hutaki.
Vinginevyo, vuta subira na muachie muweza, asikuambie mtu kuwa huyo unayempenda yupo peke yake, wapo wanapendeka na watakaokupenda zaidi ya huyo,na huenda ndio maana Mwenyezi anakukwepesha na hao ili umpate yule aliyekukadiria, na siku ukimpata utsema, `oh, ningelijua mapema kuwa wewe ndiye mahububu wangu, ningekutafua duniani kote…
emu-threeAnonymousnoreply@blogger.com