tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post5522903425241485957..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Nini kiswahili kwa "affectionate"KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-75520373180867955552008-01-14T11:21:00.000+03:002008-01-14T11:21:00.000+03:00Mimi asante sana kwa maelezo yako yakutia moyo n a...Mimi asante sana kwa maelezo yako yakutia moyo n apia nyongeza kutokana na maji-maji kwa wanawake.

Karibu sana mahali hapa ili tujifunze wote.KKMiehttps://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-28119627708484145162008-01-13T23:29:00.000+03:002008-01-13T23:29:00.000+03:00habari dina, mimi ni dada wa kitanzania niliepo eu...habari dina,
mimi ni dada wa kitanzania niliepo europe, na leo kwa mara ya kwanza nimesikiliza kipindi chako laivu! Hongera mama, kipaji unacho.nimesikitishwa na wale wanaokukashif, kama ni ujumbe, wangekupa kwa njia ya adabu. Mimi nimefundwa tanga, na kwenye kufundwa kwangu, nikaambiwa ni mwiko kuyatoa ya ndani!! ya humu yaache humu humu!! sasa pengine hao wanaokasirika, wameona umevuka mpaka, lakini kwanini tunakwenda kwenye porn sites then kutafuta mitindo zaidi instead of listening to you!! achana nao, wasikusumbue akili yako, fanya wajibu wako, tunakupa full support.
then, another point is, yule kaka aliyeuliza kwa nini uchi wa mwanamke hutoa maji, ukamjibu pengine ni sabuni, mild infection!! mimi nilipofundwa, niliambiwa, ukisha fanya mapenzi na mwanamme, na kutoisha kuma yangu vyema kwa kutumia kidole, then itatoa maji. i think ina ukweli fulani, ni kama kiporo kilichooza na kumwaga maji.
thanks dada,
endelea kutupa majamboz,
mimi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-58891263526687381902008-01-12T14:39:00.000+03:002008-01-12T14:39:00.000+03:00the topic im liking it dinah!!!! mimi napenda my m...the topic im liking it dinah!!!! mimi napenda my man anihold my waist while im in the kitchen cooking ,washing up ,especially akiwa hes from work just come straight n kiss me up on my neck hold ma waist mnhhhhh i lik that....i like getting texts,or call just checking on me,i like him to show me atleast what i mea to him like i love,i like ur certain cooking not everyday but mara moja moja....i would lik to see taht hes excited to see mee coz when im in a relationship i do all that ,hold my hand sio awe anavoid public kujua we re together sor of a thing....i lik my man to look right in my eye n kiss me,tel me how beautiful im how he enjoys having sex with me....things like that ,it would make me happy women n be n a fulfilling relationship.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-86449704158385995692008-01-12T01:44:00.000+03:002008-01-12T01:44:00.000+03:00Asante kwa mada, mimi napenda mpenzi wangu awe aki...Asante kwa mada, mimi napenda mpenzi wangu awe akinishika shika kila wakati kuonyesha kuwa anavutiwa na mwili wangu.

Napenda Mpenzi akilazia kichwa chake kifuani kwangu huku aniniaambia shida zake au matatizo au furaha yake ya siku hiyo.

Napenda mpenzi wangu awe anapendakucheza kitandani kama vile kuruka ruka, kunikalia kiunoni huku akizungumza mambo tofauti kuhusu penzi letu.

Napenda mpenzi akiniona tu anaonyesha furaha kuwa kaniona na anakuwa na ile hali ya kutaka kunirukia kuonyesha furaha yake.

Ni mengi sana Dinah wacha niache tu kwa sasa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-39221085682641187632008-01-11T06:37:00.000+03:002008-01-11T06:37:00.000+03:00wooo!!! hii topic ya leo ni noma, na stering mweny...wooo!!! hii topic ya leo ni noma, na stering mwenye kalianzisha basi sio mchezo, ngoja na sisi tuliendeeze kidogo..

unajua kuna sehemu niliona makala ikanivutia sana, ni kwamba kama kila mpenzi akimuona mwenzake anakuwa ni kama amemuona kwa mara ya kwanza basi hilo pendo litadumu sana...na maana kwamba mapenzi kwa kawaida wakati yanaanza yanakuwa ya moto na kwa baadhi ya watu, baadae yanapoa...
ngoja nisiendelee...

nikirudi kwenye mada..

mi napenda sana mpenzi wangu anipe denda na alegeze macho, then kila nikimnyonya awe ananiangalia machoni na kutabasamu,

napenda pia baada ya kungonoana awe ananiogesha na mi namuogesha pia,vlevile tunaendeleza hata raundi moja tukiwa tumeshaoga, na then tunaoga tena...

napenda sana awe mkweli, hata kama akiwa na Ex wake basi aniambie ukweli nitapanga mbinu za kumsaidia kumwacha.

napenda awe na maneno ya kihuni sana akiwa na mimi...kama vile nna nyege twende ukanitie, mboo yako kubwa,angalia usikosee ukaingiza kwenye mkundu,lamba kisima hiki cha chumvuchumvi mpaka nikwambia basi..n.k

nihayo tu; mandingo in da hz.
keep goin dinah.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-6249211881176850782008-01-11T02:12:00.000+03:002008-01-11T02:12:00.000+03:00This place is wonderful!Itasaidia sana kuondokana ...This place is wonderful!

Itasaidia sana kuondokana na umaskini wa kimahusiano katika mapenzi!

I saw it today and I will not miss it a single day!

Unajua bwana watu wengi usiwaone wamefunga tie au wamevalia nguo za bei na mapersonality kibao ujuzi wa mahusiano humo ndani hadi nje hakuna kabisa! Matokeo yake watu wanaishi katika maisha ya mifadhaiko kila kukicha!

DINA TUFUNDISHE ILI TUPATE HII ELIMU ADIMU WANAUME NA WANAWAKE

"Mi napenda akija na pipi moja na kuniambia mpesi umeshindaje" Nakua mkubwa kuliko mti wa Mbuyu hahahaaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-14642365200354531012008-01-10T03:29:00.000+03:002008-01-10T03:29:00.000+03:00Napenda nikiwa jikoni anakuja nyuma yangu anashika...Napenda nikiwa jikoni anakuja nyuma yangu anashika makalio
Napenda tukiwa tunakula anilishe kijiko cha kwanza
Napenda akienda madukani akumbuke kuleta pedi hata kama sio siku zangu
Napenda nikiwa njiani narudi nyumbani anipigie aulize umefika wapi au nije kukufuata
Napenda tukilala naingiza miguu yangu katikati ya miguu yake
mmmmmh mbona mengi nitaendelea keshoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-3095945342205217022008-01-10T01:22:00.000+03:002008-01-10T01:22:00.000+03:00Ngoja nilianzishe na wewe uendeleze.Mimi napenda m...Ngoja nilianzishe na wewe uendeleze.

Mimi napenda mpenzi anaponishika kwa nyuma kiunoni pale ninapopanda ngazi....inakuwa kama vile analinda incase muanguko utokee hilo moja.

2-Napenda kushikwa mkono kama tunatembea pamoja au tumekaa mahali.

3-Nafurahi sana ikiwa nitapokea simu, email au text nikiulizwa nimeshindaje(mawasiliano kwangu ni muhimu sana).

4-Napenda tukisimama mahali nisimame mbele yake nakuongea nikiangalia uso wake.

5-Napenda sana akiwa ananichekesha na anacheka ikiwa nitamchekesha japo I'm not funny hahahahaha.

Endeleeni basi wote wake kwa waume...karibuni.KKMiehttps://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com