tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post5271755142379211612..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Familia haimtaki, kasaliti penzi letu-JawabuKKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-14228057282477034412009-10-13T15:35:38.694+03:002009-10-13T15:35:38.694+03:00M3 na wengineo! Kulogwa ama kutologwa ukweli umeba...M3 na wengineo! Kulogwa ama kutologwa ukweli umebaki hapo hapo; PENZI LIMESALITIWA!

Mimi ni mwanaume na nitakachokisemahapa najua kitawashangaza wengi lakini ni ukweli!

Hii mimi imenitokea yaani nimewahi kusaliti penzi na nimewahi kusalitiwa! napenda kuwaambia kuwa nimejifunza kitu kikubwa baada ya kusalitiwa! naam ! Samtaimz tunahitaji sindano ili tupone! Sasa cha muhimu hapo ilikuwa kama alivyosema Dinna ni kujiangalia sote wawili! Na beleieve me kusalitiana ni moja ya milima na mbonde yaliyomo katika uhusiano! Sisi wote tulitafakari kwa kina na ni baada ya mwenzangu kuniomba msamaha kwa kunisaliti; lakini chanzo ni mimi kumsaliti yeye; mimi kujisahau na kuweka pembeni na kisha baada ya kulijua hilo nilitoa msamaha kwa moyo mmoja! Tulichukua hatua ya kujifunza upya na kukumbusha juu ya mapenzi yetu na kikubwa zaidi sote tuling'amua kuwa tulikuwa wajinga kwa kudhani tukijiiba tutakuwa tunapata suluhisho! Tuling'mua kuwa tulicho nacho ni kikubwa zaidi ya vitu vingine vyote na zaidi ya yote tulijua kuwa katu watu wa nje hawaezi kutusaidia kutauta mataizo yetu wenyewe; hivyo tulichukua jukumu la kuanza kujenga upya palipobomoka; kukumbusha juu ya ahadi zetu na zaidi ya yote kuthaminiana kwa ahali ya juu! Namshukuru mungu nisemapo haya tumeoana na tuna mtoto mmoja! Na bado tunapendana! Ubarikiwe Dada Dina; safari ijayo nitachangia kutokana namafundisho ya imani yangu ya kikristoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-75313404903855429842008-10-28T12:35:00.000+03:002008-10-28T12:35:00.000+03:00Nawashukuru sana wachangiaji na hasa huyu mchangia...Nawashukuru sana wachangiaji na hasa huyu mchangiaji ambaye dada Dinah,ameonelea amweke wazi. Nitakuwa tayari kumtambulisha kwake,kama wenyewe watakubali,kwani shauri zima bado ni la siri.
Lakini itakuwa sio jambo jema kama nitakaa kimya bila kuwajulisha ni nini kimeendelea baada ya tukio hilo zima.
Yule mwanamke kashindwa kuvumilia na aliamua kutafuta ushauri, na cha ajabu alikuja kumuona mke wangu. Mke wangu wangu alimshauri wakutanishwe na mumuwe na kifanyike kikao cha `usuluhishi' lakini kikwazo ikawa jinsi gani atakavyomuingia mume wake. Pia ukumbuke shemeji yangu huyu hana mahusiano mema na kwao kutokana na historia nzima ya mahusiano yao.
Yeye(shemeji) anadai hakutenda tendo hilo kwa hiari yake mwenyewe,anahisi kuna nguvu za giza,kwaani anampendasaanamume wake, na ikitokea vinginevyo anahisi ni bora `afa tu'.
Anadai siku ya tukio, jamaa alikuja nyumbani kama kusalimia tu na kwa vile anamjua kama rafiki mkubwa wa mume wake hakuwa na shaka. Alipompa mkono tu, akajisikia mwili mzima ukilegea,na akajikuta akifanya kila alichoambiwa na huyo jamaa,na matokeo yake alijikuta yupo chumbani mwake na kutokea yaliyotokea.
Mimi niliiona kama ni hadithi ya kujitetea tu, ingawaje mke wangu anasema wapo watu wanaotumia njia za giza kuwapumbaza watu hata kuwaibia na haitakuwa ajabu watu kufanya mambo kama hayo.
Swali langu ni hili, je kuna ukweli wa mazingaumbwe ya namana hii? Na kama ni kweli tufanyeje kuwasaidia hawa jamaa,na kama ni uongo tutahakikishaje ili kugundua udhaifu wa uongo huu.
emu-threeAnonymousnoreply@blogger.com