tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post5246812155256264348..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Nikirudi Bongo ndio itakuwa basi?-UshauriKKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-91202379697145771632009-04-30T20:37:00.000+03:002009-04-30T20:37:00.000+03:00Kijana wangu, kama ugomvi ndiyo huo umesema huwa m...Kijana wangu, kama ugomvi ndiyo huo umesema huwa mnagombana na kupigana, katika urafiki tu,je, una uhakika kwamba kweli huyo mtakujaishi kiusalma?Pamoja na kwamba umesema kila mmoja anampenda mwenzake, lakini ugomvi mkubwa namna hiyo unatoka wapi? Labda nabaini kwamba bila shka nyote ni wachanga na hamjui nini kinawafanya muingie kwenye mahusiano hayo.

Kuhusu kumwacha huko ukiondoka, kwa kweli hiyo ni patapote,umekiri mwenyewe kwamba wanamtaka wengi lakini anakataa,basi jua kuwa ukiondoka hatakataa, atataka wa kuli-place tena akikumbuka na ugomvi wenu wa mara kwa mara forget it man, nothing with bework otu on your side.Lakini usife moyo maana umemsifia kuwa ameumbika, na labda hilo ndilo nguzo kubwa inayokufanya uone anafaa kuwa mke wako wakati unajua kuwa kitabia hamuwezi kuivana.

Uamuzi uko mikononi mwako wewe ukirudi bongo tulia tu subili huyo mlimbwende wako atakavyotunza maamuzi yenu na makubaliano yenu.

Kila la heri poor man.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-85128693045162235842009-04-29T10:26:00.000+03:002009-04-29T10:26:00.000+03:00Kama kweli anakupenda atajituliza na kukusubiri we...Kama kweli anakupenda atajituliza na kukusubiri wewe,lakini kama ilikuwa poteza wakati, basi `asiyekuwepo na lake halipo'.Hiyo ndiyo hali halisi ya ujana, na mwanzo wa urafiki hadi mke, kugombana, kufurahi, nk na muda ukifika, umefika.
Kinachotakiwa ni wewe na yeye kukubaliana `uchumba' kama umri wenu unaruhusu. Lakini kwanini msijitulize katika masomo mpaka muda muafaka?. Kama umri unadai, na unauhakika na mipangilio yako, basi vishaneni pete hii itamuweka yeye katika tahadhari, kuwa anaye mtu na akijirusha itakuwa skendo.
Lakini hata hivyo, haihakikishii moja kwa moja kwa yeye kujituliza kwa ajili yako, kama kweli hana mapenzi ya dhati na wewe.
emu-threeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-14778326958185180522009-04-28T12:01:00.000+03:002009-04-28T12:01:00.000+03:00Mambo dada dinah,mi nilikuwa niombe ushauri sasa n...Mambo dada dinah,mi nilikuwa niombe ushauri sasa naomba nielekeze jinsi ya kutuma stori yangu mana hata sielewi nianzie wapi?naomba nisaidie mana nina matatizo na nahitaji ushauri wako na ndugu zangu wengi wa blog hii.....!
jacklineAnonymousnoreply@blogger.com