tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post5229912659244296900..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Nimefiwa na baba, Mpenzi kaniacha pia-Ushauri!KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-26426922154157410122008-07-03T20:49:00.000+03:002008-07-03T20:49:00.000+03:00Kama huyu msichana alishindwa kumliwaza mwenzie ak...Kama huyu msichana alishindwa kumliwaza mwenzie akijua amefikwa na tatizo kubwa then sio mzuri maana kila mwanaadamu anaumia kwa namna yake sasa na mpenzi wako anapaswa kuwa wakwanza kukuliwaza na akijua unamhitaji sasa sijui ilikuaje lakini yeye ndio anaeweza kupima na akaona lipi ni bora hapo......Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-26713991274132396982008-07-02T11:11:00.000+03:002008-07-02T11:11:00.000+03:00kaka pole sana jamani.. ndio mambo ya dunia hayo,k...kaka pole sana jamani.. ndio mambo ya dunia hayo,kufa kuliumbwa kwa ajili yetu sisi wanadamu,na hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kila jambo,ila kinacho nishangaza hapo ni huyo mpenzi wako.. jee? unauhakika amekuacha kwa sababu hizo ulizosema na si nyingine!!wakati wa shida ndo mzuri wa kumjua mpenzi na rafiki wa kweli nadhani huyo alikuwa hana mapenzi ya kweli kwako.dont rush things jaribu kutulia kwanza..lily.Arusha.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-42296091968124604182008-07-02T10:35:00.000+03:002008-07-02T10:35:00.000+03:00pole sana kaka,yani kwa kweli inasikitisha sana, h...pole sana kaka,yani kwa kweli inasikitisha sana, huyo mpenzi wako hana mapenzi ya dhati ndo maana kakufanyia hivyo a good woman is always there to support her partner in good times and bad times pia. yani story yako inanigusa kweli, mimi nina mchumba wangu ambaye ilikuwa tuoane hivi karibuni lkn amepata family problems ambazo zinamfanya aamue kuahirisha kufunga ndoa mwaka huu, na mimi kweli nampenda sana nimeamua kumsubiri tu asolve matatizo ya familia yake kwanza then tutaoana mwakani, kaka yangu kusema kweli imekuwa kama gumzo sasa kwa baadhi ya ndg na rafik wakiona kama jamaa anazingua lkn si kweli ana matatizo ambayo ni sensitive.wengine wanadiriki hata kusema kuna wanaume wapo wanatafuta wachumba wa kuoa waniunganishe lkn mimi nimekataa maana nampenda sana mpenzi wangu na tumetoka mbali sana ntasubiri tu. kwaiyo naweza kusema huyo mpenzi wako si ajabu amepata ushawishi toka kwa marafik au ndg zake ndo maana kaamua kufanya hivyo. jaribu kumwita uombe uzungumze nae umweleshe kwamba wewe si kusudio lako lkn ni kutokana na uchungu wa kufiwa imepelekea kutokuwa nae karibu. kama ataendelea kukataa hakutaki basi itakuwa huyo Mungu hakupanga awe wako kaza moyo utapata mwingine tu,kila la heri kaka yangu.
linahAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-80972264624949434552008-07-02T08:28:00.000+03:002008-07-02T08:28:00.000+03:00`Kupendana..' ina maana tata, inagwaje kuielezea n...`Kupendana..' ina maana tata, inagwaje kuielezea ni rahisi. Mara nyingi utasikia mtu anamwambia mpenzi wake, `mimi nakupenda sana' na anaitamuka mdomoni kirahisi,kwa mahaba na hisia za kiukweli, lakini inapofika kwenye vitendo, hasa kwenye mitihani ya maisha, msemo huo huyeyuka kama barafu.
Ndugu yangu pole sana na mshukuru Mungu wako kwa hilo. Nasema umshukuru Mungu wako kwa hilo, kwani kuna usemi wa busara unaosema `kila jambo hutokea kwa taaswira ya kitu fulani'.
Hatua ya kwanza unayotakiwa kufanya ni kumuita huyo mpenzi wako na kumueleza hadithi yote, na kumpa muda fulani ili naye afikirie.
Hatua ya pili kama kweli mlishaujenga upendo wa kutambulika, tumia rafiki unaowaamini,au wazee wa busara, mkae muwekane sawa.
Sielewi wewe ni upande gani, yaani umwanaume au umwanamke, kwani katika maelezo yako umegusia tu kuwa wewe ni kijana. Na maana ya kijana nahisi upo kwenye 20's, na mara nyingi hapo ndipo kwenye mitihani mingi. Kwahiyi ushauri nitakaoutoa mimi utakuwa wa kijumlajumla tu.
Hebu jaribu kukumbuka, `upendo' wenu ulisheheni kwa vitu gani hasa kabla ya tukio hilo, kama ulilalaia kwenye starehe zaidi, basi alikaneni hukohuko kwenye starehe. Na kama ulilalia kwenye muonekano basi jaribi kujirudi nakujiweka katika hali inayovutia. Kama ndio kwenye ngono, basi hivyohivyo....
Lakini yote hayo yanategemea `upendo wenu', na upendo hutakikana na nyote wawili, kama kweli anakupenda, basi atakurejea. Kwasababu kilichokupata kinampata kila mtu. Na kama jamaa ameamua kukuacha katika hali kama hiyo sidhani kama `ana upendo wa kweli'
Upendo wa kweli hupimwa kipindi cha matatizo. Ukiona jamaa anakukuacha kwasababu ya `mitihani' ya kipato, misiba , magonjwa basi ujue huyo hana upendo wa kweli. Lakini huu sio ushauri wa moja kwa moja, kwani hatujui kipindi hicho mlichokuwa hamuivani, ulimfanyia nini zaidi.
Kama nilivyotangulia kusema awali, kila jambo huja kwa ishara yake, huenda huo ndio mwanzo wa kupata penzi la kweli, unachotakiwa ni kujenga subira. Unachotakiwa ni kuwa mkweli kwa mwenza wako, na kupata jibu la uhakika, kuwa kweli `unanipenda au ulikuwa wa kupass time'
Mengineyo tusubiri dada Dinah, atusaidie
mimi
emu-threeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-86038169798114266012008-07-01T22:52:00.000+03:002008-07-01T22:52:00.000+03:00Pole sana ndugu kwa kufiwa na Baba yako,sote ni wa...Pole sana ndugu kwa kufiwa na Baba yako,sote ni wa mungu na kwake tutalejea. Kuhusu mpenzi wako mi nadhani ni suala la kumtafuta mkae mzungumze na huenda mambo yakawa kama yalilivyokua mwanzo.japo huwezi jua huyo gf wako nae kwa sasa ana mawazo gani kuhusu ww.usife moyo kuna watu ktk site hii,watasema zaidi nn ufanye kwa wakati huu,kuhakikisha unakua pamoja na gf wako. RamaAnonymousnoreply@blogger.com