tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post4929794136146372039..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Anatosa wengi, Je atanikubali mimi?....ushauri!KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-85727617793486201692008-06-05T12:06:00.000+03:002008-06-05T12:06:00.000+03:00Pamoja na hayo epuka kumtongoza kwa style ya kumwo...Pamoja na hayo epuka kumtongoza kwa style ya kumwonyesha we bab kubwa,unatoka familia bora ama una fedha.Mwonyeshe unampenda yeye kama yeye na wewe kama wewe sio kwa rasilimali au vyovyote.Kingine mweke karibu yako zaidi kwa kumshirikisha siri au mipango yako ya kimaisha alaf zungumzia suala la ndoa kisha mwombe ushauri usikie atakuambia nini je atakuwa constructive au hatojali?<BR/>Ni mimi ITEITEIAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-30329776867563814842008-06-05T03:23:00.000+03:002008-06-05T03:23:00.000+03:00Hahahhaha RICHARD usijali hivyo wangu maana hayo m...Hahahhaha RICHARD usijali hivyo wangu maana hayo mabo ya kutoswa ukifikilia daaa huwezi kutongoza hata siku ukiwa na nia nae ondoa kabisa haibu na uwe serious basi chombo chako siku unazote unaambiwa kwamba mwanamke hata awe na uzuri gani hana akili za kufikiria na wanadanganyika kwa urahisi wewe ingia na gia zote utaona tu atamwagika mwenyewe...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-25862212708275239882008-06-04T23:46:00.000+03:002008-06-04T23:46:00.000+03:00Mwanaume huogopi kutoswa kwani huwezi kulazimisha ...Mwanaume huogopi kutoswa kwani huwezi kulazimisha penzi kama anakupenda mambo yatakuwa bomba na kama akikukata basi endeleza urafiki mlionao. ndio maisha hayo sometimes unachukua risk tu.Anonymousnoreply@blogger.com